Тёмный

KAMANDA ESMAIL QAANI NA WENZAKE WATUHUMIWA KUISALITI IRAN KWA ISRAEL 

Uhai Online Tv
Подписаться 332 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@issanassoro9175
@issanassoro9175 11 дней назад
Israel, Marekani na mataifa ya magharibi sio kwamba ni werevu saana kwa ujasusi wa kupata taarifa za nchi zingine na viongozi wao kwenye hii Dunia.... kinachowasaidia ni pesa wanazoiba kwenye mataifa mengine kwa kuwanyonya na kuanzisha vita kwenye hizo nchi ili wapore mali. Wanaweza kupata taarifa za nchi na viongozi wao kwa kutoa pesa nyingi sana kwa wasaliti wa hizo nchi....kwa hivyo hapa ni shida,njaa na tamaa za Hao viongozi wanaopewa pesa kutoa taarifa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 14 дней назад
Eeeh watasema wacha wanyongwe tu wanaisaliti nchi
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 10 дней назад
Lazima watauawa
@AliyKijangwa
@AliyKijangwa 11 дней назад
Urusi fanya kazi yako wapo weng2
@mwalimulossilamsuya1944
@mwalimulossilamsuya1944 10 дней назад
NI JANA TU WAMEONEKANA KATIKA MAZISHI YA KAMANDA WA QURDS...WE TAARIFA YAKO YA 3DAYS AGO
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 13 дней назад
Wawa Wawanyonge tu washenzi
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 11 дней назад
Wafra wezenu wamebaguriwa uko libanon bado mnawapenda ao warabu
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 7 дней назад
TENA WASHENZI WAKUBWA KABISA....
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 2 дня назад
Msaliti anyongwe wala haina kupepesa macho
@absm8084
@absm8084 12 дней назад
Wapo wengi huko Iran😅😅😅😅😅
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 11 дней назад
Israeli.......yupo juu sanà katika ujasusi........hutangulia mbele hatua kadhaaa kupata taarifa zake. Na hukusanya taarifa zake taratibu hata kama itagalimu mipaka kadhaaa......na Wana majasusi kote dunia I...kwenye Kila sekta wamejipenyeza
@aediaygo8546
@aediaygo8546 11 дней назад
Hamna kitu money talks
@OmariDihenga
@OmariDihenga 14 дней назад
Ushia na usuni unawatafuna waislam ! Unafiq kila kona
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 12 дней назад
We umeongea
@absm8084
@absm8084 12 дней назад
😅😅😅😅😅😅😅
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 12 дней назад
Kweli kabisa mkuu nakuunga mkono.
@HusseinJumaa-y6x
@HusseinJumaa-y6x 11 дней назад
Usikate tamaa,hii ni vita na Kuna mbinu nyingi za kupigana,propaganda hutumika kumhadaa adui,
@Haji-yt8hm
@Haji-yt8hm 12 дней назад
Madhehebu ni hatari sana kwa waislamu na dio yanayo tumiwa kuiiuwa dini ya kiislam
@Giovanni-f8n
@Giovanni-f8n 12 дней назад
Waislam kula chuma hicho Israel iko sawa
@simonkimeu6818
@simonkimeu6818 12 дней назад
😂😂😂😂
@ZakariaYahya-c3n
@ZakariaYahya-c3n 11 дней назад
Nenda ukaiyangalie israil ilivo Fanywa sahii yawaka moto
@HusseinJumaa-y6x
@HusseinJumaa-y6x 11 дней назад
Sasa wewe unashabikia myahudi aliye msulubu na kumuuwa mungu wako,😂😂😂
@balljmushi9599
@balljmushi9599 11 дней назад
Yes
@VictorBijura
@VictorBijura 11 дней назад
Acha kuhubiri udini mpumbavu mmoja wewe!!!.. Tanzania hatutaki hizo mambo, tunasimamia haki KWA haki,uhuru amani,upendo na uvumilivu. Sisi ni changanyikeni. Na ukumbuke, KWA Tanzania bara,takribani Kila ukoo unaye mtu/watu wa dini tofauti tofauti.. kuna mwislamu,kunamkatoliki,nachat mpagani yumo pia. So achaneni na mambo za udini
@lusajomwakibinga6912
@lusajomwakibinga6912 13 дней назад
Naona kumeanza kuchangamka
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 13 дней назад
Kwenye serikali ya,Iran wapo Mosad kibao
@mwalimulossilamsuya1944
@mwalimulossilamsuya1944 10 дней назад
ACHENI UONGO NA UCHOCHEZI
@GeremihJuma
@GeremihJuma 12 дней назад
What?
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 12 дней назад
Waisrael wana akili nyingi,kanchi kadogo kanasumbua taifa kubwa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 12 дней назад
Sawa wewe ni jinga ila mashoga wenzio wataisoma namba
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 7 дней назад
MBONA PALESTINA PALE WANAMANGA MANGA?
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 дня назад
Israel haiwezi hata MKOA wa Tz.kama si kusaidiwa na Mashoga wenzake wa Marekani na Ufaransa
@barakambembela7274
@barakambembela7274 13 дней назад
Wacha wamalizane wao kwa waoo Israeli ni kuja kupiga msasa tu
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 13 дней назад
amina amina mtumishi, 😂yani kama kalambwanda
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 12 дней назад
​@@hazygardmericho9571makafiri mnadanganyana sio
@HusseinJumaa-y6x
@HusseinJumaa-y6x 11 дней назад
Hhhh nyie jipeni matumaini,myahudi hatoboi hii vita
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 12 дней назад
Ko palestina ni koloni la iran
@MikelSitoe
@MikelSitoe 12 дней назад
wasaliti wa nchi wa takiwa kwanza wachezee ki chapo,
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 12 дней назад
wanyongwe mbwa kabisa tena sio wazalendo
@RajabJr-r6y
@RajabJr-r6y 13 дней назад
Usaliti haukubali kw njia yyte ile na majibu yke ni kunyongwa tu
@BarkaRashid
@BarkaRashid 13 дней назад
Hao wanafaa.kunyonga si wake wanaturudisha nyuma
@jotafungo4622
@jotafungo4622 13 дней назад
Kamata wasaliti wote
@daudimichael7338
@daudimichael7338 11 дней назад
Yaani Iran, Iraq, syria, Lebanon, Yemen, na wajinga wengine wa Kiislam wote wanaishindwa Israel nchi ndogo kabisq. Hapo ndipo unajua hilo ni taifa la Mungu. Acha wahangaike hawataiweza Israel mpaka yesu atakaporudi.
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 11 дней назад
😅😅😅Unatumia ujinga tu hujui kama manyangumi yote yapo kwa shoga mwenzao
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 13 дней назад
Hawawezi kwa Israel bado huyo Ayatollah hamenei
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 12 дней назад
Pia bado babako kafiri wewe
@KatemboJeremica
@KatemboJeremica 13 дней назад
Ahsante kwa tangazo ni kweli unacho kisema apa nchini Iran sasa ivi kuna mikakati inafanyi na ivi punde ime ambiya nchi zote za kiarabu ole wao wenye wata kuwa wana milili ngurue zaki marekani nchini umo na punde ime sema kuwa nchi yoyote ile ita ivamiya Iran itamupiga mpaka Dunia nzima ita shuhudiya ni kweli wana silaha nzito tena zaki sasa ❤
@barakambembela7274
@barakambembela7274 13 дней назад
Hivi iran si ndo baba wa hizbola na hamas au
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 13 дней назад
Unaweza kukuta hata ayatollah ni mosad agent
Далее
Каха понты
00:40
Просмотров 478 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
HATARI!! ISRAEL YASHAMBULIA MAENEO NYETI YA IRAN
9:02
Просмотров 2,2 тыс.
HALI MBAYA!! LEBANON YAIOMBA UN IMALIZE VITA
4:30
Просмотров 2,6 тыс.