Тёмный

HIKI NDO KILICHOTOKEA IRAN SHAMBULIZI LA ISRAEL NA IRAN MWANZO MWISHO 

HABARI 24
Подписаться 217 тыс.
Просмотров 105 тыс.
50% 1

Afisa mkuu wa Iran ameliambia shirika la habari la Reuters "Iran haina mpango wa kulipiza kisasi mara moja dhidi ya Israel," saa chache baada ya shambulio dhidi ya mji wa Isfahan nchini Iran, ambalo linaripotiwa kufanywa na Israel.
Maafisa wawili wa Marekani waliambia vyombo vya habari kwamba shambulio hilo lilitoka Israel, lakini Israel haijadai kuhusika hadi sasa.
"Chanzo cha kigeni cha tukio hilo hakijathibitishwa. Hatujapokea shambulio lolote kutoka nje, na majadiliano yanaegemea zaidi katika kujipenyeza kuliko kushambuliwa," afisa huyo wa Iran alisema kwa sharti la kutotajwa jina.
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 месяца назад
Oooh allah jaaalia kila la kheri irani na la sharii waepusie
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Месяц назад
Vinu vya nuclia vya iran vimeshapigwa subirini mtasikia
@IdrisaMganga-ef4is
@IdrisaMganga-ef4is 5 месяцев назад
Haina haja ya kushangaa mwisho wa dunia ndo huu (Israel, marekani, uingereza,ufaransa, Olav shows,na NATO na nchi zote zenye kambi za kijeshi za hizo nchi) >>(Irani, Korea kaskazini, China,urusi, india , Pakistani, south Africa.) Hapa namanisha Kua hakuna atakaekua salama hata Tanzania. Baada ya hii vita hakuna Taifa litakalobaki na nguvu tena duniani watu wataishi mithiri ya wanyama pori na ukame mkubwa sana utaiandama dunia dunia itakua ni ya watu wachache Sana tena mmoja mmoja. Kiufupi Tu .
@GrantMwakalambile
@GrantMwakalambile 5 месяцев назад
Acha kamba ww nan kakuambia
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
@JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 4 месяца назад
Asante mganga
@fedinandnjeleka4102
@fedinandnjeleka4102 Месяц назад
Safi Sana wadunguaeni hao wanaojiita wayahudi lakini sio bali wasema uongo
@azizmiraji2610
@azizmiraji2610 17 дней назад
Israel 🇮🇱 Israel hapo kwa Iran 🇮🇷 wameyatimba vibaya sana
@aminiyohana2129
@aminiyohana2129 4 месяца назад
Walimuwuwa ghadafi wakaona powa acha Iran isimame kidede Kwa hao makafiri
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 4 месяца назад
Tusiwombe mabaya ....lakini Iran kuwa vitani na Israel,Iran itapata tabu sana....Israel ipo vizuri sana juu ya Irani
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 месяца назад
Makafiri wana washughuliki vizuri wenye dini unaita mtu kafiri unafikiri hilo ni kitu ya maana apa muhimu nikuagamiza magaidi wawe wenye dini au makafiri Israel 🇮🇱 itanyoosha kbs
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
​@@festokivuyo7121Israel mashoga makafiri
@HajiMkomwa
@HajiMkomwa Месяц назад
​@@festokivuyo7121magaidi nihao wAnaofadhili vita kutoa silaha nakwendakushambulia raia
@HajiMkomwa
@HajiMkomwa Месяц назад
Hao magaidi wAnaofadhili vita kwa manufaa ya uchumi wao huwaoni au kwann kama wao si magaidi kwann hawatoi suluhisho la matakwa ya wapalestina ilikusiwe na vita magaidi nihao hao marekani na Israel kwasababu wamesema wanataka wawe wanajitawala wenyewe wao hawataki Kuna nn hapo
@mombasa0076
@mombasa0076 5 месяцев назад
Wewe mtangazaji wa DW acha kutudanganya. JUMUIYA ZA KIMATAIFA NDIO KITU GANI ? NI AMERIKA NA ISRAELI AMBAZO DUNIA NZIMA WANAZIOGOPPA. MATAIFA MENGINE YANADANGANYWA TU.....❤
@allykassim1120
@allykassim1120 5 месяцев назад
hapo inajulikana kuwa mchokozi ni islael asubili Tena majibu ya pili
@floraflora5717
@floraflora5717 4 месяца назад
😅 Aki nimecheka kidogo
@emmanuelletema8385
@emmanuelletema8385 4 месяца назад
Kashaingia kwenye mfumo Iran ametafutwa amepatikana yale yale ya Iraq
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
​@@emmanuelletema8385Israel mashoga tu
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Месяц назад
Mwarabu haweza kwa israel subirini tu
@MussaAdamu-pb3eb
@MussaAdamu-pb3eb 4 месяца назад
Hii Vita sio nzuri izraeli wa ubabi
@سليمانأسِّ-ش1ز
@سليمانأسِّ-ش1ز 4 месяца назад
11:51 ❤
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 4 месяца назад
Ushauri wangu kwa waarabu wote kua sasa ni wakati sahihi wakulifuta taifa la kigeni hapo ktk mataifa yenu ya majangwa.sababu A. Hawatambue uwepo wa Allah. B mashoga na ushoga hautambuliwi na dini zote. C wamewekwa hapo kwa ajili ya kifisidi kila kilicho cha waarabu.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 месяца назад
Allah ni Mungu wa waarabu wayahudi Mungu wao ni Yahweh
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 4 месяца назад
Africans jamn duuu, kwanini msiombee mazuri Nchi zenu za kiafrika mnakuwa kama mifugo yaani. Mm yakiuana haya meupe nafurahi sanaa, yameuaga, kunyanyasa, kudharirisha waafrika wengi sanaa, lkn utamkuta Mwafrika komwe lake Eti pray for Iran, mara pray for Israel yaani kama matahira hayajielewi, mnaowaombea hawawapendi hata kdg.
@abulaaliyah77amani91
@abulaaliyah77amani91 4 месяца назад
Allah akbar
@user-eo6ou4zd4d
@user-eo6ou4zd4d 5 месяцев назад
Israel ni kibaraka wa Marekani na Magharibi mwisho wao umefika. Mungu tunakuomba wajaalie ushindi Iran.
@love_579
@love_579 5 месяцев назад
Mungu akipenda❤
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 4 месяца назад
Hakuna...kusimama....Israel... Watandikwe kwa kutosha... Wanaroho Mbaya...wanawatesa palestin... , /Allah Akbar atalipa Inshaaallah😭😭😭😭🙏
@DaddySBuda-dp6nq
@DaddySBuda-dp6nq 4 месяца назад
Dalili za mwisho ndio hizo
@jeromejosia-zp7gr
@jeromejosia-zp7gr 4 месяца назад
I wait Iran
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 5 месяцев назад
Huyu Natanyahu kapewa kibali cha kufanya vyovyote atakavyo na Marekani pamoja na jumuia yao wanayoiita UN ni kwa masilahi yao tu. Lakini hicho kibali kimeshindikana kuipiga Iran 🇮🇷. Kwa mawazo yake alifikiri Mu Irani atawaogopa kina Amerika, Britain na washirika wao 5. Mu Irani kajitoa muhanga liwalo na liwe atapambana nao hata kama atazidiwa.
@mombasa0076
@mombasa0076 5 месяцев назад
❤ NI KWELI UNACHOSEMA. UN NI AMERIKA NA ISRAELI . WALIOBAKI NI BENDERA TU.
@kodakblack3836
@kodakblack3836 4 месяца назад
Hatari sana 🔥💀💀💀💀
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 4 месяца назад
Tabla hawajaanza kupigana vita tuambieni tufunge virago vyetu
@aaricdeking8280
@aaricdeking8280 4 месяца назад
Vita havina mwenyewe lakini israel ipo palee anayedhani atafanikiwa kuwafuta ajitutumuee, , hahahahaa
@user-lm5vs4nl2o
@user-lm5vs4nl2o 4 месяца назад
Wakati huu ni mda wa kujiweka tayari maana mambo haya yanamchukiza MUNGU tujitoe kwa YESU na kunyenyekea katika mkono wa Mungu.❤
@FarajiAli-u2k
@FarajiAli-u2k 5 месяцев назад
Iran anujua vizuri njama za Hawa jamaa.iran anajua anchofanya.mm nauliza tuu.huyu sadam . Na gadafi kosa lao nn?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Waliokataa kumtii huyu mungu mtu mmagaribi ndio kosa lao mmarekani ni ibilisi la dunia
@FarajiAli-u2k
@FarajiAli-u2k 5 месяцев назад
Sasa zimetumbuka kwaio nikama zinapigwa kilazima .wamenoa
@usaskauswege8023
@usaskauswege8023 4 месяца назад
Waandishi toeni taarifa kwa usahihi. Mnajishushia hadhi kwa taarifa zisizo na ukweli.
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 4 месяца назад
Ni Mjumbe wa agano pekee ndiye ALIYEPEWA ELIMU ya ufalme wa Mungu duniani na kuondolewa kwa roho zote za uchafu zitoke kwa watu na waingie kwenye ufalme wa Mungu kwa Neno la wakati angalia RU-vid Mjumbe Agano upate semina ya mwisho wa Dunia na jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana asante Malaki 3:1-3, 4:1-6. Kabla ya vita kuu ya dunia.
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 Месяц назад
Wewe umelishwa kasumba mungu haweki ahadi na mashoga abadan
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 4 месяца назад
watufulani wanatuombea Dua sisi tuuwawe na ban islaile illa inshaallah Iran itam.bomoa uyo islaili akileta nwoko
@IzackKidenya
@IzackKidenya 4 месяца назад
Mungu bariki Israel kila atakayewagusa apigwe Amen!
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Israel mashoga
@ramadhaniomary9241
@ramadhaniomary9241 Месяц назад
Kumbe na wewe ni shoga Duu
@user-xe1im9tt1z
@user-xe1im9tt1z 5 месяцев назад
Hakuna umoja wa mataifa hapo
@OS-pf6op
@OS-pf6op 5 месяцев назад
Waliodunguliwa ni Iran, sasa unaandikaje Israeli? Bogus!
@abdulbakari1220
@abdulbakari1220 5 месяцев назад
Acheni uwongo
@RajabJr-r6y
@RajabJr-r6y 5 месяцев назад
Uongo gani wanaosema hawa wachambuz wamebobea kwny kaz zao na wanachokichambua ndio uhalisia ulivyo ,,,Acha ufala na mihemuko ya kisenge
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 4 месяца назад
toa habari zako za ukweli choko kweli
@boniphace.mark.2033
@boniphace.mark.2033 4 месяца назад
KUWENI MAKINI KATIKA UANDISHI DW MSIWE WAONGO, HIVYO TU.
@MichaelMuhoja
@MichaelMuhoja 4 месяца назад
sure, they lie dw
@nzungushikombesekei
@nzungushikombesekei 5 месяцев назад
Safi Sana Irani wako NGANGARI kinoma
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 5 месяцев назад
Wako ngangali sabubu wametungua drones tatu?😂😂😂😂
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 5 месяцев назад
​@@pastorzakariatv1786we mtumwa wa wayahudi fuatilia taarifa vizuri umeielew hii taarifa au unakurupuka
@user-ip7mp8mn5p
@user-ip7mp8mn5p 5 месяцев назад
​@@pastorzakariatv1786Ulitaka wadungue ngapi wakati zilitumwa hizo hizo tatu 😂😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 4 месяца назад
Ndronse zilizotumwa ni tatu tu​@@pastorzakariatv1786
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 4 месяца назад
Wajaribu kujibu tena ndo tutajua wapi panapovuja😂😂😂😂😂
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 4 месяца назад
Kwanin Israel ilishambulia ubaroz wa iran
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 месяца назад
Hapa kuna wanafiki wana comment, wale wale walikua wakiponda EZRAEL ndio hao ao wako hapa wanaterea EZRAEL
@rashidkitundu2550
@rashidkitundu2550 4 месяца назад
😅
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 4 месяца назад
Iran mpigie huyo shetan
@ThomasKeya-z1p
@ThomasKeya-z1p 5 месяцев назад
Hii ni igizo
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 4 месяца назад
Kiko wapi kilichotokea,mmatuletea story za abunwasi!?
@user-wc3yh9ct3z
@user-wc3yh9ct3z 4 месяца назад
Kumbe irani wanaongea kiswahili
@NdebileMathias
@NdebileMathias 5 месяцев назад
Islaeli mchokozi sana
@rev.asanterabi7440
@rev.asanterabi7440 5 месяцев назад
Israel sio mchokozi bali Iran siku zote inasema itaifuta Israel kwenye ramani. Israeli inatambua kuwa inachukiwa na kwa hiyo mara nyingi lazima ilipize kisasi kuhakikisha kuwa maadui zake hawarudii kuwatishia. Iran na nchi za kiislamu zina chuki sana dhidi ya Israel. Huu mzozo sio wa kisiasa tu bali ni wa kiroho na tunakoelekea ni kutimizwa kwa maandiko Matakatifu kwamba siku za mwisho Iran ikishirikiana na Urusi na nchi nyingine nyingi wataivamia Israel na hapo ndipo Mungu atajitokeza na kuwaadhibu ikiwa ni ishara kwa ulimwengu kwamba Israel ni Taifa lake. Someni kitabu cha Ezekiel Sura ya 38 hadi 39.
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 5 месяцев назад
saana
@bobdirector
@bobdirector 4 месяца назад
Mungu isaidie Israeli Baba isipatikane na atia
@jeromejosia-zp7gr
@jeromejosia-zp7gr 4 месяца назад
Unaombea magaidi wahovyo sana ww
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 4 месяца назад
Badala uombee Familia yako😂😂, Africans jamn duu 🙌🏻
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 месяца назад
Israel mashoga
@jeromejosia-zp7gr
@jeromejosia-zp7gr 4 месяца назад
Israel mwisho wenu unaonekana ngoja mpigike
@MohammedPakia
@MohammedPakia 4 месяца назад
Pande zotembili achani Vita kwa masilah yalahia wenu
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 4 месяца назад
Good
@MarokeMaroke-e3n
@MarokeMaroke-e3n 4 месяца назад
Israël kupigwa nihaki kabisa sababu najisi lazima iondolewe kandokando ya maeneo twahara.
@listerwami6825
@listerwami6825 5 месяцев назад
Kwa hiyo walilala wakaamuka kuwasha mitambo
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 4 месяца назад
Huo ni udhaifu Sana Sana kwenye mfumo wa ulinz
@usaskauswege8023
@usaskauswege8023 4 месяца назад
Toeni taarifa bila kulalia upande wowote. Kwa taarifa zenu mnaonekana kuibeba Iran.
@YassinRajabu
@YassinRajabu 4 месяца назад
izo dini zenu zakuletewa zita wasumbua sana
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 месяца назад
Danganya mtoto wako
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 4 месяца назад
Yaaahha yakuduss yaaahha yaajjabar tunakuomba tuangamiziee hao waiziraili na washilika waoo Popote walipo duniani nakila anayo muunga mkono izirali wanagamize amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu
@florenceLema-ou4my
@florenceLema-ou4my 4 месяца назад
naiombea amani lsrael
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 5 месяцев назад
Iran wangekuwa na uwezo wange piga kilakitu
@danielmusyoki3786
@danielmusyoki3786 5 месяцев назад
Uta wasaidia??
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 5 месяцев назад
Tupeni taarifa sahii hii midea tunaiamini sana jaman
@listerwami6825
@listerwami6825 5 месяцев назад
Mara Miripuko mara tumedungua acheni umbea
@user-ip7mp8mn5p
@user-ip7mp8mn5p 5 месяцев назад
Milipuko ilitokana na vile mifumo ya ulinzi ilivyo react baada ya kujua inashambuliwa, mbona walishasema?
@naomikrause1762
@naomikrause1762 4 месяца назад
ANAYE HILAHANI ESIRAELI MUNGU HAMULAHANI 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 4 месяца назад
hao si wasenge wenzenu kuna mashoga na wasagaji wenu
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 4 месяца назад
Israel inayoua watoto na wanawake wasio na hatia na wazee Mungu hawez barik nchi yenye kutambua ushoga na usagaji
@ZailaiMlawa
@ZailaiMlawa 4 месяца назад
Mungu amlaani anayeitetea Israel.
@umfahad2609
@umfahad2609 4 месяца назад
@@ZailaiMlawaameeen🤲💕
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 5 месяцев назад
Tukopamoja iran
@binseif2216
@binseif2216 5 месяцев назад
Piga hao masheitwan wa kiyahudi
@allymangosongo5570
@allymangosongo5570 4 месяца назад
Izi media za magharibi propaganda
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 5 месяцев назад
Hawaoni aibu makombola zaid ya mia tatu kujibiwa na droes tatu
@user-xi8cl2rx4f
@user-xi8cl2rx4f 5 месяцев назад
Drone zimerushwa Ili wasionekane wajinga lakin lsrael wanaogopa moto was Iran
@yohanamwamkili4397
@yohanamwamkili4397 5 месяцев назад
@@user-xi8cl2rx4fmi nnachowapendea nyie jamaa ni kitu kimoja, mkijifunguaga wenyewe na huko mnakosalia mnadanganyana weeee mnapeana vichwaa moto ukiwaka mnaanza kulia. Hv kwa akili yako jumlisha na za ukoo wako israel anaweza muogopa iran? Tangu lin myahudi akamuogopa mwarabu yyte yule? Shida ya nyie uwezo wa ku streach mind
@SalimuAmasi-x6b
@SalimuAmasi-x6b 4 месяца назад
Na weeee yona jinga kumbe
@umfahad2609
@umfahad2609 4 месяца назад
broo umesoma wapi ? Kakwambia nani km Iran ni mwarabu? Au chuki binafsi ndio zinakueleza hivyo…? Kuna tofayti kubwa kati ya muiran na mwarabu ht lugha ni tofauti kabisa.
@Abdoulyousouf
@Abdoulyousouf 4 месяца назад
​@@yohanamwamkili4397kama nyie mnavojifungia kanisani na kudanganyana ISRAEL ni taifa la MUNGU kumbe ni taifa la mashoga
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 4 месяца назад
Wewe chukua shahada acha unafifiki
@Kagineemmanuel
@Kagineemmanuel 5 месяцев назад
🇮🇱 ❤
@naomikrause1762
@naomikrause1762 5 месяцев назад
🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱I WAESIRAELI NI TAIFA TEULE LA MWENYEEZI MUNGU MUNGU IBARIKI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@user-xe1im9tt1z
@user-xe1im9tt1z 5 месяцев назад
Taifa teule sio la kinyama ivyo nifigisu hakuna taifa teule hapo
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 5 месяцев назад
usilo lijua nisawa na usku wagiza
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 4 месяца назад
Akili za bangi zinanuka moshi tuu
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 5 месяцев назад
Huyu nyeta nyau namuombea dua kwa mungu afe tena kwa kansa
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 5 месяцев назад
Kwanza weww ndo utakufa kifo kibaya mno
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 месяца назад
Angalia utakufa wewe kwanza
Далее
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 156 тыс.
Holding Bigger And Bigger Dogs
00:18
Просмотров 12 млн
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
Просмотров 18 тыс.
KWAYA KUTOKA KABANGA.
7:20
Просмотров 20 тыс.