Тёмный

Kamanda Murilo Akipangua Hoja Matukio ya Kutekwa na Kupotea Raia 

WAKILI TV
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

#ijuesheria #section4wakilitv #tls

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 5 часов назад
Waliomuona Afande Muliro kwa mara ya kwanza akicheka gonga likes hapa!! Huyu Mwamba hachekagi kabisa!
@GOODLUCKSEFANIA
@GOODLUCKSEFANIA Час назад
Kamanda murilo wewe ni msomi wa sheria nimekubali pamoja na kubwana na Wananchi lakini kamanda murilo wewe ukosawa katika kuteteta jeshi la polisi uko vizuri sana atawakati mgumu umejibu katika wakati mgumu sana big up one love murilo
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 5 часов назад
Akili za Murilo ni kama kichaka cha maovu na laana😅
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 7 часов назад
Afande usipofanya maamuzi magumu ya kufata sheria na sio maagizo kutoka juu itakugharimu siku moja
@dorahy1579
@dorahy1579 58 минут назад
Mimefurahi mno umemtaja Tundu Lissu kistaraabu . You are a Ptofessional. Labda alipotea rosado na eşime we zır wakigombania manini yeye anakuwa na Maghufuli, Shenzi sana halo ka mtu kafupi
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Uko vizuri kamanda .Tena sana
@dorahy1579
@dorahy1579 Час назад
Tundu Lissu number moja
@shungumwaisanila7193
@shungumwaisanila7193 4 часа назад
Safi sana mkuu umeongea kwa kina sana mwenye kuelewa ameelewa
@sashawambura
@sashawambura 4 часа назад
Kudos to Kamanda Murilo..
@lusakaone7782
@lusakaone7782 4 часа назад
Kamanda Msomi jeshi la kisomi hongera sana, tushirikiane Soka na wenzake wapatikane
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Uko vizuri kamanda
@HildaMlay
@HildaMlay 3 часа назад
Umeiva kamanda big up, umejibu kisomi. Matatizo yapo Ila ni madogo naamin Rais wetu ni mtu Makin. Na kazi iendelee
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 часа назад
Madogo watu wanakufa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Час назад
ovyoo..madogo ukifanabisha na yapi? ngoja likukute
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd Час назад
Nchi ikitaka iendelee inahitaji ardhi,siasa safi na uongozi bora
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 3 часа назад
Kamanda mulilo safi sana wewe mwenyewe sio polisi
@isacksamwel7432
@isacksamwel7432 4 часа назад
Afande uko sawa kabisa
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Sema KAMANDA
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 3 часа назад
Tundulisu na mbowe wamskie vzr kamanda man n wapotoshaj namb 1
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 3 часа назад
Kwel kamanda, weng wanaotekwa kun mengne nyuma ya pazia c ya uson tunayohis jmn wtz
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 4 часа назад
Uchunguzi unashirikishwa WATU, we wanakuambia we unaleta siasa, WATU sio wanyama afande, jiuzulu kwa kzi ya wananchi awakutaki
@hijazhija316
@hijazhija316 3 часа назад
Wananchi wapi hao
@SeifAlly-fw6ns
@SeifAlly-fw6ns 3 часа назад
Kweli kamanda umenena mambo mazito
@dorahy1579
@dorahy1579 Час назад
Tundu Lissu huyo anategemea Guardian Newspaper na Lawyer wake Mzungu. Afadhali umemwambia kistaraabu anajua yeye mwenyewe.
@daudimchileg307
@daudimchileg307 5 часов назад
Shida ni majibu yanachelewa saaana.hadi tunaanza kuhic ni nyie hilo moja pili mnavowabeba ccm wakati wa chaguz
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Wapeshule.Wanaitumikia CHADEMA WOTE HAO
@FestoLalata
@FestoLalata Час назад
Nimhimu sana vyombo vyadola kijitenga na upendeleo wa chama tawala,mbona chama tawala kinaweza kusherekea kwenye makongamano lakini vyama vingine wanazuwiwa
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i 3 часа назад
Huyu ni zaidi ya kamanda anajuaa mnoo
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 часа назад
Mnaomunga mlilo ni vibaraka tu tunawajuwa panya nyie
@WalterMgani
@WalterMgani 29 минут назад
Kwann wkt kumkamata raia police anasema ni maagizo ktk juu? Je huoni kama anayekuagiza ukakamate anaweza kuwa hajui sheria? Nyie mnalinda nafasi zenu badala ya kufuata taratibu
@dorahy1579
@dorahy1579 Час назад
Kama vile Tundu Lissu anavyo unga unga maneno akifikili Maghufuli alimutumis watu wa kununua. Basi Nani Kailua hao Wapinzani wengine ? Maghufuli aliisha kufa.
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI 7 часов назад
AFANDE mawakili wanaharakati hawawezi kukuelewa
@LucasK-h4x
@LucasK-h4x 47 минут назад
Niulize na mimi ni haki mtuhumiwa kuchunguzwa akiwa rokapu ?
@LucasK-h4x
@LucasK-h4x 49 минут назад
Unatakiwa ujitenge na siasa kabixa
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Wanasheria uchwara wanaotumia
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Wapashe Hao mamluki
@harunamtiko117
@harunamtiko117 3 часа назад
Police wanaponzwa na amri kutoka juu, waachwe huru
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 часа назад
Mbona nyie mnaburuzwa na ccm
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i 3 часа назад
Haapoq hajacheka badoo
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 часа назад
Mbina mnaburuzwa na ccm?
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 часа назад
Wewe mlilo usitudanganye kama watoto,mbona Satifa anaeleza wazi aliehusika na ajafanyiwa chochote?
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Час назад
Mpumbav hata km utamuelewesha vp hawez kuelewa, bakin na upumbavu wenu.
@hadijafundi383
@hadijafundi383 3 часа назад
Mmm
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 часа назад
Unajishaua tu mbwa wewe
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Час назад
Kuwa makini
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 часа назад
Unaongea kisomi Kabbisa.wanadhani wewe ni wakawaida
Далее