Тёмный

KAMWE AANGUA KICHEKO AZAM KUNG’OLEWA CHAMPIONS LEAGUE “WALISEMA WAMEIPATA CODE” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@LJSheffRBLX
@LJSheffRBLX 19 дней назад
Millard Ayo, amazing video keep it up dude
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 19 дней назад
Miaka yote hiyo ndiyo kawaida ya Azam mechimbili tuu wametoka
@user-sp2fm4qd2h
@user-sp2fm4qd2h 18 дней назад
mbona huyo jamaa kajiandika DIDA MASHAMSHAM SPORTS ....au anampenda DIDA ?
@allytwalib7787
@allytwalib7787 18 дней назад
kamwe acha roho mbaya jamaa yangu
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 19 дней назад
Sawa mungu wa simba
@abdillahmchia8557
@abdillahmchia8557 19 дней назад
Mtu anaombwewa Dua lakin akizingua tunamcheka t kwan nan hamjui ibwe kwa kukebehi wenzake
@selemanisaid1435
@selemanisaid1435 19 дней назад
Ulisema unawaombea kheri azamu na coast wafuzu azmu kapigwa out na kesho coast anaaga mashindano acha rohoo mbaya
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 19 дней назад
Hakuna roho mbaya ndo malipo ya fitna.
@peterjoseph4771
@peterjoseph4771 19 дней назад
Mpaka sasa sielewi tunanufahika vipi na furaha ya Azam kutolewa!?tujifunze kutofautisha kati ya mechi za kimataifa na mechi za ndani
@tinashemachemedze2690
@tinashemachemedze2690 19 дней назад
Ulisikia alichosema msemaji wao??
@NunuKupela
@NunuKupela 19 дней назад
Napenda sana Azam inatolewa Kwa sabab ya feitoto mfyuuuuuuuuuum
@peterjoseph4771
@peterjoseph4771 19 дней назад
@@tinashemachemedze2690 hapana Bali kama Watanzania tunajihujumu wenyewe kiuchumi pia!vilevile tunapokuwa na timu mbili inasaidia kusonga mbele kwa kuzipungu,a timu za nje
@ikwabemagesa5876
@ikwabemagesa5876 19 дней назад
Ww acha zako angeshida tungempa sifa kapigwa acha achekwe .. tumsifie wakat kafungwa ww wa wap?!
@peterjoseph4771
@peterjoseph4771 19 дней назад
@@ikwabemagesa5876 nani kasema kumsifia?Ni pigo kwa Nchi kama unafahamu Uchumi wa kimataifa,Ingekuwa ni ligi kuu hapo hakuna ubishi Bali inapokuja kimataifa hilo ni tatizo
@kambamazig02024
@kambamazig02024 19 дней назад
Sasa Kamwe huu sio utanzania na wala si uzalendo! Ni utoto mkubwa.
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 19 дней назад
Ahmed Ally aliposhabikia kwenye media lile goli halali la Yanga kukataliwa kule South Afrika haukuwa UTOTO? Je, ule ulikuwa ni Uzalendo kama unavyodai?
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 19 дней назад
Makolokwinyo wengi walishajua safari yao kwenye champions league ilikuwa imeisha na hivyo waliomba kwa nguvu zote Yanga itolewe na hilo likadhihirishwa na msemaji wao comedian....mbona hatukuona comments zenu za kusisitiza Uzalendo na Utanzania. Yes tunatakiwa kusisitiza Uzalendo lakini lazima uambatane na UHALISIA
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 19 дней назад
Huyo Ibwe alishawahi kusema kwamba (Simba, Yanga) wakishinda ni vizuri lakini wakifungwa TUTAWACHEKA...
@franccoz94
@franccoz94 19 дней назад
MATOKEO YENYEWEE YA KUPANGA, ILIWAGAWANE PESA ZA MAMA NA VITALO WATU MNACHEZA 11 KWA 8 HOW COME
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 19 дней назад
Pangeni na nyinyi
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 19 дней назад
Kwani wewe ulipopigwa 5 mlikuwa wangapi vile😂
@ShaharaniIddi-i2b
@ShaharaniIddi-i2b 19 дней назад
5 zenu zilipangwa
@SportfixafricaTv
@SportfixafricaTv 19 дней назад
Haujui mpira kaa kimya
@beatricechiwa2496
@beatricechiwa2496 19 дней назад
Heka heka😂
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 3,2 тыс.