Enzi niko A level..nimetoka posta kuchukua pesa nilitumiwa kwa njia ya T.M.O...(kwa vijana wa zamani tu).. nililiwa 2,000 kati ya 8,000.Sijarudia tena ujinga huo
Huo mchezo sio kbc nakumbuk kind cha ramadhan nilitumwa futari bhasi niliend kutzam mwisho wa cku nililiwa pes ya futar mpk leo ctk ht kusikia mwisho nimechk naend kwa mama ako🤣🤣
@Iddy Salim Hahahaa pole sana, ukiacha hao pia kuna wale wa vyombo (hasa vifaa vya umeme) aisee usijaribu. Halafu walivyo wajanja huwatumia hadi wanawake, hivyo utaona wanawake wengi hao wa vyombo ila ukiwa makini ukiangalia sura zao tu unatambua tu kuwa hawa si watu wa kawaida ila binadamu huwa anapenda urahisi na bei chee ndio hao mnatapeliwa.
Huhuu jot ume nikumbusha mbali , tulitumwa vitatu vya shangaz yangu raba nyeupe zakazn, tumezunguka soko tumenunua vitu vyote . Ikabaki ela yaraba dada angu akachezea iyo karata tatu akijua itazaa si ikaliwa mmh kurud nyumban kama kwenda jehanam
Sema #Mwamba alimpiga jicho #Babu alipotak kusepa...anajua kw Babu tu pakupig hela ndefu, na Babu si akaingia kichw kichw 😁😆🤣...eti kwa hyo ndo nimeliwaaaaa😆🤣😆🤣😁
@I love Jesus hahahaa pole sana, wengi wametapeliwa sana hasa miaka ile ya 90's aisee walikuwa wengi mitaani nakumbuka pale Tandale kwa Mtogole darajani kama unatoka Kijitonyama Pr. School yaani wanakaa pale asubuhi kuwategea wote wanaoenda Sokoni Tandale pale hasa wanawake wametapeliwa sana acha tu. Siku zote vitu vya short cut vina gharama
@@osbertvalerian4986 habhabhaaa kweli yaani short cut sio nzuri kabisa. Nakumbuka ilikuwa 5,000 yaani ukiangalia unaona kweli utashinda lakini sijui mazingaumbwe gani yanatokea unakuta hola😁😁😁
@Abdulhamid Basha hahahaa pole sana, shukuru labda mazingira au na wewe unajiweza ila wengi wao hao ni wahuni unakuta hadi visu/bisibisi wanavyo kwenye nguoni ukileta ubishi unapigwa. 2017 ilikuwa jioni kama saa 11 jioni walimtapeli mdada mmoja pale Vingunguti stendi kama unaelekea Gongo la mboto aisee yule mdada kumbe mmewe ni mjeda alimpa taarifa ametapeliwa na wale wahuni hawakutaka kumrudishia hata robo ya hela na waliamini yule mdada kashaondoka. Kumbe alienda kukaa mahali akimpa taarifa mmewe aisee hata sijui yule mjeda aliibuka saa ngapi mbona walichezea vitasa na hela wakarudisha.
Mambo ya karata tatu jaman watu walikua wanalizwa Kiwalani loh.....afu sjui walikua wanatumiaga na madawa,ukiwafuata wanakuchana viwembe wakishakupurusa😂
@Selina Emanuel huibiwi kirahisi ila unaibiwa kimaarifa. Mfano ukisogea hapo wanakupa hela yao wenyewe ujaribu na ukijaribu kweli utashinda hata mara 5. Ishu inakuja pale utakapoweka tu hela yako ndio utajua hujui. Hao wazee wa dawa, huwezi shinda huo mchezo hata siku moja. Wahuni sio watu
@joti Kuna wengine wapo karume pale Kwa nnje washaniliza njoo uwakomeshe na Hawa wanajifajyaga wanauza vitu na Kuna wa mama watu wazina kbsa ndo walinishawishi shenzi kbsa Ile mi mama nilipigiwa laki na 70 mamaeee siwezi sahau wale mbwaaa na kila siku wapoo