Wanawake mara nyingine acheni dharau. Big up Dada umewawakilisha vema madem wadangaji. Mwanamke utakuta hata toroli ukoo mzima hawana lakini anadharau gari za watu. Joti uko vizuri
Jamani mimi nairudiya rudiya mara zaidi ya 5 uku nikiburudika na commenté JOTI uwishi miaka mingi hadi mbinguni ufike ili uwe unatucekesha uko baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we love you ❤ ❤ ❤
Alafu kweli kwenye dinga zenyu mnakua namatusi sana haswa pale mnakua namademu aya bwana endeleni nahizo jewiri zenyu 🤣🤣🤣🤣🤣 #Joti weni noma message sent Much love ove from Comoros 🇰🇲🇰🇲😍😍🔥🔥🔥