Тёмный
No video :(

KASHESHE: DADA WA KOFFI OLOMIDE AIBUKA NA JIPYA,KISA DIAMOND/ ''TULIPOTEZANA VITANI'' 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 334 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#EXCLUSIVE #Diamond #KofiOlomide

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 990   
@zulachama1067
@zulachama1067 3 года назад
Kweli vita si vitu vizuri huyu mama anatoa historia kali sana juu ya maisha yake,mungu azidi kukulinda na hakuepushie na mengine maovu yasikukute.olomide huyo ni dadaako wadamu mkumbuke mkumbukiane sana udugu azina.
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 3 года назад
Mungu awasimamiye waweze kuonana na kufahamiyana inaumiza sana kusikiya au kumuona kwenye vyombo vya habari tu...mama anaonyesha mapenzi makubwa kwa koffi
@angelasakina3650
@angelasakina3650 3 года назад
Asante mama sisi wakongomani hatujawahi kumoona baba ya koffi. Mpaka mufaamiane na koffi. Hata DAN mpime .
@musasaid964
@musasaid964 3 года назад
Kama umesema kua amumjui babayake bas ndio hiyo babayake mtanzania
@angelasakina3650
@angelasakina3650 3 года назад
@@musasaid964 hata mimi ni Dada yake na Diamond. Diamond ni mkongomani
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
Wewe sio mkongomani kila mkongomani anamjua baba yake na koffi
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Kweli kabisaaa mama anaongea ukweli hatafut Kiki anaonekana ana hekima Sana
@naturelle1097
@naturelle1097 3 года назад
Nice voice mtangazaji. Papa Mobimba est Tanzanien!
@awatifrajab7381
@awatifrajab7381 3 года назад
Mashaallah mtangazaji mzuri anafanana sauti yake km Milard
@valeriemasumbuko6624
@valeriemasumbuko6624 3 года назад
I thought that too. Napenda sauti ya Milard
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 3 года назад
Ila wana fanana sana 💕
@marygregory7566
@marygregory7566 3 года назад
Mtangazaji nenda kamuhoji Diamond kama anajua ukweli wowote kuhusu hili...itakuwa njia nzuri kuwakutanisha
@januaryhhary9117
@januaryhhary9117 3 года назад
Kwani Diymond yeye ni baba yake mdogo hau mkubwa wacha ujinga
@bigmanencore3628
@bigmanencore3628 3 года назад
Mary Gregory please explain to me what the lady are talking about
@marygregory7566
@marygregory7566 3 года назад
@@bigmanencore3628 she says she is cofi olomide s sister but cofi doesnt know..she came to Tanzania from congo because of war.
@bigmanencore3628
@bigmanencore3628 3 года назад
@@marygregory7566 thank you for explaining your are kind and sweet
@marygregory7566
@marygregory7566 3 года назад
@@bigmanencore3628 welcome
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 года назад
huyu mama nimkweli100%100
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Ukweli wa mama ni kwamba walikua Congo kweli. Lkn walikua Congo sehem gani??!! Manake Congo ni kubwa sana! Kwa maelezo yke, walichukua tu boti wakaenda kigoma ujiji. Wkt kofi kwao ni magharib mwa Congo! Mbali sana na Tanzania. Ni sfr ndefu sana ili ufike kalemi au uvira ambapo ndo unawezapanda boti sasa ili ufike kigoma
@rashidabeid172
@rashidabeid172 3 года назад
Safi saana. Ni historia nzuri. Hebu ninyi watu wa habari waunganisheni Hawa watu ilu tusikie upande wa Koffi Kama Kuna mfano wa mazungumzo. Itapendeza sana
@zidadumbepo1486
@zidadumbepo1486 3 года назад
Alafu uwezi amini Rashidi kuna mmama mmoja mzambia yupo denmark aliniambia kabisa wazazi wa koffe siyo wakongo ila walikua wanafanya kazi tu pale kongo, Sasa na huyu mama alivyojitokeza naamini
@pagampo6717
@pagampo6717 3 года назад
Koffi Olomide was born Antoine Christophe Agepa Mumba in Kisangani ,Democratic Republic of Congo on July 13 1958. His father Charles Agbepa is Congolese (from the Gbandi tribe) while his mother Amy is of Sierra Leonean and Congolese descent (Songye tribe from Kasai region). His mother named him Koffi which means Friday as is the tradition in parts of West Africa where children are named based on the day of the week they are born.
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 года назад
Google Hilo mut anaweka anachokitaka
@pagampo6717
@pagampo6717 3 года назад
Truth! Koffi father is congolese and was buried in France. He died 2016.
@ramosfally2318
@ramosfally2318 3 года назад
poa ni moja wamifanana sana
@kennedymmbando
@kennedymmbando 3 года назад
Tanzania ni nchi ya ahadi. Tunawatanzania wengi sana nje ila hawajulikani
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 года назад
Ni kweli kabisa
@wilondjamsema5563
@wilondjamsema5563 3 года назад
Acheni uhogo wa Tanzania nyiye wote mmetoka congo huyo mama ni mkongomani aliye kimbilia Tanzania
@angelngomaitara4481
@angelngomaitara4481 3 года назад
@@wilondjamsema5563 hahaaaaa umeniua mbavu kwa kuchekq kwhyo sisi sote ni wacongo
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
@@wilondjamsema5563 😁😁😁😁sio kweli me sio mkongomani
@just_b999
@just_b999 3 года назад
Shida ya watu ni kwamba wanafikiri kila mtu ni pesa anatafuta. Huyu mama amesema yeye ni mzee hana haja na pesa ya Koffi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
Amejieleza vzur
@chondocomedy5600
@chondocomedy5600 3 года назад
Amejieleza poa wala hatafuti kiki kama wanavyo dhani wengine☺☺☺
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
@@chondocomedy5600 kabsa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
@@chondocomedy5600 kabsa
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
Anaongea uongo
@maxwellking9399
@maxwellking9399 3 года назад
Maelezo ya Mama yamekamilika na kutjiosjeleza kabisa ...lakini naona Mtangazaji ameingilia fani kabisa....Uwezo wake wa kusikiliza na kufuatilia maelezo ni mdogo sana sana...Na anamchosha tu mama wa watu...Anarudia tu maswali hayo hayo...
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Sio kweli. Chakumuuliza mama ni kwamba: huko Congo walikua sehem gani??!! Manake anasema walikimbia wakavhukua boti. Manake walikua masharik mwa Congo, wkt Kogfi anatoka magharbi mwa Congo ambapo ni safari ndefu saaana ili ufike mashariki.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 года назад
Haruna sauti yako kama ya Millard aisee, na umakini wako kama Ayo yani....safi sana
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 года назад
Mama nimekusikiliza Unaongea ukweli mtupu duuu watoto wa nje wana bahati sana ya kimaisha
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
Sasa Bw / Bi Bahati unatushauri vipi na hali kama hii, ( kama usemavyo, kuna bahati lakini pia kupoteza udugu). Sababu hali kama hiyo unaweza kuoa ndugu tumbo moja. Lakini Naunga mkono Busara za huyu Mama / dada wa watu.
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Kwa maelezo ya mama, hawana undugu kbs na Koffi. Na ili mjue hill, mmuulize mama wao walikua Congo seven gain??? Ambapo walichukua boti tu, na wakafika Tz. Koffi kwao ni mbali sana na Tz.
@husseinmmallesa6444
@husseinmmallesa6444 3 года назад
Nikweli kabisa
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 года назад
@@rufinyemba7898 Anza wewe kumsikiliza vizuri nadhani hujamsikiliza ipasavyo
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
@@rufinyemba7898 huyo mama ni muongo watu ndo hawajui kusikiliza vizuri, wanasikia tu vita maramoja wana kubali
@oseeosiasmuyisa9301
@oseeosiasmuyisa9301 3 года назад
Tokoos
@elizabethseleman8775
@elizabethseleman8775 3 года назад
Nina hakika Maria hajazua habari hii , kwa maana alipata maelezo kutoka kwa baba yake , kwa Hali hiyo , tusilete ushabiki katika undugu wa watu , maana kofii anajuwa ukweli wote wa asili yake , na huenda huyo baba aliyezikwa Paris , alimwoa mama Kofii , akiwa tayari Kofii amekwisha zaliwa .
@swaifsouq
@swaifsouq 3 года назад
Nimekuelewa sana inawezekana akawa baba mlezi tu ila lapili kwanini huyu b maria miaka akiitaja inaingia akilini lapili na anafanana na yeye kwa mungu hakuna shida ba hajaja kutangaza njaa shida yake ajuwe tu nguzake na hukuficha kama walimtafuta kwa shida waka mkosa kasema wazi jitihada zao hazikua zaviilee bro nimekuelewa.
@perfectdtke0017
@perfectdtke0017 3 года назад
Cute song
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 года назад
Mécanicien hapa watanzania hawaelewi😍😍
@manirakizagervais6519
@manirakizagervais6519 3 года назад
Mimi nimeuelew
@samwelrobert9687
@samwelrobert9687 3 года назад
Makanika
@naturelle1097
@naturelle1097 3 года назад
Moi j'ai compris
@faboge
@faboge 3 года назад
in love with the verbal richness of Tanzanian Swahili! Its like MUZIKI!
@bigmanencore3628
@bigmanencore3628 3 года назад
Please explain to us over here what is she talking about
@gracejulius2236
@gracejulius2236 3 года назад
Anaongea kweli jamaniii msaidieni wakuatane
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Ukweli wa mama ni kwamba walikua Congo. Tena ni mashariki mwa Congo! (Uvira au kalemi) ndo mana walipanda tu boti wakafika Tz. Lkn Koffi anatoka maghaibi mwa Congo. Ni mbali saana na Tz. Sena MZEE alitaka tu kujimwambafai mbele ya wtt wke
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 года назад
@@rufinyemba7898 sikiliza vizuri mama ya kofialikua anafaya kazi kwanyumba ya kulua watoto uko mahali baba ya uyu bibi alikua anafaya kazi
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Ndugu yng. Maelezo ya mama inaonesha kweli walizaliwa na kukulia masharik mwa Congo! Kuhusu undugu na Koffi, maelezo haijitosheleleze! Mama yke koffi, hakuwahi kufika huko mashariki mwa Congo ,amezaliwa na kukulia Bandundu na kinshasa ambapo ni mbal sn na kalemi au uvira aliookua ule mama . halafu baba yke Koffi alikua anajulikana! mbona!!!
@hajrahaji9109
@hajrahaji9109 3 года назад
@@rufinyemba7898 kwani we unachofia ni nini labda? na ikija ikajulikana kua ni ndugu yake kweli utasemaje? msijifanye mnawajua watu kuliko hata aliye waumba! ushaambiwa coffee alikua hamjui baba ake! af huyo Mama hajasema kama walikua wakiishi kalemi ya Congo kasema kwao ambako ndio baba yao anazaliwa ni Karema ya Tz nasio kalem skiz maelezo vizur!
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 3 года назад
Ukumuangalia vizuri huyu mama anafanana na kofi aisee💯💓
@antonmpagama8377
@antonmpagama8377 3 года назад
Nmekupenda bule mama hongera Kwa kujiamin
@jephmushagalusaamani8319
@jephmushagalusaamani8319 3 года назад
Hello guys, huyu mama wachunguze viruzi hizi habari zake, the real name of koffi olomide is ANTOINE CHRISTOPHE AGBEPA MUMBA. ni vizuri ku verify that information before anything else. Because I know Koffi love his family so much.
@jephmushagalusaamani8319
@jephmushagalusaamani8319 3 года назад
I doubt if she’s telling the truth. The name of her father does not much even one second with the one of Koffi olomide
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 3 года назад
Huyu mama hadanganyi mimi mwenyewe historia ya ukoo wetu tulitokea Congo babu wa baba yangu alikimbia vita akaingia Tz, hapa Tz wacongo ni wengi sana.
@rajabhussein4088
@rajabhussein4088 3 года назад
Hahahahahahaha wakongo tuko wengi tz
@phoebeachieng3197
@phoebeachieng3197 3 года назад
😂😂😂😂
@kanisiusnyakaselula5285
@kanisiusnyakaselula5285 3 года назад
Kuna watu wanabeza lkn vita ya Muchombelo iliwaleta watu wengi huku! Hasa maeneo ya Katavi mpanda na Kigoma wapo wengi sana.
@rajabhussein4088
@rajabhussein4088 3 года назад
Nikweli kabisa Kule mpanda tuko wengi sana
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 3 года назад
Kwa kupitia interview ya kofii, ya congo na comment za watu wa kongo,,,wamedai majibu yao,wanamfaham mama wa kofii bali hawamfahamu baba wa kfii,so, hy mama kweli ni ndugu yake hy kofii,,mtangazaji msaidien hy mama aonane na ndugu yake kofii jmn,🙏🏼🙏🏼🙏🏼👏🏻
@nurumosesmoussamoussa3937
@nurumosesmoussamoussa3937 3 года назад
Oyo sio kweli
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 3 года назад
Bino ba Tanzanie Kaka Bongo 🤔 to boyi eza vérité te, koffi aza congolais 100% wezi
@liliankazyoba3306
@liliankazyoba3306 3 года назад
Kweli watoto wa nje ndo ufanikiwa kulingana na maisha wanayopitia ya shida
@mkoliathuman5028
@mkoliathuman5028 3 года назад
Nimempenda Sana huyo mama kwakuwa anaonekana sio mtu anaongopa shida take no kumjulisha mobimba ni ndugu yake na mopao no kweli ana historia ya kumjua Baba yake.
@zunnamuhammad1970
@zunnamuhammad1970 3 года назад
daaaah amtafute dada yake
@senseiamazing1823
@senseiamazing1823 3 года назад
Wamefanana jamani na huyu mama hawezi kutafuta kiki wakati hata maswala ya mitandao hajui
@dannyhimmtafya5625
@dannyhimmtafya5625 3 года назад
Kazi Sana Mambo ya damu haya duuu!
@hadijandenga8892
@hadijandenga8892 3 года назад
Dah inawezekana
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
Athari za Vita. Hadithi ya kusisimua. Mungu awabariki.
@shahamwinyi128
@shahamwinyi128 3 года назад
Wacha kuiga sauti zawatu ww
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
@@shahamwinyi128 tufafanulie comment yako tafadhali, sijaelewa . ???
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
Kama ni sauti ya mtangazaji kwangu nahisi, ni sauti yake halisi, aoneshi kujilazimisha, (hajikamui yaani, au vipi Mwinyi)
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 3 года назад
Hii habari ina muendelezo inafaa kuifanyia shughuli maalumu Ili kujua kabisaa
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 года назад
Kofi karibu nyumbani Tanzania
@chynabongoo405
@chynabongoo405 3 года назад
Kwer kofie kazAliwa 1956 uyu ndugu yake Na mtoto wa kofie wakiume anaitwa mourinho jina la baba ake mzaz
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 3 года назад
wanafanana kabisaa
@mgenially4616
@mgenially4616 3 года назад
Good night my love you
@markojohnwalinguzo4225
@markojohnwalinguzo4225 3 года назад
Huyu mama yupo Sawa kabsa maana mm ni mtu katavi na kutoka kijiji hicho cha karema Kongo na katavi sio mbali kabsa baadhi ya sehemu ukiwa unaziona taa za Kongo pia watu wa karema wengi hawajulikan ni wakongo au wa tz kwasababu kiswahili matamash yanaendana na Kongo
@chidymswti3604
@chidymswti3604 3 года назад
Wamefanana sura jamani....
@queenray9828
@queenray9828 3 года назад
Subiri niwape ushauri congo wakina Koffi niwengi sana
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
ushauri ni DNA
@emmanuelkamangu4015
@emmanuelkamangu4015 3 года назад
Huyo Mama anapicha za baba yake .pia alikua anaonekana mguu wake kama anachechemea.
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 3 года назад
Kwa sisi tunao jua kusikiliza kwa jicho la tatu uyu mama ni ndugu wa kofii bila shaka hata tone
@bwanandekendeke2672
@bwanandekendeke2672 3 года назад
Please please please Uyu mama hanongeya uongo mutupu!!!
@rehemangeleja7033
@rehemangeleja7033 3 года назад
Jaman inaskitisha Sana hongera mama kwa kujitokeza ili ujuane na ndugu yako dah umenikumbusha mbali sana
@Maulidism
@Maulidism 3 года назад
Huyu mama anaonekana ana busara sana! I feel sorry, Dah vita noma
@leahedward5889
@leahedward5889 3 года назад
haya mambo yapo sana baba kuzaa nje na na kisha kuuchuna kwasababu ya heshima ya ndoa yake kaka yangu kazaa na mzungu huko Australia na mtoto anaumri wa miaka 15 na anamuudumia lakini sisi kama shangazi zake hatujawahi kumuona je myaka ya mbele akaja kuwa Rais huko kwao unadhani watu wataamia? jamani wababa kuzaa nje ndo hivyo . na inategemea kwamba baada ya huyo mamake kuolewa tena huyo kofii alifundishwa nini na kama hakuwekwa wazi juu ya maisha yake na mama yake na baba mpya?
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
@@leahedward5889 kama vile harmonize kumficha Sarah kazaa nje leo hii kaweka hazarani haya mambo ni kitambo tu yapo
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
@@leahedward5889 kama kakayako kazaa na mzungu nje ndio unataka ku kubalisha watu kua huyo mama anaongea ukweli? Hivi toka zamani alikuwa wapi leo ndo aje kusema koffi ni kakayake?? tunajua kama baba kuzaa nje ni kawaida, ila hii ya huyu niuongo tena uki msikiliza tu unaskia niuongo, hio kusema eti walikimbia vita ndio inawafanya mkubali kwasabu watu wanajua Congo ni mahali kunakuaga vita 😂 nisawa ila koffi sio kaka yake na huyo mama, Koffi ako na familia yake, ako na mkubwa yake alafu yeye na ako na wadogo zake na wote wame fanana sana, na mahali alizikwa babayao ndio alipo zikwa mamayao, baba yake na koffi alikua naitwa PAPA AGBEPA koffi sio mswahili jmn
@leahedward5889
@leahedward5889 3 года назад
unajua shida inakuja hivi watu wanadhani sisi watanzania tunashida na koffi hii ni hoja ya mama huyu kumtafuta nduguye sisi hapa tunajaribu tu kujadiri sasa wakongo msipanik kana kwabna koffi atahamia tanzania hatuna haja. huyo nimwanamziki wa afrika atabaki kuwa hivyo.shabashi
@aaronjazzy5136
@aaronjazzy5136 3 года назад
@@leahedward5889 This lady is telling lies bro koffi's parents are known bro and which war is she talking about?
@kabumbaaldjimmy7526
@kabumbaaldjimmy7526 3 года назад
Iko dada yake wa kweli iko damu moja Ila kitofu kiake koffi Kiko mu Congo
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 года назад
Kitovu hakimati tumesha jua Papa mobimba ni mtzee nimjomba wetu akuye home
@Maulidism
@Maulidism 3 года назад
Yan moyo mpaka unauma. This is real!
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 года назад
uwongo mtupu bimkubwa ana tafuta kiki 🤣🤣
@rosebadi5842
@rosebadi5842 3 года назад
@@uwimanauwimana7692 😂😂
@hajrahaji9109
@hajrahaji9109 3 года назад
@@uwimanauwimana7692 sasa ili imsaidie nini! ashindwe kutafuta kiki toka enzi izo ndo aje aitafute leo?
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 года назад
@@hajrahaji9109 ndohapo 🤣🤣
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 3 года назад
Huyu mama asaidiwe kufahamiana na kaka yao, anasema hana kaka mwingine. Hakika damu ni nzito kuliko maji. Koffi mtafute dada yako. Pia wamshukuru Mungu kwa kuwatunza nankufikia umri wa uzee. Vita ina madhara makubwa hasa family separation! It's so sad. But honestly, hakuna furaha kubwa atakayoipata huyo mama kukutana na ndugu yao. May her dreams be true.
@aishahamissi3775
@aishahamissi3775 3 года назад
Apaingekua Zahir angemuoji vizuri
@thirstycamel1962
@thirstycamel1962 3 года назад
Kasheshe au kweli kaka.
@fatumaalii8668
@fatumaalii8668 3 года назад
Huyu mama nimkweli coz koffi hajui babake from interview citizen TV
@amulimugisho925
@amulimugisho925 3 года назад
Wemjinga koff hajuwi baba yake? Zoba wee
@Chance_Wivine
@Chance_Wivine 3 года назад
Nitapeleka video hii kinshasa koffi atakumaliza mama
@thekingbudah3711
@thekingbudah3711 3 года назад
Wacongo wapo tanzania kitambo kabla ya uhuru
@furahaiddi533
@furahaiddi533 3 года назад
Kweli kabisa
@isamony58
@isamony58 3 года назад
Kofi nindugu etuu njoooo uhamie tanzaniya🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌👌👌👌👌💕💔💞😂😂😂😂😂😂
@rufinyemba7898
@rufinyemba7898 3 года назад
Hahahaha! SHABARENS mtz, RASHFORD mtz, KOFFI mtz, aaaah tuachen kdg!
@idaroselle4755
@idaroselle4755 3 года назад
Asha makele koffi akuwe mu 🐶 tanzania 🇹🇿...? Haaaa Kiekiekie
@wizmmanhaling3167
@wizmmanhaling3167 3 года назад
@@idaroselle4755 kweli Wala sio Kiki mmusaidie wakutane nae kigoma nilango wakambizi na
@kennethotieno995
@kennethotieno995 3 года назад
Hii mipaka si yetu, Afrika ni moja.. Tanzania na Congo ni moja. Mipaka ni ya wazungu
@elmackrambo487
@elmackrambo487 3 года назад
Maman una sema bongo koffi Ali someya ulaya sana hakuishi Congo siku nyingi za unjana wake baba yake alikuwa tajiri
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 3 года назад
Wewe matako ulikuwa wapi miaka hiyo?kwani koffi ni mungu?
@festokomba1118
@festokomba1118 3 года назад
Labda aliyemwoa mama yake baada ya mzee kulala mbele
@jeromekiroha4416
@jeromekiroha4416 3 года назад
Nikweri huyo nidadayake
@ayshaabdallah7443
@ayshaabdallah7443 3 года назад
Wewe inaelekea unamjua zaid koffi vp mlizaliwa pamoja mpk uwe na hakika na maisha yake
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 3 года назад
Anaogea kweli maana hababaiki
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 года назад
Jamani kweli hata sura wana fanaaa na kofi
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 года назад
Tena sana
@asiabushiri7566
@asiabushiri7566 3 года назад
Ni kweli kweli kweli kweli kabisaaaa kwa sababu foffi sisi wakongo tu namfaham mama yake tu hatukumfaham baba yake. Uyu mama mkweli
@gervasally6979
@gervasally6979 3 года назад
Kaka umeongea Ukweli sababu wakongo huwa tunawauliza wanasema Koffi sio mkongo ni wa Zambia hawana uwakika.
@tiamo726
@tiamo726 3 года назад
Penye unazaliwa ndio kwenyu...kofi 100% kwake yeye baba alikuacha kwa huyo babo ni taarifa tu
@rhodakishiki4126
@rhodakishiki4126 3 года назад
Mi mwenyewe nahisi ndugu watu wapo kongo mpaka leo maana historia ya ukoo babu alikimbilia uku Tanzania ,nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ukoo wa kishiki tupo sisi kwa hapa Tanzania ila Kongo ndo wapo wengi
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
Sisi wa Congo tunamjua babayake na koffi kama wewe ulikua humjui usiseme wa Congo hawakua namjua kwani kama wewe humjui ndio wa Congo wote??
@asiabushiri7566
@asiabushiri7566 3 года назад
Hata bwana wa mama yako unaeza muita baba tu nasio yeye kakuzaa
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 года назад
Duh
@onesmomlinga2739
@onesmomlinga2739 3 года назад
Acheni kubeza mama anasema ukweli hapepesi macho mtajua ipo cku
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 года назад
Kweli kabisa..ukimfatilia kwakina..hasemi uongo
@mwapolesanabab8771
@mwapolesanabab8771 3 года назад
Kumbe coffi ni mtanzania msaidie apate dada yake
@bolemboalenge2325
@bolemboalenge2325 3 года назад
Muongo Huyo mama baba yake koffi mzee Charles agbeba alifariki 30/4/2016 ufarasa Paris koffi kazaliwa Kinshasa gombe wakaamia lingwala kabla hawajaamia ufarasa sasa wew hiyo stori umeitowa wapi nasikila sehemu ya Kongo neo palikua na vita vita vilikua sehemu chache sana
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 года назад
Bibi mkweli huyu hawezi sema uwongo ila itakuwa haisaidii kitu kwa sababu hata mamake mzazi kofi ameshafariki na niyeye ndie mwenye kujua ukweli..kwa sasa kofi hawezi kukubali.
@reginangore4256
@reginangore4256 3 года назад
Mama Ami amefariki juzi juzi tu mwezi wa kumi kule France, hawezipeana ukweli Sasa, aliitwa mama Aminata
@willykaovela5485
@willykaovela5485 3 года назад
kwel regina
@kahimbeshamu7270
@kahimbeshamu7270 3 года назад
Ilo jina la baba yake nikama la mtoto wa mwisho wa koffi olomide nendeni Google mkangalie koffi amezaliwa 1956 uyu mama kama anapatia
@chancelebishopofficial2785
@chancelebishopofficial2785 3 года назад
Uyu mama ni muongo
@kambalekalemo8545
@kambalekalemo8545 3 года назад
Uyo mama muongo mtupu koffi olomide alizaliwa Kisangani third city in DRC baba yake na koffi alikufa 2016 huko Paris na mama yake alikufa mwaka huyo 2020 am a Congolese this mother she is a big lies vita haipo congo yote
@kambalekalemo8545
@kambalekalemo8545 3 года назад
Mwaka 63 Congo hakukuwepo vita
@henryxavery1713
@henryxavery1713 3 года назад
@@kambalekalemo8545 Tusibishe,Tu huyo mama Hata Kiswahili Chake Bado Kina Rafudhi ya huko Kwenu,Sura yake wanafanana,yeye Pia Alielekezwa na Baba Yake!!Kwani Undugu ni Sumu.
@bijouxbijoux05
@bijouxbijoux05 3 года назад
@@kambalekalemo8545 Maman muongo.Baba yake afariki Paris.
@tiamo726
@tiamo726 3 года назад
Mwanamume akiacha mtoto aendezake kwa bibi yake na wana eke yule mtoto wa inje ni mtoto wa mama.na after vita kwanini akwaambia mtafuteni mwenyewe...kofi congo angekuwa ywakumbuka bongo pia yeye ameishi na mama tu so kwake loyalty yeye mcongo
@willymkumbo6320
@willymkumbo6320 3 года назад
Maelezo yamenyooka sana pengine kuna ukweli hapa.
@salumdeedraketz558
@salumdeedraketz558 3 года назад
Duuuuh kumbe kofii home boy katavi_karema
@profkrayshelu5379
@profkrayshelu5379 3 года назад
Kofii arudishwe nyumbani. Tushajua yeye ni mbongo. Aje aendelee mangoma ya bomba na ngai.
@arthurmwami1548
@arthurmwami1548 3 года назад
Koffi jinalake kamili ni MUMBA AKWEBA ANTOINE na inajulikana Congo nzima kuwa babaye si mkongo lakini mama ye niyeye kamleya ambaye ni wajimbo Équateur.
@miriamsaidi1047
@miriamsaidi1047 3 года назад
Aisee.😄 nimecheka sana eti mangoma ya bomba na ngai
@profkrayshelu5379
@profkrayshelu5379 3 года назад
@@arthurmwami1548 ndo kashajulikana baba yake ni mtz.
@alextanzania
@alextanzania 3 года назад
Motema na yoo
@evamdula9699
@evamdula9699 3 года назад
Nimecheka Sana eti arudi bongo aje aendelee na mangoma ya nangai🤣🤣🤣🤣🤣
@mtimkavumtimkavu1886
@mtimkavumtimkavu1886 3 года назад
Ukisikiliza hata energy vocals ya sauti ya huyu mama inaukofii Kofii mwingi tu
@blandinadambala6887
@blandinadambala6887 3 года назад
Kwani nyimbo ya WAAH imeleta undugu😂😂😂
@luendosabah2047
@luendosabah2047 3 года назад
Koffi siyo mara yakwanza kukuja Tanzania 🇹🇿
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 года назад
Huyu mama sio mjinga huenda ni kweli
@faridasidi5922
@faridasidi5922 3 года назад
Ni mkweli manake huyu hata hajui kiki maskini
@bakarirasuli2301
@bakarirasuli2301 3 года назад
Kwelii
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 года назад
Yaani kumbe Koffi pia asili yake Mtanzania Ahsante Sana🤝🏻
@tiamo726
@tiamo726 3 года назад
Sio mtanzania skia vizuri mamake huyu ni different baba yao alifanya biashara tz...kma mama ni different then mamake kofi nimcongo na baba ni mkongo..kogi 100%congolese sorry
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 года назад
@@tiamo726 Wewe hujasikiliza vizuri huyo mama anaeleza kipindi kile cha vita walikimbia Tanzania na baba Yao aliomba hifadhi Tanzania kwa kuwa anaasili Huku. Baba yake Koffi alikufa Katavi
@abumbaenock1074
@abumbaenock1074 3 года назад
Hakika
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 3 года назад
Ni rahisi tu DNA. MAMA ana ukweli ndani yake. Zichunguzwe DNA za damu zao kumaliza utata.
@ommaryhabibu557
@ommaryhabibu557 3 года назад
Huyu mama anaongea ukweli kabisa inabidi mondi angemunganisha nayo huyu mama na kaka yake
@abdullahalghafri2872
@abdullahalghafri2872 3 года назад
Sawa nakupa full support bro DNA kila kitu mwanzo mwisho
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
Ni kweli DNA, Lakini pia hata sura zinafanana, angalia Midomo, pua lakini na busara zao zinalingana.
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 года назад
Kweli kabisa
@gracengalotv8063
@gracengalotv8063 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ER3HJRrz1-g.html
@julietmombasa1103
@julietmombasa1103 3 года назад
OK.....
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 года назад
Kwani uyo kofi ni nani ata iwe hana ndugu? Ni binadam kama wengine inawezekana sana tu uyu bibi aseme uongo ili iweje? Yawezekana ni kweli
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 года назад
Yupo sahihi huoni hahitaji msaada zaidi ya kumjua tuu
@Living7Stone
@Living7Stone 3 года назад
Koffi ana ndugu wengine mmojawao akiwa Tutu Roba anayeishi Uingereza
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 года назад
@@Living7Stone safi
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 года назад
Hadi Leo hii Kuna wacongo walikimbia vita wengi tu itakuwa kweli
@rosettematenga635
@rosettematenga635 3 года назад
Kwanza vita ilianza Congo 1996 sio1993,kwakupanda boti aliitowa wapi watu wakinsha, sisi wauvira ndio tuko kutanganika,kinsha natanganika habiko hatakaribu uyu mama ni wabembe zone ya fizi anavuoongea hamalizii maneno eti kule kunani ni MONGO sana.
@dralnahdy594
@dralnahdy594 3 года назад
mhnnmmm sijui km kweli 🤔
@daudkhatib81
@daudkhatib81 3 года назад
I Sorry but it dippend on Mr d. Platinum to. Talk Mr. Olomide about this. Ovation .. And. Then please Mr. Platinum. Tell him. About his. Sisters
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 года назад
Sure that's ! Good idea
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
She's not his sister
@tomodul2619
@tomodul2619 3 года назад
Koffi is the one who can prove if his father is from Tanzania because we all know his mother is from Sierra Leon and his father is from Congo. The rest is history!!
@alesnema9596
@alesnema9596 3 года назад
Uyu mama mwongo Sana kofi mwana inchi wa kongo
@AloisNashali
@AloisNashali 3 года назад
Nimemuelewa kwenye miaka hakosei labda ni kweli kabisa
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 года назад
HATA kofii ana miaka hiyo kama 60 na kidogo
@magnusndunuka1038
@magnusndunuka1038 3 года назад
hayo ni ya kweliii
@aoman5214
@aoman5214 3 года назад
Juzi Kati niliwaanbia kofee ni ndg yetu wtz😀😀
@h.brown.002
@h.brown.002 3 года назад
in your dreams dude
@aboubakaarbenjamini333
@aboubakaarbenjamini333 3 года назад
Bongo nyoko kofii ndugu yetu mamaeeee
@emmanuelsichone8854
@emmanuelsichone8854 3 года назад
Wemtangaza mtafute Kofi wajuane ukweli dam inaelekea undugu upo
@umpump8472
@umpump8472 3 года назад
Wana fanana
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 года назад
@@umpump8472 sana yani.
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 года назад
@@umpump8472 sana yani.
@gracengalotv8063
@gracengalotv8063 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ER3HJRrz1-g.html
@kapilimaibra2540
@kapilimaibra2540 3 года назад
Haswaaa
@jacoblucas1755
@jacoblucas1755 3 года назад
Ndomaana koffi anapenda Tanzania
@bonifacehassan1309
@bonifacehassan1309 3 года назад
Jmn kama alivo sema mama nikwel kashakua mzee atatafuta nn kwakoffi..??
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 года назад
heshima ya Udugu, na inaonesha kwa jinsi gani Binaadamu lakini zaidi waAfrika tulivyo ungana kwa damu, hii mipaka iliwekwa na wakoloni ili kutu sambaratisha. Mfano... Mama yake Koffi huwenda Aliolewa na Mtu Mwengine, na inawezekana wa taifa Jengine. Je Utaweza kuigawa Afrika. Utaweza kugawa Ardhi lakini si damu. Uko sawa Boniface though.
@saidichita206
@saidichita206 3 года назад
Wakapime DNA
@benjaminhardwork9355
@benjaminhardwork9355 3 года назад
Inawezekana kabisaaaa
@bintimohamed2646
@bintimohamed2646 3 года назад
RIP. 🙏🏽Baba. 💔
@Jorselin
@Jorselin 3 года назад
Mongo Sana uyu maman Koffi si muswahili hâta kidogo fatilia jina lake vizuri
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 3 года назад
@@Jorselin huyo mama katumwa siobure kbs
@carlontaiya9167
@carlontaiya9167 3 года назад
No wonder koffi followed his father's steps
@lemameasi4698
@lemameasi4698 3 года назад
HAPA MAIGIZO TU .ASITUDANGANYE HUYU MAMA,INGEKUWA KOFFI AMESHAJUA,
@melkzedeknyagawa7553
@melkzedeknyagawa7553 3 года назад
MGUMU WEWE
@melkzedeknyagawa7553
@melkzedeknyagawa7553 3 года назад
Itakuwa ni kweli
@charlesmihuwa208
@charlesmihuwa208 3 года назад
Idiot! Karma ni maigizo wewe mbona hujitokezi na kusema Dovido au Alikiba kuwa ni ndugu yako?
@wenderine
@wenderine 3 года назад
Usikurupuke kuongea sikiliza vzur kuanzia 10:00 - 10:05!!
@davivancee9991
@davivancee9991 3 года назад
Acha kujiongelesha, kwa akili yako finyu unafikir anataka hela huyo mama.
@uppercut5486
@uppercut5486 3 года назад
Mmmmh mama huyu😃😃
@etengedavid7297
@etengedavid7297 3 года назад
Ya weza kuwa ukweli, koffi ni mkongomani kwa upande wa mama ila baba koffi ndiye ajulikani hadi sasa na Congo nzima ina juwa hivio. Mwambieni DIAMOND PLANTNMUZ amsahidiye mama uyo ili ahongeye na koffi ya weza ika sahidiya sana
@christopherjoseph4724
@christopherjoseph4724 3 года назад
Ase kweli huyu mama anafanana na koff
@abelsabin3693
@abelsabin3693 3 года назад
DNA ipo. N'a si lazima
@fettyqeen5136
@fettyqeen5136 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@abelsabin3693
@abelsabin3693 3 года назад
@@fettyqeen5136 c'est ma vérité
@saidsalmin1248
@saidsalmin1248 3 года назад
DNA ya nini watu wamefanana hivyooooo
@hasoonsss2936
@hasoonsss2936 3 года назад
Alaah awakutanishe ndugu Tunawaombea
@charitynjeri125
@charitynjeri125 3 года назад
Naomba tu nkampata rafiki mkongo,nawapenda wacongolese sana
@adidjarams5196
@adidjarams5196 3 года назад
Sisi pia tunawapenda Sana, suis congolaise façon j aime la Tanzanie, mama yangu mtanzania myamwezi lkn baba yangu congolais, naishi Kinshasa RDC
@charitynjeri125
@charitynjeri125 3 года назад
@@adidjarams5196 Mimi natokea kenya lakini
@Juma_Content
@Juma_Content 3 года назад
Chariti nipe Instagram yako mm mkongo apa
@charitynjeri125
@charitynjeri125 3 года назад
@@Juma_Content pale instg naitwa mtoto wa jothefu
@liliankazyoba3306
@liliankazyoba3306 3 года назад
Koffi ni mtanzania
@aminabahatiii
@aminabahatiii 3 года назад
Babake KOFI OLOMIDE sio mutz
@sophykasichana9334
@sophykasichana9334 3 года назад
Pana ka ukweli ukisikiza sana
Далее
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 519 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 760 тыс.
Historia ya Koffi Olomide
8:11
Просмотров 4 тыс.