Тёмный

Kauli nne potofu za Salim Barahiyani kuhusu mwezi wa kimataifa. || Ustadh Haji Upepo 

Haji Upepo Online tv
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@saidmuhd611
@saidmuhd611 5 месяцев назад
Nimeisikiliza vizuri clip ya Barahiyani ila sikufahamu chochote pamoja na jitihada yake ya kujenga hoja, shukran Sh. Haji Allah akupe tawfiq kubainisha haqi
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 5 месяцев назад
Shukran Wajazaka Allah kheir Habib Haji tumekufahamu vizuri sanaa
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 5 месяцев назад
Mfano mzuri unaeleweka
@mzeemwinyihassan9774
@mzeemwinyihassan9774 5 месяцев назад
Mimi nilishasema Mungu amfichi mnafiki na ninaona kua Sasa shekhe Salum anaanza kufedheheka au Mungu anamuweka wazi sasa
@rushu1232
@rushu1232 5 месяцев назад
Barahyan ana taasisi ati ya vijana wa Tanga anapata misaada mingi kutoka Saudia ajabu nihao wanaomsikiliza.
@user-ws6jq4in7q
@user-ws6jq4in7q 5 месяцев назад
Mwalimu wangu kwakweli mm binafsi nakupengeza Yani upo makini sana namuomba Allah akujalie zaidi
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 5 месяцев назад
Shukran sheikh wagu
@suleimanmsekeni977
@suleimanmsekeni977 5 месяцев назад
Inna Lillah Waina Ilaihy Rajiun! Ama hakika hizi zama alizozitabiri Mtume Muhhamad Saw. Akhery zamani kukaribia kwa kiama za wenye Elimu kutukanana hadharani Subhanallah Allah Swt! Ndiye mjuzi zaidi. Bali nawanasihi enyi wenye elimu muogopeni Allah Swt! Atakwenda wauuliza kwa haya ya kutuvuruga na kutuchanganya. Haya tuwaachie nyinyi wasomi je tuwaulize wale maimamu wanne waliishije, je? Walitukanana kama mfanyavyo nyie Masheikh wa sasa?
@abubakariboki451
@abubakariboki451 4 месяца назад
We'we umesomea kutukan a huoniuchonganishi allaha atakulipa kwa kauli zakon mbovu
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 5 месяцев назад
Allahu yahfadhuka
@user-kq8lk1cx8g
@user-kq8lk1cx8g 5 месяцев назад
Upo vizuri sana Sheikh
@saidimtoni1148
@saidimtoni1148 5 месяцев назад
Nakuelewa sana shekh wang
@IbrahimKambangwa-pr1cl
@IbrahimKambangwa-pr1cl 4 месяца назад
Shekhe naomba nambayako
@SaidSiraji-e8u
@SaidSiraji-e8u 4 месяца назад
Wewe ni mpumbavu sanaaa
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 4 месяца назад
MUNGU MMOJA, Mtume Mmoja, UMMA mmoja, DINI moja, KITABU kimoja. Lakini kwanini mitazamo tofauti?😢 Allah tusaidie
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie (wahabi) ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@ChademaKandayaUnguja
@ChademaKandayaUnguja 5 месяцев назад
Hatari sana Leo Wana wa zuoni mnathubutu kutukanana kama hivi leo yule kamtukana huyu na huyu kamtukana yele inalilah waina ilaih rajion
@swahibually8349
@swahibually8349 4 месяца назад
Hapo sio kamtukana bali kamuelewesha maana yeye ni mpotoshaji, kwani Mawahabi hamna Akili?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 месяца назад
Hili jahli sijui limesomea madrasa gani umetumwa na kijiji au njaa zinakusumbua mtasumbuka xana na mawahaby hakki itabaki kuwa haki hata ikipindishwa
@AliAchimoAchimoAlifa
@AliAchimoAchimoAlifa 4 месяца назад
Nyinyi mashia amuna akiri
@ahmedlalisheemadi8964
@ahmedlalisheemadi8964 5 месяцев назад
Uma unazidi kupotoshwa na maneno kama haya. Soto tunakubali Allah amesema. فمن شهد منكم الشهر فليصمه. Hapa Allah ataja muandamo wa mwezi wa Ramadhaan. Hakuna ayah allah aseme Mwezi ukishikwa au juwa swalini. ! Ummah unazidi kupotoshwa.
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 4 месяца назад
Hiyo Aya ya Quran umeielewa vibaya tafsiri yake haisemi hivyo uwelewa wako ni mbovu nenda ukaangalie tafsiri za wanazuoni kwa makini hakuna Aya wala hadithi inayo sema mwezi ni popote na kama ipo nilete nami ni fuate
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 4 месяца назад
Mawahab mtihan sana akili zao nikukurupuka c waelewa kamwe
@jumaajambiamusa8214
@jumaajambiamusa8214 5 месяцев назад
kwan baarahin ana Akili kweli
@abiabi9353
@abiabi9353 5 месяцев назад
Hata mimi nakubaliana na sheikh Haji Upepo. Hawa mawahabi uelewa wao ni finyu sana. Hata hiyo katiba haimpi ruhusa yakutangaza mwezi. Katiba inaitambua bakwata kuwa ndiyo mwavuli wa taasisi zote za kiislam Tanzania. Kwamaana hiyo mufti ndo mwenye mamlaka yakutangaza mwezi. Pili hata hao watu wa falaki anaojitetea nao ujue ni watu wa falaq wa saudi Arabia. Alafu pia swala lakufata watu wa falaki ni bidaa.Atupe ushahidi lini mtume alitumia watu wa falaq kutangaza mwezi. Tatu marangapi watu wa falaq wamesema kuwa hakuna uwezekano wa mwezi lkn saudi Arabia wakatangaza mwezi na nyinyi mawahabi majahili mkafata Saudia. Mbona hamkufata watu wa falaq. Hii mawahabi ni wapotoshaji tu lkn hawajui lolote katika dini
@AliAchimoAchimoAlifa
@AliAchimoAchimoAlifa 4 месяца назад
Nyinyi mashia amuna akiri
@abiabi9353
@abiabi9353 4 месяца назад
@@AliAchimoAchimoAlifa comments za kiwahabi utazijua tu. Watu wa mipasho tu lkn hawawezi kujibu hoja
@munirayassin6103
@munirayassin6103 5 месяцев назад
Samhn ndung, IV unajua mising ya nasah au unatumika kutafuta kiki?.
@abubakariboki451
@abubakariboki451 4 месяца назад
Pole😅😅😅😅
@banihashim5347
@banihashim5347 4 месяца назад
WEWE UNATAFUTA KIKIIIII
@hafidhsalim9237
@hafidhsalim9237 5 месяцев назад
Upepo upepo upepo. Huyo jamaa hata ukimwita answari bidaa bado umempa cheo kikubwa. Tafuta jina jengine.
@AhmedKubwa
@AhmedKubwa 4 месяца назад
Nyinyi mnasisitiza umoja lakini umoja huu mnaukataa why? Au sababu ao mnaowaita mawahabi wapo mstari wa mbele ktk hili na ninyi mumekaa kuwapinga tu.
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 5 месяцев назад
Huyu haji upapa ni mgonjwa
@user-ou2qr1sb9x
@user-ou2qr1sb9x 5 месяцев назад
Mawahabi nitasisi ya biashara sio njia sahihi
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 5 месяцев назад
@@user-ou2qr1sb9x taasisi za biashara wazijua wajitoa ufaham tuu
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 4 месяца назад
Wewe ndio mgonjwa khaswaa.​@@zahorsuleyman3429
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 4 месяца назад
Kama.kweli mnafata mwezi wakimataifa mngefungua na watu mali na niger,Nyie niwahuni mawahabi.
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
@@zahorsuleyman3429 Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 4 месяца назад
Maelezo ya barahiqn yanakiri kuwa wanafuata muandamo wa saudia na sio kama anavyo jitetea Ha hili la wao kuacha muandamo wa popote na kusubiria saudia ni ktk muendelezo wa miaka kadhaa sasa
@allyasaa4049
@allyasaa4049 5 месяцев назад
Wee upepo acha kutukana mzazi wa mwenzako mbwa kama ww akonao zaid ya ww kua na kauli nzur hata kama amekosea bas ww si haki kumtukana mzee wa watu kua na adabu sw
@allymahaba3425
@allymahaba3425 5 месяцев назад
Sheikh Allah Azidi kukupa uthabiti. Masheikh wengine wanaogopa kum-raddi Barahyaani wakijua mtu huyo ni mpotoshaji mkubwa. Amewaharibu Waislam wengi.
@jumaajambiamusa8214
@jumaajambiamusa8214 5 месяцев назад
anae sema mawahab wana Akili bs na yeye hana Akili
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 5 месяцев назад
😂daah hapo umepatia mno,umejuaje? Mtu anaeamini kuwa kila kitu ambacho hakikufanywa na Mtume saww ni Bidaa huyo ana akili kweli?
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN 4 месяца назад
We unasema Kwa Barhian ila mbona ata Zanzibar tumempa Suraga mia Moja anavyosema Kuna siku SHekha Suraga alisema mwezi huuonekana na siku iyo ukaonekana Kisiwa Panza PEMBA kule mbona so tulifunga na Kisiwa Panza wamekula Iddi. SHEKHE naomba nijib Swali langu je haiwezekan kua na Matlii Moja na Saudia?
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 4 месяца назад
Wewe ndio huna akili na genge lenu
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 5 месяцев назад
Dogo upepo asaiv yuotube ukipost sana mzigo unakua mkubwa mwisho wa mwezi na ukikosoa pasipo na kusa unazid kujulikana pamoja nakua ni msiba lakin ndio hivyo
@hassanmussa4734
@hassanmussa4734 5 месяцев назад
Haji upepo akili kisodo bichwa kubwa
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 5 месяцев назад
Acha matusi toa dalili zako na kama huna basi usi comment
@abuunuaiymjumbe3154
@abuunuaiymjumbe3154 4 месяца назад
mm nilikuoona kama shekhe kumbe ww kijana wa hovyo soma vitabu kwan wakwanza kusema mwez mmoja ni barahiaan mbona umekosa adab na akilii 😊
@SalumHamad-vr2je
@SalumHamad-vr2je 5 месяцев назад
Shekh Mimi naona utaratibu wakukosoana si wenye kuridhisha Kwani hakuna hata mmoja mweye ujuzi wa ilemu wa asilimia zote
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@abuunuaiymjumbe3154
@abuunuaiymjumbe3154 4 месяца назад
usioone raha kurecodiwa kuwa na eelim na akili alaf angalia ni nanii wakwanzaa kuzungumzaa kuhusu hilo mm ndio nakuoona ww hauna akilii kabisaa bola chiz anaee vuwa nguo mm ndio maana ww maneno ya barahiaan hayaangi akilini jiulize kwanza akilii unazoo mpaka yaingiee haunaa akilii wwndio maaana hayaingii😊
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@aminaosman3315
@aminaosman3315 5 месяцев назад
,kiongozi ndie huyo kazi zulma kawadhulumu yatima WA said janjira na kuwafungia hospitali ya shifaa mpaka eatatu kuna machine tena na kumpeleka mjane mamahakani mama yao na kushinda kesi kwa katika mazingira ya kutatanisha Allah yupo. ,
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 5 месяцев назад
Asa mbona kleep yake unaipeleka haraka haraka?
@IsmailMasule
@IsmailMasule Месяц назад
Wewe mnafiki saana eidlfitri iliopita tuliswal pamoja dunia nzima au ulipeswa na akili sku io acha kutukana watu wakati we debe tupu
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 5 месяцев назад
Wewe mwehu inaonekana hata kutahili huja tahili ugekua umetahiliwa usinge mtusi mwana chuoni huyo huna adabu jandoni hujafika pumbavu na wanao kutuma wanao kwita shekh walevi wenzio,
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@farishfarish258
@farishfarish258 5 месяцев назад
We elimu Yako nindogo kaa kimya
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 4 месяца назад
Kama kweli mnafuata mwezi wakimataifa mngefungua nawatu wa mali na po niger,Nyie niwahuni Mawahabi.
@wangnjamealawy3387
@wangnjamealawy3387 5 месяцев назад
Kiukweli hata mie niliposikia hotuba ya Barahiyani baada ya swala ya Iddi nilichukia sana, nkahisi km vile nimepanic, nkajiuliza huyu mzee mbona km vile anapotosha waislam kwa makusudi, mara nyengne waweza kudhani anafadhiliwa kweli na Mayahudi km wasemavyo baadhi ya watu. Lakini pamoja na hivyo Sh Haji ulipaswa ujikaze kiume na umwelekeze kwa busara pasi na kumpa maneno makali, kauli ulizotumia ni nzito sana kwa kweli.
@khamishassan68
@khamishassan68 5 месяцев назад
Mbona idi tulifungua pamoja apo vipi
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 5 месяцев назад
Upepo Acha polojo na uzushi wako
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 месяцев назад
Yaani hili jibwa BARAHIANI juha kweli kweli, mara TANZANIAN nchi ya KIKAFIRI inaongozwa na wakiristo, akisha anafata katiba ya hao wakiristo na anajisifia nafsi yake kufuata wakiristo na kuacha muongozo wa Uislamu. 😂😂😂HUYU NDIO SHEKH WA SUNNA BWAN ZA KIWAHABIA UYAHUDI, SUNNA ZA IBILISI KABISA. SAFI SANA IBILISI BARAHIANI
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 5 месяцев назад
Taratibu na maneno yko
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 месяцев назад
@@zahorsuleyman3429 nyie sio lazma taratibu au vipi?!!!. Ukweli acha ubainishwa, mawahabi mjulikane na watoto wapungue kupotoka kwa upotovu wenu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 5 месяцев назад
​@@hilalkhalfan1452kwani ukiwa katika nchi inayoongozwa kikafiri wajibu wako wewe kama muislam ni nin?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 месяцев назад
@@saidimkwinzu9106 kufuata mufti muislamu kama yupo. Kama hayupo unga timu yenu
@swahibually8349
@swahibually8349 4 месяца назад
MUNGU hamfichi mnaafiqi,hawa Mawahabi sasa wanaonekana wazi kua wao ni wapotofu,wanahangaikia dunia,machizi zaidi ni wale wanamfuata huyu Mzee,yaani watu na mijiremba yao ati wanamskikiliza bila hata kumhoji, kwamba;Si tunafunga na kufungua kwa Mwezi wa kimataifa?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake lkn huyu naona yeye ana kipara kabisaaaa!alimuearidi na yeye asema akili zake zimeshikiliwa na mshipa wa haja kubwaaaa!
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 5 месяцев назад
Wapi ilmu lfalak inafundishwa na Mawahabi tukasome
@allymahaba3425
@allymahaba3425 5 месяцев назад
Barahyaani mpotoshaji anajua inakopatikana.
@alikhatib-mu4wb
@alikhatib-mu4wb 5 месяцев назад
Hawawezi kutafakari coz washatekwa akili zao hao
@SaidSiraji-e8u
@SaidSiraji-e8u 4 месяца назад
Yani wewe kumbe jaaahili sanaaa kumbe
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 5 месяцев назад
Mm naomba nikuulize swali mwalimu sisi wote tunakubaliana kuwa suala lamwezi ahlu ilmu wametofautiana je kati ya kauli isemayo kila mji ufunge na mwezi wake nakauli nyingine mwezi ukionekana popote watu wote wafunge swali kwako je kati yakauli yenye nguvu???swali lapili je mtu akikosea katika masiala ya dini unaruhusiwa kumuweka sawa au sheria inaruhusu pia kumvunjia heshima,naomba majibu
@princefeisla3692
@princefeisla3692 5 месяцев назад
Mm nakujibu Habib haya ya kuekana sawa yalikuja kuanzia kwenu watu wa ujanja mwingi na kudai mumesoma na hamuezi kuchambua vitabu na muliliona ni sawa kuchafua watu Leo nao Hawa wanajitetea ndo munajiliza na kujifanya wanyonge na mnajua sheria😂😂😂?
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 5 месяцев назад
@@princefeisla3692 mbona hujajibu nilichouliza mwalimu rejea maswali tena lengo nikuongeza malipo kwenye mizani zetu naso lingine
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 5 месяцев назад
Me naomba hoja zakielimu mwalimu ili tufikie malengo
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 5 месяцев назад
Haji wataka umaarufu au vipi
@hajiupepo3146
@hajiupepo3146 5 месяцев назад
Sijui, kwani we unaonaje?
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 5 месяцев назад
Wewe unataka nini ndugu?
@kugotwa004
@kugotwa004 5 месяцев назад
Wacha mwalimu atoe ELIMU Kwa wajinga WATU wanapotoshwa
@hemedabdullasuleiman5688
@hemedabdullasuleiman5688 5 месяцев назад
​@@hajiupepo3146 Ustaadh Haji tushachelewa ongeza speed...Haki itajuilikana na watukanaji watajuilikana
@mzeejumbe900
@mzeejumbe900 5 месяцев назад
Ustadh Haji hatukani mtu bali anatoa funzo na ufafanuzi wa nini dini inataka kufuatwa kwani kwenye jambo lolote la ibada kama sikosei kuna muongozo maalumu, mfano kuna tartibu, sharti nk ndipo ibada ikamilike na sio kukurupuka tu kama baadhi yetu tunavyofanya na kuleta kichwa ngumu tu na hii ni kawaida ya watu kama sheikh wetu huyu kwani ukishakujifanya unajua hata akikosea anakuwa mgumu kurekebishika
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 5 месяцев назад
Nilipo fika sitend kuu mbezi nasikia takbira mfti anatangazi kesho iddi hamadi kundi lawatu kama nanne 8 wanapatwa na mshaangao huyu muft kachanganyikiwa ? Yaani sisi tule sikukuu wakati wao hua wananza sisi tunafatia sikuavumilia nikawajibu kwani? Lazima mumufate muft endeleeni kufunga, Sasa wanao msapoti huyu aso tahiliwa na wazazi wake asubili kutahiliwa muhimbili pumbavu
@abdiomar6832
@abdiomar6832 4 месяца назад
Izo ndo lugha wanoendana nazo wahabistan
@IssabakariMagwa-ps3qe
@IssabakariMagwa-ps3qe 5 месяцев назад
Sasa bakwata kuna shekh yeyote alisoma kweli naona pale felia kumfundisha felia yana mwanafunzi aliefeli kumpeleka madrasa akiwa shekh anasubiria aliefeli mwanzake amfundishe
@omaryjumbe14v8
@omaryjumbe14v8 5 месяцев назад
Sijui Answari salafu wajahidina na makundi yao yote hao maanswari Akili zao zimechanganyikiwa😂😂😂
@AliAchimoAchimoAlifa
@AliAchimoAchimoAlifa 4 месяца назад
Nyinyi mashia amuna akili
@omaryjumbe14v8
@omaryjumbe14v8 4 месяца назад
@@AliAchimoAchimoAlifa We Chizi kweli nani kakwambia mimi Shia Acha Unyau
@allyasaa4049
@allyasaa4049 5 месяцев назад
Ivi kwa mfano ametukanwa baba yako ww unajisikiaje nakushaur usitafute sifa kwa binadamu tafuta sifa kwa Allah kwan yy ndio mjuz na mlipaji wa yote
@nusalim3389
@nusalim3389 5 месяцев назад
Kwani umeambiwa ahlu Sunna wakipata taarifa ya kukamatwa jua au mwezi sehemu yyt duniani hapohapo wanaelekea misikitini na mm ni mmoja wapo,kwahio mlitaka pia ukamatwe tanzania?😂 Utangojea sana, hili ni jibu mnajijibu,ikiwa mnasali Sala ya jua au mwezi na kimataifa basi mwandamo mlikuw hamna haja mpk muone hapa au msisali Tena kusuf na khusuf mpk uje kamatwa tanzania,swala hii mwaweza kaa miaka 80 hajawahi kuiswali,
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 месяца назад
Wew kijana mwezi wa kimataifa umesemwa hata na maimamu wakubwa, imamu malik ahamd bin Anbali na Abu hanifa takapo ingia katika mji wowote miji mingine inaruhusiwa kufunga,sasa mbona mnaiga kelele na kama ninyi mmeona mfunge wauandamo wa nchi mnasumbuka nin na wahabb semeni kama mnawatukana wanazuoni hawa maimamu wakubwa wa 4 walosema hivyo,jahil huyu mpotoshaji watu
@abuunuaiymjumbe3154
@abuunuaiymjumbe3154 4 месяца назад
kasome kauli za wanazuoon kuhusu hilo km jambo lina ikhtilaaf kaliaanzisha barahiaani ww achakupotosha utaulizwa kwa allah ww sio shekh ww ni umevaa kofia muhunii hauna akilii
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 5 месяцев назад
😂😂😂HUYU UTOFYORO KANICHEKESHA SANA. huyu nafkiri kafanya inda tu sio simu hio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-fu6qu6dd4x
@user-fu6qu6dd4x 5 месяцев назад
Haha Jamaicans zangu ni wapotofu
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 5 месяцев назад
Weee harfani mchungaji vipi? Wavamia maada za wislam hahawani mula nguruwe vipi? Wamtusi shkh wetu kwani mtu kuzungumzia katiba haram? kwani hujui nchi hii inaongozwa na kariba Ukome kama ulivyo koma kunyonya ziwa la mama yako
@abuuhaytham
@abuuhaytham 5 месяцев назад
Wacha ujinga wweee soma ndo umraddi mtu waropokwa tuh
@IbraFareed
@IbraFareed 4 месяца назад
Kasome kitabu ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 5 месяцев назад
Wewe nikichaaaa suura kama ust........lakin unaongelea Mambo ya machiziiii Sasa jua kupatwa ni swala ya sunnat !!!!!! Mwezi ukiandama niswala la funga ambayo ni faradhi ....au kufungua iidi ambayo ambayo ni faradhiii mana lazimatu ufungue Sasa vichaaa nyie .....na wamponheza sababu ni chiziii mwenzako....
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 4 месяца назад
Wewe nenda ukasome acha ubishani wako mwezi wa kimataifa hapo wala haitekelezeki na kama ipo ulitekelezeka mwaka Gani wa kiislamu
@MwinyimvuaOmary
@MwinyimvuaOmary 5 месяцев назад
Tumekusikia maalim ila lugha unayotumia Kwa huyo shekh sio sawa ktk maadili ya uislm Kauli ya kusema et balahiyani Hana aqili hili halipo sawa au una DALILI ya Hilo ? Au yeye alikutaja na akakutoa aqili ? Kuwa na heshma naue na nidham Kwa watu wazima pambaneni kwenye hoja tu nasio kuondosheana heshima acha CHUKI binafsika
@princefeisla3692
@princefeisla3692 5 месяцев назад
Yaani Nynyi mukitoa maneno makali hamusemi mwenzenu akishinda hoja mnamteftilia sababu🤣🤣🤣
@alishaame1241
@alishaame1241 4 месяца назад
Kua na adabu na nidhamu katika uislamu
@MohamefMullah
@MohamefMullah 5 месяцев назад
Mawahabi hata kama utawafahamisha jambo la haki na ikawa wamefaham bado wahabi atapinga, sijui uwelewa wao ni mdogo au ni kutokusoma wallah ;kuwa Wahabi ni mtihan wahabi ni pote la kukufurisha waislam tu
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 5 месяцев назад
Kwanza usile kiapo pasipo naushahidi wakutosha akhy hii nidini,swali lamsingi kwako katika mada aloongea ustadhi haji je haki iko wapi naupotevu uko wapi kwamujibu wavitabu,,,swali lapili umesema mawahabi kazi yao nikukufurisha tu swali liko hapa kwanza nani mwnye mamlaka yakumkufurisha mtu na lingine nimambo mangapi mtu anatakiwa kuyajua kabla yakumkufurisha mtu naomba majibu naamini umesoma akhy mana umesema mawahabi hawana elim naomba faida yakielmu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 5 месяцев назад
Umekufurishwa na nin mana masufi waomba makaburi ndo nyie
@aminaosman3315
@aminaosman3315 4 месяца назад
,Kwanza huyo barahiyani kashika msahafu mwezi Ramadhan I kuapa uongo kawadhulumu mayatima marhum said janjira na kumfungulia mamkumsimamisha mahakama I kuwa NI mvamizi Allah atamzalilisha hapa duniani kesho akhera lnshaalahyao mjane kumsim
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 4 месяца назад
@@aminaosman3315 kama angekua sio mvamizi kwann hajashinda kesi mahakamani sasa
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 4 месяца назад
Kwani mawahabi ni nani?
@masudbasra566
@masudbasra566 5 месяцев назад
Wewe huna akili wa elimu na huyu kijana nimpuuzi wa kipemba
@Ustadhihamza
@Ustadhihamza 5 месяцев назад
Acha zarau wapemba sio wapuuzi mpuuzi ni wewe
@user-jy2lo6gl9u
@user-jy2lo6gl9u 5 месяцев назад
Toa hoja usitukane shekh
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 4 месяца назад
Hatta kama unatuchukia wapemba. Jiangalie nafasi mbele ya Mungu, chunga sana kauli yako
Далее
Majibu kwa mpiga kelele  (Abu Khaula) Allah amuongoze
26:12
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ #cat
00:38