Тёмный

Uongo wa Mawahabi juu ya Allah na Mtume wake (Sehemu ya 1) : Ustadh Haji Upepo 

Haji Upepo Online tv
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 155   
@GjhBjhhj
@GjhBjhhj Месяц назад
Je twaomba sana tupate wazamini tupeleke watoto wasome huko alazari chuo hicho Kiko na masomo.mazuri sana
@user-zj7uc6hg4i
@user-zj7uc6hg4i 29 дней назад
Maalim upepo Allah akuhifadhi Uwahabi ni tatizo sn
@amiriadamu5256
@amiriadamu5256 25 дней назад
Soma mzee uyo nisawa na nguruwe pori ana elimu
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 23 дня назад
Wee mjinga sana kumbe allah akuongoze yani mshenzi wew unataka kumkosoa sheikh uthaymin kwelii ulamaaa uyoo duh!!!
@ilyasawadh6375
@ilyasawadh6375 Месяц назад
Allah akupe umri zaidi, afya , afwa, na awalinde nyote na akufanye maaruf hapa duniani na akhira mpaka jaanatu FIRDAUS AALA. AMIIN THUMMA AMIIN.
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 Месяц назад
Allah akuruzuku elimu naufahamu wahali yajuu ustadh Haji upate kulipoteza pote lakiyahudi
@sama-_8368
@sama-_8368 Месяц назад
Aamiyn kwa idhini ya Allah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@sama-_8368 pote la kiyahudi mbona mashekhe zenu wanakwenda kuomba mayet za masharifu makaburini ile nini so shirki na shirki ukafiri au si ukafiri unatuhumu wahabi wakati ulipo uozo mtupu wale waabudiao makaburi bila shaka wamekufuru sasa mashekhe zenu wanatafuta baraka na kusujudia makaburi wazi wazi minnna video hapa lete ni za watssap nikurushie uone ujinga wa masufi
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 23 дня назад
​@@sama-_8368acha uwoga we mgangaa
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад
ALLAH AKUPE AFYA NNJEMA UMRI TWAWIL TUZIDI KUFAIDIKA NA MAWAIDHA YAKO MAZURI NA YAKWELI NA YASIYO NA USHABIKI WA DINI BALI UNAELIMISHA PALE PENYE UONGO ZIDI YA DINI YETU YA KIISLAM ALLAH AWAONGOZE WALIO POTEZWA NA MAWAHABI ALLAH ATUJAALIYE MASHIKAMANO KATIKA DINI YETU YA UISLAM NA ATULINDE NA MAFASIKI AMIN
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Месяц назад
Maashaallah
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw Месяц назад
Tunafaidika na we sheikh langu
@MwalimJecha
@MwalimJecha Месяц назад
Kwa zama zetu za Sasa hivi tunahitaji sana wazidi kujitokeza mashekhe km Hawa Ili dini yetu isipotezee na Hawa mawahabi.
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад
AMIN
@issamkwanda3382
@issamkwanda3382 Месяц назад
Tunakuelewa shekhe wetu, jazaakaallahu khaira. Allah akuhifadhi
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Месяц назад
MOLA akubarik sheikh haji watakuelewa tu inshallah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Toka lini wahabi akamuelewa khurafi jitu la bidaa ah ah ah yani mtu aache hakki awafate ninyi watu wa batwil subutu mnajisumbua bure kila kukicha watu wanaielewa sunnah kufeni na mabidaa yenu
@abiabi9353
@abiabi9353 Месяц назад
​@@user-yj5on8cz3eHaha hawa Mawahabi ni walevi wa gongo nini mbona hawaelewki. Eti wanadai itikdai yao ya mungu kuchoka ndo itikadi ya haki.really? Hivi mnaakili timamu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@abiabi9353 kasome kwani dini ndo utukane watu unatukana watu wakati msingi wako mwenyewe ni batwil hujui unajiona uko sawa msomi awezi kuwa jisufi jitu la kuabudia makaburi na kuzusha bidaa na watu wa bidaa wote sura zenu Allah kazitowa nuru wachunguze sana wazushi utagundua sura zao awana nuru kabisa we hujui kitu katika huo usufi unaenda tuuh kusubil maulidi upige twari ule pilau ushushie na maji ukalale usufi ni upumbavu kabisa mnaoita mabarabarani na bendela zenu mnazikiri za kukohowa zile kama waganga wa kienyeji wanaita majini vile huu huhuu uliona wapi kumtaja mungu kunguruma wengine wanadondoka chini masheitwani yanawapanda kichwani nini ww yani ujinga umejaa huko sema mungu akuongoze na sisi tulikuwa kama ww tukaona mbona tunafanya ujinga atimae tumekomboka kutoka huko guzani
@AbdulLiumbo-gz2qs
@AbdulLiumbo-gz2qs Месяц назад
@@abiabi9353 kwanza ukiwa muhabi chakwanza unakosa akili
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@abiabi9353 waulize mashekhe wako wanaoomba makaburi kwa masharifu waulize kwani huyu alooza chini atakunufaisha nini ni akili au gingi ukipata jibu ndo urudi kwa wahabi unaowasema
@hassanrangambo8007
@hassanrangambo8007 Месяц назад
Mashalla sheikh tunaelimika tunazidi kuielewa dini mpya tawi la ukatoliki tatizo lao kubwa kunukuu sio fani ndio maana wana lalamika unatukana wanavyuoni
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Ww muulize kiongozi wako na mashekh zako wanaomba mayt za masharifu makaburini mbona husemi kuwa tunakufuru jamani saasa ikiwa shekhe lako la kisufi anasimama mtu anakwambia tunaomba aya na hadithi inayokataza kuwaomba mayt si manake ni halali kwenu kuomba makaburini na kusujudu kabisa asixee masufi mmepotea xana na mnadanganywa sana ila mtawalaumu viongozi wenu ndo wanaowazuilia na njia ya hakki sabu siku ya kiama kuna makundi yataadhibiwa na watu watawalaumu viongozi wao ikiwa ninyi ndo mlitupoteza nao watawaridishia nyie nanyi mlitufata wenyewe kuwa makini sufi upo kizani xana hujui hilo
@AbdalaMbaraua
@AbdalaMbaraua Месяц назад
Allhamdu lillahi Rabil Allamina
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
YARABI YARAHMAN YARAHIM ani samehe thambi zangu wazazi wangu na utu kinge na shirki amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲 🤲🤲🤲 utujaaliye
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Mbona shekhe zenu wanaenda kusujudia makaburi ya masharifu wanasema hatuombi tunatafuta baraka kutafuta baraka kwa mayt alooza so kwa Allah ile nini shirki au so shirki unaongizwa na watu wanaoomba makaburi bado unajiona upo katika usalama uko ulipo shirki ni ukafiri au si ukafiri na kama shekhe wanao muongoza ww je mfuasi utakuwa katika kundi gani ikiwa waongoza kundi wanafanya shirki
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Месяц назад
UPEPO UJIANDAE NA HOJA MBELE YA ALLAH MAANA UNAWAPOTEZA WENGI KATIKA MAMBUMBUMBU AMBAO KICHWANI HAWANA KITU.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Месяц назад
Kweli.we ni pimbi wa kiwahabiya
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Месяц назад
Hoja hupingwa kwa hoja Lete hoja zako za kumpinga ustadh Haji
@abiabi9353
@abiabi9353 Месяц назад
Haha mawahabi majahili kweli. Yani wewe unayeamini mungu anachuka ndo unakitu kichwani?
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Месяц назад
@@abiabi9353 Na wewe ulie na fasaha zaidi na kuleta ta awil ya mambo kumshinda Mtume ndio mwehu
@abiabi9353
@abiabi9353 Месяц назад
@@HashimSalim-qj7zn mawahabi ni majahili kwanza hawajui lugha, pili hawajui hata aya na hadith zinavyotafsiriwa.wao naakili zao fupi hudhani Allah anaweza kuwa na viungo pamoja nakuwa aya chungu nziwa zimepinga hilo. Lkn mawahabi ni majahilun murakabun, sumun bukumun.
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Месяц назад
شيخ حاج محمد بن شمس الدين هذا الرجل حتى الوهابية تعبوا منه
@mngwaliis-haka5348
@mngwaliis-haka5348 Месяц назад
Allah akuĵaze elmu ndugu yangu unatufunuaa sana
@alkhariaha
@alkhariaha Месяц назад
Allah atuongoze. Subuhana Allaha
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Месяц назад
Tuwekee sauti kubwa
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 Месяц назад
ففي الأية 67 من سورة التوبة يقول الرب تبارك وتعالى "الْمُنافِقُونَ وَالْمُنافِقاتُ بَعْضُهُمْ مِنْ بَعْضٍ يَأْمُرُونَ بِالْمُنْكَرِ وَيَنْهَوْنَ عَنِ الْمَعْرُوفِ وَيَقْبِضُونَ أَيْدِيَهُمْ نَسُوا اللَّهَ فَنَسِيَهُمْ إِنَّ الْمُنافِقِينَ هُمُ الْفاسِقُونَ"، Mawahabi TWAMBIENI Hapa Allaah *Anasifa ya kusahau*???😮
@suleimanjuma1458
@suleimanjuma1458 Месяц назад
Allah akuongoze wewe kijana
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s Месяц назад
Wewe hutaki kuongozwa...
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад
AMIN AMUONGOZE KATIKA KUTUELIMISHA NA TUWAJUWE MAFASIKI WA DINI YETU YA KIISLAM MAYAHUDI TUWASHINDE AMIN
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s Месяц назад
@salumhassanallymkurdistan7006 na mawakala wao ambao nimawahabi wakisikia kutajwa kwa Mtume Muhammad "salallahualyhiwsallam" wanalipuka kwa hasira.
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Sheikh weka wazi ukafiri wao Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Watu wa bidaa mnamatatizo ya kuelewa kidogo nadhani alowaroga kafa ndomana mpo mpo tuuh hamjui mlifanyalo
@AbdulLiumbo-gz2qs
@AbdulLiumbo-gz2qs Месяц назад
Mawahabi ni wakristo wanaoingia msikitini na hawawezi kuzinduka maana wengi wao wajinga tu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@AbdulLiumbo-gz2qs tubia kwa mola wako kabla hujafa maana ujitambui ulisemalo kama mtu anamfata mtume muhammadi na kutamkubali Allah anakuwa kafiri basi inamaana mtume akufundisha ukristo?? Kumbe hujitambui kaa chini usome dini kibri na jeuri havitokusaidia kitu, kufata mikumbo kubaya sana
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@AbdulLiumbo-gz2qs hata kujuwa misingi inayomtoa mtu kwenye uislamu hujui unajifanya ww mkufurishaji watu hata nikikuuliza lete mambo makubwa mawili yanayomtoa mtu katika uislamu hujui na usikute hata kuswali kwenye huswali unakufurusha watu we unajuwa mwisho wako utaenda wapi? Au kundi ulilopo ni sahihi au so sahihi ikiwa unamtukana akawa sahihi na ww hukawa kwenye batwil utaenda kueleza nini kwa mola wako shibe na pumzi ndo vinavyo kuhadaa ww huna khofu na allah na usihukumu jambo isipokuwa na ilmu nalo usije ukumiwa ww maana kaburi letu sote mauty yetu sote tumepishana muda na saaa usiishi kana kwamba utaishi milele ishi kana kwamba ntaondoka muda wowote na ntaenda ulizwa umejipa unabii au uungu kukufurisha waislamu mche allah na utubu kwa tamko lako la kifezuli
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@IbraFareed umevaa kofia na kanzu utasemwa mwislamu kweli kumbe ni jahli katika majahil mpk leo hujui maana ya kaafiri mbona shekhe wako wa kisufi anaendaa makaburini kuoomba maiyt za masharifu na kusujudia mfu mbona huulizi ni ibada gani hiyo makubuli ni halali yenu kuyasujudia twarika mmepotea sana na hamtoiona hakki sabu mmefata matamanio ya nafsi zenu kuliko hakki
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 Месяц назад
Ah unarudia matapishi Tu ww niupepo Tu kamalilivyojinalako
@fadhilmsawa9195
@fadhilmsawa9195 Месяц назад
Namuomba Allah akupe ufahamu
@alkhariaha
@alkhariaha Месяц назад
Subuhana Allah. Jitambue
@kherimakame212
@kherimakame212 Месяц назад
mung akujaze kheir na umri mrefu utupe faida
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Usiangalie comments mche Allah
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Huwezi jua akidi ya ahal sunna mpaka ukae chini usomeshwe kwanza hii nimanihaj ya elimu rejea Kafka kitabu kiitwacho lumu-atul itqaad soma kikosoe ruhsa unapewa usilete falsafa katika dini ya Allah akhy
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Una shubha huna hoja wallaah naapa
@tumainizaidu7095
@tumainizaidu7095 Месяц назад
ما شاء الله
@mealiipafu-wg7dx
@mealiipafu-wg7dx Месяц назад
Subhanallah
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Месяц назад
أيدك الله
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Unapotosha umma huna hofu juu yahilo vip siku yaqiyama ukiulizwa kuhusu maneno yako hayo.muda utumiao kupotosha kaa chini usome
@ABASIKIKUMBI
@ABASIKIKUMBI Месяц назад
sheikh tunaomba maiki yako isogeze karibu na mdomo wako maana unasikika sauti ya chini tena besi kama ikiwa tunasikiliza kwenye sabufa.
@binzubeir6510
@binzubeir6510 Месяц назад
Swa Tumekusikia MWANACHUONI weee.
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Месяц назад
Kweli huyuu muwahabi ni mlevii 😢
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 Месяц назад
Twayyib
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Месяц назад
Sio kweli sikiza mwenyewe sio Al akj Hajj
@Theworld123om
@Theworld123om Месяц назад
ustadh mnakosea wapi nyie na ikhtlaf ziko zinazosema hvo..... Hamuna mada au
@NassorAlly-x8b
@NassorAlly-x8b Месяц назад
Ndugu,maneno yako unayo zungumza hayana rutba yoyote bali unazungumza kwa chuki nakuto kujuwa ila tambua kuwa wewe umepotea zaidi kuliko mzee wa upako.
@SuolFat
@SuolFat Месяц назад
Uwahabi ni ushenzi
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Месяц назад
UYAHUDI KRISTO
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s Месяц назад
Mawahabi si waislam, wana jambo lao ili wafanikiwe lazima wapite mahali kupata wafuasi nako ni kwa kuwadilisha waislam
@Masta2024
@Masta2024 Месяц назад
Sheikh unaweza nisaidia hiyo hadithi. Inapatikana kitabu gani
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd Месяц назад
weka wazi ukafr wao
@alkhariaha
@alkhariaha Месяц назад
Subuhana Allah
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Месяц назад
Kweli huyuu
@user-yi1oi8rs6v
@user-yi1oi8rs6v Месяц назад
HAJASEMA N BORA BALI KASEMA SHARI/MADHARA.
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Unaelewa mantiki au unacomment tu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Месяц назад
Ni sawa tu kusem KUZINI ni bora kuliko BİDAA Unatikiwa kutafakari usiwe kama Upepo Hajji! 😅😅
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Mkosoe kielimu sio unalalamika KULALAMIKA KWAKO HAKUTUSAIDII KITU
@abiabi9353
@abiabi9353 Месяц назад
Nilivyochunguza kwanini mawahabi jadida na mawahabi wengine wanagongana nikwasababu wote wanatafsiri potofu ya neno bidaa
@AliBuya-nv3ym
@AliBuya-nv3ym Месяц назад
Wape wape Doz Na Wameze
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Месяц назад
HAJI UPEPO SIJUI UMEKWAMA WAPI MAANA UNACHOKISEMA HAKIINGII AKILINI KWA WENYE AKILI ILA NDIO MTIHANI ULIO NAO MPAKA SASA PADO HUJAIJUA HAKI PAMOJA NA KUSHIKA KWAKO VITABU
@HemedSerious
@HemedSerious Месяц назад
Ww tu ndio humuelewi au una akili peke yko
@HemedSerious
@HemedSerious Месяц назад
Huelewi nn mpuuzi ww
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 Месяц назад
@@HemedSerious sheikh lako jisufi kapinda ahlu bidaa
@rushu1232
@rushu1232 Месяц назад
Huwezi kuelewa kitu ambacho hutakikuelewa.
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Месяц назад
@@HemedSerious Pole sana kwa maradhi ulio nayo
@user-hf4pb7wi1j
@user-hf4pb7wi1j Месяц назад
Aji upepo unakana wewe
@muftihassan5634
@muftihassan5634 Месяц назад
Acha uboya upepo huna elimuu yyte kaa usomee tauhid umejaa chukii tu na ubabaishajii
@user-hf4pb7wi1j
@user-hf4pb7wi1j Месяц назад
We upepo wewe haukuwa soma
@MohamedMagulu
@MohamedMagulu Месяц назад
Kumbe upepo ndio ww nlikua sikujui,hunalolote chuki2 kwawatu wasunnah ,
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 Месяц назад
Huyu hata lugha pia ni tabu, neno Akaffu na khairun maana yake ni moja? Kwa hiyo mkono Allah haja jithibitishia? Alipo sema لما خلقت بيدي. Alie mthibitishia ni nani? Wewe Kweli ni upepo
@hassanmzandy1421
@hassanmzandy1421 Месяц назад
Kama utaendelea kuwasem vibay wanavyuo na wote wanaoshikaman na sunna Allah atakufedhehesha kwalolote udhalilike
@MAPETEE
@MAPETEE Месяц назад
Je ww baba yako na mama yako wata fedheheshwa nanini
@Rooney1184
@Rooney1184 Месяц назад
​@@MAPETEEDuh Subhanallah 😢
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Месяц назад
Mbona hao mashekh wako wakiwasema vibaya maulamaa unawaombea Allah awadhalilishe?
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 Месяц назад
@@Dr-ubaida965 kama ulamaa gani kwa mfano
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s Месяц назад
Hapo kwa kuilaani alazhaar ambapo kuna masheikh mbali mbali si kulaani masheikh. Daah yaani mawahabi woote maadui zao ni waislam.. hatari 😮😮
@babuimam550
@babuimam550 Месяц назад
Mawahabi acheni ukafiri
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Mbona humwambii shekh zako waache kwenda kuomba mayt za masharifu shirki ni nini so ukafiri??
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Месяц назад
Wallahi wewe usipotubu utakua kuni za motoni
@Theworld123om
@Theworld123om Месяц назад
munatafuta kiki mpaka ma ustadh
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Месяц назад
😂😂😂😂amakweli leo nimeelewa kua wewe hujui kiarabu au unapotosha. Ah subhana llah majahil wengi sana😅😅😅😅😅
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya Месяц назад
Hashim Salim hebu tupe faida sisi ma mambumbu ili ututoe umbumbumbu umbumbumbu wetu nini alim hashim
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Месяц назад
ila me niulizu kwa iyo shekh umesomea ivo tuu kukosowa watu au maana xjawahi ona labda una darsa za tafsir qur an n mambo mengine wew ndo ivoo tu xjaona adii sasa kama unamtangaza ALLAH au unafanya daawa yani ww umekuwa kama mchonganishi wa uislamu wallah
@AbdulLiumbo-gz2qs
@AbdulLiumbo-gz2qs Месяц назад
Jipime kichwani wewe muhabi unaona anafanya jambo baya kuwaokoa watu na ukristo wenu mliokuwa nao?
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku Месяц назад
😂😂😂 umenifurahisha kwa swali lako fact hata mie najiulizaga
@abuuraslani4133
@abuuraslani4133 Месяц назад
Haji upepo kasome ndugiangu
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 Месяц назад
Huyo Jamaa anatafuta Umaarufu wakutaka kufanya Jidali na Azhary kila siku Wakati Elimu yenyewe hana
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Mkosoe kielimu sio unalalamika KULALAMIKA KWAKO HAKUTUSAIDII KITU
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Ww mtoto kasome bado ilmu huna wew bidaa zinakusumbua huna unachojuwa kiilmu bado sana
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Mkosoe kielimu sio unalalamika KULALAMIKA KWAKO HAKUTUSAIDII KITU
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@IbraFareed hujui kmitu ungekuwa umesoma usingemuityaa mwislamu kafiri ukiona mtu anaita watu ovyo ovyo ni katika khawwriji sasa usikute na kwenye hilo kundi na ww umo
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
@@user-yj5on8cz3e kajifunze kwanza kuandika afu uje kucomment Kuandika bado hujui
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@IbraFareed ww jitu la bidaa, kasubili wali wa khitima hakuna unachojuwa zaidi ya uzushi, ukifatilia sana ahlu bidaa sura zenu zinakosa nuru kwa kule kuzusha zusha urongo, mtu anakunywa makohozi ya shekhe lake eti anapewa kalama subbuhanna llah, ndo imamu shafi alisema mtu kuingia katika usufi haifiki asubuhi ashakuwa mpumbavu, hamna akili nyote na upepo wenu huyo ilmu za michungwani nani ndo atamsikiliza zaidi watu wapumbavu wenzie, ndomana watu wanakipuuza hawakijibu wanachukulia hana akili sawa sawa. Hivi uliona mbwa kichaa akabweka na ww ukamfukuza nani ataonekana kichaa mtasemaa wee kila siku watu wanajijuwa sunnah wanakimbia huko wanawaacha na misikiti yenu yenye makaburi ndani.
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Месяц назад
Ni kweli jamaa kasimea kukosowa tuu Wala hajifaham hamtangazi ALLAH Wala hamrish kher na kukataza shari yeye ni mgombanish wa uislam hafai na Hana elmu kwa kweli kasimea umbea​@@IbraFareed
@rushu1232
@rushu1232 Месяц назад
Hebu watu wasome tareikh Azhar shariff inazaidi ya miaka 1000 na jamia za Saudia labda miaka 300 saudia ilipopata mafuta ndipo walipojenga hizo jamia zao walimu na masheikh walitoka masri kuja kusomesha huyo sheikh wakiwahabi ni mpuzi.
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Месяц назад
Kwa iyo inamaana wew ndo msomi na kila kitu unajuwa maana ndo kazi yako kukosowa tuu unachekesha xana broo amini na huna ata sifa za ushekh hadi mashekh wa makka umewakosowa wew nd unajuwa zaid yao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hatr yani ww mwamba xjuw ata umesoma wapi
@NassorAlly-x8b
@NassorAlly-x8b Месяц назад
Muongo mkubwa,utaangamiya wewe unafunza ,usichokijuwa.
@VuaiMuhidini
@VuaiMuhidini Месяц назад
Wacha kupotosha umma nakutaka umaarufu wakijinga naukumubuke umaarufu hautafutwi bali hua unakuja wenyewe
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Месяц назад
Kwahiyo huyo shamshu din hujamsikia akiongea pumba au Kwa sbb ni muhabi mwenzako huoni km anakosea
@VuaiMuhidini
@VuaiMuhidini Месяц назад
@@mhusinigau3231 hata iweje ila hicho kitoto kimezidi kila kit kinajifanya kinajua kinatukana maulamaa wakt hata robo ya elimu yao hajaifikia wanachuon wakubwa woote wazama zetu ameshawatukana yeye km anajiona anajua naaombe niqashi halafu ndy atajijua nafas yake
@VuaiMuhidini
@VuaiMuhidini Месяц назад
@@mhusinigau3231 kwa akili yake ndogo anajiona kua yeye ni sheikh kisa t anazungumza kwenye media wakt hat kusoma ibara hajajua
@suleimanjuma1458
@suleimanjuma1458 Месяц назад
Huyu kijana nimptoshaji jamani jitahadharini nae
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Месяц назад
Labda ww utakuwa mjinga
@sadru5710
@sadru5710 Месяц назад
hiki ni kibaraka cha Yussuf diwani...
@user-kd1vp7cz5w
@user-kd1vp7cz5w Месяц назад
Kweli
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Mkosoe kielimu sio unalalamika KULALAMIKA KWAKO HAKUTUSAIDII KITU
@abuumaryam7970
@abuumaryam7970 Месяц назад
MUFTI WA MCHINA MWISHO😂😂😂
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr Месяц назад
Kwani nyinyi simlisema bora ya Jamaica kuliko., Mji mtukufu wa Makka wewe huna adabu kenge wewe
@IbraFareed
@IbraFareed Месяц назад
Wewe unaonekana kabisa hata uislam haujui
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr Месяц назад
@@IbraFareed nyinyi tu mnajua bidaa wakubwa uisilam ni uzushi
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Месяц назад
Unajua kwanini Shekh alisema vile? Hebu tuambie jee kuwa mwisilamu ndio kusema umekamilika huna mapungufu au hutendi dhambi? Jee Saud Arabia kuwa nchi tukufu inapoenda Kinyume na uislam na Quran jee tuifuate tu kisa ni nchi tukufu? Kwani hujui unaweza kuwa unaswali lakini bado ni mwizi au mzinzi? Jee ukiwa hivyo wewe utakuwa mwislam au sio? Jee unajua kwanini kuna tofauti ya mwislam na muumini? Jee mtume MUHAMMAD S. A. W aliwahi kutuamrisha tufuate ufalme wa Saudia au ariamlisha tufuate misingi sahihi ya uislam? Jamaica kuwa bora maana yake kwanza sio nchi ya kiislam lakini uislam unasauti na waislam na mashekh wanaheshima kuliko Saud Arabia hio ndio ilikuwa maana ya shekh Izzudini. Angalia saivi Saud Arabia hadi pombe wanauza na mashekh hawana nguvu zaidi ya ufalme wenye nasaba za kizungu na Israel.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Месяц назад
Acha uwongo nitumie hyo clip ya izudin km kasema Jamaica au saudia,acha unafiq
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Месяц назад
Uwe sufi msimamo wako niupi kwanda Uwe huna aqidah
@user-yi1oi8rs6v
@user-yi1oi8rs6v Месяц назад
UMEMDHULUMU KTK KUFANYA TARJAMA YA MANENO AYOYASEMA KTK LUGHA YA KIARABU. NI KWANN WEWE UTUMIE UDANGANYIFU. FANYA INSWAAFU KWA HUYO SHAMSU DDINI.
@bagalucha
@bagalucha Месяц назад
Kwani ana jua kiarabu???
@AbdulLiumbo-gz2qs
@AbdulLiumbo-gz2qs Месяц назад
Kwakuwa mawahabi lugha hamjui ndio maana mmekuwa wakristo bila kujijua,hapa Shekh Haji ujamuelewa kwa lipi acheni ukatoliki wenu nyinyi mawahabi
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Месяц назад
Maashaallah
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Una shubha huna hoja wallaah naapa
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45