Тёмный

Kauli ya CHADEMA baada ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 7 лет назад
huna haya ndy mnavyo jidanganya ovyo fyoooooko 😂😂😂😂😂Yey kamua kuhama ahametu......Yaani sawa nakuolewa.....Mwanaume kakukataa unaanza kusema Mwanaume Yule hajui mapenzi....Baada yakuwachwa nawaskati umeamka nae miaka 10 Mungu ibariki Tanzania yetu
@gabrielihagula9949
@gabrielihagula9949 7 лет назад
Kila m2 na fikila zake yeye mwenyewe kaamua kuamia chadema yupo sahiiVizur sana wema👍👍👍👍👍👍
@evaraphael2516
@evaraphael2516 7 лет назад
gabriel ihagula .has the right to join any registered political party of her wish, that is democracy.
@emmyleonard5939
@emmyleonard5939 7 лет назад
safi sana wema tuko pamoja team wema ten ukawa
@madichamasawe6591
@madichamasawe6591 7 лет назад
umependeza sana wema safi saaana usiogope maneno ya wakosaji go go goooo wema
@yohanashija5260
@yohanashija5260 7 лет назад
tulia wema
@MaryamMaryam-nt5so
@MaryamMaryam-nt5so 7 лет назад
nawapa pole ccm 😀😀😀😀😀😀😀pole sana nilikimbia tzd kwa unyama tulifika kulala na mbwaa mwisho wake nilikimbia kwa ushenzi wao
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 7 лет назад
Mafisadi mateja na wauza sura rukswa chadema. Someni alama za nyakati. Hapa KAZI TUU. Mtaisoma namba2020.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Rosena Milia ccm oyeeeeeeee
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 7 лет назад
azh zha yassin CCM JUU KWA JUU. Haitingishiki. Imara kama jabali.
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 лет назад
Sijashikiwa akili bado 2020 MAGUFURI ON FLEK
@Felix72282
@Felix72282 7 лет назад
Bon umepotea braza, hapo hamna kitu
@fafi9092
@fafi9092 7 лет назад
uko alikoenda mara yes mara no sijuh atahamia cuf hahahahaa ngoja tuone movie linavyoendelea
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 лет назад
pamoja sana Wema Sepetu ulipo nasi tupo wakati wote🎉💐💝👍
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Jasmin Asha kwan yy nani ccm htutk wvuta bangi penye ako ndio wanavuta
@eliudjustin5326
@eliudjustin5326 7 лет назад
jamani 2020 haifiki tuone wema ataelekea wapi tena kaishiwa chaongelewa kwenye mitandao kaona abuninjia mpya kukatazwa jambo namzazi wako ndokuletajeuri na kuzira kuamua kuhama nyumbani kwani ukihama wewe ndounaowapa wazeewako pesa yamatumiziii asubirie kivumbi 2020
@winjakalebela57
@winjakalebela57 7 лет назад
Wema ukigeuza nyuma mbele utapa MAWE sasa yamewaangukia chademaa daa mmebug kaz yenu kuokota vibovu . Ccm bwana raha sanaa
@rajabuabdallah3840
@rajabuabdallah3840 7 лет назад
Aise ssa mnajipa ujahili tuu hta masihi arud cheda kumilk nchi mpka ngmia apite kweny tundu la sindno hya ssa subrni eeeeee
@rehemaramadhani200
@rehemaramadhani200 7 лет назад
kwahiyo nyie mtakusanya watu wanao kula sembe siyo mumuogope mungu subhannallah 😢
@kilagane183
@kilagane183 7 лет назад
mmefeliiii wema ndio nani kwanzaaa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
samweli kilagane hta cjui barabara ya kwenda wpi haaahaa
@neajon617
@neajon617 7 лет назад
daah kweli! mungu anawaona
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 7 лет назад
tuache upuuzi tunafahamu wazi wazi kama wema mnafiki tu anajua toka mapema kama ccm sio ila alitaka maslahi yake leo wamemtenda ndo kaja upinzani mimi nilitaka afungwe jela asa sipendi kumuona mtu maarufu anazidi kukandamiza maskin kwa kutetea maslahi yake
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
ibrahim said nadir haswaaaaa
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 7 лет назад
Umeona azh zha wa tanzania tutaburutwa kila siku tuna upeo mdogo sana wa kufikiria
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 лет назад
kaja chadema kuwabadilisha wanaume kama kawaida yake. subirieni mtaona chadema. kama vipi ajiheshimu sasa
@georgemartinmartin5423
@georgemartinmartin5423 7 лет назад
wema ni mnafiki Hafai kitakua chama cha Wala unga
@andreamkuni8197
@andreamkuni8197 7 лет назад
Hakuna kazi hapo ndo tuna haribiwa chama tu.
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 лет назад
sawa jengeni ofisi basi maana kila siku kwenye mabanda ya kuku😂😂
@mikentoga1358
@mikentoga1358 7 лет назад
hahaha
@abuhurayrah3465
@abuhurayrah3465 7 лет назад
Raisi ashasema atasafisha chama hataki wanafki aende na hawa plan zao ni 0 Yan kisa ana fans basi tumfate popote akiingia kwny kisima na ss tuingie nooo bla bla staki kusikia
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Abu Hurayrah safiiiii
@shedyone5894
@shedyone5894 7 лет назад
Kwa nn baada ya kupata matatizo ndo ahamie ukawa?, alikuwa wapi kuhamia kabla hajapata matatizo!!.....Hapa hakuna kitu..
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Shedy One! haaahaa pumba tooo
@rizikialmas4877
@rizikialmas4877 7 лет назад
Eti wamfuate 2m na tuache 5k.😂😂😂😂😂😂😂😂fyuuuuuuuuuu
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 7 лет назад
😂😂😂😂 eti yenu huikumbuki unai kumbuka ya CCM mama ongea na mwanao ndugu zangu CCM chini ya Rais Magufuli 2020 ni zaidi ya#kimbunga na huyo wema kabla ya 2018 ataludi CCM mtakuja kunambia mimi ni KINGALU au TEKELO wa Nyanyiko😂😂😂😂😂 chezea JPM nchi tayari ishanyooka
@dismaspaskal775
@dismaspaskal775 7 лет назад
shinda papaya
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
shinda papaya shikamoo nimekupenda ghafla
@totoladinda3028
@totoladinda3028 7 лет назад
Riziki Almas washasign ata wanahesabiwa? au hesabu za abuanuasi😂😂😂😂
@vanscauz6513
@vanscauz6513 7 лет назад
kweriii bwana Mimi mwenyewe ni chadema ccm niliama longii kwasababu chadema ni demokrasia na mahendeleo
@pascoalphonce2911
@pascoalphonce2911 7 лет назад
Hakuna hata mmoja alie ng,ang,aniwa CCM
@philiponikwanduka8050
@philiponikwanduka8050 7 лет назад
nashauri chadema mtoe Maelezo kuhusu tuhumaa za wema bangi au unga sijasema nimuuza unga au bangi hixo nituhuma tu ambazo mahakama itatoa haki lkn chadema hili mnalionaje? napia tinajua rafu za makonda za kutaja majina ya watu hadharani tunajua ni udharirishaji na kuchafua majina ya watu lkn tayari jina LA wema limechafuliwa mnasemaje?
@blacknature7637
@blacknature7637 7 лет назад
karibu sana
@swimmermoddy2071
@swimmermoddy2071 7 лет назад
hamna kitu
@selemanmwambe9336
@selemanmwambe9336 7 лет назад
Dah Nakupenda Tanzania lakini kwa kauli hyo eti wafuasi wa wema wamfuate wema duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh yaani sasa nazidi kuamiani
@deusmyula1938
@deusmyula1938 7 лет назад
M ,,,ka shabiki wa wema ,,,,nshaungana nae ccm ifie huko 2020 wema bungeni ndo mtakomaaaaaaaaaaaaa
@suzymayunga835
@suzymayunga835 7 лет назад
asante
@ريهامالسريري-ل1ص
Pamoja sana chadema 2020 kitaeleweka inshaaallah
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 7 лет назад
choo cha shimo kimehamia chumban.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
masumbuko joseph haaaahaaa
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 7 лет назад
Great again Democracies Wema Sepeto songa mbele
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 лет назад
Huyo wema kwani ni nani Tz , mtu mwenyew hana msimamo yupo yupo hata km akihama kamwe ccm haiwezi kufa..
@musasaidi7973
@musasaidi7973 7 лет назад
WEMA ANA WAFUASI ILA NADHANI LOWASA ALIKUWA NA WAFUASI ZAIDI ILA MWISHO WA SIKU MMHH CCM SINA HAMU NAO
@anithapeter1346
@anithapeter1346 7 лет назад
mtawapata mateja who is wema by the way......
@yusuphsimon4656
@yusuphsimon4656 7 лет назад
Anitha Peter exactly who is her?
@brendaokumu8518
@brendaokumu8518 7 лет назад
YUSUPH BENELA is that we may God for Tanzanians.d have is only one person
@brendaokumu8518
@brendaokumu8518 7 лет назад
is that wema God of Tanzanians.???? she is only one person
@BennyChristian
@BennyChristian 7 лет назад
kwenda kule, wewe na mnyama wenu tid ndo mateja
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 7 лет назад
Anitha Peter she is no body waeende tyu sio wote wafuasi wa wema watafuata ambao hawana uelewa watafuata
@michaelpaul6657
@michaelpaul6657 6 лет назад
hivi huyu wema naye ni mwanasiasa? 😂😂😂 hivi hii nchi inaelekea wapi?
@emmabays9963
@emmabays9963 7 лет назад
chandema karbu wema achana na wanafki hapo paka kielewe
@faridamwanjalabaibe3077
@faridamwanjalabaibe3077 7 лет назад
UJINGA NA UKOSEFU WA MAADILI KAMA YE NDO ALIFANYA CCM KUINGIA MAMLAKANI MBONA KAKOSA UBUNGE KWA TAARIFA HATA CHA MZEE WA MTAA HAPATI
@swimmermoddy2071
@swimmermoddy2071 7 лет назад
kisa unga
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
upinza wnzenu kenye n kushawishi maendele nyinyi n kufata wanawake kwwnye manyumba kweli chadema ovyoooo ovyooooo siasa c vishindwa vya sakafun chama cha bangi
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 7 лет назад
To be fair, kila mtu anahaki ya kuchagua chama unachokitaka tukiachilia siasa. Sina chama mimi chama changu ni Tanzania.
@dominickidando1814
@dominickidando1814 7 лет назад
tanzania bwana ni shida
@chapachannel2155
@chapachannel2155 7 лет назад
Kumbe dhambi ni hatari sana ,tunayacheka magazeti ya udaku lakini huwa yana maana yake,et tumepiga hesabu,nani wakukubali kutembea uchi barabarani
@kigambontv9748
@kigambontv9748 7 лет назад
Hahahaaaa fuuuutuhiiiiii
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 лет назад
ccm ndio sumu ya watanzania haukuna jipya kutoka ccm jamani tokeni huko
@abuibra
@abuibra 7 лет назад
TUNA KUOMBEENI MUNGU MPATE WATU KAMA HAO WOTE.
@kingsdaughter2040
@kingsdaughter2040 7 лет назад
if someone cannot fight the grounds your stepping on and running to other hands that's confusion
@jallygabriel5715
@jallygabriel5715 7 лет назад
karibu kamanda tuendeleze mapambano
@andreamkuni8197
@andreamkuni8197 7 лет назад
Madawa ya kulevya aache
@edsonsign9441
@edsonsign9441 6 лет назад
wasani wa aina gani? we jackob kichwa kikubwa akili huna. yaan unashereheke wema basi subir maumivu.
@Felix72282
@Felix72282 7 лет назад
Mahesabu ya kijinga sana
@pendwatvgft6820
@pendwatvgft6820 7 лет назад
apo penyewe
@pendwatvgft6820
@pendwatvgft6820 7 лет назад
Wema wako ujae cdm m4c
@ramambongo4069
@ramambongo4069 7 лет назад
ibrahim acha roho mbaya
@brendaokumu8518
@brendaokumu8518 7 лет назад
huyu mama pia hasaidi mando. kuuza tu sura
@fabiankapela3760
@fabiankapela3760 7 лет назад
Na mm kesho nahamia ukawa
@ريهامالسريري-ل1ص
Wanademocrasia tumekuelewa achana nao wajinga wanaokubeza karbu chademan pipooooo&pawaaaaa
@pascoalphonce2911
@pascoalphonce2911 7 лет назад
Yaani wewe muongeaji hesabu zako za ajabu sana
@beatusshayo2037
@beatusshayo2037 7 лет назад
Siasa bhana
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 лет назад
safi sana wema
@erastokibiki4178
@erastokibiki4178 7 лет назад
endless fame
@fellylove536
@fellylove536 7 лет назад
pipooooo pawaaaaaaaaaa
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 7 лет назад
Felly love Ngadaaaaa....
@Toptown92
@Toptown92 7 лет назад
biashara yako ndogo
@zinapz5251
@zinapz5251 7 лет назад
aaaa haha sielewi
@rahyaomari8211
@rahyaomari8211 7 лет назад
mtawapata wauza unga
@annamlenga7370
@annamlenga7370 7 лет назад
m
@blacknature7637
@blacknature7637 7 лет назад
karibu sana
@georgemartinmartin5423
@georgemartinmartin5423 7 лет назад
wema ni mnafiki Hafai kitakua chama cha Wala unga
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
George Martin Martin haaahaana kuzaa bangi
@georgemartinmartin5423
@georgemartinmartin5423 7 лет назад
ki vp
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
George Martin Martin safiii hna jipya
@georgemartinmartin5423
@georgemartinmartin5423 7 лет назад
kweli
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 407 тыс.