Тёмный
No video :(

KAULI YA MASTER J AFICHUA TOFAUTI YA DIAMOND NA ALIKIBA, WAKIJAZA O2 ARENA NATOA MILIONI 50 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

1 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@user-bg1rr7if8k
@user-bg1rr7if8k 6 месяцев назад
Huu niukweli baba❤❤❤
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 6 месяцев назад
Na music siku hizi sio kuimba tu wala ku entertain tu. Unahitaji vyote, Diamond anaimba kiasi na ana entertain. Kama Burna boy, Davido wote hawana vocal na kipaji kikubwa cha kuimba ila watikisa dunia.
@cmaxfrans4654
@cmaxfrans4654 6 месяцев назад
Nje anae jaza ni Alikiba saw him in Toronto his show was full even in America at least huwa Ana sale out Tickets tho.
@fredylucas2484
@fredylucas2484 6 месяцев назад
Tutajie ukumbi uje unone alipiga show kwenye vibanda uiza, .Mwaka juzi Hamornize alipiga kwenye bar (Gwambina) Milton Keynes kwenye page yake ya insta kaandika kwa madaa
@cmaxfrans4654
@cmaxfrans4654 6 месяцев назад
Master J anashindwa kusema pia sababu nyingine ya wale kujaza ni population Yao iko kubwa sana all over the world. Na wanajua kusupport sasa yeye mtu Kama yeye kutwa kuwasema support yake iko wapi? Wale watu wana sapotiana bwana
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 6 месяцев назад
Si ndio hapo
@stanleymartin2943
@stanleymartin2943 6 месяцев назад
Ni kweli lkn uwezi kukumbuka vyote
@zakyanthonypaul4455
@zakyanthonypaul4455 6 месяцев назад
Kingine wanaimba kimombo ss kiswange hiki😊
@Elijahfondo.
@Elijahfondo. 5 месяцев назад
Mm ni mkenya but hiyo hujasema kitu unajua souti sol ,nyashyk ,otile echo254 ,masauti ,Mr og and more 😂😂😂😂 kaa Kwa kutulia
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 месяцев назад
Huo ndio ukweli
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 6 месяцев назад
Alaf masta jey kila siku kashika 02 arena 02 arena kama anashindwa kusaidia nini kifanyike aache kuwasema Sema wasanii wetu bana maana ata kama hawawezi kujaza apo walipo fika tu sihaba kulinganisha na walipo toka na isitoshe naijeria kuna wasanii wengi Ila sio wote wenye uwezo wakuijaza iyo arena
@fredylucas2484
@fredylucas2484 6 месяцев назад
Master Jay anakisema kina ukweli, hawa jamaa wakitaka kufika International wanatakiwa ku convince wadau yaani Mapromoter ili waweze kupiga katika hizo kumbi kubwa. Hao kina Burna na Davido hawajipeleki wenyewe wanapelekwa sababu wanaowapeleka wanajua watapata RETURN nzuri kwenye hizo show. Gharama ya kukodi O2 ni kati Pauni yaUigereza laki 2 mpaka laki 5 kwa siku
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 6 месяцев назад
@@fredylucas2484 yeye master jay Ana kazi ya kulaumu tu na kama mdau na mtayarishaji mkubwa kwenye tasnia hii ya bongo fleva ilitakiwa naye awe mstari wa mbele kudaidia japo ki mawazo ilala yeye ndio wa kwanza kulaumu tu hajaanza na leo hizi lawama mara wakajaze arena mara hawajui hiki Mara kile imetosha sasa tunataka tuone ana wasaidiaje maana kuna ambao hawajui ata pa kuanzia na kuna wanaojitahidi lakini kila uchwao tuna wapiga vita kutaka waje chini
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 6 месяцев назад
Yeye anawajua Davido, Wizkid, Burnaboy tu. Nigeria kuna wanamuziki lukuki wazuri na hawana uwezo wa kujaza O2 Arena
@sponsalfathedj8177
@sponsalfathedj8177 6 месяцев назад
Huwezi perform Arena msanii mmoja pekee bro , kujaza ni wasanii tofauti
@mamodelmam
@mamodelmam 6 месяцев назад
Mmh umetupiga apa mbn Burna Boy alijaza O2 Arena mwaka jana and he was the first ever African artist
@leotena8456
@leotena8456 6 месяцев назад
Which one 😀
@user-lv5vk6cs2p
@user-lv5vk6cs2p 6 месяцев назад
Mm hapa nilishawahi kumpataia daimando chains avae so swagg ziko za kutosha pande hizi
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 6 месяцев назад
Shida ni chuki ila harmo angekua mchaga weee angemsifia kwakua mmakonde mh chuki
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 6 месяцев назад
Nigeria Wana mtaji mkubwa wa watu , watz tuko wachache Sanaa UK. UK Kila dakika kumi huwezi kosa kutana na mnigeria, nimekaa UK kuonana na mtz ni Bahati Sanaa labda awe ndugu yako ndio utamuona ,lakin wanaigeria Kila siku huku wana sherehe mara birthday mara harusi , wana makanisa Yao piaa na ni matajiri pia. Garage nyingi za wanaigeria.sasa sisi ni ngumu kushindana na hao watu. Ni SAWA ushindanishe mwanamuziki mjeruman na marekani ni vitu viwili tofauti.
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha 6 месяцев назад
Sisi ni bora east africa tu sio 02 arena pekee sehemu yoyote ile wanigeria wapo mbali sana
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 6 месяцев назад
​@@MujuniKamugishahiv umewahi kujiuliza watu wanaojaza hapo ni wanigeria mostly na sio mataifa mengine? Umewah kujiuliza hili?
@emanuelkilangilo5585
@emanuelkilangilo5585 6 месяцев назад
Master J, na wee mshamba Tu , produza mkumbwa unashindana na watoto kama unataka umarufu imba basi. Ushasha heshima yako unaoneka matako
@k-lexmsanii4625
@k-lexmsanii4625 6 месяцев назад
Kenya iko juu wewe acha upuzi alafu huyo Kiba wakuimba ndio tuna mtambua sana huku Kenya kama hujui
@user-ny5ug4qo6c
@user-ny5ug4qo6c 6 месяцев назад
Wape ukweli bro.pia mm ni mkenya malindi
@imatisatv9239
@imatisatv9239 6 месяцев назад
Katika maproduce washamba kuwahi kutokea huyu yumo
@rockygappi1018
@rockygappi1018 6 месяцев назад
Eti master j mshamba..na wewe ni nani zuzu au kapuku??😅😅😅
@official_kingnabiryOg
@official_kingnabiryOg 6 месяцев назад
Iyu jamaa ipo siku harmonize at munyooshaa maana nikama Bado ana chuki na Harmonize
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 месяцев назад
Mashabiki wa Wasafi watakupiga nuklia daaaaa maana hawapendagi ukweli.
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 6 месяцев назад
Iyo million 50 anachukua platnumz after album
@badifundi6089
@badifundi6089 6 месяцев назад
Manara mwenyewe anazo hizo millioni 50 ameishiwa huyu bado upara tu
@adambakari9276
@adambakari9276 6 месяцев назад
Acheni utimu j alichoongea ni kweli mara ngap mond or mmakonde wanatoa oroza za shoo zake za nje za mwezi mzima lkn baada ya wiki unakuta kasharud bongo
@user-iq3gj8ks2u
@user-iq3gj8ks2u 6 месяцев назад
Which one😂😂😂😂 mjomba Rudi darasani bhana😅
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j 6 месяцев назад
Master j ww ni lengnd wa mziki njoo bc na solution yakupeleka mziki wetu kimataifa sio unaongea kauli zakuwakatisha watu taaa
@kaaniallan4560
@kaaniallan4560 6 месяцев назад
Ameshasema sana kama unaskiliza interview zake..
@murifella
@murifella 6 месяцев назад
Yani huu ni ukweli LIVE! Kutoa opinion mi naweza kusema hao kina diamond, I'm.sorry but they are not ambitious enough. They don't want huo huuinternational as much as they say it. There happy where they at..
@petermbogo2254
@petermbogo2254 6 месяцев назад
Uzuri Kenyans ni wasomi sana
@HAKHASH312
@HAKHASH312 6 месяцев назад
Usomi upi😂😂
@gidemeritus9644
@gidemeritus9644 6 месяцев назад
ni English tu sio usomi 😅😅😅
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 6 месяцев назад
😅😅😅
@mrh2812
@mrh2812 6 месяцев назад
Unga kilo mnanunua milioni😅😅
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 6 месяцев назад
Asa interview yote iko wap
@luckyboy_ke
@luckyboy_ke 6 месяцев назад
Eastafrica CHANNEL
@luckyboy_ke
@luckyboy_ke 6 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-kITppuRaPEo.htmlsi=y8xpg2u4FCzGmhTH
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j 6 месяцев назад
Kwahyo diamond aimbii ausio
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 6 месяцев назад
Huyu anajifanyaga mjuajiiiii Kwanza hiyo Ml 50 anayo ya kutoa?
@highvoltages4169
@highvoltages4169 6 месяцев назад
We haumjui master Jay? Ni mmiliki wa kampuni ya ujenzi wa magorofa inaitwa MM CONSTRUCTION
@jacqueli18
@jacqueli18 6 месяцев назад
Unamjua au unaongea tu...fatilia
@claudykinyamagoha8872
@claudykinyamagoha8872 6 месяцев назад
Mmtoe huyu dada hapendezei kuwa hapa anaharibu kipind
@user-fh8kf4nr2k
@user-fh8kf4nr2k 6 месяцев назад
Acha zako.. kenya iko mbali sana usilenganishe na Tanzanian
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 6 месяцев назад
Acha uwongo kenya na tz kimziki tz tunawazid
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 месяцев назад
Kwalipi
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 6 месяцев назад
Mbali kwa lipi?😮
@PeterDaniel-ju8kz
@PeterDaniel-ju8kz 6 месяцев назад
Mh mzik wakenya na bongo mzk wa bongo uko mbali xana
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 6 месяцев назад
​@@faidhamyovela179iko mbali vipi wakati tuna share boda apo ata kwa mguu tu unaingia kenya
@nalandayusuf641
@nalandayusuf641 6 месяцев назад
wapo wajinga wata mpinga Master jay ila anachoki ongeya ni ukweli ,huyu ni moja wa nguli miongoni mwa nguli walivyo simamisha bongo anajuwa vizuri anacho ki ongeya huyu kwenye muziki ni genius.mtazamo wa mkongomani anaye penda bongo fleva.
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 6 месяцев назад
Sisi wakenya tuko na akili kuliko wabongo mazuzu
@joejackson9282
@joejackson9282 6 месяцев назад
Akili zimewasaidia nn😂
@k-lexmsanii4625
@k-lexmsanii4625 6 месяцев назад
Kenya iko juu wewe acha upuzi alafu huyo Kiba wakuimba ndio tuna mtambua sana huku Kenya kama hujui
Далее
ELIUD KWENYE JUKWAA LA WAISA (PART 2)
12:53
Просмотров 370 тыс.
13 Карт - Мафия | 5 серия
08:51
Просмотров 297 тыс.