Daah big up sana kwa watu wa Moro maana mnaupendo sana na watu wenu Mungu awabariki sana na mkawe funzo na kwa wengine wenye roho mbaya na na chuki za ndani ndani na wana singizia misemo ya wahenga Mara utaskia nabii hakubariki kwao wapi labda kwenu na sim MORO. Kama nime someka uzuri usipite bila kugusa hapa