Тёмный

KAULI ZA MZEE MTATA WA YANGA ZA ZUA TAHARUKI/VIONGOZI WAKUBALI KUMUITA KUJADILI USHINDI 

KITENGE TV
Подписаться 132 тыс.
Просмотров 146 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 3 года назад
Huyu mzee ni Uto original 😂😂😂, na anaonekana anapenda sana kamati ya ufund nje ya uwanja.
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 года назад
Asante babu uko vizuri.
@jamilahbakari2177
@jamilahbakari2177 3 года назад
Asante babu kwa maneno mazuri uyo msola jamanii atoke tu anatuhalibia yanga yetu hadi tunakosa Raha na timu yetu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 года назад
Mzee Nampenda anaweka pia Maneno ya kingereza Tena kilicho poa kabisa
@abuwaleed01
@abuwaleed01 3 года назад
Mzee wa busara huyu...mzee noma 😂😂😂
@yusufukanyama682
@yusufukanyama682 3 года назад
Mzee kweli anaumia Kama sis wengne suala la viongozi ili
@moseschitanda1000
@moseschitanda1000 3 года назад
Huyu mzee apewe timu 😂😂😂 hapo ndipo sisi yanga tutabeba ubingwa🙌🙌🙌
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@ellienially1130
@ellienially1130 3 года назад
Me nimekuelewa sana mzee..wanazingua kichizi..hao viongoz
@BashilisaidyRamadhani-bq3yu
@BashilisaidyRamadhani-bq3yu 10 месяцев назад
mpiri yko sawa na kwasababu mnamzalau lazima mpigwe na simba
@aishabeka5562
@aishabeka5562 3 года назад
Ahsante mzee kwa kutuwakilisaha...ila hapo kwenye kufungwa kama pipi duuh🙆😳🏃🏃
@husseinshadia1139
@husseinshadia1139 3 года назад
Mmbo
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
Yanga polenii😂😂😂😂😂😂. Hakuna kulia Lia hapa. Kichapo simba anatembezaa
@ibrahimnkunguu6682
@ibrahimnkunguu6682 3 года назад
Pow
@abasilihundu200
@abasilihundu200 3 года назад
Cjui wanafanya club ni Mali ya baba yao!! 😂😂😂😂😂
@konshazikonsha6180
@konshazikonsha6180 3 года назад
Huyo Mzee Jabiri anaonekana Nuksi,Mzee M'bad🤣🤣🤣!!!!
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Adui😂
@bizzosniper4145
@bizzosniper4145 3 года назад
Daaah huyu mzee anaongea point kinoma na anaumia sana na yanga na kuna sehemu nimemnot vizuri anasema wachezaji wanatoka nchi nyingine na club zingine wakiwa wazuri kwanini wakifika yanga wanashindwa kufanya vizuriii 🤣🤣🤣 hawa ndo wazee wa mji na wanaijua dunia vizuriiii viongozi wamsikilize ana kitu
@olekumadumba1821
@olekumadumba1821 3 года назад
Kaka mau nakukubali Sana broo piga Kaz Kaka yanga ndo Tim bola tz
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 года назад
Sio bola ni bora kwanza pili muache kulalamika tff na marefa kumbe ttz klabuni kwenu
@mustafaselemani967
@mustafaselemani967 3 года назад
Ahsante sana mzee
@deodatusmdaku2226
@deodatusmdaku2226 3 года назад
Uyu mzee yanga itakuja kumuua
@stanleymshihiri3605
@stanleymshihiri3605 3 года назад
Oya umeacha mziki umeamua kuwa mtangazaji .good
@kigosigo7020
@kigosigo7020 3 года назад
Ka zee kautopololoo
@stn4873
@stn4873 3 года назад
Kwani mzee JABIR mwenyewe anasemaje huko ilala?😂😂😂😂
@amanjames6193
@amanjames6193 3 года назад
Mzee nakukubari u ko vizur asante
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 года назад
Hahahaaaa, et nikaonana mbumbuli,🙈🙈🙈
@eiddamiri9233
@eiddamiri9233 3 года назад
Msola msenge aondoke
@davietech2012
@davietech2012 3 года назад
Nadhan hilo ndio shat lake la interview maan had interview za mwaka jan kavaa hilohilo
@nivicaspect3597
@nivicaspect3597 3 года назад
JAMANI HAMNA DOGO WATZ??!!!
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
😂😂
@husseinshadia1139
@husseinshadia1139 3 года назад
Good good mzee
@kailalimited3640
@kailalimited3640 3 года назад
Mjomba uyo mzee akimaliza kuongea kaioshe iyo mayki ....😃😂😅😃
@syksyk7295
@syksyk7295 3 года назад
Duuh ik kzeee kchawi ik
@kiatekhasim3454
@kiatekhasim3454 3 года назад
Yn mzee namkubali mm hyu .. ananikosha kwel yn
@iqramawadh80
@iqramawadh80 3 года назад
Ni kweli msorwa makalabela wanazingua sana
@tours15
@tours15 3 года назад
Ameshajua 08 05 2021 hawachomoki kwa mnyama
@hassankibwana450
@hassankibwana450 3 года назад
Mzee mpili mvishe sada mtu anekua hii yanga sio ya kitoto
@yussytheicon9835
@yussytheicon9835 3 года назад
Atakufa huyo mzeee😂😂😂
@yohanasanga1978
@yohanasanga1978 3 года назад
Nitarudi tena Jumamosi baada ya Mechi kuisha Mzeee.
@alexandersimbila5565
@alexandersimbila5565 3 года назад
Tusubiri jummosi
@alyngoa313
@alyngoa313 3 года назад
Mzee kawaka sema nimemuelewa ila anaonekana ni kamati sna na leo nimeamin yanga kufunga Simba mpaka hola hola mzee kafunguka..hiyo tarehe 8 Kama vipii kipigwee tuuu
@bennylove6021
@bennylove6021 3 года назад
Aka kazee kana matusi kinoma😁
@saidysangwa8522
@saidysangwa8522 3 года назад
Mmh apai uyo me na ideo yake anatukana Kama ana akili mzuli
@bennylove6021
@bennylove6021 3 года назад
@@saidysangwa8522 😁😄😄
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Babu anaamini sana ushirikina kuliko soka. Yaani mzee anataka mpira wa kizamani sana, yaani uchawi wapi na wapi jmn 😂😂😂
@khamissaid3083
@khamissaid3083 3 года назад
ila mzee kidogo ana akili mengi sana
@naseebamri2191
@naseebamri2191 3 года назад
😂😂😂 nimecheka sana
@shamisshamis888
@shamisshamis888 3 года назад
Jamani mwambieni babu wakati umebadilika mpira wa kisasa unachezwa uwanjani mambo ya whichdocta yamepitwa na wakati
@farajingonyani48
@farajingonyani48 3 года назад
Itakuuwa yanga hiyo babu uchawi auchezi mpira ww tunakufungeni mengi tu viongozi awataki kuroga
@lutwfiyyahmkonga8093
@lutwfiyyahmkonga8093 3 года назад
kwan si ndiyo zenu nani asiye wajua ila pale bado kuna dua mataif mbalimbali visomo vimeshasomwa siku nyingi wew babu yang tulia tu cheza mpira babu
@mckobatz5861
@mckobatz5861 3 года назад
Minini nyuzi yake ya mipango vile?😂😂😂
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 3 года назад
We mzee vema sana ila Simba noma
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 3 года назад
Hiv vizee vya yanga ndio vinaikwamisha yanga vinawaza uchawi badala ya kujenga tm
@imanimsongoro5387
@imanimsongoro5387 3 года назад
dah mzee jabiri katundu mwenyewe anasemaje
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 года назад
Uyu Mzeee sijuwi ana mke au hanaaa
@athumaniwazirisengoli4321
@athumaniwazirisengoli4321 3 года назад
Jamani nikweli tunaoumia ni sisi mashabiki
@salumusalumu8165
@salumusalumu8165 3 года назад
Kweliiii mzeeee
@boyselemani3730
@boyselemani3730 3 года назад
Mzee upo sahihi ila watu awajui kitu
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 3 года назад
Jamani utopolo fc kesho fanye basi mpate ata draw sije mkamua huyu mzee kesho 😂😂😂😂😂😂 kwani hao babayao wenye utopolo wanasemaje 😂😂
@kenanlm9
@kenanlm9 3 года назад
Nikiwa mkubwa nataka nije kuwa kama mzee Jabili au mzee Mpili😂😂😂
@patrickdominic4859
@patrickdominic4859 3 года назад
Uuuyu mzeeee anaongea kwrl kabisa msora ni tatizooo
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 3 года назад
Man City alitoka chini kabisa Leo ndo bingwa utopolo acheni zenu wekeza
@bonifacemawala760
@bonifacemawala760 3 года назад
Hataree
@k-mbili5656
@k-mbili5656 3 года назад
Huyu mzee mtata Hahaha
@abdulrazakallymbano8231
@abdulrazakallymbano8231 3 года назад
Yanga itakatisha maisha ya huyu mzee jamani
@tsagytz6755
@tsagytz6755 3 года назад
Haka kababu kasipojiharishia kesho kwenye pampasi sijui maana uto mtapigwa na kitu kizito kichwani
@enockboidy7829
@enockboidy7829 3 года назад
We mzee utazikwa kesho umezoea jeuri ya maneno subili tukufunge kwenye karatasi la pipi mwenyewe
@muhidinally3753
@muhidinally3753 3 года назад
Aelekee kwa Allah. Umri umekwenda kilichobaki hapo ni kurudi kwa Muumba wako.
@siliakilojasi4188
@siliakilojasi4188 3 года назад
Muaminimungu.wew.mzee...achaujinga...uchawiwanini
@sairandaholy
@sairandaholy 3 года назад
Msola atavishwa pipi🤣🤣🤣
@paschalmichael9269
@paschalmichael9269 3 года назад
Ka utopolo kazee
@ramadhanmkumba4848
@ramadhanmkumba4848 3 года назад
Mmmmmh gagu ili zee m2 anasema waende kwa mzee janiri kuelekezwa nn kama si nduma
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 3 года назад
Kibabu kina ufundi wa nje hicho...ndumba saana
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 3 года назад
Huyo mzee nyie hamjamuelewa. Anaanisha wakaroge
@kelvincharles2247
@kelvincharles2247 3 года назад
Mzee mwanga huyu utopolo walifurahi mzee akilimali kufa kaibuka mzee mpili utopolo kazi wanayo 😀😀😀
@mckobatz5861
@mckobatz5861 3 года назад
Oya mzee kasema hakai ntu kitanuka soon 😂😂😂
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
😂😂
@mussamsafi3572
@mussamsafi3572 3 года назад
Dizaini uyu mzee yuko fact.
@adamsthedonytv636
@adamsthedonytv636 3 года назад
Mim simba lkn hyu mzee anaongea point sna
@mckobatz5861
@mckobatz5861 3 года назад
😂😂😂 mzee kagoma kutoa ubashiri
@felixlubeleje9457
@felixlubeleje9457 3 года назад
This is simba
@josiahlameck1319
@josiahlameck1319 3 года назад
Chezen mpira acha upumbavu mnawaza uchawi tuh
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 года назад
Ushirikiano wa nini? Mpira kwa wachezaji wanaojielewa unachezwa uwanjani.
@edwinbahati1693
@edwinbahati1693 3 года назад
🙏🙏
@rabiadullah6364
@rabiadullah6364 3 года назад
Mzee ana hasira sana
@kakamkubwa3210
@kakamkubwa3210 3 года назад
Kitanuka mtu lazima afe mwaka huu😂😂😂😂
@kelvincharles389
@kelvincharles389 3 года назад
Milinti news tu 😆😆😆
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Bumbuli utaniambiya nin wew😂😂
@rajabushaibu2358
@rajabushaibu2358 3 года назад
Yanga itakuua mzee
@saiduuside5361
@saiduuside5361 3 года назад
Doooh dooh dooh mzee wa rufiji mmeisikiaaa dooh atavyeshwa mtu sanda hapo duuh
@frankkasha3945
@frankkasha3945 3 года назад
Kanaonekana kachawi haka hhhha hhha NGUVU MOJA
@aminially4456
@aminially4456 3 года назад
Mhh simba wachezeshe mpira yanga wachezeshe duu mzee weye
@yusufudongote6440
@yusufudongote6440 3 года назад
Sikuhiz vijana hawana heshima kbs sijui wanatokea wapi heshima yako maana yake nn?
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 года назад
Swala sio noti atakufa mtu hapo
@ezraamasawe6423
@ezraamasawe6423 3 года назад
Mzee acha zako wew
@fahadhamad5230
@fahadhamad5230 3 года назад
Wazee muhimu jmnii
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Usela mpaka uzeeni 😲😂
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 3 года назад
Ha ha ha ha ha huyu mzee mkweli Mwakalebela hatufai Yanga anatudanganya
@abdulazizabubakar8561
@abdulazizabubakar8561 3 года назад
Kachapia
@abdulazizabubakar8561
@abdulazizabubakar8561 3 года назад
Nahix hakukusudia mwakalebela
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 3 года назад
Waaambie HAO ujuaji mwingi mbele Giza puuuuzi kabisa
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 года назад
Nasikia sauti kama tatu mpaka nne kutoka katika mazungumzo ya huyu Mzee. Mi nadhani timu imuangalie vizuri maana huyu nahisi ni msemaji wa timu. Ajengewe nyumba na atafutiwe Benz au hammer nakusudia ni aina flani ya Magari ambayo ni ghali ili aweze kutembelea. Mzee big upppp..
@othmanjrwengiwaouelewawaom4679
@othmanjrwengiwaouelewawaom4679 3 года назад
mzee poits yake yoteipo kwenyeuchawi to
@ahmedybabu4387
@ahmedybabu4387 3 года назад
😃
@aloycefrank8086
@aloycefrank8086 3 года назад
Haya karogeniiiii😂😂😂😂
@stevenhassan269
@stevenhassan269 3 года назад
Mumnunuliege na nguo kila siku anavaa nguo hizo
@saulicharles1306
@saulicharles1306 3 года назад
Up
@michaelsanga8898
@michaelsanga8898 3 года назад
Kachawi ako
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 3 года назад
Sangoma huyu mzee
@mwajabumazunga6378
@mwajabumazunga6378 3 года назад
Mpira wa uchawi duuh 😂😂😂😂
@mussamdetele5728
@mussamdetele5728 3 года назад
Mwachieni Yanga Mzee huyu
@godfreybaraka5787
@godfreybaraka5787 3 года назад
Mbumburi mamuliki huyo nisimba
@yagwishaheke2524
@yagwishaheke2524 3 года назад
Mzee mshirikina nin
@chrispinchristopher3914
@chrispinchristopher3914 3 года назад
Mimi nimemuelewa kiundani sana huyu mzee,kiufupi anauchungu na timu yetu anaumia kama mimi ninavyoumia
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 года назад
Kumbe nyie utopolo hamna maana sasa muache kulalamikia Tff mara marefa kumbe puuzi nyie
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 года назад
acha tuu ituuwe sio mzee tuu hata ss vijana tutakufa tumeipenda wenyewe nyuma mwiko daima mbele
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 года назад
🕷️🕷️
@josiahsimon5333
@josiahsimon5333 3 года назад
Mzee anakomaa na yanga yake
Далее
MINECRAFT CREPPER EXPLODES SHARK PUPPET!
00:15
Просмотров 7 млн
VETA YAWANOA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA
4:38
Просмотров 15 тыс.
MATUSI YA MZEE MPILI KWA MSOLA, ANGETUPOTEZA
6:25
Просмотров 6 тыс.