naipeda hii ngoma tamu love From Kenya huyu kayumba hajaskika huku kenya lakini ako fiti sana ata nilikuwa nafikiria ni barnaba,ameweza nipeni like wakenya na watanzania
Huu wimbo naupenda Sana yaaani Hadi sielewiii kazi nzuri kwa waimbaji nawapenda Sana munajua good song sichoki kuisikiliza yaani Kama nimeimbiwa mie hahahaaaaa
Kayumba Ni msanii mkubwa Sana, Hawa mafala wengine ni label tu zinawabeba..... Big up Sana.... Unanikumbusha luge mutahaba aliposema "Kuna tofaut Kati ya superstar na maarufu, maarufu Ana muda wa kuvuma, superstar anavuma na alichonacho kila muda"
Kanyumba Yu have potential to passthrough to Yu goal.good music small bro..I loveyousongtill times of colaboration of you na yamoto band..keep fire burning....success all I wish you.