Yan hata mm Bo's wangu akinambia hvyo hvyo na akaniita Gest jmn nyie nimemnywea pombe zake nikamwambia niingize kzn ndo niwe na ww akaniingiza" eeh akaanza kunisumbua kumnyima " siku naingia kazn usiku nimepigwa stop Kama hanijui
Well-done Joti TV 👏 Rushwa za ngono zimetawala Sana hasa ofisi za taasisi binafsi watoto wetu wa kike kiruuuuuu 🙆 manyanyaso mnayopitia katika kupata au uimara wa kazi 🧎mungu awasaidie tu.
@@nelsonbisi6499 kaka nel inaumiza sana yaan we acha tu na kupata kaz yenyewe kama una MTU wa kukukingia kifua yaani andika maumivu tu dah ni shida kubwa sana hii dunia jamani
@@edyteemba1918 tatizo la viongozi wetu wana weza ona tatizo waka puuza ku ita tuwa apa china napo ichi tatizo ndogo tu wana itatuwa haraka sana sana kabisa