Тёмный

KDF ALL OVER CBD GEN-Z MUST SURRENDER..HAKUNA KUINGIA STATEHOUSE ..TOA FUJO UONE MOTO.. 

SAFARA GATHIMITI
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@febroniandole976
@febroniandole976 2 дня назад
Jaman hakuna mwanadamu alie perfect, tunakubali Ruto alikosea kama ambavyo na sosi sote kwenye nafasi zetu za kazi venye huwa tunakosea. Sasa demonstration imetosha maana Ruto kishakubari kiwachana na hii financial bill ,now mumpatie tena nafasi afanye kazi na wakenya wengine nao wafanye kazi pia. Ujumbe kishaupata na amewaelewa . Peaneni nafasi sasa Ruto ajirekebishe.
@ericrakamba7572
@ericrakamba7572 2 дня назад
na hiyo kiburi yake na uchoyo
@sugarcandy3895
@sugarcandy3895 2 дня назад
Corruption is problem and greed of kiburi
@Charles-jy9mg
@Charles-jy9mg 2 дня назад
Strategically vibrant and very very strong, I admire your style KDF guys, you are mighty!
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 дня назад
Good job Kwa Askari wetu
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 дня назад
Hakuna Good Job, an issue ni Serikali kusikiliza hoja. Movement is Life. How long will they be along the street.
@user-up2lo2bh5m
@user-up2lo2bh5m 2 дня назад
No fear no surrender gen z
@Charles-jy9mg
@Charles-jy9mg 2 дня назад
Bravo our security agents, stay put and stand up to the call of your duty, you are already a success
@abdallahporojo993
@abdallahporojo993 2 дня назад
Kuma ww
@user-nl8my3ye5d
@user-nl8my3ye5d 2 дня назад
Nyinyi KDF munge tuunga mkono juu wezenu ruto ame wapeleka haiti kafara napie wezenu washa kufa 20
@yvonnewambui2799
@yvonnewambui2799 2 дня назад
Naskia wamekufa wote
@joyousjoy9871
@joyousjoy9871 2 дня назад
State House sio kibanda ati mutaingia ovyo ovyo this protestant should end we are fed up mlichagua Mr Ruto so learn to persevere till term yake iishe
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 2 дня назад
Zakayo amechokoza nyuki....hatupendi uwongo wake...ata kama turimchaguwa
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 дня назад
Wataingia usiku
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc 2 дня назад
AKILI NDOGO STATE HOUSE HUA HAKUNA MCHEZO PLEASE PLEASE PLEASE
@abdullatifomar2871
@abdullatifomar2871 2 дня назад
Mambo back hakuna cha bravo hapo ni ruto must go
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk 2 дня назад
2027 mjaribu bahati yenu azimio sio kuota saa hii
@tainahnanah
@tainahnanah 2 дня назад
Ruto must go
@PeterGituiku
@PeterGituiku 2 дня назад
Uliskia wapi,ATI waingie state house,aaaai labda waingie status ya waliowafu
@JosephWangombe-m6r
@JosephWangombe-m6r 2 дня назад
Peeni ruto amani plz
@ElijahMwiti-p7y
@ElijahMwiti-p7y 2 дня назад
Tuna taka amani kenya🎉
@gracewanjiru2778
@gracewanjiru2778 2 дня назад
Waingie
@simonomolo1016
@simonomolo1016 2 дня назад
Hi sio kdf hi ni GSU bwana
@Sammyruto3106
@Sammyruto3106 2 дня назад
Ruto going ni where
@CherishCherish-ze9zn
@CherishCherish-ze9zn 2 дня назад
But there are regular police
@joyceomboga5906
@joyceomboga5906 2 дня назад
Just protest outside state house,dont try to go inside ,be careful,your life matter not the bill.
@judymwaura2608
@judymwaura2608 2 дня назад
Ingieni
@tinahpinah
@tinahpinah 2 дня назад
Leo mmekosa news
@josephinesheehama752
@josephinesheehama752 2 дня назад
Nee Mani why destroying your properties you will regret in the future because no one will rebuild those ans those are your properties why destroying
@meshackpatrick6981
@meshackpatrick6981 2 дня назад
Ikulu c pango la wauni
@mohamedkimbwembwe-oi1rm
@mohamedkimbwembwe-oi1rm 2 дня назад
Ruto baada ya kutangaza kujiunga nato tuu ndio mambo yameibuka hivi hajui kenya waliandamana hawawataki mashoga mwezi uliopita tuu au ruto alikuwa amekufa kipindi hicho!!!maana mengine ni sababu tuu ila tatzo ni kujiunga na mabeberu na mashoga katka nchi ya watu walioamka zamani haya kayataka mwenyewe
@jacksonodoo1388
@jacksonodoo1388 2 дня назад
Nae Sasa akuna kazi uchumi wa Kenya kwisha
@susankaburu4527
@susankaburu4527 2 дня назад
Na bado wanataka kila kitu iwe swa.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 дня назад
Mtatafuna mawe. uchumi mmeuzorotesha wenyewe. Ruto amekaa mwaka mmoja mnataka awamwagie pesa. Mlimuacha Uhuru na odinga. Mnamtoa Ruto kafara kwenye dhambi ya wenzake.
@asinahussein2176
@asinahussein2176 2 дня назад
Hawafanyi kazi wanangoja mgao wa serikali​@@margarethsolomon9823
@godsfavour5665
@godsfavour5665 2 дня назад
Zakayo must goooo
@samsonnjanja4990
@samsonnjanja4990 2 дня назад
Ruto must go✊🤝
@deeruta9894
@deeruta9894 2 дня назад
Call army n police to vote for you comes nxt election
@user-lz1kf3lj3z
@user-lz1kf3lj3z 2 дня назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@jbodhiambo56
@jbodhiambo56 2 дня назад
Did they surrender, was there business?
@dollydolly1317
@dollydolly1317 2 дня назад
The truth is whoever will come after ruto,will not be any better, that's the truth,
@patrickngari4195
@patrickngari4195 2 дня назад
How do you know?
@nancythiiru1240
@nancythiiru1240 2 дня назад
Yeye die atalipa madeni na pesa yake?
@anthonyguto162
@anthonyguto162 2 дня назад
Haiti inasubiri nyinyi wajinga
@MourineBarasa-c6y
@MourineBarasa-c6y 2 дня назад
Kuna nn uko
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 дня назад
Nyama choma
@LouAgoro_254
@LouAgoro_254 2 дня назад
KDF gani,aujui GSU wewe
@GraceGithinji-uw7km
@GraceGithinji-uw7km 2 дня назад
😂😂😂this is not the army
@user-up2lo2bh5m
@user-up2lo2bh5m 2 дня назад
Hawa n gsu
@marklawmarklaw1069
@marklawmarklaw1069 2 дня назад
You are mad know how to differentiate gsu and army ...
@mnjirum
@mnjirum 2 дня назад
Do you confused fellas know what KDF is? Recce? RDU?ATPU? All female SWAT TEAM of the AP? Stop click baiting bana.
@walkingjustice3703
@walkingjustice3703 2 дня назад
Ati gen z must surrender, wewe ni ngombe wa mzeveni
Далее
The must-watch moments of the CNN Presidential Debate
35:29
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Janona
4:09
Просмотров 1,1 млн
Gulinur - Chaki chaki (Official Music Video 2024)
3:32
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Просмотров 2,2 млн
Shoxruxbek Ergashev - Alam ekan (Official Music)
4:37
Artur Arakelyan - Ser Ka
3:02
Просмотров 354 тыс.