Тёмный

Keisha Ft Bushoke - Huruma 

BONGO ZA KITAMBO
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

#videoshow

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 года назад
Hapo kwa bushoke 😪
@davidmarik4633
@davidmarik4633 6 месяцев назад
Wimbo nimeukumbuka badaa ya Mpenzi wangu kumpenda sana tumeishi kama miezi sita badae nikajuwa Mpenzi wangu anaumwa ndpo akanipa habari kuwa wazazi wake ndyo waliomuambukiza nililia kama mtoto mdogo maana nilikuwa na malengo nae 😭😭😭😭
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 месяца назад
Pole sana
@emanuelisalehe3241
@emanuelisalehe3241 Год назад
Mm na old bongo fleva bega kwa bega
@hilarymachange7188
@hilarymachange7188 3 года назад
Utaishi milele ujumbe wa wimbo huu🙏🙏🙏
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 года назад
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@adongazzy7477
@adongazzy7477 7 месяцев назад
nitafutie hii ngoma daresamala by night ...tujirushe ndan ya daresalam madem bomba machiz bomba embu tafut hat kam ntakuwa nmkosea ntakushukur san
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 месяца назад
Wimbo wa Kiloman Ft Joan - Dar by Night
@adongazzy7477
@adongazzy7477 7 месяцев назад
broo unajua hii ngoma nilitafuta kitambo san kaka unajua🔥🔥
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 месяца назад
Endelea Kuwa Nasi Soon Tunaanza Ku upload Nyimbo zingine
@kagirasta1476
@kagirasta1476 27 дней назад
Hii album ya keisha ilkua noma sana
@husnarajabu4343
@husnarajabu4343 3 года назад
Kesha we miss you Rudi kwenye game
@lazarofrank3312
@lazarofrank3312 3 года назад
Ngoma kali na ujumbe mzuri pia🔥🔥
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 года назад
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@hajimohamed1942
@hajimohamed1942 4 года назад
Daah nalia.nalia sana bigabusana Dada
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 года назад
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 3 года назад
Wimbo una ujumbe mzuri sana
@masumbukombonekube3635
@masumbukombonekube3635 2 года назад
kila kijana wa kuanziya miaka ya 2003 awe na sikiliza bongo flava za zamani.
@masumbukombonekube3635
@masumbukombonekube3635 2 года назад
Aksante kwa ku like komenti yangu, nilikuwa na mahanisha kwamba kila kijana ambaye alizaliwa wakati ule , kuanzia 2000 mpka sasa. Bongo tuna fanya vizuri saana tujiamini ndugu zangu.
@musaadam2896
@musaadam2896 3 года назад
Keisha ft bushoke huruma audio
@luganosanga9997
@luganosanga9997 3 года назад
I always like this song ❤️❤️❤️❤️❤️ January 2021
@MukulasiKapela
@MukulasiKapela 7 месяцев назад
Bonge la ngoma
@ummyomary6350
@ummyomary6350 Год назад
Good song
@selemanhamisi5400
@selemanhamisi5400 3 года назад
I love the song 😍😍😍
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 года назад
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@salmacollection7097
@salmacollection7097 Год назад
Woyoi
@henrypaschal3948
@henrypaschal3948 3 года назад
Wimbo una ujumbe mzuri sana
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 года назад
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 2 года назад
Hawa ndio walipiga nyimbo za mafunzo kdg sio Hawa Kima wa sasa
@betinangimbudzi4037
@betinangimbudzi4037 2 года назад
Kitambo kile oh. 2003 to 2004
@justinechanga
@justinechanga 11 месяцев назад
Kamwambie doctor aangalie tena labda alikosea kusoma..... Hivi bushoke ana nini lakini😂😂😂😂
Далее
Nipe zawadi ya Pendo lako . Keisher
5:16
Просмотров 19 тыс.
How to Cook Juicy Steaks? Chef Kanan Recipe 🔥
00:59
Просмотров 975 тыс.
BUSHOKE DUNIA
7:13
Просмотров 48 тыс.
Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala
5:07
Просмотров 2,5 млн
Keisha Ft Fid Q - Nalia
3:58
Просмотров 461 тыс.
VUMI -Tatizo Umaskini
6:24
Просмотров 474 тыс.
Posa ya bolingo -  Alicios (Official Music Video)
4:18
MUME BWEGE ( King Majuto Na Kingwendu ) Shortclip
5:00