Тёмный

VUMI -Tatizo Umaskini 

Mziiki
Подписаться 902 тыс.
Просмотров 463 тыс.
50% 1

VUMI is a Bongo Flava artist from Tanzania

Видеоклипы

Опубликовано:

 

2 июн 2014

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 568   
@fanibishoo6441
@fanibishoo6441 5 месяцев назад
2024 bado naukubali huu wimbo,kama na wew bado unaukubali gonga like
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 года назад
Kama huchokag kuangalia hii song gonga like hapa♥️
@ngaukamaita3979
@ngaukamaita3979 Год назад
One of the classic of all time. Thanks Vumilia 🙏
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Год назад
Duuuh @josephinajosephu6859 jina la mama yangu jaman ❤❤❤
@carterjordan4216
@carterjordan4216 4 месяца назад
Na leo nimeimiss tu nikaja kuitafuta.
@mariamkassim6348
@mariamkassim6348 5 лет назад
Kama unaangalia hii mwaka 2019 gonga like
@khadijaissaissa5824
@khadijaissaissa5824 5 лет назад
Mie hapo my
@mohamedrasmin2869
@mohamedrasmin2869 5 лет назад
Mariam Kassim 😁😁😁😁
@evelynnelson3216
@evelynnelson3216 5 лет назад
Anajua sana dada vumi
@kakacharlesofficial1241
@kakacharlesofficial1241 10 месяцев назад
Kama umerudia kuaangalia 2023 gonga like hapa
@user-rx3fs4yr6h
@user-rx3fs4yr6h 5 месяцев назад
Till this time 2024 I'm still listening to this song
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 года назад
KAMA UMASIKINI UMEFANYA UMKOSE MPENZI KAMA MM GONGA LIKE HAPA TUJUANE NA TUUTOKOMEZE UMASIKINI
@gwimileyohana4646
@gwimileyohana4646 4 года назад
Kama unaangalia hii mpaka sasa 2020 , like tafadhali
@BGHaule
@BGHaule 3 года назад
Mimi nauangalia Hadi 2021
@user-kz5ox7ck9b
@user-kz5ox7ck9b Год назад
Bado naiangalia hadi Leo 2023 nani nipo nae twenzetuni
@tabubakari2722
@tabubakari2722 10 месяцев назад
Mimi naangalia Hadi Leo 2023
@BGHaule
@BGHaule 9 месяцев назад
Mimi nauangalia hata Leo 2023,huu wimbo hajanikinai,jamaa alipiga muziki wa uhakika
@ramdhaniduru6335
@ramdhaniduru6335 3 года назад
Kama unaangalia hii ngoma mpaka leo Oct 2\2020 Gonga like kwa Vumiliaaa
@hafidhahmed642
@hafidhahmed642 2 года назад
Am watching time 22:28 15/04/2022 Good song
@angunaff7294
@angunaff7294 2 года назад
Rest in peace 🙏
@abduldjay3034
@abduldjay3034 Год назад
July 21/ 2023
@shyfettymtunda4935
@shyfettymtunda4935 5 лет назад
Huu wimbo huwa unaniliza 😭😢,sijawahi kuuzoea tangu nimeusikia kwa mara ya kwanza 2009. The best song ever
@zakariamsukuma6162
@zakariamsukuma6162 3 года назад
Utanikumbuka
@ahmadyasini1139
@ahmadyasini1139 2 года назад
nikweli kabisa
@vickieeddie2230
@vickieeddie2230 2 года назад
roho inauma hata mi jamani😢
@gerrywin2194
@gerrywin2194 2 года назад
Pole sana
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 Год назад
So touching..
@Raheem.01
@Raheem.01 4 года назад
Kma unaangalia hii 2020 gonga like twende pamoja
@yambatv8754
@yambatv8754 3 года назад
2020 nasikilza nyimbo nzuri. Nani bado anausikiliza huu mwimbo mzuri
@AminiMsisi
@AminiMsisi 6 лет назад
Kama mbaka sasa 2018 unaangalia huu wimbo gonga like hapa
@gracejona5754
@gracejona5754 6 лет назад
Oyooooooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤
@hafidhahmed642
@hafidhahmed642 2 года назад
17/04/2022 😐
@fridadaud6266
@fridadaud6266 4 года назад
Km unaangilia hii tweny tweny gonga like twende sawa
@user-hy4bo4qy3h
@user-hy4bo4qy3h 25 дней назад
Vumi nimekuja hapa mwaka hu kukutazama tena 2024 ❤❤❤❤
@francismiho226
@francismiho226 3 года назад
Hii ngoma iacheni tu! 2021 still listening
@Swahili14
@Swahili14 2 года назад
This song stands the test of time 😭🙌😇❤️🇹🇿 Dah
@calvo_charlie
@calvo_charlie 2 года назад
the songs that's gives you energy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Swahili14
@Swahili14 2 года назад
@@calvo_charlie you subscribed to Whitney Houston yet? 😭❤️
@calvo_charlie
@calvo_charlie 10 месяцев назад
Whitney??from US or
@Swahili14
@Swahili14 10 месяцев назад
@@calvo_charlie yes darling This one 👇 #whitneyhouston
@fabianmbilinyi8671
@fabianmbilinyi8671 3 года назад
Together 2022 💥
@stellamrope589
@stellamrope589 Год назад
2023 Still best song ever
@festodismas3218
@festodismas3218 Год назад
Tupo wote hapa 2023
@tumainimwamabisi2753
@tumainimwamabisi2753 11 месяцев назад
Niko hapa🌹
@mickyplanmaker9053
@mickyplanmaker9053 8 месяцев назад
Niko nawe
@Benjamin-jl4my
@Benjamin-jl4my Год назад
Till to now 2022 this song vumi I appreciate so much
@victorfredrick1423
@victorfredrick1423 6 лет назад
Unaweza ukalia yani basi tu😭😭😭😭
@judylee1677
@judylee1677 4 года назад
😭😭😭😭😭😭
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 лет назад
Nashangaaa sana kwanini umepotea ivi.nyimbo zako bado zinaishi kwene akili zawatu.rudi kwene gem mama.tatizo ni nini limekufanya upotee.
@rayrashidi7886
@rayrashidi7886 6 лет назад
nakupenda sana vumi mwaaaaaaaaaaaaaaaah Mungu Akubaliki sana Amen!!!
@jairatuhappy634
@jairatuhappy634 6 лет назад
Tunamumiss sana jmn
@racheldauson9471
@racheldauson9471 4 года назад
Kwakweli arud kwene gemu😂😂😂😂😂😂😂
@mbalaliog8140
@mbalaliog8140 4 года назад
Ngoma kali
@linahmatayo2650
@linahmatayo2650 Год назад
Yaani
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 Год назад
Nyimbo za kitambo zilikuwa na nguvu na ujumbe sana 😭
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 4 года назад
Aran Mapigo ni bonge la producer katika aina hii ya muziki. Namba 1 in Tanzania.
@nobleskillz7302
@nobleskillz7302 2 года назад
Alafu kuna saidi comorie nae ni mkali sana
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 2 года назад
@@nobleskillz7302 hawa watu wawili ni noma sana boss
@frank.fredrick9065
@frank.fredrick9065 2 года назад
Wangap Mnasikiliza mimi Nasikiliza Nikiwa makumbusho
@lusajoyuda6145
@lusajoyuda6145 7 лет назад
Dhahabu hizi ziko wapi, vumi come back
@evelynnelson3216
@evelynnelson3216 5 лет назад
So amazing
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 4 года назад
Vumi come back kweli daaaa ,,,acha tuu broo
@amosikavishe3884
@amosikavishe3884 4 года назад
lusajo yuda we acha
@happinessrichard1277
@happinessrichard1277 4 года назад
vumi uko wapi mm nakupenda by happy
@happinessrichard1277
@happinessrichard1277 4 года назад
vumi uko wapi mm nakupenda by happy
@isaachamisy1308
@isaachamisy1308 7 лет назад
Vumilia huu wimbo nauelewa sana naupenda kinoma unanikumbusha mambo mengi sana.
@peterantonymindolo8723
@peterantonymindolo8723 7 месяцев назад
Huu wimbo unanikumbusha nikiwa UDSM baada ya kujisomea Sana pale SR 12 mwalimu Nyerere Campus nilikuwaga nausikilizaga Sana kurefresh kabla ya kurudi Tena kupitia Madesa
@vickieeddie2230
@vickieeddie2230 2 года назад
jamani huyu dada anatumia jina gani instagram ana sauti nzuri nampenda sana.......hii nyimbo umeniimbia mimi dada♥️♥️
@petermshale5672
@petermshale5672 6 лет назад
bongo freva ya sasa wanaluka luka tu wanacho kiimba ata akionekani mastaa kibao tu wenye nyimbo Kali wamepotea sio vumi pekeake tu sasa sijui tatizo ni kuzeeka au na kama nikuzeeka basi ndio tatizo waige basi mfano wa bi kidude mbona kaimba mwanzo mwisho mziki mzuri na watu bado walikuwa wanamkubali vumi rudi kwenye gemu bana
@roggermwakyanjala3586
@roggermwakyanjala3586 4 года назад
inasikitisha.....
@allymbaya6411
@allymbaya6411 3 дня назад
Ukisikia kazi ya msanii ni kuweka matatizo yaliyomo katika jamii ndio hii sasa dada umeupiga mwingi sana
@redbutterfly6676
@redbutterfly6676 7 лет назад
ukipendwa Na wazaz mume atazngua,Na ukipendwa Na mume wazaz wanazngua... polen wanawake wote
@abdallahjosephnfulaa4245
@abdallahjosephnfulaa4245 7 лет назад
Kweli
@jairatuhappy634
@jairatuhappy634 6 лет назад
Kweli
@dianayaniwanahukumukaawaow2011
Red Butterfly umenitoa chozi
@aaronelpharies5853
@aaronelpharies5853 6 лет назад
Unaitaji counselling weweee
@joyceandrew5682
@joyceandrew5682 5 лет назад
Tatizo ni umasikini tu
@innoofficialtz8516
@innoofficialtz8516 4 года назад
Kama bado unaikubali hii ngoma2020 gonga like
@gastonmakweta4993
@gastonmakweta4993 3 года назад
Kibao kizuri chenye ujumbe murua kabisa unaogusa diplomasia ya mapenzi/ndoa. Shukrani sana Vumilia & Kimondo Band
@braytonysteven2246
@braytonysteven2246 3 года назад
Kama unacheki hii ngoma mwaka 2021 dondoxha like apo chin
@naftalisima3943
@naftalisima3943 6 лет назад
huu wimbo umenikumbusha sana huyu vumi wimbo aliouimba umenitoa pangoni
@jairatuhappy634
@jairatuhappy634 6 лет назад
Mashaallah
@rehemahassani8332
@rehemahassani8332 Год назад
Wangapi tunafatilia nyimbo za zamani 2023🔥🔥🔥🤗
@abduldjay3034
@abduldjay3034 Год назад
Mie ndo ngoma zangu Hzi siku Zote
@fadhilifestus2054
@fadhilifestus2054 4 года назад
Here we go 2020 with vumi tatizo ni umaskini twende pamoja guys💯💯💯💯
@asumaniabasi7365
@asumaniabasi7365 3 года назад
Binadamu wametumia umaskini Wang kuniharibia ndoa ya mwanamke ambaye ckuwah fikiria cku moja kuwa angeilazimisha talaka ndugu dunia hii ina watu wabaya sana😢😢ckuwah mfanyia mtu baya lolote wallah
@abdallahmatenga1654
@abdallahmatenga1654 2 года назад
Kama mimi kaka pole sana
@HappyYesaya-cd7uy
@HappyYesaya-cd7uy 6 месяцев назад
Pole kaka angu
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 4 года назад
Naam daaa nkmbkaga mbali sana,,huyu Dada duu npo xkulii enz hizo,,,,kila ikifka moni SAA kumi na moja na nusu hua inapgwa kwenye redio Tanzania ,,,kipind cha kombola bas daaaa
@bongoeventtv1178
@bongoeventtv1178 5 лет назад
Tatizo umaskini au ni nini 2019 mwezi wa 4
@awardiofficialtv2443
@awardiofficialtv2443 7 лет назад
da yamenikuta ndo natambua nini thamani ya wimbo wako mdada dah nakubali sana kazi zako
@miriamonyango1828
@miriamonyango1828 6 лет назад
Awardi Kigunga Hta mm yamenikuta nikaukumbuka huu wimbo jaman
@awardiofficialtv2443
@awardiofficialtv2443 6 лет назад
dahhh pole sanaaa mwaya ila ungejua yalio nikuta ungezimia nakwambia kama muvi vile lakini dahhhhhhhhhh
@anithafaustini2212
@anithafaustini2212 6 лет назад
Mi pia yamenikuta,,ila end of the day kila kitu kina sababu
@radhiamagembe1095
@radhiamagembe1095 6 лет назад
Awardi Kigunga mm naupenda sana huu mwimbo
@josephwilliam7348
@josephwilliam7348 5 лет назад
Awardi Kigunga mi pia yamenikuta haya jamani
@julianmbowe4575
@julianmbowe4575 5 лет назад
maaaaamae 2019 gonga like kama zooote yan
@grace.m.haullehaulle6863
@grace.m.haullehaulle6863 2 года назад
Huyudada nyimbo zake haziish hamu kuzisikiliza alale pema peponi. Amen
@laurentzacharia1563
@laurentzacharia1563 2 года назад
Kwani kashafariki
@rayjay7017
@rayjay7017 6 лет назад
Hizi ndizo bongo flavors original na sio upuzi wa kisasa... Burudani mwanzo mwisho asante miss Vumi
@josephwilliam7348
@josephwilliam7348 5 лет назад
judah kitavi haswaaa
@arlonadamson9793
@arlonadamson9793 Год назад
yuko wapi huyu dada mrembo,,,what a classic song! #Vumi
@stephanifesto7354
@stephanifesto7354 2 месяца назад
Hakika huu ndo muziki wetu ukiwa kwenye uhalisia wake sio hizo kuigaiga kwa wanaija
@tupokigweniganile6002
@tupokigweniganile6002 6 лет назад
Huu wimbo wakt unatok nilikuwa mdogo sikujua kuwa unamaanisha nin sasa nimekuwa naelewa haya nausikiliza kil dk najua ulimanisha nini 😥😥😥2018 im stil watching this song
@rehemajongo8579
@rehemajongo8579 5 лет назад
Ndaghaaaa
@julianmbowe4575
@julianmbowe4575 5 лет назад
Tupokigwe Niganile good
@judylee1677
@judylee1677 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😀😀😀😃😃😃kwa kweli tulikuwa wengi
@mariamrobert9838
@mariamrobert9838 2 года назад
Cjui tatizo nn jaman sema nijue 💔💔💔💔....... Kama upo hapa Leo pita na like tujuane
@abedsanga5795
@abedsanga5795 28 дней назад
#umaskini ugonjwa😢😢😢 2024 alive from v_Artist
@raheemahassan8436
@raheemahassan8436 5 лет назад
Wimbo mtamu nimekumbuka mbali 😢😤😤😢😰😰
@kakacharlesofficial1241
@kakacharlesofficial1241 10 месяцев назад
The same to me
@ezlonlony3588
@ezlonlony3588 6 лет назад
Yaan wimbo mkari Sana Tangu mwaka 2012 nausikilizag huu wimbo nawala haunikinai darh kwel wewe ni #fundi
@halimamohammedy9247
@halimamohammedy9247 5 лет назад
Nimejikuta nalia tu maana maisha nayo ishi na Mume wangu mungu ndio anajua
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 лет назад
Halima mohammedy. Hahahahahaaaa umenichekesha sn. Vumilia dada angu hamna namna
@HappyBread-hy7ym
@HappyBread-hy7ym 4 месяца назад
Aminiaa wimbo mkaliii saana vumi alitishaa saaan
@asumaniabasi7365
@asumaniabasi7365 3 года назад
Roho yangu haina Amani me ni wa kulia mda wrote lakn kama mungu ni wetu sote wallah namuachia mungu cjui maumivu haya yataisha lini kwangu maana ukweli nateseka waungwana
@RehemaMichael-fz8qs
@RehemaMichael-fz8qs 5 месяцев назад
Niliaachwa kisa umasikini ila mungu mkubwa Nina furaha
@zawadkilua1442
@zawadkilua1442 5 лет назад
Dada unasauti nzuri sana Mimi naipenda sana hebu jaribu kutoa kibao kingine mwaka huu 2019 mie nishabiki wako wakwanza🤔
@tibiliuskaniala2150
@tibiliuskaniala2150 4 года назад
Bigup sanaaa
@ubalaseleman5894
@ubalaseleman5894 4 месяца назад
Izi ndonyimbo mana mpaka najisikia vizulii❤❤
@shadrackvicent3866
@shadrackvicent3866 6 лет назад
duuuuhhhh the song reminds me of the past step in life......I am now happy because I got the right one who knows what love is....Mrs Sydney.
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 4 года назад
2020,,,,,April duuu kitambo sana npo skuli hpo duu
@huseinkiyungi8406
@huseinkiyungi8406 5 лет назад
Mm binafc cna lakusema kuhusu hii nyimbo huwa naickiliza kila cku ukiniuliza kwnn cjui kama nitakujibu nn zaidi yakukuambia kuwa naipenda sana hii nyimbo
@user-dq2ho7lu5u
@user-dq2ho7lu5u 9 месяцев назад
Kama nawwe upo mpaka 2023 mwez 11 gonga like kwaajil ya da vumi❤
@berithakisekile1680
@berithakisekile1680 5 лет назад
Dear dada Vumi, By the time thic song was relised I was a little bit young na I loved sana hii nyimbo. Cku si nyingi nilikumbuka hii nyimbo then I had to search for it na naisikiliza more and more times. Dada rudi Kipaji chako n kikubwa sana.
@magrethzuberi2375
@magrethzuberi2375 2 года назад
😭😭😭😭😭matusi ya kutukanwa umasikini umenifanya nirudi kusikiliza hii nyimbo 2022 bado tunakusikiliza vumi
@geofreyfelician4803
@geofreyfelician4803 2 года назад
😭😭😭
@naurumnazaleti6774
@naurumnazaleti6774 5 лет назад
dah kweli dada ktk maisha yetu ya kiafrica umasikini wakati mwingne unakua tatizo kubwa sana unaoneka kwa matajir sisi masikini kuonekan mbwa
@aminaramadhan420
@aminaramadhan420 5 лет назад
Nauru Mnazaleti kweli kabisaa
@user-je8ok5cj9v
@user-je8ok5cj9v 9 месяцев назад
Kiukwel huu wimbo unanikumbusha mbali sana 😢😢
@user-gg3qe3sj1x
@user-gg3qe3sj1x 5 месяцев назад
Dada huyu jamani apewe tunzoo jamani 😢
@drongobchacha6394
@drongobchacha6394 3 года назад
2021,Tatizo Ni umaskini au Ni nn??????..... Bora uniambie nijue
@alafatsalum9383
@alafatsalum9383 Год назад
Nyimbo nzuli sana
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
nilikua nausakanya huu wimbo una nikumbusha mbali
@asherymwesohe1574
@asherymwesohe1574 Год назад
Hii nyimbo nikiisiliza machozi yananitoka nakumbuka mbalia
@raymondmathayo6180
@raymondmathayo6180 5 лет назад
Gonga like kama bado unaikubari hii ngoma kama mimi
@rizickjonas1916
@rizickjonas1916 Год назад
Wimbo haujawahi choshA huu akhii
@cassimmahinda
@cassimmahinda 5 месяцев назад
2024 mko wapi
@chrismhagama4572
@chrismhagama4572 3 года назад
Naikubali hii nyimbo, classic
@Gmedia_Africa
@Gmedia_Africa 4 месяца назад
These songs carried laden messages back then unlike nowadays songs
@user-ls9yh5vu7w
@user-ls9yh5vu7w 8 месяцев назад
Wimbo umetulia sana zaidi ya sana
@peterbombo1250
@peterbombo1250 4 года назад
Ngoma Kali Leo hadi kesho 2020 kama uko twende swa
@lusajoamilimwaipaja6614
@lusajoamilimwaipaja6614 4 года назад
Umasikini mbaya sana lecho come back kama timu lecho gonga like yako
@oscargwalasa
@oscargwalasa 3 года назад
Nyimbo zenye maadili ndio kama hizi umepotea wapi dada rudi tumechoka na wasiona maadili "eti ndo nini kinyama kulumagia au nikuchumie tembele" tafadhari rudi jaman mrudi jaman #mwasiti, vumi,mahunda zorro
@samateryusuf4345
@samateryusuf4345 2 года назад
2022 still resonate with me
@boniphaceandrew3685
@boniphaceandrew3685 3 года назад
2021 tupo wangapi? Hizi ndio nyimbo za afrika ukiachilia mbali kina jeje wanaenda kuiga ulaya tamaduni chafu
@issakatety3535
@issakatety3535 4 года назад
Vumilia rudi mama upo wapiiii😥😥
@omarmatuta7709
@omarmatuta7709 4 года назад
Km 2020 unaichek gonga like km zote
@janethndial5759
@janethndial5759 Год назад
Huuu wimbo niliachwaga, jaman nilikuwa nalia😢😢😢uwiii😊
@godfreyjoseph4750
@godfreyjoseph4750 5 лет назад
Kila napousikiliza huu wimbo huwa nadondosha chozi.
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 4 года назад
Oooooh baby tatizo ni umasikini au ndo tabia yakoo
@wardasalum5361
@wardasalum5361 4 года назад
Daaah waweza lia mpaka ukajiona huna dhamani tena
@danielbachuta157
@danielbachuta157 5 лет назад
One of the best... still watching in 2019
@peragyntinda2651
@peragyntinda2651 3 года назад
Legend never die
@nazaliusmuhile1515
@nazaliusmuhile1515 5 лет назад
Jamani Dada etu mpendwa kaitwa Mungu anamuimbia yesu kristo so huku muandke story ya kwamba alikuepo
@sadathyunusu9239
@sadathyunusu9239 5 лет назад
Good song
@boscotongo153
@boscotongo153 5 лет назад
Waaao
@godfreyjoseph4750
@godfreyjoseph4750 5 лет назад
Yuko wapi kwa sasa?
@nazaliusmuhile1515
@nazaliusmuhile1515 3 года назад
@@godfreyjoseph4750 yupo Kenya na mumewe wanamtumikia Mungu
@oscarmwaihabi9133
@oscarmwaihabi9133 Год назад
@@nazaliusmuhile1515 Ooh mungu ni mwema sana!!
@foroforoy2554
@foroforoy2554 9 дней назад
Timeless classic hit from Vumi
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 лет назад
Sio sauti tu nyota pia unayo mama
@esthermbalale3075
@esthermbalale3075 2 года назад
Vumi nawe umepotelea wapi mma ulikua unatupa buludani mzuri sana
@eliascherehani2317
@eliascherehani2317 4 года назад
Ulitshaa mama ndoo ulishapoteaaa daaaa
@humphrelemaa7630
@humphrelemaa7630 10 месяцев назад
Nani yuko apa 2023 ??? ❤
@davidrogers6826
@davidrogers6826 3 года назад
Kam. Bado waendela kuicheki hi ngoma 2020 Kam mie tupia like apa
@elizasix1935
@elizasix1935 4 года назад
1 (10)2019 gonga like kama unaangalia hii nyimbo
@iddytwaibu4927
@iddytwaibu4927 Год назад
Rudi kwenye game nyimbo zako bado zinaishi sana
@benjaminpaschal759
@benjaminpaschal759 2 года назад
Izi ndo nyimbo sio mnatuwwkea aiyola
@reubenmwengela8015
@reubenmwengela8015 10 месяцев назад
Kama unaangalia hii 2023 October gonga like hap
@richardmhiche5659
@richardmhiche5659 2 года назад
Aiseeeeee Vumi uliona mbali sana
Далее
VUMILIA -UTANIKUMBUKA(officialvideo)
4:31
Просмотров 174 тыс.
Maunda Zorro - Mapenzi ya Wawili / Nafurahi
4:32
Просмотров 680 тыс.
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19
😊 happy @r3ng0ku_l0v3r @haebao341
0:06
Просмотров 459
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 640 тыс.
Christian Bella Feat. Banana Zoro - Usilie
5:12
Просмотров 507 тыс.
AT Feat Stara Thomas - Nipigie
4:47
Просмотров 637 тыс.
Mwasiti Ft Ali Nipishe -  Mapito.(Official Video)
4:07
Просмотров 278 тыс.
Sea  -  Papi Kocha, Nguza Viking
6:10
Просмотров 1,7 млн
Taarab: Nitadumu nae
8:37
Просмотров 4,2 млн
Mwasiti- Nalivua Pendo (Official Video)
6:15
Просмотров 297 тыс.
Maunda Zorro - Nataka Niwe Wako
4:25
Просмотров 769 тыс.
ТРЯСИ
2:59
Просмотров 202 тыс.
Джаная (KalashnikoFF Remix)
4:46
Просмотров 157 тыс.