Nimejifunza mengi kupitia ww leo nimepika kwa mara ya pili nilianza na kilo moja wiki iliopita leo nimepika kilo mbili km itawezekana naomba namba yako ya watsap nikutumie picha plzzzz😊
Salaam dada Mziwanda. Nauliza, kwa kuwa sina oven kubwa kama wewe; nafanyaje kuoka rojo lote kwa zamu, kwani nahisi rojo litakalobaki litaharibika?. Naomba ushauri wako tafadhali.
mwalimu wangu mpendwa nina swali, 1.hizo tin ulizookea keki za elfu moja na za elfu moja mia tano ni za size gani? 2.yale maziwa uloongeza mwshon ndo kile kile kipimo cha kwenye recipe au umeongeza zaidi?