Тёмный

JINSI YA KUPIKA KEKI ZA BIASHARA KILO 2.5 /HOW TO BAKE 2.5KGS CAKE FOR DECORATION 

Mziwanda Bakers
Подписаться 133 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@salmazuberi-pd2zn
@salmazuberi-pd2zn Год назад
Hongera dada kazi yako nzur je ujaweka maziwa
@mariamramadhan1761
@mariamramadhan1761 3 года назад
Napenda Sana inavyo fundishi mm pia najifunza asante
@MA-kh2lr
@MA-kh2lr 2 года назад
mashallah mashallah mashallah.. ajjaaab.
@emmysdairylife9396
@emmysdairylife9396 3 года назад
Nakupenda sana wew dada unajua kuhamasisha yan mungu akubariki una kipaji cha kufundisha unaeleweka safi sana
@nancyngoiri4367
@nancyngoiri4367 2 года назад
Kazi nzuri...tafadhali nieleze tofauti ya sponge cake na forest cake
@gastordominic410
@gastordominic410 3 года назад
Hongera Mungu akubariki kwa kipaji
@MaryamAshery-gi7ln
@MaryamAshery-gi7ln Год назад
Masha Allah😍😍
@annamussa9299
@annamussa9299 4 года назад
kazi nzuri nimefarijika nitajaribu ahsante
@irenemrema74
@irenemrema74 4 года назад
Wooh!! Nimekuwa nakufatilia sana recipe zako za keki na nimejaribu kufanya nashukuru Mungu napatia vizuri, asante kwa kutupa ujuzi
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Shukran sana
@bettymassanja881
@bettymassanja881 4 года назад
Nakupenda sanaaa kwa moyo wako mkunjufu na wa upendo sana kwetu.
@nangelamlau2269
@nangelamlau2269 2 года назад
Thank you so much kwakweli darasa laki linanisaidia sana sana
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 года назад
Karibu dear
@bilhakamarara4435
@bilhakamarara4435 2 года назад
Nzuri sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
On point
@chikumohamed5303
@chikumohamed5303 2 года назад
Thanks my dear ubarikiwe
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 года назад
Mashaallah nakupenda tu sna unamoyo wakipekeyo unatia mtu hamu ususani wadda wanayo nilia kazi apa unapata ubunifu unasongesha maisha mungu abariki kazi yko amen
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin shukran sana
@suhailaidarousahmed2879
@suhailaidarousahmed2879 2 года назад
Nimeiona dear Asante
@asiasalum9927
@asiasalum9927 4 года назад
Najifunza mengi kupitia wewe shukran sana dada mwenyezi mungu azidi kkubariki.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin Yaa Rabb
@jescanyakulinga1084
@jescanyakulinga1084 4 года назад
Asante sana unafundisha vizuri sana
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
😘🙏
@mashakarobert6594
@mashakarobert6594 3 года назад
Napenda sana jamani nimefanya nimeweza
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 года назад
Maa shaa Allah hongera sana
@fatmaa.mohammed6027
@fatmaa.mohammed6027 4 года назад
U r amazing.Nakukubali sana my dear. Halaf c mchoyo. Mungu akuzidishie. Amin
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin
@happymsemwa698
@happymsemwa698 4 года назад
Asante kwa somo zuri
@angelkawau614
@angelkawau614 3 года назад
Thank you a lot nimejarb jana kwa mara ya 3 mara 2 zote zilitokag ugal 😭😭 ila ya jana kila mtu ali I kubal nakushukur saan nimefata stage zote na nilipikia gas asante saan una ni inspire saan 😍🙏🏾
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 года назад
Hongera sana sana kizuri cha hitaji jitahada dear 👏👏👏
@shufaahamadi9331
@shufaahamadi9331 4 года назад
Umetusaidia sana dear.Allahakuzidishie rizk
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin my dear
@vickysunga4429
@vickysunga4429 4 года назад
Nimezipenda sana cake zako nitajaribu kuzipika
@ZiadaKhamisi
@ZiadaKhamisi 2 месяца назад
Mimi ni mwafunzi mpya ila nakufatiliaga umenishawishi sana mungu akubariki
@jenniferbigeyobwire5534
@jenniferbigeyobwire5534 4 года назад
Ahsante sana dear kwa kutugawia ujuzi
@elizabethmelikyori3089
@elizabethmelikyori3089 4 года назад
My kweli mm nabarikiwa sana na wewe asante
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
🙏🙏
@irenekimenye6566
@irenekimenye6566 4 года назад
Mungu awabariki sana napika keki nzuri napika mikate napika skonzi nakanda fondant, maandazi ambacho bado ni chapati tu najivunia Mziwanda mmenifundisha mengi.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Ni faraja kubwa sana kwetu pia,chapati ipi video yetu pia jinsi ya kupika chapati na figo rost
@saadaissa2234
@saadaissa2234 4 года назад
Mungu akuzidishie dada mziwanda hv nikitaka kukuonyesha nilivyo jaribu nakutumia wp
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Shukran sana nitumie Instagram dm nione raha pishi lako
@japhetlawuo2843
@japhetlawuo2843 3 года назад
umebarikiwa my
@ilhamprecious8816
@ilhamprecious8816 4 года назад
Uko vzr sana dada
@mariageraldinaeradius6668
@mariageraldinaeradius6668 4 года назад
Nice mumy nimeipenda
@maalimshabani2640
@maalimshabani2640 2 года назад
Leo nimepatia ahsnt
@evanciaedward2352
@evanciaedward2352 4 года назад
You are the best dear
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 4 года назад
Very good work,keep it up
@aminafarid4454
@aminafarid4454 4 года назад
Mwalimu mzuri unaeleza vizuri dada
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Shukran dear
@chekeleeismail2294
@chekeleeismail2294 4 года назад
Mashaallah mung akuhifadhi dada
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
😘🙏
@astidijakashemeile1918
@astidijakashemeile1918 4 года назад
Ubarikiwe zaidi
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
🙏
@lovenessmfinanga5623
@lovenessmfinanga5623 4 года назад
Hongera kwakweli ziwanda tunajua vingi
@lucymshomi3291
@lucymshomi3291 4 года назад
Thanx for the knowledge dia. I must try. Pia unajua kuelekeza. Nitapataje mixer Kama Hiyo na ni sh ngapi? Thanx n blessings
@mwajumaabdul3816
@mwajumaabdul3816 4 года назад
Mashaallah
@fetymwinyi2191
@fetymwinyi2191 4 года назад
Manshalha
@devothabishagazi2390
@devothabishagazi2390 4 года назад
Barikiwa sana
@catherinekipingu1854
@catherinekipingu1854 4 года назад
napenda sana chanel yako dada maana ninajifunza
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
🙏🙏
@shamsagloriageorge8593
@shamsagloriageorge8593 4 года назад
keki nzuri.Leo nime subscriber
@fahimanassor9696
@fahimanassor9696 4 года назад
Asante mamy
@pulcheriamayombo5222
@pulcheriamayombo5222 4 года назад
Asante ila naomba kujua tofauti ya zeste na Backing pawder.IPI bora/nzuri zaidi nimejaribu backing nikafanikiws ila zesta bado
@timengonya6802
@timengonya6802 4 года назад
Your my role model kwa kweliii ... Nakupenda buree♥ ... Unapatikana wapi ?
@annafundi7098
@annafundi7098 4 года назад
Hongera dear barikiwa mpaka ushangae
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin,shukran
@neematarimo3253
@neematarimo3253 4 года назад
Napenda kujua forest cake na velvet cake
@everinadesderato5472
@everinadesderato5472 4 года назад
Santee madam kwa vipimo itanisahidia kweli hii..
@judywaithera7600
@judywaithera7600 4 года назад
Asante sana
@azizially3595
@azizially3595 4 года назад
hi dear, naomb kuuliza keki zipi ni nzuri kibiashara zenye maziwa au ambazo hazina maziwa?
@vailethcharles9113
@vailethcharles9113 4 года назад
Nakupenda bureeeeee yan
@emmanuelfelician1456
@emmanuelfelician1456 4 года назад
Hongera natamani kuona ukipamba
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Ahsante sana
@edinamwakyusa6303
@edinamwakyusa6303 4 года назад
Hellow,katika ugawaji baada ya kusaga unatumia nini kupata kipimo cha kila pan,pia mbona zimepasuka?hamna shida ikipasuka??
@ssk9653
@ssk9653 4 года назад
Mashallah Mungu akubariki
@marthamachaki5329
@marthamachaki5329 4 года назад
Napenda sauti yako... Na sio.mchoyo wa kuelekeza hata kidogo.. Mungu aibariki sana kazi yako
@Keylorsadams
@Keylorsadams 4 года назад
Asante aka ujuzi mbona nyengine zimepasuka kwa nn
@janengoiri9546
@janengoiri9546 4 года назад
Thank you
@suzanmnubi4120
@suzanmnubi4120 4 года назад
Nimefurahia sana hii stail ya keki ya sponge.
@zalhaally9717
@zalhaally9717 4 года назад
Hapo juu haitakiwi iwe na kimlima
@mariamsamson3927
@mariamsamson3927 4 года назад
Asantee.. Be blessed
@noelakataraiha6692
@noelakataraiha6692 4 года назад
Yo my fav!! Be blessed
@noelakataraiha6692
@noelakataraiha6692 4 года назад
Unazitunza vip cake zako nyingi
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Naweka kabatini ila nyingi zinakuwa kwenye oda dear
@mwanakherymgaya6323
@mwanakherymgaya6323 4 года назад
bad nazidi kujifunza
@mwanakherymgaya6323
@mwanakherymgaya6323 4 года назад
asante na bado nazidi kujifunza
@stellasungusia7182
@stellasungusia7182 4 года назад
Santee mziwanda bakers...samahani nina swali hapa ivi nini tofauti ya sponji cake na plain cake aki nachanganyikiwa
@bribrii4757
@bribrii4757 4 года назад
Be blessed dear. tufundishe na red velvet,na kama utaweza kutuweke vipimo hapo chini kwenye maelezo. Uishi maisha marefu dada
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin 🙏
@aminahassanmashaallah8983
@aminahassanmashaallah8983 4 года назад
Asanteee
@aminamwashabwi6470
@aminamwashabwi6470 4 года назад
Kazi nzuri Mashaallah... Nini hufanya keki kufura na kupasuka hivyo? na je haiharibu quality ya keki? Mimi hukasirika kweli zikitoka hivyo Sijui Kwanini.... Naona ni Kama sijaweza kupika
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Kuna zimepasuka zingine hazijapasuka nikutokana na chombo pia moto dear
@janujuma9704
@janujuma9704 4 года назад
Sante Dada... Nlikua nauliza sio lazima kuweka maziwa ?! Wakaty wakupika
@Irene.Thomas56
@Irene.Thomas56 4 года назад
Asante sana kwa kutujenga kila siku!Naona ingredients haziko zote kama maziwa, baking powder. Unaweza kujazia?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Maziwa sijaweka kwenye keki dear ,ngoja bp nikacheck description box
@sairose2970
@sairose2970 4 года назад
Hi please please can you make a video il which you teach us how to make a craft oven like yours ? Please im begging you
@HusnaSimba-ml5ov
@HusnaSimba-ml5ov Год назад
Kusoma on line dear.
@magrethrwelamira1075
@magrethrwelamira1075 3 года назад
Kwenye huo mkologo ukuongeza maziwa,au ayaitajiki?
@monakohapia6369
@monakohapia6369 4 года назад
Ipo vizuri sana.. Ila je kama kuna zile keki zinakuaga na choklat ndan cjui zinachanganyw VP at
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Ipo video yake ya zebra cake kaichek
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Nice
@salmakitege3656
@salmakitege3656 4 года назад
Hv majarin na blue band vpi viwil tofaut?
@sophiarubambimpala5342
@sophiarubambimpala5342 4 года назад
Yan navopenda mapish hapo umenikamata keki huwa natengeneza ila nilikuwa stumii hvo vyote nmejifunza ujuzi asante sana mm inapasuka sio kama yako nitajaribu naiman nitaweza
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
😘😘
@bongokatuni
@bongokatuni 4 года назад
Naomba namba yako plz oven yangu haivishi vizuri
@makariuskalemela9605
@makariuskalemela9605 4 года назад
Ubarikiwe sana Mpendwa wangu Kutoka pande za Runzewe
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin,shukran
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
@@mziwandabakers8297 Dada mziwanda nimekutumia WhatsApp Tayari sms halafu hizo panel za keki unaziuzaga?pia tuletee recipe ya afu keki na siku ingine utufundishe kupikia keki kwa jiko LA Mkaa et ccy
@lucykasiga6928
@lucykasiga6928 4 года назад
@@mziwandabakers8297 Sukari Nyeupe unapata wapi,maana imekua chamgamoto au tunaweza kusaga hata brown sugar
@mariajoseph2933
@mariajoseph2933 4 года назад
Maziwa hujaweka my dear??? Na pan hujamalzia kutaja
@haikamgonja3871
@haikamgonja3871 4 года назад
Thanx mumy
@mwanakherymgaya6323
@mwanakherymgaya6323 4 года назад
asante sana nimepata ujuzi nami nitajaribu endelea kutuelimisha
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
🙏
@vedamuyengi7541
@vedamuyengi7541 4 года назад
Hongera sana mziwada ila mm naitaji nije kujifunza kabisa officn kwako nje gharama no shi ngapi
@rehemakur7231
@rehemakur7231 2 года назад
Mimi natamani nikuone nimependa
@shakunyingo3592
@shakunyingo3592 4 года назад
Nimependa nikitaka kujifunza kwa vitendo nakupata wapi
@ThomasManyhasima
@ThomasManyhasima 10 месяцев назад
Dada mm nakosea wapi? Mana haichambuki
@mossyhamza7750
@mossyhamza7750 4 года назад
Shukran saana nikinunua oven nitaanza rasm kutengeza cup cake aiseee...nachofurahia zaid watumia vitu ambavyo kila mtu atakula na family yako pia yaweza kula mana hizi improver kwa kwel sizipendagi mimi
@mossyhamza7750
@mossyhamza7750 4 года назад
Usisahau pia na jinsi ya kubebanisha keki
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Sawa dear shukran
@restutabahebe3388
@restutabahebe3388 3 года назад
Oven yako ni Lita ngap?
@witinessmasunga464
@witinessmasunga464 4 года назад
Duh Mziwanda WANGU we kiboko unanipa moto wa kufanya kitu walah tena Mungu akupe zaidi mpnz kweli fursa ya mwanamke ipo mikononi mwake ngoja nichangamkiie fursa nilikua kila nikipika inatoka ugali nachukia mpaka nikakata tamaa Dada.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Usikate tamaa komaa tuu dear
@marianapatrick5993
@marianapatrick5993 4 года назад
Nice sis,,,,
@mollenbwagalilo2625
@mollenbwagalilo2625 4 года назад
Asante sana dada. Nikimaliza kupika keki nifanyeje ibanduke vizuri bila kukatikia chomboni?nisubiri ipoe kwa muda gani?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Ipitishia kisu pembeni taratibu itabanduka,ila pakaa mafuta na unga vizuri haitanasa
@mollenbwagalilo2625
@mollenbwagalilo2625 4 года назад
@@mziwandabakers8297 asante na ubarikiwe. Kesho ntajaribu tena.
@florencekimaro405
@florencekimaro405 4 года назад
Mungu akuzidishie kila utakalo. vipi sukari kwenye unga kilo moja niweke sukari kiasi gani na baking powder kiasi gani.?
@reycakesjikoni9085
@reycakesjikoni9085 4 года назад
Ooh! Yaan Sina la kusema Ila mola kuongezee umr na afya njema , Naomba kujua Bei ya oven lako na iyo hand mixer
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Amiin,oven 1.4milioni na mixer 1.4milioni karibu
@bettymassanja881
@bettymassanja881 4 года назад
Oh! Niliuliza oven inauzwa wapi, sasa pia nimeona bei yake. Naweza nunua oven hiyo kama yako wapi tafadhali?.
@reycakesjikoni9085
@reycakesjikoni9085 4 года назад
@@mziwandabakers8297 inatumia umeme au ges
@farhiaosman15
@farhiaosman15 4 года назад
MashaAllah. Kwani ukipamba unauzaje
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
20,25 na kuendelea
@lucyjohnsfrontier2531
@lucyjohnsfrontier2531 Год назад
I thought sponge cake you separate egg yokes with egg whites...but hapa umeweka zote
@husseinparco9640
@husseinparco9640 4 года назад
Shukran tunafurahi lkn mie mbona siipati kipimo kizuri ya cake nasoma u unitumie kipimo cha kilo mimi nampenda Sana hayo mapishi
@rahmaridhwan5947
@rahmaridhwan5947 4 года назад
I would love to know what kind of sufuria do use to cook half cake
@mourinemuthoni8531
@mourinemuthoni8531 4 года назад
Wow! Napenda sana unavyooka keki zako, napenda pia unavyoelezea.. Sasa Nina swali.. Oven hii uliinunua TZ? Hongera... Nitaanza nami pia.. Very soon.. God bless you sister
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 года назад
Thank you dear, Ndio oven ni 1.4milioni karibu sana
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 4 года назад
Ulinunua wap plz nahitaji
@ysherswalehe2821
@ysherswalehe2821 4 года назад
Moto umeeka ngapi?
@coscoaster2190
@coscoaster2190 2 года назад
Jamani mm nimejifunza hapa Kila mkiposti nimejua kupika keki vizuri sana na kupamba mbarikiwe Lakini Kuna vitu nilitamani kujua zaidi, sijui ntawapataje niwe mwanafunzi mana namba yenu ya wsp ninayo lakini Huwa sijibiwi nikiuliza sawa msaada Kwa Hilo pls
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 года назад
Hello ccy habr naomba utuelekeze jinsi ya kupika keki zile za kukata kata na kisu za sh500 tusaidie
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 года назад
Sawa dear
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 года назад
@@mziwandabakers8297 ok
@HusnaSimba-ml5ov
@HusnaSimba-ml5ov Год назад
Weka namba yko tuongee dear.
@upro9182
@upro9182 4 года назад
How much is the mixer in Kenyan shillings please...thanks for the recipe God bless u
Далее
KEKI ZA BIASHARA KILO NNE 4KG
12:57
Просмотров 42 тыс.
Как не носить с собой вещи
00:31
JINSI YA KUTRIM KEKI/HOW TO TRIM CAKE
12:09
Просмотров 128 тыс.
KEKI YA UNGA ROBO TATU 750g FLOUR CAKE
14:04
Просмотров 10 тыс.
JINSI YA KUTENGENEZA CREAM CHEESE
5:05
Просмотров 19 тыс.
ICING SUGAR RAHISI SANA/ICING BUTTER CREAM
8:55
Просмотров 295 тыс.