Тёмный

KENYA KILA MTU FISADI, GACHAGUA APEWE HAKI KUJITETEA | UCHAMBUZI 

Crown Media
Подписаться 169 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@echolude
@echolude 3 дня назад
As a Kenyan in the states this man s 100% on point!
@SuleimanJuma-dv8gt
@SuleimanJuma-dv8gt 3 дня назад
Crown FM mko vizuri sana.
@alialbusaidy8565
@alialbusaidy8565 3 дня назад
Mzee anajua wakenya kama hata wakenya hawajui kinachoendelea yuko vizuri naona yuwafwatilia mambo ya kenya vizuri 🎉🎉🎉
@hotlinetohealth8929
@hotlinetohealth8929 День назад
huyu jamaa nime mwehishimu sana.anajuasana
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 3 дня назад
mko sawa salimu
@alialbusaidy8565
@alialbusaidy8565 3 дня назад
Big up mzee
@eugenelukingi912
@eugenelukingi912 День назад
Hakuna siasa isokuwa na kuumizana hata Lissu yuaijua
@ImDevin25
@ImDevin25 2 дня назад
Waziri wa mambo ya ndani sio mkikuyu ni mmeru
@issayakdyoyainvestment6876
@issayakdyoyainvestment6876 День назад
Mmeshindwa kubalanzi stori kwa jinsi ambavyo walishindwa kuthibitusha Kampuni ya mwanae kupata tenda
@arkei4003
@arkei4003 2 дня назад
Fwateni lenu wanafki kma mumekosa Cha kuongea mtajeni samia wenu si kuekea kenya tittle zisizoeleweka
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 дня назад
Kindiki ana nafasi ndogo sana kabila lake ni dogo sana ndani ya Mt.Kenya .!! Wapo Irungu Kang'ata na Ndindi Nyoro au Waiguru Anne hawa ndio wakikuyu halisi.
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 2 дня назад
Salim kikeke ,wewe ni mtangazaji nguli nakukubali ila jitahidi kupunguza kugugaguga yaani unalazimisha kigugumizi kuvutavuta maneno Yani ni kama unakatikakatika kwenye maneno, other wise tu akupata na tunafuatilia crown sana
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z 3 дня назад
Bye 👋🏽 bye Gashagua
@davidbitange4973
@davidbitange4973 День назад
Eti kila mitu Kenya ni fisadi?What about Tanzania?The thing is Kenya is a free democracy that's why you are free to see and discuss what is happening there openly.In Tanzania you can not discuss this things openly.Try talking about CCM and CHADEMA.You should appreciate that Kenya ni mfano mzuri on democracy in Africa.
@Swahili37
@Swahili37 3 дня назад
Nyinyi ambao si fisadi uchumi wenu vipi??? Pumbavu zenu....badilisheni hicho kichwa
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 3 дня назад
Huyu mzee anachukia kenya🤔🤔
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 дня назад
Hicho kichwa cha habari sio sawa .Kenya kuna wanasiasa na watu waadilifu ..Badilisheni
@benimlisa6056
@benimlisa6056 Час назад
Kenya wanasiasa ni mafisadi wote..
@billgussy6099
@billgussy6099 3 дня назад
Nawapongeza kenya kwa kusimamia sheria na katiba yao
@ImanMmbogo
@ImanMmbogo 3 дня назад
Wala hawajafuta Sheria coz huwezi kufanya impeachment na huku muhusika hayupo na ili hali pia kwa mujibu wa katiba yao kulikuwa na extension period hadi jumamosi...
@barakajohn8005
@barakajohn8005 3 дня назад
Hawa wazee wa anjari mnawatoa wapi??Unasemaje kila mtu ni fisadi how can you justify that??
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 3 дня назад
Siyo Kila mtu ni corrupt bana
@benimlisa6056
@benimlisa6056 Час назад
Wote ni corrupt.... Kenya ufisadi upo juu...
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 3 дня назад
Gachagua kiburi imemponza.!! Tatizo hakujua kama alitakiwa kubadili aina za siasa zake anapokua DP ,lakini ujio wa Baba Odinga serikalini ndio mwiba zaidi kwake .. Baba ni mwanasiasa nguli na katili linapokuja suala la siasa za Kenya .!! Ile mitego aliyomwekea Odinga imemnasa mwenyewe sasa. Riggy G alitakiwa kutumia busara ya hali ya juu baada ya ujio wa BABA.!!
@benimlisa6056
@benimlisa6056 Час назад
Mwisho wa siku yote hayo ayaisaidii Kenya... Mnakalia kwenye siasa kuliko kujenga nchi... Naicho ndo Magufuli alikiona Tanzania na kukibadili... Watu wana focus kwenye siasa kuliko kujenga nchi..
Далее
THE GRAND DIVORCE: GACHAGUA'S SECRET CARD!
21:05
Просмотров 5 тыс.
A SMART GADGET FOR CLUMSIES🤓 #shorts
0:21
Просмотров 1,7 млн
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
NO GO ZONE! Gachagua's Revelatations on Ruto
25:38
Просмотров 53 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 17/10/2024
27:48
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
A SMART GADGET FOR CLUMSIES🤓 #shorts
0:21
Просмотров 1,7 млн