WaKenya bhana....sijui ni utumwa wa mawazo au nisemeje...Anahojiwa vizuri kwa kiswahili kizuri...anajibu kwa kiingereza kisicho sahihi na baadae kiswahili...Waafrika tuache utumwa huu wa fikra kuwa kuongea kiingereza kibovu ndio usomi....
Sasa wewe Kiswahili ndio lugha yako ?! Pengine umuHEHE, mNyamwezi,mNgoni.mDigo.........Acha watu waongee wanavyotaka bora waeleweke ! Mmechezewa shere na kibaraka Nyerere na kuwadumaza kielimu hadi mnadhani kuzungumza Kishwahili ndio uzalendo wenyewe kumbe ni ufala mtupu na kurudi nyuma kimaendeleo ! Shenzi sana !
Mimi ni borana kutoka jimbo la Marsabet tuka hizo mbuzi.kuna ugonjwa inatusumbwa.hiyo ugonjwa mbuzi.inapigwa duru kama wazimu.Kiborana inatwa sirgo na hakuna dawa