Тёмный

KIBOKO YA WACHAWI AWATUKANA WATANZANIA AWAITA WAPUMBAFU | AFUNGUA KANIS... 

MADORA TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Ibada ya kwanza ya Nabii Kiboko Ya Wachawi iliyohudhuliwa na mamia ya watu nchini Congo, Lubumbashi wiki chache baada ya kusimamishwa kuendelea na huduma pamoja na kufukuzwa nchini Tanzania..
Hii inatia faraja na matumaini kwake na kwetu pia ambao tulitamani kuona akiendelea na huduma yake ya kuua wachawi na kuangalia chupi za washirika wake huko huko kwao. Nitoe angalizo kwa watumishi wa Mungu nchini Tanzania haswa wazawa mnaomtumikia Mungu hapa nyimbani. Fanyeni huduma zenu kwa kuheshimu sheria za nchi na pia kuzingatia desturi na maadili kama tulivyopokea injili kutoka kwa wazee wetu. Hawa wageni haswa wanaoleta injili ngeni siyo wa kuwaiga kabisa maana yakiwakuta ya kuwakuta wana nyumbani kwao pa kukimbilia, ila mimi na wewe hatuna sehemu nyingine ya kukimbilia. Hivyo basi tujitahidi kuilinda hadhi ya injili na heshima ya utu sawasawa desturi yetu ya kitanzania pasipo kubebwa na mkumbo wa mgeni yeyote ambaye atashindwa kuheshimu mambo hayo ya msingi. Nimalizie kwa kuitaka familia ya Kiboko Ya Wachawi ikiwa ni mke, watoto, washirika na watenda kazi kuanza safari ya kwenda Lubumbashi ili wakaendeleze moto ule wa buza huko huko kwao. Hapa Tanzania watabakia wale wenye sura na tabia ya Kristo ambayo ilitambulishwa na wazee wetu wenye maadili kama vile Moses Kulola na wengineo.
Waliobakia woote ambao wameiga mfumo mbaya wa injili ngeni na wao waanze kutafuta ukumbi wa kuanzisha huduma huko Lubumbashi maana siku zao zinahesabika...

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 259   
@janengaga2928
@janengaga2928 21 день назад
Tanzania nchi nzuri wanaililia.Walioitwa na MUNGU ni watakatifu.wanyenyekevu na upendo sana
@mwalimudenis7414
@mwalimudenis7414 12 дней назад
Safi sana, manabii wa uongo wameanza kubainika.Na tukikubaini Tanzania tunatimua tu, na wengine mjipange.
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Mwenyezi Mungu anapendezwa na wanyenyekevu was moyo, sio wakaidi na walafi was fedha
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 22 дня назад
Imekuuma sana kuondoka tanzania kweli inakuuma hasaa
@timothyjohn6989
@timothyjohn6989 21 день назад
Kwa utapeli huu kwa wanadamu mbingu utafika. Asante kwa serikali yetu kumtimua huyu mwizi anaeiba kwa kutumia neno la mungu.
@MaryamuMrisho
@MaryamuMrisho 23 дня назад
Kuondoka Tz kimemuuma sana anaji dhihirisha kua nitapeli watumishi hawako hivi
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 22 дня назад
😂😂😂😂umeona eeh
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 19 дней назад
Congo nijalala Tanzania amani chakula kingi pia nchi nzuri sasa Congo Wenzie wamcheka😮
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 23 дня назад
Ni kweli wapumbavu kwa utapeli ule sijui una jina gani ambalo umebakisha kuwaita ila ujue hata huko ulipo lazima wakushtukie tu na kwasababu Mungu hadhihakiwi unalo mzee baba
@BarakaMsukuma-g1q
@BarakaMsukuma-g1q 18 дней назад
Piga kazi mtumishi wa Mungu. Mimi nakukubali sana, Rekebisha mambo unayohisi yalikufanya ufukuzwe Tanzania.Mimi ningekuwa mamulaka ya Tz ningekupa onyo, Kwanza,Kupona ni Imani hata muhimbili wengi tu hawaponi,
@villanitv392
@villanitv392 17 дней назад
Yanii wewe nikumaa hunaa akilii wwatuu wakupangwaaa nakudanganywaaaa na hapa mnatukanwaaa bado kimaas waeeww
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 7 дней назад
Wachungaji ni sawa na waganga wa kienyeji ni kweli ukristo ni usanii siyo dini ya Mungu kila mchawi akijiita mchungaji wakristo wanaenda mbio mbio bali tu ajue kufanya uchawi wakristo ushawanasa wanapenda sana hayo mambo ya uchawi
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 10 дней назад
Kuma la mamaako alokuzaa kiboko ya wachawi No one babaang akifa Kumanina
@castorymhonjwaj2469
@castorymhonjwaj2469 23 дня назад
Mnalazimisha furaha subilini adhabu yamungu ipo juyenu kwautapeli kwakutulia neno la mungu
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 23 дня назад
Yupo kwao anahubiri uchawi!Mchungaji anatukana matusi? Imani za kichawi zimetuingia na kutuvuruga sana;ndiyo maana kuna waunga mkono.Huoni anatutukana? Hivi mchungaji huwa anatukana?
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 21 день назад
Akawaloge kwanza wake wanyabulenge wanaoleta vulugu kongo hafu ndiyo aje kututukana watz
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Domi, acha kusema ooh adui zangu. Dominic, adui Yako ni tabia Yako mbaya. Tamaa mbele, mauti nyuma
@RichardKaponda
@RichardKaponda 20 дней назад
Acha kutisha watu wew huwezi shindana na mung mwehu wew
@NuruMbongo
@NuruMbongo 23 дня назад
Kam una wito acha matusi fanya kazi ya mungu acha mambo ya Dunia
@moseshaule586
@moseshaule586 23 дня назад
Hatukani anasema kweli maana sisi ni pumbavu..kwani upumbavu ninini eti..
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 21 день назад
Alhamdulilahi mi muislamu
@naturelle1097
@naturelle1097 21 день назад
Monsieur Dominique take your return to Congo positively huwezi jua kwa nini Mungu amekurudisha kwenu watu wako pia wanaitaji huduma yako. Ila for a leader matusi hayapendezi unajichomea picha mwenyewe.
@ntakilutandato
@ntakilutandato 20 дней назад
Nakukubali kiboko ya wachawi...kweli Neno la Mungu halifungwi
@TeloAwor
@TeloAwor 21 день назад
Mungu akusaidie ujielewe.km wito inatakiwa ufundishwe.utumishi so kula maisha Ni kazi ngumu.
@JanetNjobvu-xf4vq
@JanetNjobvu-xf4vq 23 дня назад
Kazi unayo
@AraudiniAmirali
@AraudiniAmirali 22 дня назад
Mapanga shaaa kwa kupenda mteremkoo
@RehemaKulaba
@RehemaKulaba 22 дня назад
Mungu nimwema nimefulahi sana aminaaa
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Mnalalamika nini kama siwachawi nyenye uchawi went umeharebiwa kwajina LA yesu ameeeen
@MejjaOlelaizer
@MejjaOlelaizer 21 день назад
Mungu akujalie kama kweli uduma ulizokuwa unatoa niyakweli atakubariki tu lkn km ilikuwa utapeli hakika utakutana naukumi tu
@janetchinga695
@janetchinga695 20 дней назад
Mungu anapenda kila mtu nawepia anapenda sana ❤❤❤❤❤
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 17 дней назад
Du kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Kwasababu ya uvivu wa kusoma biblia tunataka tufanganywe. Aisee Mungu atusaidie
@rehemarehema7475
@rehemarehema7475 18 дней назад
Sitting neno kimboko Ya wachawi❤
@HadijaAlly-yt2gw
@HadijaAlly-yt2gw 21 день назад
❤❤❤jaman watu wabuza tumekumic mapanga nakuona
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 23 дня назад
Bora......waiting huko
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 23 дня назад
Wapigweee kabisa kabisa wafe kwa jina la yesu
@HasenHasen-x1w
@HasenHasen-x1w 23 дня назад
Bola Waibie Uko kwenu Waheed Baata Wewe
@PenuelNdimbwa-ff8nl
@PenuelNdimbwa-ff8nl 12 дней назад
Mungu ashughulike na wewe pia
@abedysteven4930
@abedysteven4930 14 дней назад
Yan xax naanza kumin kuw nay wa mitego anasema kweli kabisa kuw waumin n mazombi amken kutoka kuzimu mtaibiwa sana msio taka kufanya kaz ety muombewe mpate pesa nying ,! Fanya kaz huku ukiomba mungu peke yako mungu atakubark!! Xax haya makanisa makubwa m2pishe yan kupitia kiboko wa wachawi naamin wachungaji weng matapeli!!
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 23 дня назад
Inaonekana tanzania bado unaipenda sana ulivyo fukuzwa inakuuma sana ilo pigo uto sahau
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 20 дней назад
Huyu sijui kwanini hakufunguliwa mashtaka ya ramli chonganishi na hata utapeli. Mbona waaganga wetu wa kienyeji wanakatazwa na kufunguliwa mashtaka kwa ramli chomganishi? Huyu ilikuaje ?
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Dominic, una kesi ya kujibu hapa Temeke District Court Fedha za watu zirudishwe Dominic
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 18 дней назад
Tunaenda kumchomoa huko huko aje alipe
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 23 дня назад
.....hatushangai......
@tedygodwin5431
@tedygodwin5431 23 дня назад
Mh mungu atusaidie
@tikob8484
@tikob8484 День назад
We fala tu
@pillyally2605
@pillyally2605 17 дней назад
Mwisho wako upo tu ipo siku mungu atakuazibu wew?
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 23 дня назад
Tanzania inaangukia mikononi mwa wanaweke %100 kubwa wanawake wanajazana makanisani kuamini matapeli kama Hawa sasa watupe majibu waliokuwa hawalali kwasababu ya ibada za Huyu kiboko yao
@zacharianyanda5424
@zacharianyanda5424 22 дня назад
Ni kweli wapumbavu baada ya kuwaibia mahela ni kweli wapumbavu. Lak8ni tubu umurudie Mungu.
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 20 дней назад
Watapeli Ukouko kwenu
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 20 дней назад
Mungu wangu wambingun hatakuwazibu mda simlefu
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Unapomtumikia Mungu usimame Kwa uadilifu. Kuliita kina la Yesu Hulu unatapeli watu umechagua jehanum
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 20 дней назад
Huyo ni tapeli tu kwa kutumia jina la Yesu. Anajinufaisha na kujitajirisha hakuna anachomtumikia Mungu hana anachohubiri si injili si Zaburi ni uchawi uongo na pesa tu ndio alichokua akihubiri ukiwemo na uchonganishi kwa wanandugu
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 23 дня назад
Africa tuna safari ndefu sana kufika tuendako
@colletatesha5265
@colletatesha5265 21 день назад
This world ooo
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 23 дня назад
😂😂😅Kina Mama poleni sana!!Utasikia nenda hapo nyuma ya nyumba,fukua utaona hirizi!!Utamsikua mama anasema..Baba,baba..nimeonaaa!
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Ahsante sana mtumishe umewakomoa wala wenye uchawii ❤❤❤❤ unakupenda sana ameeeen
@SuzanaJoshuatz
@SuzanaJoshuatz 13 дней назад
Unakula maisha gani wewe yenyewe mafupi haya yamehesabiwa haya apo umekopeshwa. tu na MUNGU dakika yoyote unapotea kama kimvuli tu 😢😢😢 huna lolote hapo tengeneza YESU anarudi yote hayo yatakuwa msiba kwako usifikiri kukusanya watu hivyo ndo ushindi na kuhurumia tu
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Atakua juu sana kimaisha mtabaki Shanghai hapo na maneno yenu
@yussufrajab9346
@yussufrajab9346 23 дня назад
Nenda hko kwa pumbavu wezako😂😂
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 22 дня назад
Tutakukumbuka sana kiboko ya wachawi ,waliokubeza Mungu atashuhulika nao,watu wanawakimbiza watumishi wa Mungu,wanaachakutafuta wasiojulikana kweli binadamu kazi sana
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 22 дня назад
Oh, poor thing! Hujui unachosema😭😭😭
@anna19805974
@anna19805974 22 дня назад
makubwa wajinga ndio waliwao
@eliamanimfinanga3957
@eliamanimfinanga3957 23 дня назад
Liye nyanyuliwa na mungu hata ufanyeje huwezi kumshusha lamda mungu mwenyewe ndio anaweza kumshusha
@Gatrudagaspher
@Gatrudagaspher 23 дня назад
Nikuombe kama mungu kakuita fanya kazi ya mungu usitukane alafu mwalabu jua ww tanzania ni nchi yako uwe unamshauli yaliyo mema usifulaiye anavyo sema pumbavu
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 20 дней назад
@@Gatrudagaspher Ukimgusa mwarabu! Unakosea umu ndani amuwezi kuongea jambo bila kumsema mwarabu ebu tuambiane mwarabu kosa lake kuajiriwa kazi? Mbona mlikuwa mkisema tuwaone watanzania hao walikuwa wakimlinda kiboko ya wachawi wataishi vipi.Sikia wewe maisha ya mwanadamu ajuaaye ni mungu pekee.
@Gatrudagaspher
@Gatrudagaspher 20 дней назад
@@HalimaRamadhani-w8l yupo kalibu nae amshauli tu afanye kazi ya mungu dunian akuna anae jiesabia haki au utakatifu ukiwa kimya kila kitu kina kaa sawa yamkini niushauli aupate aijuikani kaumizwa katendw na kina nam nilicho muomba mwalabu amshauli tu
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 20 дней назад
@@Gatrudagaspher Narudia tena biashara Yao ya kumujaji mwarabu Kila siku iyo hapana.maana mwarabu anafanya kazi na yule ni boss wake .ulishaona kuwa boss ananuniwa? Ushauri unaotaka mwarabu amshauri ni WA Nini ? Matusi Gani uliyoona ametukana? Ivi mtu kufurahi maisha yake napo ni vibaya? Tuache ubagguzi wa kikabila sisi watanzania hatuna roho za hajabu kama tunazozireta uko mitandaoni tujitaidi.sana uwo ni wakati wa mwarabu na baba.wingu limeamia Lubumbashi
@BLUBEENICE
@BLUBEENICE День назад
Muarabu fighter njaa itakua.
@HKMAARIFA
@HKMAARIFA 21 день назад
Mbwaaaa wew hafi mtu hapaa panya wew
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 23 дня назад
Nausije Tena hapa Tanzania pamoja na hao wenzako ,hao niwahuni kama wewe
@evelynjames9398
@evelynjames9398 23 дня назад
Kiboko ya Wachawi, Keep it up, No Retreat - No Surrender!!
@user-xo1zh8bb1l
@user-xo1zh8bb1l 23 дня назад
Yani na we unamwambia a keep it up akat ni wakili wa shetani uyo......jamani Tuwe makini sana
@ntyukastudio
@ntyukastudio 23 дня назад
​@@user-xo1zh8bb1lAnamboost shetani
@AverinaShirati
@AverinaShirati 23 дня назад
Huko Awana hela
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Dominic, Mungu alikuwa amekupa fursa nzuri mno hapa Buza. Lakini wewe na Hilo jitu Titi mna ulafi was fedha was kutisha!
@MwendokasiPromo
@MwendokasiPromo 12 дней назад
Jamani anayeua ni Mwenyezi Mungu mwanaadam hana uwezo wa kumuua mtu ila mm sijaelewa huyu jamaa kwa jinsi alivyo huo upako anautoa wapi? Hiki kizazi cha hatari sana anaaminiwa mtu asiyestahili kuaminiwa
@amanmalima940
@amanmalima940 20 дней назад
YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@MaulidiTwalib
@MaulidiTwalib 18 дней назад
Sasa mbon munawaamini matapel wanao tumia jina la yesu mukiambiwa manabii wa uongo munakasirika kutwa mzima matendo ya yesu hayapo sasa ndio maana ata kitabu chenyewe kimepunguzwa unajua kwann walipunguza soma usisomewe
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Acheni roho baya mungu ameminua tena mkijua atakwama nahapo Hana hat mwezi mungu stamina zaidi nazaida
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Tunakuja huko huko mungu akulidi sana huko baba yetu maua yako🎉🎉🎉🎉gooog
@maxmilianpaulmsoffe7381
@maxmilianpaulmsoffe7381 12 дней назад
Ahsante mungu kwakutuondolea wajinga kama hawa nchin mwetu nijambo la kumshukuru mungu
@AshirafuJuma-jo8bf
@AshirafuJuma-jo8bf 9 дней назад
Baki kwenu sisi tunaye mwamposa wetu
@user-jl2br6ye2w
@user-jl2br6ye2w 21 день назад
Piga kazi baba
@lawrence-xk1km
@lawrence-xk1km 21 день назад
Mwarabu fighter nae anatucheka watanzania wenzie
@OmaryAlly-x1j
@OmaryAlly-x1j 20 дней назад
Mtumishi gani unatukana badala ya kutumia busara na hekima
@barakakomba6087
@barakakomba6087 18 дней назад
Huyo wa pembeni mzee tawete kutoka songea dah huyo mzee nae mpigaji sana 😢😢
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 21 день назад
He!
@georgemahenge
@georgemahenge 20 дней назад
Amesha waambia wa tz.niwajinga sn.tena akawambia ukitaka kuombewa Bure nenda kwa babayako na mamayako.
@user-mg2fb1to9j
@user-mg2fb1to9j 21 день назад
Ombea basi. Vita kwenu
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Domi, nani aliekuroga namna hii?
@JohnMrugwa-je9kq
@JohnMrugwa-je9kq 19 дней назад
Wapumbavu walioibiwa wapo hapa
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq 19 дней назад
Kweli hili tapeli, ungeonesha miujiza ili serikali ikuache
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 23 дня назад
Endeleeni na uchawi huko kwenu siyo Tz
@GeniusThimoc
@GeniusThimoc 23 дня назад
Watanzania tuache makasiliko na maisha ya watu kama hatuwezi tukubali tu. Anayeweza anaweza usishindqne nae. tutafte maisha tuache uchawi. Karudi kwao na anakubalika huoni mnapoteza muda wakati maisha yanawashinda? Jifunze kunyamaza majibu yapo tu. Haya sasa yupo kwao na kz inaendelea je? Unajisikiaje?
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 23 дня назад
Kafie mbele na wewe mungu atashughulika nae tuu huko huko 🤣🤣🤣🤣
@ELGFILMS-u2j
@ELGFILMS-u2j 23 дня назад
Matako ya bbi yako kiboko was wachawi tapele utakufa uku umeekaa😂
@KidoBanks
@KidoBanks 23 дня назад
Tapeli mkubwa wew hufai kwetu tanzania ondoka kafie mbali ua sasa kama we kidume unashindana na mungu
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 23 дня назад
Ila hekima ni nzuri kwa sote
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Magenge ya wezi Yana muda wa kutamba
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 23 дня назад
Mtawatambua kwa matendo Yao wewe ninabii wauongo
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 15 дней назад
Tulia kwenu sisi atukutaki kwetu
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 23 дня назад
Huyo anahahatu Mungu hajaachilia gazabu juu yake hata hayo maneno hatatamka
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 21 день назад
Hujakosea kwa kweli uliwafanya wapumbavu tena wapumbu sana,umelamba mkwanja wa nguvu.halafu.mbona upo kama shoga mpumbavu ww.
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et 21 день назад
Mutumishi wa Mungu hapa hakuna Mutumishi wa Mungu anadjiskiya kama wa levi Bar namatusi juu eti analia Mama Samia nakuomba nirudi Tanzania nabii ukifukuzwa inchi moja sio kitu endereya inchi zingine Nabii Muzima unamaneno mengi kama murevi
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 20 дней назад
Huyo si nabii huyo ni tapeli muhuni.nabii wa uongo na ni mwizi tu .
@AmiriMoshi-t2y
@AmiriMoshi-t2y 23 дня назад
We choko
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 23 дня назад
Watu wangu wataangamia Kwa kukosa maarifa
@lusekelowilliam2068
@lusekelowilliam2068 21 день назад
Aaliye na macho haambowi tazama
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 13 дней назад
Bado unaipenda TZ but TZ imekukataa😂😅
@glorymiko6830
@glorymiko6830 20 дней назад
Kaendelee na utapeli Congo. Tanzania wamestuka.
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 21 день назад
Kumbe kweli lilikua lipumbavu
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Dominic, je unajua kwamba adui Yako mkuu ni tabia Yako?
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 22 дня назад
Rudisha fedha za watu Dominic
@GodfreyMagembe-yw9or
@GodfreyMagembe-yw9or 23 дня назад
Kiboko ya wachawi we mpumbavu kwel unajiita nabii maneno gan ayo unayoongea
@marylymo8121
@marylymo8121 17 дней назад
Bwana asifiwe. Niko TZ nahitaji msaada wako namba ya simu ni ipi ya kuwasiliana.
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 23 дня назад
Hakika nimeamuwa kujifunza kitu kwako wewe nimwanaume wangufu barikiwa 😂😂
@HawaOman
@HawaOman 23 дня назад
Mbona yupo vizuri Hana hata shida kazi kwenu na maneno yunu
@user-xo1zh8bb1l
@user-xo1zh8bb1l 23 дня назад
@@HawaOman Omba Mungu akupe macho ya kiroho ndugu
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu 21 день назад
Kilichomfanya aje huku nn wakati kwao kuna uhitaji mkubwa wa maombi njaa vita akapambane kuwaombea
@margaretlongway133
@margaretlongway133 21 день назад
Yani Kati ya wapumbavu ya watanzania na wewe Nani zaidi? Kubwa zima !! Kilio Cha watu wengi uliowatapeli haitakuwacha salama hata kidogo!!!
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 23 дня назад
jamaa bonge la hb❤😂🎉😅
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 21 день назад
Serikali haijafanya makosa kumtimua huyu tapeli
@kilolomasazi4240
@kilolomasazi4240 22 дня назад
Acha USENGE mpumbavu mkubwa ww
@KelvinElisa-w9b
@KelvinElisa-w9b 20 дней назад
Wa Tanzania fanyeni kazi sio kutaka miujiza ili utajirike, sijui kuamn wachawi Aya angalieni sasa
@jinomoko5510
@jinomoko5510 20 дней назад
Kaibe huko Lubumbashi hutuwezi weweee
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 20 дней назад
Watanzania oyeeee! Kipimo cha akili kinaanza kwetu sisi ni wajinga kwel ila Sina maana mbaya hapana, kinachonifanya niamini huyu ni kulingana na serikali kutoa vibali vya vyeti vya waganga wakienyeji alafu wahusika ambao ni viongozi wanaendelea na shughul zao wakichuma Kodi za watanzania ,,,, wakija kuangalia juu ndo hvyo vyet wanakuta mavuvu ya watu ,,,, naipenda Tanzania nchi yangu ❤
Далее
⚡ #RodrygoGoes ✖️ #Mbappé ⚽ #UCL
00:11
Просмотров 401 тыс.
ХИТРАЯ БАБУЛЯ #shorts
00:20
Просмотров 1,1 млн