Тёмный

Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 143 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,3 тыс.   
@hidayangoda4724
@hidayangoda4724 Месяц назад
Mama yetu mpendwa mama wa wengi Rais samia Mungu aendelee kukutunza kwa ajili yetu asante kwa maamuzi mazuri uliyoyafanya kwa manufaa ya nchi yetu na watu wake Tanzania haina nafasi kwa matapeli kabisa,barikiwa sana mama Samia
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s Месяц назад
Nchi hii ina wapinga Kristu wengi, Mungu wapige wote waliokinyume na Nabii wako Kiboko ya wachawi
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Месяц назад
​@@user-iu4du7ws6suna akiri timamu kwel ww
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Месяц назад
Aende bhn
@yassirabdallah3230
@yassirabdallah3230 Месяц назад
@@user-iu4du7ws6s haaaaaaaaaaa 🤔 kwaiy ulikuwa radhi kugombanishwa n jirani yko
@jacksonmachare663
@jacksonmachare663 Месяц назад
Napenda mnooo nchi yanguuu Tanzanian ❤❤ inajali sana sana watu wake , huyu kiboko ya wachawi feki angeendelea kuaa apa angepotosha watanzania wengiiii mnnooo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Hao wanaotekwa nao,wizi wa kura,ufisadi au na ww umegeuka kuwa chawa
@HassanJambia
@HassanJambia Месяц назад
Wapo wengi hawa sii kiboko tuu
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper Месяц назад
Kwahiyo siku Ile aliwatuma waumini wapaze kelele pale nje ya kanisa😂😂😂pale ndo alikosea sanaaaa...usishindane na mamlaka
@DanielMwananzila
@DanielMwananzila Месяц назад
Mbona unaumia sana😂😂​@@MathewNathan-yb2bz
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Месяц назад
Kiboko wa wachawi ni Mungu pekee.potelea mbali.kahubiri Congo
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 14 дней назад
Oya 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 9 дней назад
Nashangaa na akatapeli kwao
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 6 дней назад
Unajisikiaje asaiv😂
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Месяц назад
Mungu Ishike Tanzania na vizazi vyake kama tunavyokusihi ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Ujitukuze YEHOVA
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Месяц назад
Asante Mungu jamani acha tu baba nenda tu kwa kweli huwezi endelea na huu mpango wako kiukweli… nenda tu Congo nako wachawi wamejaa
@Bravegirl.427
@Bravegirl.427 Месяц назад
Kuchukua familia yako ije congo , tz hapana hatutaki
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Месяц назад
Kashaona makafiri wa tanzania hawatowi sadaka anarudi nyumbani sasa
@chany9950
@chany9950 Месяц назад
🤣🤣👍🏾
@super_boy_tz
@super_boy_tz Месяц назад
Maureen unanini wewe 😂😂
@thomasgabriel3205
@thomasgabriel3205 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@modekaijames
@modekaijames Месяц назад
Huyu jamaa mjinga kweli sasa watoto wako wa wili na mke mmoja ndio ufanye upumbavu kwa watu wengi Nenda congo chukua na mkeo😊
@AhmadMtemi
@AhmadMtemi Месяц назад
Km ww nimtu wamungu,fanya maombi huko kwenu vita imalizike.Umejichubuwa sura ww nishoga. Mtu wa dini hawezijichubuwa km ww.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Месяц назад
​@@AhmadMtemi😂😂😂😂
@modekaijames
@modekaijames Месяц назад
@@AhmadMtemi kweli aise yeye akakae goma au butembo na mke wake waombe vita vimalizike
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Месяц назад
Pumbavu kabisa, kwani lazima uishi Tanzania???? fanya hukohuko, mbona utawapata tuu wa kuwapotosha????
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Месяц назад
@@davidwatson6821 😂😂😂😂😂😂
@JacklineMasawe
@JacklineMasawe Месяц назад
Ewe mwenyezi mungu simamia nchi yetu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿zidisha amani na utuondolee mauwaji ya kinyama kwenye inchi yetu 🇹🇿🇹🇿
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 2 дня назад
Na kwel shelekali yatu mungu Uwa hanaipenda naungezidi kuukaa ungepotea Ukwel Nenda Congo Uko
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 7 дней назад
Toka shetani kwa jina la Yesu, nabii wa uongo ushindwe.
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Месяц назад
Tapeli Mkubwa kabisa wewe kaaa kwenu haya mambo ya kitapeli sijui kiboko ya wachawi hii nchi imechoka na matapeli mnataka kutupeleka shakahora
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Месяц назад
Tanzania imekua nchi ya uhuru sanaa kila mmoja anakuja Tz kufanya upuuzi 😢
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
Si wapumbav wanajua hiv hu jamaa mchungaj au tapel
@ahz6907
@ahz6907 Месяц назад
Tumekuwa wapumbavu sana
@misojiyona2648
@misojiyona2648 Месяц назад
Fungua kanisa congo uchukue na mkeo na wanao umeibia watu tumetoshaaaa
@HansChuma
@HansChuma Месяц назад
Hua mm nashangaa sana mitanzania mingine shenzi kabisa yann usapoti upumbavu kwann usifanye ungese huo kwenu et namuomba mama shenz kabisa em hii nchi vp
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Месяц назад
Nawewe ilikuw mchawi ?
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 Месяц назад
Kwani Tanzania ni kwenu si ubaki huko huko kwenu Congo 🇨🇩 kenge wewe na huyo mkeo si mchukue huko huko Congo wewe unajifanya Nabii, Manabii woto sehemu walizo fukuoka waliondoka na wake zao pia
@innocentswai22
@innocentswai22 Месяц назад
Chunga mdomo wako usiongee ovyo
@MubaKhamis
@MubaKhamis Месяц назад
​@@innocentswai22mtumie nauli mke wako akufate
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 9 дней назад
😂😂😂😂
@khalidwaid8021
@khalidwaid8021 Месяц назад
Sasa alikuwa anatabiria watu lkn yeye hajui hatima yake km atafukuzwa😂
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Месяц назад
🎉🎉🎉🎉😂😂😂 ah
@lucymtui8680
@lucymtui8680 Месяц назад
🎉😂
@masungadutta3823
@masungadutta3823 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti
@faridaamenye8405
@faridaamenye8405 Месяц назад
😂😂 hii ni maajabu
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Месяц назад
😂😂😂😂
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Месяц назад
Mtumishi Wewe ulimfukuza mtumishi mwenzako Lutumba kanisani kwako tena mkongo mwenzio mbele ya waumini hukujali utu na huduma yake. Urekebishe huduma zako ziendane na Mungu
@henrychacha5592
@henrychacha5592 Месяц назад
Ukweli kabisa mimi niliumia sana alipomdhalilisha Lutumba mbele za waumini wake.Pengine amevuna alichopanda
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Месяц назад
Kweli kabisa na yule alimsaidia. ..laana sana
@nurdinngalo-hj1ow
@nurdinngalo-hj1ow Месяц назад
Yah ni kweli afu kwa nn huyo mungu asikuinue huko kongo ivi hawa vipi
@abdallahally842
@abdallahally842 Месяц назад
Huyo kafukuzwa na fitina ya matapeli wenziwe aliwaibia wapumbavu eeh waumini wapuuzi wapigwa pesa ehh waumini wapumbavu waliwa lakitano eehh matapeli wenziwe wanaiba Kwa maji ya buku na mafuta ya buku tano yeye Anataka kutapeli lakitano ehh watu wangu wannangamia Kwa kukosa maarifa ehh wapumbavu wanaibiwa sababu wapumbavu wanafurahia kuibiwa😊😊😂 wapumbavu oyee
@PatsonKyando
@PatsonKyando Месяц назад
Haina uhusiano
@mariecruz921
@mariecruz921 Месяц назад
"Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa"
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Месяц назад
Na watu hao ni wakristo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Hata waisilamu wanao jilipua wanaangamizwa kwa ujinga mtu una meza bomu eti ni imani ya shahidi😂​@@AliNassor-qt6fm
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Месяц назад
​@@AliNassor-qt6fmpale hatawaislam wapo kwa mwamposa ndio kuna utitiri wa waislam katika kukosa maarifa hakuna cha dini ni mtu yeyote yule asiyejirambua pia
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Месяц назад
​@@AliNassor-qt6fmkwa taarifa yako waislamu ndiyo huwa wamejaa kwenye hayo makanisa
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 Месяц назад
Ata Congo kuna wachawi nenda kawauwe uko kwenu Congo tapeli mkubwa.
@user-jb3uq6jg5f
@user-jb3uq6jg5f Месяц назад
Huyu mwizi tu aombee kwao kuna vita watu wanateseka na njaa wanga pia kumuombea mtu laki tano hawa ndo wanatuvunjia amani ya nchi yetu kama wametumwa vile na mungu atakuhukumu kwa unachofanya zama za manabii wa uongo ndo hizi
@MorisHaule-n7h
@MorisHaule-n7h Месяц назад
mungu ni mwema tupo kwenye nchi ya kistaarabu sana fuata utaratibu tu na maagazo ya nchi kaka
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Hii bado haijawa nchi ya kistaarabu ina makando kando mengi sana
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Месяц назад
Hela ya carolite imeisha au mbona unalia lia sanaa 😂😂😂😂😂
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho Месяц назад
Atari 😂
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf Месяц назад
😂😂😂
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq Месяц назад
Sababu niutapeli nahuko uliko mungu yuko na kama nimke bass hujakatazwa kumchukua
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Месяц назад
Si ndo apo sasa😂😂😂😂si mchungaji endelea kuchunga uko😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Месяц назад
😂😂😂si ndo apo sasa..si mchungaji,endelea na utumishi uko kwenu😂😂kwani ndugu zako wao hawahitaji huduma,ni watanzania tu ndo wameandikiwa huduma
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Месяц назад
EWAAAAAA😂😂
@EliaEmmanul
@EliaEmmanul 7 дней назад
Mama yangu samia nakupenda sana kwa unacho kufanya kwa ajili ya watanzia
@JohnKatwanga-l1g
@JohnKatwanga-l1g Месяц назад
Mitanzani mijinga sana ndomana mataperi wanakimbiria tanzania
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x Месяц назад
Mama yetu wageni wanaoingia tz wachunguzwe sana kenya wanaigeria wamejaa kenya na wamechinja wadada huko wageni wote wachunguzwe na waondolewe tz wana madhara wengi wao
@saidhussein951
@saidhussein951 Месяц назад
Tapel..Mmoja tuuu we rudi kwenu bhana!!!
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Месяц назад
Kwao wapi
@brightonvictorkimsehyeon7892
@brightonvictorkimsehyeon7892 Месяц назад
​@@salimfaraj5509D.R.C CONGO 🇨🇩
@charlesmapunda2002
@charlesmapunda2002 Месяц назад
Kongo​@@salimfaraj5509
@scholamwasi
@scholamwasi Месяц назад
@@salimfaraj5509 kongo
@JosephMilinga-nl4zh
@JosephMilinga-nl4zh Месяц назад
​@@salimfaraj5509kwao congo
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 14 дней назад
Raise wetu ana kazi nyingi za kufanya Kwa wanaichii wa Tanzania na siyo matapeli kutoka inje ya inchii😢😢
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Месяц назад
Mtapeli mkubwa wew na wafanyakazi wako kweli pesa unaitisha watu laki tano et kukuona2 kwenda sio laki tano ni mamilioni ya pesa
@dignachami7382
@dignachami7382 Месяц назад
Asante Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote ,huyu jamaa aende kabisa na asirudi tena nnahasira nae sana ametapel watu wengi sana serikali imshughulikie
@salumadam2862
@salumadam2862 Месяц назад
Kwani huko kwenu uwezi fungua huduma tucho weza kukusaidi ni kukusafilishia mkewako nawatoto wako mkatumike huko congo mjinga mmoja wewe
@HansChuma
@HansChuma Месяц назад
Dah mwanangu mm nakwambia kitukimoja hakuna watu wadwanz kama wakongo wallah nakwambia haowatu huwez wajua mpaka utembee au kukaanao ila washenzi sana hua mm nashaanga madazetu wanawafagilia kingese sana
@judithmatage177
@judithmatage177 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@ahz6907
@ahz6907 Месяц назад
​@@HansChumaunaweza kuta yanawasibu mengi hawasemi tu wanaona aibu.😂
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Месяц назад
We hufai 500,000/ hata hivyo sisi majirani zako tuna ilaumu mpaka serikali yetu nayo ilihusoka kukuruhusu Kuwaibia nduguzetu, broo we ni jamaeetu kubalitu kuwa ulikuwa tapeli
@maryamos7663
@maryamos7663 Месяц назад
Hamisha familia yako kwenda Congo.
@phestostanley4019
@phestostanley4019 Месяц назад
Hakuna uende ufungue na huko wachawi wapo , unaleta laana juu ya nchi yetu kwenda huko
@user-eu7up8wy9v
@user-eu7up8wy9v Месяц назад
Hapo serikali mmefanya jambo la maana huyu mpinga kristo aende zake
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 Месяц назад
Siufungue kanisa congo nao wanataka huduma zako sana
@sirjoel6802
@sirjoel6802 Месяц назад
Kabsa
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Ndio kbs
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Inaonekana Kongo ,wajanja , cc ,wabongo ,ndo, tunapenda Sana kuombeya , na umasikini uko , pale pale
@BuhetySharia
@BuhetySharia Месяц назад
Akafungue Kongo....vita iishe..
@eddyempire9797
@eddyempire9797 Месяц назад
Ombea vita yenu iishe
@AntoniaRyoba
@AntoniaRyoba Месяц назад
Nenda zako udiludi tena hapo selikali imefanya kazi zuri
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d Месяц назад
Tapelii mkubwa sana uyoo jaamaa
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Месяц назад
Inafikirisha sana, haiwezekani eti uwe na uchungu na nchi nyingine kuliko nchi yako uliyozaliwa, watanzania wengi wanaokimbilia kwenye haya makanisa yanayozuka ndio wanawapa moyo hawa matapeli kuendelea kukimbilia huku... Watu wafanye kazi hakuna maisha ya short cut.
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 Месяц назад
Wame fanya vizuri sana angefungwa hata jela
@lightnessmasai8546
@lightnessmasai8546 Месяц назад
Asantey MUNGU ENDELEA KUMUATHIBU HUYU TAPELI
@elidaburton8737
@elidaburton8737 Месяц назад
Pepo kabisa ilo wangempa sekunde aondoke
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Месяц назад
Bora umeondaka ungechelewa ungepotea kabisa Asante Tanzania kwa Amani ya Kanisa watoto wako salaam chini ya Jamuuri ya Tanzania
@ndebilengelela6417
@ndebilengelela6417 Месяц назад
Hatutaki banaaa,Mh.Dr,Rais.Samia Suluhu hasani wabakie hukohuko wanasumbua watanzania wanaomba vibali vzr ila wanafanya tofauti wanafanya wote watumishi wa Mungu tuonekane sio wa kweli kiukweli mie naona abaki tu huko.Kama wito autumie hukohuko kwao.
@eliariro5514
@eliariro5514 Месяц назад
Aende zake mpotoshaji wa maandiko takatifu.
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
@BASHIRINAMYUNDU-dv5ff Месяц назад
Njoo uendelee kuwaibia nyumbu wanakulilia
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 Месяц назад
MAMA SAMIA HAWEZI KURUHUSU UJINGA URUDI TANZANIA
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 Месяц назад
Na ushoga uko tanzania 😂😂
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
Kwakuwa mshajua tanzania ndo kuna mazuzu yenu ya kuwatajirisha😊,,,ishi kwenu kila mtu akae kwao
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
Si mke wake amfate huko huko jamani? Baki huko huko kiboko ya wachawi
@MarianaCharles-oj3hj
@MarianaCharles-oj3hj Месяц назад
duh pole sana jaman huyu sio kiboko ya wachawi huyu nikiboko cha fimbo icho kikachape kwao hatukupendi hata robo nyooooo! umekila hela za shangazi yangu zikutoke mmapua
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Месяц назад
Serikari ufanye kazi yake Barbara Wala isiyumbe kabisa Kwa huyu mtu.sisi watanzania ni watu wa amani .akafanyie huko huko mambo hayo
@richkaja3317
@richkaja3317 Месяц назад
Congo mnapenda Sanaa uchawi kuna ndunguyangu katoka shamba kuja kwako ukamwabia laki tano weye ubwa toka nenda kwenu huna uchawi wowote weye tapeli
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 Месяц назад
Ngoja nipite 🤣🤣🤣🤣🤣 wanatabiria watu alafu wanashindwa kujitabiria wenyewe 😂😂😂Anza biashara my wangu maisha magumu
@sirjoel6802
@sirjoel6802 Месяц назад
Kabsa
@Elybwayz
@Elybwayz Месяц назад
😅😂 akili za wakiristo ni changamoto sana aende tu
@monicamwita9126
@monicamwita9126 Месяц назад
😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 Месяц назад
Hawa wapumbavu wakijiita manabii basi wanajiona Miungu kabisa. Ni kweli watu wanashida, kivipi uwadhalilishe? Na wakijitokeza wengine fungeni kanisa na hao wachungaji wafungwe.
@YustaMfugale
@YustaMfugale Месяц назад
Naipenda nchi yangu 🇹🇿
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
Baki huko huko bongo kumejaa
@richkaja3317
@richkaja3317 Месяц назад
Kama kweli weye mchawi siuge waronga huna lolote mbwa tu huna uchawiiii tapeli
@scholamwasi
@scholamwasi Месяц назад
Ugeni miala 10 fungua kwenu kanisa bana tumetosha makanisa mengi sada
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Месяц назад
Zezi Sana wewe... Unamutania Mungu Sana... Mungu hazihakiwe shezi Sana
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz Месяц назад
Bwanaaa Gooooooo.......na Usirudiii Tena
@hawasaid7151
@hawasaid7151 Месяц назад
Tena akomee uko kwao mfyuuu
@salumkasim5840
@salumkasim5840 29 дней назад
Kwahiyo mungu kakureta Tanzania tu nchi zingine waumini hawapo acha kuiharibu Nchii kwa kujifanya mungu mtu
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 Месяц назад
Akafungue kanisa Congo, anachong'ang'ania Tz ni nini arudi kwao! Kama rahisi akawa laghai wacongo wenzie.
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Месяц назад
Ujirekebishe tu kauli Tanzania hatuna shida ndogondogo
@erickmshoboth4705
@erickmshoboth4705 Месяц назад
𝙆𝙞𝙢𝙚𝙣𝙤𝙜𝙚𝙬𝙖😂😂😂😂😂𝙚𝙧𝙖 𝙩𝙖𝙢𝙪
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Месяц назад
Raisi wangu Mama Samia Asante sana Kwa kuthamini maslahi ya Taifa na watu wako, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan 🙏🙏🇹🇿
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Месяц назад
Msitumie uhuru wa Tanzania vibaya, na pia msichukulie poa bongo, bongo kila mtu ni mlinzi wa nchi..
@user-hh7df4mq1j
@user-hh7df4mq1j Месяц назад
Kwakweli
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g Месяц назад
Mke na watoto watapata baba mwengine na wataenjoi maisha kwendraaaa
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn Месяц назад
Mbwa kweli wewe
@19ddr
@19ddr Месяц назад
Huyu mchungaji katoka Saudi Arabia au??
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Месяц назад
Mkongo huyo
@abuarafatmkweli748
@abuarafatmkweli748 Месяц назад
Uliza hivi ...huyu mwizi katoka wapi?
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Месяц назад
4:42 usitukane saudia , saudia haina manabii mtakufa kwa kukashifu waislam
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t Месяц назад
Nabii gani ambae ulishindwa kuona hayo yaliyokupata??? Achana na watanzania moyo wako umeuachaje huku ungali hai huko ulipo acha kudanganya watu. Jutahidi kufanya huduma ya ibada ya kweli huko kwa ndugu zako Mungu atakusaidia na ikiwa utaziacha njia zako mbaya Mungu atafanya njia siku moja utakuja na injili ya kweli Tanzania na si ya kichawi wala kiganga. Hata hayo mavazi yako tuu si ishara nzuri badilika
@ngwashgold5459
@ngwashgold5459 Месяц назад
Kumbe hakuwa mbongo aiseee
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Месяц назад
Hata wabongo wenzio huwajui Hilo congo nawacongo siku zote madume kwa majike wanajichubua 😮
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 Месяц назад
Mwanamke ushamuoa huku sio kwake tena,afungushe amfwate Mume wake......wew ni mtu wa Mungu, Congo kuna Vita na matatizo kibao,Ombea nchi yako iwe na amani
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 Месяц назад
Eti nchi ya kistaarabu ogopa sana watu wastaarabu tulikuheshimu ila ukaleta upuuzi
@josej9888
@josej9888 Месяц назад
Waharamia wapo wengi kwenye nchi hii hadi kwenye uongozi wanchi.
@allahisone6386
@allahisone6386 Месяц назад
KAMA AKINA NANIII?
@BarakaMsafiri-hc5nn
@BarakaMsafiri-hc5nn Месяц назад
Usi rudi bhana ubiri huko huko Kongo
@righitkileo
@righitkileo 20 дней назад
❤❤hii imeenda yaani wewe ulimtimua mtumishi mwenzako kama Mbwa na wewe umetimuliwa.❤❤tena masaa 24 ❤❤❤sasa unadhani Munqu Anadhihakiwa??? MUNGU fundi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-nf5zd7wg1f
@user-nf5zd7wg1f Месяц назад
Rudisha laki 500000. Ulizomtapeli mke wangu afu urudi.. Wewe ni tapeli hufani nakuchukia sanaa. Usijiite mtumishi huna sifa kabisa
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 Месяц назад
😂😂😂😂 pole asee
@drhanda8201
@drhanda8201 Месяц назад
Kweli
@AthumaniMsangi-f4i
@AthumaniMsangi-f4i Месяц назад
Kila mkongo akitua hapa TZ lazima afungue kanisa ama mdawote yupo kanisani serikali inapswa mda mwingine muwaangalie hawa watu sana sasa nabii anaomba kurudi tena bongo wakati waumini ndio wajiandae kupanda FALCON,TAQWA, kukufwata ulipo
@lawskuli9876
@lawskuli9876 Месяц назад
Simply, chukua mke na watoto wako uishi huko kwenu. Ni dhahiri hapa Tz hawakutaki wewe wala huduma zako hivyo nenda kwenu. Au weye hukutaki huko kwenu.
@matungwaByarugaba
@matungwaByarugaba Месяц назад
Watanzania tu ndoo wanashida tu?wasaidie wa kwenu ZAIRE
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Месяц назад
Mpuuuuzi kweli kweli , mama yetu kipenzi hawezi kufanya hivyo.kafanye huduma huko kwako Tz hapana
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o Месяц назад
Kama una mungu Kweli su ufanye huko hukoo wtakufuata
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Месяц назад
😂😂😂😂
@fortuneakankizya5336
@fortuneakankizya5336 21 день назад
Nakupataje prophet
@user-gn4lc5sk6p
@user-gn4lc5sk6p Месяц назад
Nenda kwingine huku Tanzania tumechoka tabia yako ya kuchungulia chupi za wanawake kama ulivyosema mwenyewe.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂😂
@deusdeditmarwa1324
@deusdeditmarwa1324 Месяц назад
Nabii Dominic, Bwana Yesu asifiwe. Nadhani ni vema Sasa ujibu hoja hizi zilizokusababishia ufarakane na watu Fulani pale Buza
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d Месяц назад
C hukae congoo huwezi kufanya kazii huko kwenu
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 7 дней назад
Amina
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Hizo nguvu alizonazo si zimrudishe Tanzania ?
@mercyfifi1957
@mercyfifi1957 Месяц назад
Mungu akutetee mtumishi vita si yako vita niya Bwana kwa upande wangu nimeona mkono wa Mungu Amen .
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Месяц назад
kumanyoko
@petermanala6138
@petermanala6138 Месяц назад
​@@jizzotheking9238😂😂😂😂😂😂😂
@user-ox8tr1ub2e
@user-ox8tr1ub2e Месяц назад
😂😂😂😂​@@jizzotheking9238
@salmasudi8901
@salmasudi8901 Месяц назад
@@jizzotheking9238😂😂😂😂😂
@frankliuzio396
@frankliuzio396 Месяц назад
Zombie
@StewadKizenganya-sk6sg
@StewadKizenganya-sk6sg Месяц назад
Acheni utapeli mnatapeli watu sababu niwavivu wakufikili
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Месяц назад
Wapo wengi mungu ni mwema bado kuna wengine wengi tuu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Wataondoka tu no way
@hundredcopies2719
@hundredcopies2719 Месяц назад
Anamuuliza Muumini wake umevaa shanga ?! Umenunua shi ngap ? 😂😂😂😂😂
@lonsman
@lonsman Месяц назад
Thanks Jesus
@homan_nkwama
@homan_nkwama Месяц назад
Fedha YANGU aikutosha kiasi alichotaka ILI KUMUOMBEA MAMA YANGU alichukua ile ndogo sanaaa bila kurudisha Na hakufanya MAOMBI kwa ajiri ya MAMA YANGU ni ukweli mtupu....
@sebonikegobi6244
@sebonikegobi6244 27 дней назад
Siyo lazima kufanya kazi Tz tumika hukohuko kwenu congo hatukutaki
@octaviathomasy8924
@octaviathomasy8924 Месяц назад
Me nilishangaa sijui namba yangu kaisave kila siku ananitumia msg eti ndugu zangu watatu wananiloga wakati si kweli na marafiki wa wili mmmh nenda baba ila uchonganishi wako umekupenda sana
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 Месяц назад
Mavi ya nyumbu kabisa unajitetea nini akati watanzania wote hawakutaki hao vichaa uliowalisha ndagu wasiondoke hapo kanisani kwako sio sehemu yetu. Kama wanaona umeonewa sana wakufate huko huko kwenu madongo kuinama ushirikiane nao kuwinda wachawi huko kwenu bukavu. Hapa kwetu sio uwanja wa maigizo ukitaka michezo kachezee uko kwenu tumbili mla mavi
@AfyaYangu-yc7zw
@AfyaYangu-yc7zw Месяц назад
Hata Yesu aliambiwa hivihivi mnavyosema walisema kama kweli ww mwanawamungu jishushe mwenyewe mimi naomba haya yote tumwachie Mungu yeye ndo anajua kuwa huyu wangu au la
@IsakaunambweNassary
@IsakaunambweNassary 10 дней назад
Hujui unachokifanya na unachoongea $potelea mbali na utapeli wako 😂😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
We koma kabisa Samia sio mama yako waibie wakongo wenzio
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Месяц назад
Tena serikali huyu asirudi analitukanisha jina la yesu anatoza pesa
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Месяц назад
Safiii sanaaa
@PaulathMpole-g4n
@PaulathMpole-g4n Месяц назад
Inasikitisha aiseee mungu yupo
@monicamtimi
@monicamtimi Месяц назад
Mama hana muda huo wa kukufatilia anawatu anaowaamini
@NaimaSaidi-p4o
@NaimaSaidi-p4o 5 дней назад
Aymeeen bwana yesu aingilie kati urudi tanzania
@saidhussein951
@saidhussein951 Месяц назад
Nabiii..anapiga way...kuuuuhh😂😂😂😂😂
@hanspop6961
@hanspop6961 Месяц назад
Nabii Tozi wave mkologo
@Peterchipemba
@Peterchipemba 10 дней назад
Jizi sana ili,,tena hatulitaki tanzania,,na watanzania tuache ujinga
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Месяц назад
Wangekuuaje siungetumia uwezo wako wa nguvu ya kichawi
Далее