Тёмный

Kidunda atinga na MKANDA Bungeni; ashangiliwa si kitoto 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 122 тыс.
50% 1

Shangwe limeibuka Bungeni mara baada ya Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwatambulisha Bondia Selemani Kidunda aliyeingia Bungeni na mkanda wa ngumi, Mwanariadha Alphonce Simbu pamoja na Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike walioshinda Medali kwenye mashindano ya ndondi ya Jumuiya ya Madola.
Wanamichezo hao waliotambulishwa Bungeni leo Jumatano, Mei 24, 2023 pia ni maafisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 7 месяцев назад
Mwenyezi mungu akubarikin sana wanajeshi wetu na akusimamien ktk vipaji vyenu safi sana mmetuwakilishia vyema taifa letu
@killindoabile3128
@killindoabile3128 Год назад
Bondia naemkubali kibongo bongo selemani kidunda .
@saidsalum6101
@saidsalum6101 6 месяцев назад
Nikweli ila alipigwa na msauzi
@jamesogunya4877
@jamesogunya4877 6 месяцев назад
Jamani hii ni ya Mwaka janaaa... hamuangaliii hata muda iliopostiwa... ila WABONGO chuki tuuu
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 6 месяцев назад
Kwani Alphonse simbu alikuwa ni mwanajeshi au??? Mana Naona sielew elew
@herryntandu5291
@herryntandu5291 6 месяцев назад
Mjeshi huyo
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 6 месяцев назад
ndio
@YonaMwino
@YonaMwino 6 месяцев назад
Hakuna jessi happy ni ccm
@Marjeby
@Marjeby 7 месяцев назад
😂😂😂😂So watu wakipigwa nao wanatambulishwa Bungeni pia?!
@wizzditto747
@wizzditto747 6 месяцев назад
Hahaha wanaiba kura hadi ushindi ulingoni wanaoora 😂😂 yaani africa nzima tumeona jeshi uchwara kachapika 😂
@FatmaTembea
@FatmaTembea 7 месяцев назад
Juzi kapigwa lakini akapendelewa eti droo pupupupu
@erastomakelemo2968
@erastomakelemo2968 6 месяцев назад
Pte anaweza vaa suti kumbe
@davidmongi
@davidmongi 7 месяцев назад
Sio kweli na sio kirahisi
@MaboroMagesa
@MaboroMagesa Год назад
Cheo ya kidunda
@ChrisantChrisant-q9d
@ChrisantChrisant-q9d 6 месяцев назад
Mm sitaki nikoment tusije tukatafutana kisa comment tuu
@wizzditto747
@wizzditto747 6 месяцев назад
Unaogopa mpaka mudahuu
@salumkarim69
@salumkarim69 6 месяцев назад
Hemu angalieni hii no ya mwaka jana siyo ya mwaka huu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 7 месяцев назад
Vipi amepona maradhi ya macho na majipu??
@wizzditto747
@wizzditto747 6 месяцев назад
Tanzania rabda kwaizo siasa uchwara, ila jeshiwenu kapigwa na dogo yule wa sauzi africa
@yusuphkawambwa1470
@yusuphkawambwa1470 6 месяцев назад
kweli chuki ikizidi na akili zinapungua😂 nikiangalia comment za watu wanaoponda kidunda kwenda bunge kisa wanadai alipigwa na nsaouth. wakati hilitukio ni la 24/02/02023 nacheka sana 😂😂😂
@raframs.stationery
@raframs.stationery 6 месяцев назад
Kapigwa
@stn4873
@stn4873 Год назад
SELEMANI KIDUNDA MTU CHUMA, MTU NONDO.
@wizzditto747
@wizzditto747 6 месяцев назад
Kachapwa na mtoto mdogo wakisauzi ila kawaida yao kupora ushindi
@emanuelwilliam1607
@emanuelwilliam1607 6 месяцев назад
Wanamcheka kijanja hapo kapigwa sana tu ile mechi😢
@ericmellau3783
@ericmellau3783 6 месяцев назад
Acha kukurupuka bna video ya miez tisa iliyo pita
@charlesmazige
@charlesmazige Год назад
huyu ndio bondia pekee ninae mkubali tanzania no moja
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 6 месяцев назад
Walimzulumu msauzi hakuna kitu hapo.
@MussaSongo
@MussaSongo 6 месяцев назад
Hamna kitu
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Год назад
Kidunda
@JillyEmmanuel
@JillyEmmanuel 6 месяцев назад
Robbery
@daviddaniel7464
@daviddaniel7464 6 месяцев назад
Jwtz 🫡🇹🇿
Далее
НОВАЯ "БУХАНКА" 2024. ФИНАЛ
1:39:04
Просмотров 431 тыс.
Iran launches wave of missiles at Israel
00:43
Просмотров 1,4 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 4,6 млн