Тёмный

EXCLUSIVE: TALE NA DIAMOND WALIVYOENDA KWA P DIDDY "ALITUSUBIRISHA NJE KWANZA, SNOOP ALITAKA TUVUTE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 249 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 255   
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 4 месяца назад
Waliokuja kuangalia baada ya dd kukimbizwa nipe like
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 4 месяца назад
Daimond kafinywa na pidd
@GloriaAlexanda-ld5zt
@GloriaAlexanda-ld5zt Год назад
Daah! Mzee wangu tale wewe ni hatare talking style yako nimeipenda 💪
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 4 месяца назад
Ungependa awe mpenzi wako au baba yako??😂
@BuntuAlkebulan-yh6qu
@BuntuAlkebulan-yh6qu 4 месяца назад
​@@naimasbuguza2395😂😂😂😂😂😂
@RAAJMELODY
@RAAJMELODY Год назад
Napendaga sana interview za Babu tale l wish one day l will meet him
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 Год назад
RESPECT SANA...#TALE....Allah azidi kukulinda kiafya na kimaisha... #WE LOVE YOU BRO...👌💪
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day Год назад
Respect Legend Journalist Millard upo na Muheshimiwa
@glorytarimo8321
@glorytarimo8321 Год назад
Hongera Millday Ayo kazi yako nzuri sana uchangui ubagui safi sana wengi wajifunze kutoka kwako ni mtu wa kipekee sana 🥰
@PepiteSquare-cp9wd
@PepiteSquare-cp9wd Год назад
Love you babu tale nakukubali sana papa
@princesofari1472
@princesofari1472 Год назад
Tale can be a good motivational person. His voice is soothing and calming, good work babu tale. 👏👏👏
@Jodrey1
@Jodrey1 Год назад
Kuanza leo namuheshim #Tale we ni story teller 🎉❤
@elastotulyanje5456
@elastotulyanje5456 Год назад
MWENDELEZO BASI WA HII interview,,,, nimeipenda❤
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Ila namkubali sana Tale, interview ya kizazi sana hii, part 2 please 😅
@bakarisaady181
@bakarisaady181 Год назад
Tale mbona kama mtu safi ukikuelewa✔
@remmywillyz8472
@remmywillyz8472 Год назад
😂😂 sema tale anajus kupigish story nimekubal bro hufich umefunguk san 🔥❤one love
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Год назад
That Babu Tale's Ring is 🔥
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Год назад
Interview kali sana kwann imeisha mapema😮😂
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Год назад
Dah! Nimependa sana hii interview iko🔥 Then kumbe na wao wakikutana na wasanii wakubwa huko wanakuwa so saprise😂😂😂😂😂
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
Ndio
@videodon3280
@videodon3280 Год назад
😂That shit normal mehn. Mimi nimependa venye Tale anaelezea Diddy alikuwa anamuongelesha Diamond "Yo Lion whatsapp"🤣
@officialdogobdance672
@officialdogobdance672 4 месяца назад
Tamu sana
@emmyfamily3487
@emmyfamily3487 Год назад
Tunaweza ponda yoyote ila co huyu mtu mungu ampe hekma ilokua kubwa ,mungu amlinde na baya ktk ulimwengu huu
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 4 месяца назад
TALE UMETISHA SAANA Aiseee good Vaibuuu 📺💯🔥💥
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Год назад
Be Blessed Brother Tale &Comrade Millard
@martineuzebio535
@martineuzebio535 Год назад
I like this interview
@kimah9855
@kimah9855 Год назад
Tearm Zuuh tumefuraha❤❤❤
@aishaomar1845
@aishaomar1845 Год назад
WE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯Break record of 🌍🌍🌍🌍
@richcompanyfilmtv823
@richcompanyfilmtv823 Год назад
Babu tale story Teller 😁😁😁🔥🙌🙌🙌🙌🙌
@kilsonghalck9124
@kilsonghalck9124 Год назад
Daa!, ni hatari, nawaomba mka m'contact "Decky real" ni msanii ambaye hana kuja na project kali hijapokuwa upande wa promotion haja kaha sawa ki hivo, haki pata promotion hata kuwa hit ndani ya bongo, ali kuwa haki fanyiya kazi kigoma ila ame panda DSM kwaku tafuta kuji push, shukrani kwa hatakaye mfollow maana huyu jamaa hanaga show mbovu mwene sauti yaku vutiya anaye juwa kuteka hisia za mashabiki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 5 месяцев назад
Wangapi mmkuja Baada ya P Diddy kudwakwa😂
@user-mi4tb2lm2n
@user-mi4tb2lm2n 4 месяца назад
😂😂
@TrilllionTheGhost
@TrilllionTheGhost 4 месяца назад
Tuko pamoja kiongozi
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 месяца назад
Waliliwa😂😂😂
@Rich_3011
@Rich_3011 4 месяца назад
😂😂😂
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 4 месяца назад
Mzee dommo kaliwa Diddy Hana mchezo😂 aliwe usher ,Justin ,omarion n.k domo hanusuliki....hii misanii yetu hiii imepiga micollabo ila imeliwa kwanza😂😂😂
@hoodlamar9284
@hoodlamar9284 Год назад
Bonge la interview🔥🔥🔥🔥🔥
@lazarobomani1466
@lazarobomani1466 Год назад
Big up tale for exclusive interview
@rancitv
@rancitv Год назад
Umekuwa mkweli bab tale, tumejifunza
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 Год назад
Safi sana,majibu mazuri
@DavisTibbz
@DavisTibbz 9 месяцев назад
The guy is a good story teller
@yutafilms6916
@yutafilms6916 Год назад
Love the show
@mustafanguyahambi4346
@mustafanguyahambi4346 11 месяцев назад
Big Respect Mhe. Talee
@abdirahmanali7347
@abdirahmanali7347 Год назад
Will you have extend the interviews ....
@sakinamixpambe2602
@sakinamixpambe2602 Год назад
Babu tale umenichekesha hapo kwa P -DD wekweli comedian 😆 😄
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Yan🤣🤣🖐
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
Babu tale wew ni mtu poa sanaaa
@cachec7930
@cachec7930 Год назад
Good interview✋
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
Napenda interview za tale I see😂😂
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Me too
@sanauswahilimovies
@sanauswahilimovies Год назад
Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie
@barhepaul4754
@barhepaul4754 Год назад
Mzee ni story teller hatati sana apo udambuudambu wakutosha mzee 😂😂
@3malis
@3malis Год назад
Unavutiwa yani 😅😅😅
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 Год назад
watu wanaohitaji kuoana hufanya kwa vitendo sio maneno kwa sababu mkiridhiana mnafika kwa wazazi kisha taratibu zinafuatwa. Ila drama ni nyingi kila siku kusema hili mara lile. Kuvuta tention za watu.
@kantai737
@kantai737 Год назад
Kwa kweli, hatutaki kila siku kumdhalilisha zuchu, anayekupenda anakuheshimisha,kama si hivo wafanye mambo yao ndani kwa ndani,sisi tunataka kumuona msanii wetu anaheshimika.
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Год назад
Yani Diddy nimsenge kiasi iko adi anauliza ka Africa ni jangwa tu
@made5167
@made5167 Год назад
Brother Pdd n mtu wa masihara sana atakuwa alsema hvyo to clear the air
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
😂😂😂😂😂😂 watu wenye pesa mwanangu nomaaa
@tolekabizneztv
@tolekabizneztv Год назад
Millard ukinisupport na mic moja ya podcast naeza kujidai sana🙏🙏🙏
@bellogregory7175
@bellogregory7175 Год назад
Talking style ❤😊
@mrnelly667
@mrnelly667 Год назад
I like it 2023
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 Год назад
Exclusively 💥
@Mrfocus.5g
@Mrfocus.5g Год назад
Nakubali kweli
@patrickvove
@patrickvove Год назад
Story Teller 👍👍❤️❤️🫡🤝
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Год назад
Bbutale ulikuwa ulichelewa saaana kuingie kwenye siasa #portique
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Iyo album tunasubiri itoke
@kizitokasulamo9167
@kizitokasulamo9167 Год назад
Natamani kama mahojiano yaendelee hv 😁😁😁
@nyamushalaparfait4154
@nyamushalaparfait4154 Год назад
This is very fun interview 😅
@loveneskaaya1652
@loveneskaaya1652 Год назад
Mbna BEYONCE kwenye renaissance tour kuna nchi katumia uwanja unaochukua watu 80k nakauza tiket zote?
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 Год назад
Beyoncé ana 20 yrs kwny muzik
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 месяца назад
WALILIWA WATE NA DY DD😂😂😂😂😂
@dianabanga2625
@dianabanga2625 Год назад
👏🏿👏🏿👏🏿♥️
@chakalaboti9709
@chakalaboti9709 Год назад
Napend Tale anavyoishii Simpo mnooo..
@aishaomar1845
@aishaomar1845 Год назад
And you guys are hanging on 🦁💯💯 WHAT a Shame 😢😢😢😢
@naslee1010
@naslee1010 Год назад
Ongea yako sijaipenda bro una lainika sana
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 Год назад
Kwani siku gani ulishawi kumuona aongei Ivo kaka yangu?Toka kitambo kaka.Babutale ndojinsi alivyo toka kitambo Kama unafatilia Mziki kaka yangu
@thagreatmaizah9964
@thagreatmaizah9964 Год назад
Mwanangu nikajua pekeangu mwenyw namchora kitambo ...kunavitu havipo sawa amini
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Ndivyo alivyo alivyo umbwa umewahi msikia marehemu bonge anavyoongea huwezi badirisha nature hutaki interview zake sepa
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
@@thagreatmaizah9964 wangu mambo ya ushoga yamewaharibu Sana Kila kitu mnafikiria ushoga Tale ndo uongeaji wake huo Miaka na Miaka labda kama hufatilii mziki
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@thagreatmaizah9964 🤣🖐
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Kwa p.didy apo amenichekesha🤣🤣
@mbungulanga6729
@mbungulanga6729 Год назад
Aende wapi mtoto wa watu heheh Hana option inamana
@juniorborbo
@juniorborbo 11 месяцев назад
Ni kweli kutojaza show kwa Zuchu America sijambo la ajabu. Kumbuka Bob Marley alipoanza safari yake ya mwazo mwazo kuingia United Kingdom, alifanya show Southhamption wakaingia kwenye show watu chini ya 150. Bob Marley alikufa moyo sana na kusema pengine mimi sistahili kuwapi hapa UK kama muimbaji. Baada ya team kumliwaza Bob Marley na kumtia moyo asife moyo baadae Bob Marley akawa World Star.
@jacksoncastor4423
@jacksoncastor4423 Год назад
Tale anaongea kama hataki Safi sana
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
Eti nyumba kama garage 🤣🤣🤣🤣,kuzungushwa bonge la jumba
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Год назад
😂😂😂😂😂 hakuamin macho yake
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
@@sir_ENOCKMACHA wamezoea ramani ya nyumba zetu za Africa,ndomaana aliona kama garage mwanzoni,alipozungushwa na akaona nyumba yenyewe🤣🤣🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Na pia kasema aise mwamba ana maisha 😂😂😂😂 huyo ndio B TALE bwanaa
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 Год назад
Sio mwenzetu tena guys tushamkosa
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Год назад
Mpe goli hilo
@sinanindola93
@sinanindola93 Год назад
@@kakaaignas3675 ili jibu konyo 😂
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 4 месяца назад
Msanii mlikua hamumjui fiscally but mlikuwa mnamsikia kama sisi
@esperancenathali
@esperancenathali Год назад
Nisiwe mchoyo babu tale km ndugu yangu vile maana kafanana na mzee wangu hadi kuongea sorry guys for saying that cause I been watching his interviews so many years daah ila mimi mkongo tuuu
@EstherYouze
@EstherYouze Год назад
Talee😂 awe msimulizi wa story jmn
@hoodlamar9284
@hoodlamar9284 Год назад
PARTY TWO-
@mzulunatal8062
@mzulunatal8062 2 месяца назад
Justin Bibber aliingia kwenye hiyo party ya Didy na baada ya hapo akaharibu mustakabar wake wa maisha na miongoni mwa maishiri ya nyimbo zake anasema " nimepoteza utu wangu baada ya kuingia kwenye party ya Didy" kwa hyo kama ndugu zetu nao walibahatika kuingia kwa huyo mwamba, basi tuuache muda uuongee
@sheyla9004
@sheyla9004 Год назад
Napenda tale anavoongea Kama ningeweza ningemsikiliza siku nzima
@barakasandey1980
@barakasandey1980 Год назад
Nimekaa naisubiria hii nacheki dakika tuu
@user-xt7bp5xg7j
@user-xt7bp5xg7j Год назад
Daaaah namkubali diamond anajuw kujiuuza kimziki nakubali simba
@pedeize4987
@pedeize4987 Год назад
Ndugu zangu tupambane kilakitu kinawezekana
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hakimayubabdul8117
@hakimayubabdul8117 Год назад
Alfu vice President wa marekani eti kazijua nyimbo za bongo fleva?😜😜😜 Duffy alikuwa hamjui Platnum?
@victorkamate4570
@victorkamate4570 Год назад
Mbona hii story inataka kufanana na ya zumaridi bro!!!!
@kingdeniscrocodile
@kingdeniscrocodile 4 месяца назад
Hahahaha I was waoo 😂😂
@Renatusrenatus
@Renatusrenatus 4 месяца назад
Umethibitisha kuwa unamshauli aachane na hao watoto. Tafsiriyake nn? Roho mbaya?
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Watu wakimuona diamond hawaelewi ni msanii mkubwa sana na anauzika nje. Ile kitu ameona hapa watu wanamuona ni kanjanja
@chany9950
@chany9950 Год назад
👍🏽👍🏽👍🏽
@japhetjohntv5579
@japhetjohntv5579 Год назад
Wcb bhn wako vizuri check views
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
I hope they knows PDD ni SHOGA
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Hio hata mwenyewe nimeipata juzi juzi tena inasemekana wasani wake wengi lilikua linawafunuwa.
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Aliyekwambia ni shoga ni nani? Yaani ushamba wa wabongo ni mwingi sana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
@@amanimapenzi571 Ndio siye ni washamba haina tabu ila fanya utafiti utagunduwa hizo funyunyu zipo. Google haitotuacha salama
@afrocushitic
@afrocushitic Год назад
Shoga anawatoto zaidi ya watano
@Swahili14
@Swahili14 Год назад
@@sonnyr1899 shoga kiaje naliwa au anakula? 💀😭 Nmeskia izo rumors pia He's secretly in love with Will Smith I'm not judging him tho But if he's forcing by raping victims I'm concerned
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 11 месяцев назад
Nilicho gundua kukatazwa kwa bangi kunawatu muhimu hawaji kuongeza pato la taifa viongozi fanyieni kazi hilo big up mbunge wa morogoro vijijini
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 11 месяцев назад
😂😂😂
@francknjosh7081
@francknjosh7081 Год назад
Hope p Diddy hakuwafanyia ile kitu😂
@makejaffar8119
@makejaffar8119 10 месяцев назад
Aliwafanya
@alimashabani
@alimashabani 4 месяца назад
hahahahah
@nuru.simkoko
@nuru.simkoko 4 месяца назад
Lazima walifanyiwa tu 😂😂
@Bambagatz
@Bambagatz 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@baloz8974
@baloz8974 4 месяца назад
Kwa Mr. Love tena lazima hilo
@jumahassan273
@jumahassan273 Год назад
Hii nayo ni story dah kweli umaarufu sio ujuzi
@Masta313
@Masta313 Год назад
Daaah
@mwanaishiaomar5695
@mwanaishiaomar5695 Год назад
@dmykingonlinetv4880
@dmykingonlinetv4880 Год назад
Kazi mzuri Sana kaka
@peterbuju5216
@peterbuju5216 Год назад
Safi
@Saleh-mg8fr
@Saleh-mg8fr Год назад
Babutare mupole
@martineuzebio535
@martineuzebio535 Год назад
Wsb wanamapungufu ila n wanyama sana😂
@njoroboihastla
@njoroboihastla Год назад
WCB NO WSB
@valeriaally6584
@valeriaally6584 Год назад
MARTIN EUZEBIO sana🤣🤣😂😂
@Mendietadiamante7971
@Mendietadiamante7971 4 месяца назад
Didy they party?
@user-zl7bz8wf9v
@user-zl7bz8wf9v 4 месяца назад
Don't party with didy 😂
@fauziaabdul8732
@fauziaabdul8732 Год назад
Tale huchoki msikiliza.
@innocentpius8083
@innocentpius8083 Год назад
Haisee wanaume atuongei hivi sasa mama la mama ataongeaje ?😢
@mauanasseb6193
@mauanasseb6193 Год назад
😢
@louser9473
@louser9473 Год назад
🤣🤣🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Mpe mkundu wako wenye kinyesi uone kama maji hutoita mma 😂😂😂
@mandume02
@mandume02 11 месяцев назад
Mmhh hizi fix kabisaa yaan hawa wakutane na P Didy waondoke bila kupiga pichaaa???😂😂
@ryanfrancis5790
@ryanfrancis5790 4 месяца назад
🎉
@Yayouselim
@Yayouselim 4 месяца назад
Tale kaza Mzee huwezi kuongea kama demu
@yascoast6679
@yascoast6679 Год назад
apunguze kambaaa😀
@mcfallenmacha9611
@mcfallenmacha9611 Год назад
So Bab Tale anatuaminisha Mtu Conscious kama Didy anaweza kuuliza swali la kipumbavu kama “ Africa ni Jangwa au pori” Kuna watu wa kuuliza huo upuuzi lakini Didy ni very conscious and very Afrocentric
@sylviembirize
@sylviembirize Год назад
🔥🔥🔥
@user-nk2fd9ys4q
@user-nk2fd9ys4q 4 месяца назад
😂😂😂 uwongo sema Diamond alipewa gari baada ya maajabu
@augustfive5279
@augustfive5279 4 месяца назад
Eti maajabi😮😂😂😂😂
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11