Тёмный

KIJANA MZALENDO AIVAA SERIKALI MAANDAMANO WAMASAI "KUNA UTAPELI NGORONGORO WANAJENGA MAGHOROFA SANA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 315 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

KIJANA MZALENDO AIVAA SERIKALI MAANDAMANO WAMASAI "KUNA UTAPELI NGORONGORO WANAJENGA MAGHOROFA SANA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 235   
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 24 дня назад
Wasukuma wanaakili sana
@gabrielnjiapanda3710
@gabrielnjiapanda3710 24 дня назад
Huyu jamaa anaongea vizuri sana,Mungu amlinde na amtunze zaidi.
@benedictdeogratius4653
@benedictdeogratius4653 19 дней назад
hakika
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 24 дня назад
Pataeleweka hii rz niya watanzania siyo ya watu kuja.. wamasai kaeni kwenye maeneo yenu. Omba mungu atajibu na wachafu atawaindoa mara moja kwa jina la Yesu mungu simama.
@kisikalaizer1834
@kisikalaizer1834 24 дня назад
Hata sehemu walizo pima Tawa bado wanakuja kuchukua. Kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Asante mtaalam kwa kuwapa nondo za ukweli
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 24 дня назад
Nyie wote mnaempinga huyu mzalendo maneno yake wote nyie wapumbavu hamjielewi .Mnapenda uchawa.
@KisiayasandeiKesuma
@KisiayasandeiKesuma 24 дня назад
Uko sahihi kabisa kaka
@daudikisaru8088
@daudikisaru8088 24 дня назад
Kweli kabisa kamanda nakupata vizuri Sana muda huu tupo ngorongoro tumekita kambi watujarudi nyumbani tupo zaidi ya laki moja na aturudi nyuma k
@benedictdeogratius4653
@benedictdeogratius4653 19 дней назад
poleni
@usafiaps318
@usafiaps318 24 дня назад
Ukweli Ni Kwamba Serikali Ya CCM Inadhamini Pesa Kuliko Utu Wa Wananchi Wao Wenyewe.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 23 дня назад
Fisadi yule kifuu samia ndio tatizo lilipo
@Kingmasai-p9t
@Kingmasai-p9t 23 дня назад
Hakika huyu bwana ameongea ukweli kwa sababu huyu mama sijui tumemkosea nini kwa haya yote anayotufanyia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JohnKitamwasolemokotio
@JohnKitamwasolemokotio 23 дня назад
Wewe ni kijana mzalendo kweli vijana wote tungekuwa hivi hiki hili taifa lingeeleweka Kijana mzalendo mungu akubariki sana
@Lestickmollel
@Lestickmollel 23 дня назад
Daah hongera ndugu wangu mungu akibariki sana kwa haya unayoyaongelea kuhusu wanadamu wanao nanyanyasika kwenye ardhi yao ya ukweli lakini serikali wasipo kaa makini watajikuta wakiendelea kufanya hii upuuzi wanao wanaofanya watakuja kuharibu mambo yote kwasababu mungu muweza yote asiyeitwa binadamu hatawahukumu na watalipa kwa haya mabaya wanaowafanyia binadamu wengine maana hili sasa ni ukatili wa unyama kweli tanzania hatuna rais tumebakia tukibebwa kama kondoo rais gani ajiulizi kuwatoa watu kwa nguvu kwenye ardhi yao ya kila siku na lingine me hata nikiona nikwamba hapo anaiwua ile sifii ya ngorongoro pamoja na historia yake kwa ujumla lakini ajue tuu haya mambo ni mdaa mfupi tuu yataisha tuu na mbona yeye kwao ni zanzibar na mbona yeye amna mtu anayemtoa kwa nguvu kwake hili alitawezekana na wanachi hawataenda sehemu yeyote ile serikal gani isiyowashughulikia kufutilia mambo ya kuteka teka watanzania na wengi kuuliwa lakini serikali haifanyii kazii kwelii
@LukasNgoidiko
@LukasNgoidiko 24 дня назад
Baba mungu 2 akubariki afande wangu ww uko Saw
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 24 дня назад
💪💪💪💪💯 WASITOLEWE HOJA ZA MSINGI ZISIKILIZWE.. MUNGU SIMAMA NAO USIWASCHE.
@Samuel-u3w
@Samuel-u3w 24 дня назад
Your very very so murch unaongea ukweli kbs na mungu atakubariki sana ni unyanyasaji tupu🙏🙏🙏🙏
@DanielOlodupo
@DanielOlodupo 21 день назад
Ubarikiwe sana Kaka Ee Mungu tunakuomba usimamae na wanangorongoro wapate haki Yao ya msingi kama jamii wengine
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 24 дня назад
Kaka mzalendo nakuelewa na nakufatilia xan kaka ang mungu akubark xana kaka
@judithkuyenga1371
@judithkuyenga1371 24 дня назад
Umeongea fact kabisa ila sasa ndo hivo washaziba masikio Mungu tu aingilie kati.
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 24 дня назад
Hakuna aliyekubali kwenda Msomela bali walilazimishwa
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 24 дня назад
Hakuna anaitubali kuhamishwa kutoka Kwa makazibya asili
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 дня назад
Mmmmmmm nchi hii kiboko kila kona matatizo na uchaguzi ndiyo huo uko usoni Mungu wangu tunaomba Amani Tanzania
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 23 дня назад
Ndio vizuri sasa hapo! Mungu ameamua iwe hivi ili wewe mwenyewe uwe na uamuzi Wa kuchagua matatizo au demokrasia! Ushauri wangu kwako mabadiliko yatafanywa na wewe kwa kupiga kura serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu 2025
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 дня назад
Wape live hali imezidi Kuwa mbaya ndani ya Serikali ya Awamu ya sita
@pauloropian2367
@pauloropian2367 23 дня назад
Mungu akubari mtumishii na Mungu wa mbinguni awabariki uzao wako wote.
@OlosekiLokoy-sy6qg
@OlosekiLokoy-sy6qg 24 дня назад
Kaka yetu kijana mzalendo mungu akubariki Kwa kusikiliza ombi lako wewe ni jembe
@LeiyoLaizer
@LeiyoLaizer 23 дня назад
Hi awamu ya sita hii ,ila itafika time liwalo na liwe
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 23 дня назад
Ya Zimbabwe yatatokea itakopofika siku kuwaondoa hao mnaowawekeza. Ni heri tuvumilie kuwalipa Sasa kwa kufuta mikataba hiyo ya kikoloni.
@festomartin8635
@festomartin8635 24 дня назад
MKUU WA MKOA ARUSHA,, UNAIACHAJE NGORONGORO IKIWA NI SEHEMU YA MKOA WAKO,,,,,,,,, MAKONDA MAKONDA WEWE NDIO KIONGOZI PEKEE ATAKAYE LETA AMANI, UPENDO NA FURAHA HUKO NGORONGORO,,, ONDOKA HAPO MJINI ARUSHA NENDA KWA WAMASAI NGORONGORO
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d 24 дня назад
Ww Festo unaanzaje kumpinga bosi wako?
@festomartin8635
@festomartin8635 23 дня назад
@@user-xb2qd6ik6d Nimempingaje kiongozi?
@gladismsuya2072
@gladismsuya2072 23 дня назад
Wamasai wanamtaka rais sio huyo chawa mropokaji
@TAMCSO
@TAMCSO 22 дня назад
Yupo wap huyu kiongozi wa Arusha??
@EmanuelIsaya-sg8bk
@EmanuelIsaya-sg8bk 24 дня назад
Hawa wenye huu ukweli ccm hawatakiwi.pia wapo wachache Sana. Barikiwa mtumishi wa Mungu. Usikubali kuzimishwa . Giza liko mbioni kutoweka.na Nuru kuangaza,,,😅😅
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 23 дня назад
HUKO WANAPOONA NI PAZURI WANAPO WAPELEKA.WAMASAI, WAWAPELEKE HAO WAARABU WAO.
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 23 дня назад
Exactly waende wao na hao waarabu wananawanyanganya wazawa haki yao wanajiwekezea kwa manufaa yao na watoto wao
@KisiayasandeiKesuma
@KisiayasandeiKesuma 24 дня назад
Hatuko salama hata kidogo anayo ya ongea kaka yetu niyakweli kbs nikama tu vile yeye amekaaga Ngorongoro
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 21 день назад
Kaka umeongea vizur sana masai wanahaki yakuishi ngorongoro tuwatete keahio hao wawekezaji ndo wamana kuliko raia wahapa mungu kwer aingilie kati
@MikaelIsaya
@MikaelIsaya 23 дня назад
Mungu akusaidie maisha wako San hengera san umeonge ukweli
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 23 дня назад
Wamasai wanaishi na wanyama kwa uweza kwa Allah ,Mwanadsmu kamwe hata watenganisha.Always Nature will preveil
@FARAJAAFYUSISYE-sk2wb
@FARAJAAFYUSISYE-sk2wb 23 дня назад
Umeona Mungu anamakusud yake kuwa weka pale na ndio kivutio pia
@JoshuakaruJoshuakaru-j9e
@JoshuakaruJoshuakaru-j9e 24 дня назад
Wamasai niwatanzania alali awaviongozi wanaletasanaa kwenyemaisha yawatu kwanini serikaliii inawafanyamasai kama naonikuku wanaowezakuamishwa ujingauu sisiskama watanganyika atutakubali nchikuuzwa kwawaalabu kwenda msomela niusanaawakuuza eneoili
@MzeenickTajir
@MzeenickTajir 24 дня назад
Mambo haya yalianza wakati wa mwinyi na hii ilikuwa loliondo
@JohnTobiko
@JohnTobiko 22 дня назад
Ni kweli maana huyo mwinyi na rais ndio walewale ni waarabu
@rbmdavies88
@rbmdavies88 24 дня назад
Tanzania iko cku itawaka motooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l 24 дня назад
Dah!huyu brow anasema ukweli mtupu,ata kule kwetu tarime vijijini nyanungu tushaambiwa tuhame kijiji kwanza sio watanzania kisa wameongeza mipaka adi kijiji afu hiyo mipaka iliyoongezwa ndani ya hayo maeneo ujenzi unaendelea.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 24 дня назад
Ww mwandishi kama Wamasai wangekubali ungewaona Wamasai wakiandamana Leo?
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 23 дня назад
Usimlaumu anatengeneza maswali ya kumuhoji mzalendo ili atupe madini
@KanikiIkinda
@KanikiIkinda 24 дня назад
Huyu Jamaa Yuko Fact Sanaaa..
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 24 дня назад
Mungu akutangulie sna kaka ❤❤
@georgendibalema9062
@georgendibalema9062 24 дня назад
Well said and done
@SengerwanNgutiti-o6f
@SengerwanNgutiti-o6f 23 дня назад
Kweli kabisa wambie kwamb hatuondoki kamwe hata wafanye nin
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo 23 дня назад
Ubarikiwe Sana Sana kaka angu 🙏🙏🙏🙏
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 24 дня назад
Ni muungano unaotuumiza hivi!!!
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b 24 дня назад
Na isitoshe pale kuna mizimu ya mababu zao kwanini tunawazarau
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 24 дня назад
MZALENDO UKO VIZURI SANA
@googleakaundimikakurambela8172
@googleakaundimikakurambela8172 20 дней назад
Umeongea Ponti Sana Ndugu Barikiwa Na Katika Hili Watanzania Wazalendo Tusinyamaze Tupase Sauti Wenzetu Ngorongoro Wanakatiliwa Vibaya Mno.
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 23 дня назад
🗣️ PAZA SAUTI ✊🏽
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 24 дня назад
Mwenye HAKI Mungu hajawahi kumuacha alishikaman nae wakati wote
@mishlay8164
@mishlay8164 20 дней назад
Unapowahamisha watu ktk maeneo yao ya asili , kwanza unavunja utu wao , unaharibu mtindo wa maisha yao , unawafanyia uhaini
@JohnKitamwasolemokotio
@JohnKitamwasolemokotio 23 дня назад
Mhe. Mpina wewe ni mtu na nusu hakika mungu akubariki Sana tungewapta viongozi watatu wazalendo kama wewe watanzania wangeienjoy kuwepo Tanzania.
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 23 дня назад
Sio mpina huyu 😂😂😂😂😂
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 15 дней назад
Hongera kaka mungu akulinde baba
@user-bx2js8hu1u
@user-bx2js8hu1u 24 дня назад
Kweli kama usemi wako ni uwakika umesema ukweli baba
@makelelebahati5236
@makelelebahati5236 22 дня назад
Kijana uko vizuri Sana ,na wewe umeonesha uzalendo lakini nchi HII inaviongozi watafutaji Tu na kuhodhi Mali za nchi Tu.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 22 дня назад
Mzanzibari anawafukuza watanganyika ktk ardhi yao, RIP JPM
@user-hr4is2cj2p
@user-hr4is2cj2p 23 дня назад
Mzalendo Mungu awe nawe, nchi hii haina serikali ni genge la watawala katili.
@DanielLukumay-h7c
@DanielLukumay-h7c 22 дня назад
Hongeraa brother ...Tz ...tunaitaji watu kama haw...much ❤❤❤
@EmmanuelErnest-xd1rc
@EmmanuelErnest-xd1rc 24 дня назад
Mpaka tujue kati ya mtu na mnyama rupi bora sitaki unyonyaji wa kifikira.kwani elimu mbovu sisi matezo sisi kwanini ni kwasababu hatuna umoja au siiiitoki sitaki kutoka kwetu liwalo na liwe hakuna mjinga ila mnafanya sisi mbuzi mnatuongoza kama kondoo
@christinangondi4212
@christinangondi4212 22 дня назад
Hongera sana Kijana msomi, unafaa kuwa Kiongozi wa TZ kwa kuzichambua Sheria
@TwinaweEnterprises
@TwinaweEnterprises 24 дня назад
Hujawaona wakilalamika huko msomela familia baba, mama vijana na wake zao wote wako nyumba moja. Siyo mila zetu hizo.
@ChirstopherLaizer
@ChirstopherLaizer 23 дня назад
🔥🔥🔥🔥
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 24 дня назад
Tunawashukuru watanzania kwa kuona ukweli na kutuunga mkono
@user-ft4ls4ut9d
@user-ft4ls4ut9d 23 дня назад
Mungu akubariki sana kaka
@edwardolemamba7155
@edwardolemamba7155 24 дня назад
Mungu akulinde umesma ukweli mtupu huyu mama kashauza hii ncho
@joellenasiramolell-nq8jy
@joellenasiramolell-nq8jy 18 дней назад
❤❤ Nimeipenda sana hii
@salaikisota
@salaikisota 24 дня назад
Mungu akumbariki sana kaka mkubwa 😂😂
@BARAKARNDEPESIMUIMBAJI-zj7fo
@BARAKARNDEPESIMUIMBAJI-zj7fo 23 дня назад
Mungu akubariki sanaa mh yani umesungumusa neno hizuri sana
@christinangondi4212
@christinangondi4212 22 дня назад
Ni kweli wanaoapishwa kwenye nafasi nyingi za uongozi ni machawa waaala hawaijui Tz
@barakaArmunai-mz4jb
@barakaArmunai-mz4jb 21 день назад
Unaongea vizuri sana kaka ila mungu atatutetea wanyonge wa tanzania
@MathayoLoboi-uw2uj
@MathayoLoboi-uw2uj 23 дня назад
Mungu akupe nguvu mpya
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 21 день назад
Watawaponza watoto wao na wajukuu wao ipo siku watanzani watageuka mungu anawaona usiku na mchana
@oiniletiaollesaitabau6048
@oiniletiaollesaitabau6048 23 дня назад
Hakuna nia njema zaidi ya maslahi binafsi ya kifisadi
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l 16 дней назад
tuzidi kumwomba mungu tumkabizi kilakitu wowowo ras kweli ingekuwa niwewe unaambiwa Zanziba inauzwa utajisikiaje mmmm kumbuka una watoto aya
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 15 дней назад
Mama tuu mungu atusaidie
@IsackZunguyon
@IsackZunguyon 21 день назад
Kweli kabisa ndugu yangu wapambanie haki zao
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 23 дня назад
Nchi hii imeyumba sana tu. Hakuna atakayebaki salama. Wote tutahamishiwa hata uarabuni.
@ElibarikiMbando
@ElibarikiMbando 20 дней назад
ilani ya ccm imejipambanua vizuri sana, shida ni watendaji wanavunja katiba
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 23 дня назад
Samia must go go go
@bakarmsangimsangi7757
@bakarmsangimsangi7757 23 дня назад
Me nadhani wameshaa tuuziaa ngorongoro yetuu ndo maanaa wanalazimishaa wenzetuu waondokee waekee tu wazi huyu rais ni mchawi
@bigboss-bz6ms
@bigboss-bz6ms 19 дней назад
Kaka umeongea ukweli kabisa kuhusu bunge kweli kwa sasa hatuna bunge linaloeleweka,bunge ni muhimili unaojitegemea lakini cha ajabu na lenyewe limekuwa kibaraka wa rais
@christinangondi4212
@christinangondi4212 22 дня назад
Mi nilienda Ngorongoro 2022, kuna mahoteli ya kutisha yamejengwa na Waarabu, Waacheni wamasai wakae ktk ardhi yao ya Ngorongoro, watoeni waarabu wanaochimba madini humooo
@MaikoMakesen
@MaikoMakesen 24 дня назад
Mungu atusaidiye
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z 23 дня назад
Aise ifike sehemu watanzania tusiwaterekezee wamasai magumu wanayopitia kwa Sasa tuungane nao kupigana hiyo vita.kama Masai wataumizwa basi tuumizwe pamoja.
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 23 дня назад
ndugu yenu alisema ye ni kiziwi asikii kitu au umesahau 😊
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z 23 дня назад
@@Leeeeeeee-96 alimamisha hatasikiriza wataka mikataba kama ya mama yenu.
@OlduvaiNdogo
@OlduvaiNdogo 24 дня назад
Yeah brooooo that's it's okay
@zakariawilliam-3816
@zakariawilliam-3816 23 дня назад
Uko sahihi kabsa kiongozi
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 24 дня назад
NI KUWAPATIA HAKI TU.. NA KUWARUDISHIA ARDHI YAO... BABA WA TAIFA ANGEFUFUKA.. ANGEISHANGAA CCM ALIYOICHA.. NA ILIVYO SASA ATAWATIMBUA WABOVU WOTE
@SupukLaizer
@SupukLaizer 24 дня назад
Apo umezungumza ukweli mtupu kaka,kimewalamba
@user-df4oq1eh4c
@user-df4oq1eh4c 18 дней назад
Vibaraka wanaamin mwarabu moja nibora kuliko wamasai wote wa ngorongoro😢
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 23 дня назад
Kweli kabisa kaka unaongea kama Eduandi Lowasaa
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 24 дня назад
Kama muheshimiwa raisi mstaafu ndugu jakaya alishasema wasiamishe leo inakuaje tena wagamishe?
@KisesaRamadhani
@KisesaRamadhani 23 дня назад
Upo sahihi kaka 100 💯 ♥️
@StephanoMbwambo
@StephanoMbwambo 24 дня назад
nisahihi kabisa kijana mzalendo. kwa ujumla wamasai wanaonewa sana.
@gladismsuya2072
@gladismsuya2072 23 дня назад
Huyu chura kiziwii anatakiwa azibuliwe masikio
@anjelobig7581
@anjelobig7581 23 дня назад
Nakubali
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 23 дня назад
Ccm viongozi mnatamaa sana wakati wanajua kabisa hayupo mtu atakaekufa azikwe na pesa
@bizzosela6186
@bizzosela6186 22 дня назад
Kuna baadhi y viongozi wa CCM wanafanya tanganyika ye2 kama Yao peke Yao 😭😭😭 inauma San kwakweli 😭😭
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 23 дня назад
Kani yule mpumbavu samia kachaguliwa na nani ? Yule kifuu samia ni fisadi ndio maana haya yote anAyafanya
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 23 дня назад
Kutosimamia ilani ni kutothamini wananchi. Chama kukubali ukoloni mambo Leo kwa tamaa na kudanganywa na mabepari. Kweli mvunja nchi/muuza nchi mwenyewe alisema baba wa taifa.
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 23 дня назад
Wasivyopenda ukweli angalia kijana wasikuteke maana hawachelewi
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 22 дня назад
Tatizo la hii nchi inakoelekea ni kuuza utu wa watu kwa njaa ambayo hata wao hawana ufumbuzi sahihi maana watauza kipande cha ardhi kikiisha watauza watu sasa niujinga sana
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz 14 дней назад
Ameeen
@silasmponeja
@silasmponeja 23 дня назад
CCM ina wenyewe rip magufuli
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 24 дня назад
Serikali ya ccm haina mpango na haitakuwa na mpango wa kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili la ngorongoro. Kikwete
Далее
Cute
00:16
Просмотров 6 млн