Тёмный
MwanaHALISI TV
MwanaHALISI TV
MwanaHALISI TV
Подписаться
MwanaHALISI TV is owned by Hali Halisi Publishers Company, a Tanzanian registered company dealing with publishing Swahili newspapers, known as MwanaHALISI, MAWIO and MwanaHALISI Online.
Комментарии
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 часа назад
Humjui Kinana vizuri Acha kupoteza muda na jilazimishe kufanya na kufuata yanayo kuhusu
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 3 часа назад
Ninyi ni majambazi wazowefu wa kupora haki za Watanzania
@PhiniasIsrael
@PhiniasIsrael 3 часа назад
Pesa utatoa huko mnakokopo Kila siku, mbona wabunge hamlipi Kodi?
@DandasiKundi
@DandasiKundi 3 часа назад
Sijawahi kuona kiongozi wa aina hii ni viongozi wanaojali matumbo Yao kero za chama kuzitoa nje ya chama si kweli ungetueleza ukiwa kwenye chama . Hamna mtu mwenye chama vyama ni vya wananchi umetuonyesha hufai kuwa kiongozi. Mtetezi wa chama Huwa haondoki kwenye chama ila mtu mwenye njaa ambae hapiganii chama chake kuhamahama sio kiongozi mzuri.
@user-el2fu6ox2e
@user-el2fu6ox2e 4 часа назад
Kanda ya ziwa oyee
@GeorgeHiza-j8b
@GeorgeHiza-j8b 4 часа назад
Tupige tu kelele lakini kwa katiba iliyopo Tz hawashtakiki wote ni wezi nawanatuongoza maiti tunaotembea
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 4 часа назад
Hapo kwenye mawaziri umegusa penyewe inakuaje kwa mfano ?
@user-tm8rp2jh6x
@user-tm8rp2jh6x 4 часа назад
Ampe wizara ya fedha prof assad amtoe nchemba
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 4 часа назад
Msigwa nilikuwa nampenda Sana ila kwa Sasa nikama sipana ya malaya
@user-lv7zy7mx9i
@user-lv7zy7mx9i 5 часов назад
Wabongo wengi tunapenda mseleleko ndio maana ndio maana mbowe anatupelemba
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 5 часов назад
Wewe kuuzwa bandari masai kuhamishwa mikataba yote msigwa kwake sawa huna lolote anzisha chama chako.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 5 часов назад
Msigwa watu wote wanakutukana hakuna anaye kuunga kutoka kwako.hata jijana wanakuona wewe ni mjinga tuu. Unatowa siri baada ya kushidwa uchaguzi. Sawa mtu ana mumewe mumewe akimwacha ana anza kutowa siri za ndani yure usimwone. Vile nikikojozi .yule anagawa nyama tukipika.nakadhaa.nakadhaa. wasitaarabu wanasema hivi kama huna zuri kaa kimiya. Ccm kuweni macho anaweza kaja kupakuwa siri zenju. Mtu wakawaida angelinda heshima yake..
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 5 часов назад
Msigwa watu wote wanakutukana hakuna anaye kuunga kutoka kwako.hata jijana wanakuona wewe ni mjinga tuu. Unatowa siri baada ya kushidwa uchaguzi. Sawa mtu ana mumewe mumewe akimwacha ana anza kutowa siri za ndani yure usimwone. Vile nikikojozi .yule anagawa nyama tukipika.nakadhaa.nakadhaa. wasitaarabu wanasema hivi kama huna zuri kaa kimiya. Ccm kuweni macho anaweza kaja kupakuwa siri zenju. Mtu wakawaida angelinda heshima yake..
@OmarAmran-t7k
@OmarAmran-t7k 5 часов назад
Amuache mama amalize mitano yake
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 5 часов назад
Msiba kwa nini watu
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w 6 часов назад
NDUGU YANGU SEMA UKWELI KILICHO KUPELEKA CCM NI HASIRA YAKUSHINDWA NA SUGU NA MASLAHI YAKO BINAFSI WEWE HUTAKIWI UAMINIKE HATA HUKU CCM,
@isackmtawa15
@isackmtawa15 6 часов назад
Huyo ni mchunaji sio mchungaji
@user-jg8yv3xt2b
@user-jg8yv3xt2b 7 часов назад
Sema comred!
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 7 часов назад
Nikukumbushe tu msigwa sifa ya chadema ukihama unahama peke yako we unaubora kuliko zito kbwe?watakaokufuata ni famly yako hiyo ndoto yako ya alinacha we ni msaliti mroho wa madalaka unashirikisna nini sikupendi kwanza
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 7 часов назад
Kwanza tujiulize shida yote ilianzia wapi? Tafakari chukua hatua
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 8 часов назад
2025 ni mwisho wao 😮😮are
@arnoldkessy5106
@arnoldkessy5106 8 часов назад
Nyinyi si mmeshasema Kariba ni kitabu?
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 8 часов назад
Ungeondoka ukkaaa bila chama basi kuliko kuingia motoni mbona umeenda kuzimu jamaniiiiiiii kweli msigwa nimekudhara kuliko machangudoa wanaouza miili yao mchana heri yao nimekudharau sana
@emilythuo5164
@emilythuo5164 8 часов назад
Point of correction. GenZs hawana ukabila.
@janiaoma7093
@janiaoma7093 8 часов назад
Wewe muadishi huku tafuta mtu sahihi wa kumuliza maswali ya kufaya watu au watanzania wa ilimike huyo kwaza ni chadema inajulikana chapili niambia Kuna Rais gani duniyani kuwa Rais bila ya kampeni kuchaguliwa hata yeye au wewe chakula kitaigia weyewe mdomo I bila ya kutuma mkono huyo askofu ni mpunbabu
@neemamdami7466
@neemamdami7466 8 часов назад
Umeanza vzr ila mwisho umenikera
@amosmangura
@amosmangura 9 часов назад
Hii kauli tungefika mbal
@badiomary822
@badiomary822 9 часов назад
Peter Msigwa nadhani aliemshawishi ahamie Ccm ili apunguze Madeni yake ktk Mabenki alimuingiza Mkenge !! Hao Watakaomfuata atawaweka wapi kwa hapo alipo !! Hata Ccm Wanaojielewa Kiuhalisia hawawezi Kumuamini kabisa Peter Simon Msigwa !! Na sioni Mantiki kwa Msigwa Kumsimanga Mbowe na Kuikashifu Chama Cha CHADEMA ni Uhayawani Mtupu !! Yeyote anaelenga Kuwa nafasi ya juu ya Wenzie Kila nafasi Muogopeni kama Ukoma !!
@SedekiaIsrael
@SedekiaIsrael 10 часов назад
Yani we msigwa bas tuu
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 11 часов назад
Msiba aritahadhalisha sana kuhusu Makamba na wenzake, sasa wametuletea hasara ndio mnashituka , hawa hawafai hatakua Barozi wa Nyumba kumi.
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 11 часов назад
ACHENI KUTUMALIZIA MABANDO. HAO TAKUKURU WAACHE NA VIONGOZI WA CCM NDIO WANAONGOZA KWA LUSWA NA HAO TAKUKULU HAWANA UBAVU WA. KUWAGUSA CAG KILA MWAKA NAWATAJA VIONGOZI WA CCM WALIOPO MADALAKANI LAKINI HADI LEO HAKUNA HATA MMOJA ALUEPELEKWA KWENYE VYOMBO VYA SHELIA TUMECHOKA UBABAISHAJI TAKOKUKULU NI KITENGO CHA KULINDA WEZI WA CCM ACHENI KUTUDANGANYA BWANA TUMECHOKA ANZAN NA CCM KWANZA
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 11 часов назад
Hivi ukiwa Mch, Mwanasiasa nilazima uwe mwongo.? Na Mtukanaji Kama Msigwa.?
@deusisindwa616
@deusisindwa616 12 часов назад
RIP JPM binafsi utaendelea kuwa rais wangu wa moyon mwangu❤❤❤ujumbe umefika japo mwishon umeingiza comedy
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 12 часов назад
HONGERA. MPINA HONGERA MWONGEAJI
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 12 часов назад
Hongereni. Mashehe wa Arusha ❤
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 13 часов назад
NA SAKATA LA NGORONGORO NA MENGINE UMESAHAU MWESHIMIWA
@kevinmary7129
@kevinmary7129 13 часов назад
acha kupindisha mambo makamba anaiba billion 300 plus billion 270 kwenye bwawa la mwalimu Nyerere akiwa waziri wa nishati makamba anashutuma za kuiba zaid ya trilion tatu had sita ili wanunue wanachama wanec wahoge police, mahakama, wahoga kila mtu had upizani ili wanunue urais kama mzee wa msonga na Lowasa 2015 hao ni timu ya mafia ya akina nape na kinana lizwane bashe na mwigulu
@ZyagomaMgode
@ZyagomaMgode 13 часов назад
Tundulisu
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Mimi Niko kanda ya ziwa madudu ni mengi Sana kuliko kanda zingine
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 14 часов назад
Bashe hafai,he must go
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Makamba hana kosa lolote kuwabeba watu wa Tanga ikumbukwe kwamba wamekandamizwa muda mrefu sana kwenye hii nchi
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Hajafanya Lisa polite kubeba watu wa Tanga mbona Magufuli aliendesha nchi kiukanda na kila chema alipeleka kwao tu?
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Kwahiyo kwa madai yako hao akina Nape wamemuua Magufuli?
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Ni Muda mrefu Dotto yuko madarakani mbona mafuta hayashuki?
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Corvid haikulera vikwazo hivyo haikuathiri bei ya mafuta tofauti na vita ya Urusi ambayo vile vikwazo vimeleta athari kubwa
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Wee ni mbaguzi wa kiukanda na si vinginevyo
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 14 часов назад
Mafuta leo yameshuka Chino ya uongozi wa Dotto?
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 14 часов назад
Himize na wizi uendelee
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 15 часов назад
Habinder Sigh Seth aliachiwa wakati wa Magufuli wee ni muongo
@OmarOthman-w9k
@OmarOthman-w9k 15 часов назад
Unatoka povu bureee kwani yeye mama mgeni na serkali hii? Wanajuwana hao ndugu yangu ila msichoke kusema😅😅😅😅😅😅