Тёмный

KIJANA TAJIRI ALIJIFANYA MASIKINI ILI APATE MKE BORA | DESTINY TO LOVE YOU | PART 02 |Love Story ❤️ 

DONTA FAMILY
Подписаться 123 тыс.
Просмотров 194 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 251   
@ghislainekyubwa1643
@ghislainekyubwa1643 20 дней назад
Kevin, tulikuwa tunajuwa unafunza maadili ya ki afrika katika filamu zako ndio maana hata sisi watu makamo tunakuaga mashabiki wako. Sasa sijui umempata manager wa giza ambae anakuamuru kuwavika waigizaji namna hii ya kisasa isiyo maadili. Nguo hizo umemvika huyo Kendy ni nguo gani? Binti anavaa uchi mnapitisha kwenye camera kweli, lengo lenu ni gani? Mtuheshimu sisi tunao tazama kazi zenu, msije poteza mashabiki.
@croyant16
@croyant16 20 дней назад
Hiyo ni Kweli rafiki hata namimi nakuunga mkono wajirekebishe kabisa
@HamisiForogo
@HamisiForogo 20 дней назад
Na kwa upande wangu kwani Hawa wadada waigizaji asipovaa kigauni mapaja wazi kwani unakuwa sio muigizaji????
@umaima1178
@umaima1178 20 дней назад
Kweli. Kabisa
@erastopascal
@erastopascal 20 дней назад
COMENT KUBWA HII KEVI ZIMGATIA
@user-bo6rc9qt6n
@user-bo6rc9qt6n 20 дней назад
Filamu zinacchezwa kulingana na maendeleo ya globalization na mtindo wa kisasa piah
@RoseSoni-fv7uu
@RoseSoni-fv7uu 21 день назад
Wa kwanza Leo from Kenya. Naombeni like zenu mafans
@judithpendo9985
@judithpendo9985 20 дней назад
Hii Kali walai love from team strong bana 🇰🇪🇸🇦 Genz wapi kelele ama ninyamaze 😂
@hffalkurbi3812
@hffalkurbi3812 10 дней назад
Tulia 😅😅
@dullahjux6120
@dullahjux6120 21 день назад
Like nyingi
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j 21 день назад
Bravo kerve kwakazi zuri sana 2024 muko moto sana ❤❤❤❤ maansha Allah 😮😮😮
@user-fe7sh8tz7l
@user-fe7sh8tz7l 13 дней назад
❤❤❤❤❤
@JumanneOthuman
@JumanneOthuman 3 дня назад
jitahidini kulekebisha mavazi jmn😢😢😢 mbona mnajitahid kutunga story nzuri tena zenye mafundisho mazuri ❤❤❤
@user-te7sq5hl4d
@user-te7sq5hl4d 20 дней назад
❤❤❤❤❤ nyingi kwenu nyote from 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
@EpithaceNtakirutimana
@EpithaceNtakirutimana 20 дней назад
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 we're together 5/5 movie ya moto
@user-gr2iy1ed3o
@user-gr2iy1ed3o 20 дней назад
Afu msifikili kill M2 anapenda kuangalia hizo uchi zenu Kwan ukivaa vzr unabadilika nn aloooo
@ewoiekaale
@ewoiekaale 21 день назад
Wa kwanza mimi hapa mkenya original
@AngelSharif-m1r
@AngelSharif-m1r 7 дней назад
Good 🎉🎉🎉 nawapenda wot❤❤❤❤❤❤
@user-fy1bl8wl7x
@user-fy1bl8wl7x 20 дней назад
Waoooo Nimefurahi kumuona kendi Tena jaman
@WABONGOKADENGE
@WABONGOKADENGE 7 дней назад
Kaka brauni muko vizuli sana katika sana zenu Huwa nakufuatilieni sana Niko mozambiq.
@TatuKabwe
@TatuKabwe 20 дней назад
Maya endeleya na hiyo roho yako nakupenda bure kipenzi❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 20 дней назад
Maya ndo mke Bora 🎉🎉🎉❤❤
@DieudonneIninahazwe-me4ty
@DieudonneIninahazwe-me4ty 20 дней назад
Nawapenda sana Lakini mnatukawiza
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 20 дней назад
Maya anasauty mzuri sana ❤❤❤❤
@NoelaKk
@NoelaKk 20 дней назад
Wa kwasedikmnb chested Thessaloniki Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Mwenjuma-zz1jt
@Mwenjuma-zz1jt 21 день назад
I'm the first 🥇🥇
@Phoebenafula
@Phoebenafula 20 дней назад
Wa mwisho kutoka 🇰🇪🇰🇪Nipeni like zenu
@M3tr.n
@M3tr.n 20 дней назад
Sasa mie semeje😢😢😢
@TatuKabwe
@TatuKabwe 20 дней назад
Watu mna bowa kazi kuomba like hiyo movies mmetoa ninyi hizo like mtakuliya ugali hafazali movie tuta jifunza ❤❤❤ nina wapenda wana donta TV ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jumamuhidini8591
@jumamuhidini8591 21 день назад
kazi mzur sana ira mnacherewesha
@josephstephano2781
@josephstephano2781 4 дня назад
Hako kamaya hyo sauti 🙌
@gudilasway4144
@gudilasway4144 21 день назад
Tina Tina nimekuita mara mbili,ukilewa unajua, 😅😅
@emmatheboss1846
@emmatheboss1846 20 дней назад
Mnachelewa kutoa vipande xana paka tunasahau movie jitaidini kutoa kwa wakati ata kwa week vipand 5
@NdyamukamaEdmund
@NdyamukamaEdmund 21 день назад
pamoja wanangu waliowah tujuane bac
@gudilasway4144
@gudilasway4144 21 день назад
Brown umeambiwa ukwel na Tina leo akiwa mlevi, na chakuambiwa na mlev n point kabisa, na nishahid wa halal kabisa mahakamani
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 20 дней назад
😂😂😂😂
@happinesssamira-fp4hh
@happinesssamira-fp4hh 20 дней назад
Kazi nzuri calvn na timu yako mungu awafikishe mbali❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@CharmingAngel-wx2sk
@CharmingAngel-wx2sk 21 день назад
Maya ukienda Zanzibar brown atakuwa matesoni,kwanza huyo kendi na Tina😢😢
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee 21 день назад
Number 1 leo😅😅
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 21 день назад
Tina umeweza 😂😂😂 kuwa mlevi😂😂😂
@user-jf9pt8bu5j
@user-jf9pt8bu5j 21 день назад
😂😂😂😂
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to 20 дней назад
Tina nakupendaaga bule ❤😂😂
@mpeletadashine2652
@mpeletadashine2652 20 дней назад
Mmenikumbushaaa Best wife
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 20 дней назад
Kazi nzuri nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉❤❤
@zamaliabdulkarim5598
@zamaliabdulkarim5598 20 дней назад
Hii itakua kali sana Mungu atupe uhai
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 20 дней назад
Maya mungu akubaliki saf Sana dada
@user-bn6yk4cy5o
@user-bn6yk4cy5o 21 день назад
Nampenda kendi ❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 20 дней назад
Tina wendo pumbavu hujielewi unasamanisha hela kuliko utu😢
@user-mk2su3gv3i
@user-mk2su3gv3i 20 дней назад
😂😂😂😂jamani Tina kanichekesha kumbe anajua kulewa😂😂😂
@lilianmichael3402
@lilianmichael3402 20 дней назад
candy is baaaaaack❤❤❤❤🎉
@user-mi9xs9pg7j
@user-mi9xs9pg7j 20 дней назад
Good job guys
@user-mk2su3gv3i
@user-mk2su3gv3i 20 дней назад
Kendi nilikuwa nimekumiss
@mathrixofficial3942
@mathrixofficial3942 18 дней назад
❤❤❤
@mathrixofficial3942
@mathrixofficial3942 18 дней назад
From Rwanda❤❤❤
@IbuniKilapaya
@IbuniKilapaya 20 дней назад
Kwel kunambi umeupiga mwingi sema yahitaji moyo mgumu
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 21 день назад
Tina unajua guchamba ukilewa mmmaaa 😅😅😅😅😅
@user-kx2kr8mp3e
@user-kx2kr8mp3e 20 дней назад
Waoooonimefurah ombilimekubaliwa
@user-oi9lu8mv6t
@user-oi9lu8mv6t 20 дней назад
Nawapenda bure ❤❤❤
@TantineZuzu
@TantineZuzu 19 дней назад
Yani hawa wasichana watatu nawapenda mnoo ❤❤🇧🇮🇧🇮
@user-bt1vl8nu5n
@user-bt1vl8nu5n 20 дней назад
Vimaneno vingi mpaka atuoni kama ni episode ya ngap mpaka u zoom Kelvin unajua hii title unazozitumia unsmfumbua mtazamaji ajue mbele itakuwaje ata kam mkifumb ap kijana tajiri anifany maskin wstazamaj washajua brown anajifanyish kuw kapolwa mali sasa rekebish kam ulivorekbish ya kesho yangu
@user-tp4vd9mh2b
@user-tp4vd9mh2b 10 дней назад
Me nilishawahi kutoa maoni kama haya, wanapenda kutumia kijana kijana hadi TITTLE inakuwa ndefu Yaani
@dolinepeter2503
@dolinepeter2503 14 дней назад
Natamani brown awe na maya
@user-xb2hx8rf2v
@user-xb2hx8rf2v 20 дней назад
Maya hapo sawa dadaa ❤,unaroho nzuri kwa kweli.
@dolinepeter2503
@dolinepeter2503 14 дней назад
Move nzur nimeipenda
@ginazngo4317
@ginazngo4317 5 дней назад
Sasa ndio nini matako njee daaa hatari😢😢😢
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k 20 дней назад
Tinah 😂😂😂😂😂😂😂umenifurahisha sana
@EmilykuvunaKonzi
@EmilykuvunaKonzi 11 дней назад
Waaah kelvin ni nabii😅bt Tina ujue unachunguzwa dada subiri lako lapoa uje ulinywe😅
@shaydebby5678
@shaydebby5678 7 дней назад
Candy nguo kama hizo hazikupendez bwana😂ww chibonge
@user-yw9tb6vl9g
@user-yw9tb6vl9g 20 дней назад
I like tha way candy ana huruma kuhusu kevin kuriko Tina bibi yake kevin enyewe mapenzi ni skam
@user-cu9bd6pr4i
@user-cu9bd6pr4i 20 дней назад
Huyu ni brown sio kelvin
@user-pn5sj7qo1l
@user-pn5sj7qo1l 20 дней назад
Maya jaman unaroho zury adi uruma
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 21 день назад
Mnachelewesha ad tuna sahau nyingine
@ChancelineCatherine-bj6jd
@ChancelineCatherine-bj6jd 20 дней назад
Ohoo nzuri sana rafik good job
@monicahnjoroge5075
@monicahnjoroge5075 21 день назад
Kwani hawa ni sister ❤❤
@BarakaAloice
@BarakaAloice 20 дней назад
alfu mjuwe tunawatoto wenye tushazowelesha kuhangalia movies za Donta tv
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 20 дней назад
USHAURI MNGEIANDIKA NI PARTY 2 ILI TUNAOFATILIA KUIJUA KIURAHISI.
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 13 дней назад
Kelvin badilisha mavazi ya wausika wkike mbona wako uchi sana nyie mnajisitiri kuweni na heshima na wanawake 😢😢😢
@RobertNuru-xv3lo
@RobertNuru-xv3lo 17 дней назад
Jamani Maya nakupenda buuure
@GodfreyRichard-t4e
@GodfreyRichard-t4e 5 дней назад
good🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda
@user-ek4wy3rh3k
@user-ek4wy3rh3k 6 дней назад
Sisi tunatizMa mnachotufunza hatutizami mavazi yenu .mkaa vzur mtapendez jamii inajifunza kutoka kwenu
@user-sq5ih9si6z
@user-sq5ih9si6z 20 дней назад
Tiner umeua apo kweny kaulev
@user-jk3jv2xz1n
@user-jk3jv2xz1n 21 день назад
Wakwanza mm
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 16 дней назад
Jmn candy nilimmic kweny mov
@ShabanAbbas-bu3mw
@ShabanAbbas-bu3mw 2 дня назад
Nakuelewa sana kevin
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 20 дней назад
Kunambi ❤❤❤❤
@johnsonsaburi1134
@johnsonsaburi1134 19 дней назад
Tina hujakua kuigiza apo kwa ulevi
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 21 день назад
Maya Jaman mungu akubarik uwendelee na moy huo huo
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 21 день назад
Amin yarab
@ReginaDunia
@ReginaDunia 20 дней назад
Mimi wasita🎉🎉🎉❤❤❤
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 19 дней назад
Good work guys🎉🎉
@GabrielEmmanuely
@GabrielEmmanuely 4 дня назад
vichwa vya habali vinakuwa vilefu hatali hv kwann msifupishe mkawa mnaandika kwa kifupi tu mnazngua bn
@drinnerfuraha1161
@drinnerfuraha1161 21 день назад
Nmewah leo
@BertaFernandojonas
@BertaFernandojonas 21 день назад
Nawapenda sana ❤❤
@LoiceMapenzikenga
@LoiceMapenzikenga 21 день назад
Brown.wamkumba kelvin ss alivyokwambia
@appsplay4324
@appsplay4324 21 день назад
Much love from Kenya ❤❤
@arikibok4735
@arikibok4735 20 дней назад
Courage ❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-xr6xk9lb5c
@user-xr6xk9lb5c 20 дней назад
Kenya Watching
@FransisAloys
@FransisAloys 10 дней назад
Mmm Tina anamchana makavu brown ajiongeze 😂
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 20 дней назад
Woooiye pole sana kaka
@AlexSimon-fd2wy
@AlexSimon-fd2wy 20 дней назад
Braoni umepooza umepunguza nywere
@rosemarenga832
@rosemarenga832 19 дней назад
Kumb at ww umeona
@joelnyaga1985
@joelnyaga1985 20 дней назад
si mumalishe muvi moja Kwanza mbona kurukaruka,,muvi ya siku moja kabla ya arusi munapeleka pole pole sana
@user-yt5de5mk1w
@user-yt5de5mk1w 20 дней назад
Nawapenda Sana awa wadada watatu hawajisikii wapewe kipaumbele
@AsmaRamadhani-ok6iv
@AsmaRamadhani-ok6iv 20 дней назад
Braiton naona atakuja kumuoa kendi
@user-cx9bm1zj7p
@user-cx9bm1zj7p 15 дней назад
Huhaas tina umenichekesha mpk mbavu zinauma kama mlevi kweli vileee
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k 20 дней назад
🔥🔥
@ChristopherBonfils-dk1tx
@ChristopherBonfils-dk1tx 21 день назад
❤❤❤❤❤
@JulianaSilverio-zr2il
@JulianaSilverio-zr2il 19 дней назад
Mbona huyu mdada ni yule wa papy kwenye siri au namfananisha jmn 😢😢😢😢😢
@FaridaSalim-t3f
@FaridaSalim-t3f 10 дней назад
Uko Safi Sana Kelvin ktk movie zko
@abedysteven4930
@abedysteven4930 12 дней назад
Shda ya Hz movie huelew zinaanzia wap zinaishia wap xax kama hii n part one au 2!
@user-zg6qm9zn2g
@user-zg6qm9zn2g 20 дней назад
braun na kendy mambo yanaweza kuwa mazuri
@mammymasibomammy5004
@mammymasibomammy5004 11 дней назад
Tina una roho mbaya 😒🙂‍↕️
@CelvineFloriani
@CelvineFloriani 5 дней назад
Nakupenda sana kevn
@MembaGenius-yt5fj
@MembaGenius-yt5fj 21 день назад
Mv kali ila title ya majina ya movie zenu zinakuwa ndefu sn?
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 21 день назад
Kweli,halafu title inaelezea move yote itakavyokuwa,inatakiwa ,utamu wa move inatakiwe isijulikane mwisho utakuwaje,mfano title ya hii move ingekuwa mtego wa penzi
Далее
ВИРУСНЫЕ ВИДЕО / Бекон 😅
00:31
Просмотров 227 тыс.
KOSA LA MOYO Epsode 02
18:11
Просмотров 534
SHEMEJI | FULL MOVIE | Love Story ❤️
30:10
Просмотров 103 тыс.
SHEMEJI NATAKA 💞 Love Story
38:00
Просмотров 54 тыс.
JERAHA LA MOYO 💞 Love story | DONTA TV
39:39
Просмотров 59 тыс.
HUBA JULY 19 FULL HD
21:53
Просмотров 15 тыс.