Тёмный
No video :(

KIJANA WA PEMBA MWAMBE AVUMBUA UMEME WA JANGWA 

Bin Nyange Media
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@BarakababaRama
@BarakababaRama 11 месяцев назад
Mashallah hawa ndo watu wakusaidiwa na serekali sio wale wakata viuno
@BinMahmoud
@BinMahmoud 2 месяца назад
Safi sna kijana pambana kwn ni mwnzo t huo
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 2 месяца назад
Zanzibar vipaji vipo lakn ccm wanavizika kuhakikisha Zanzibar isitajwe Kwa maendeleo yoyote Yale ..
@UstadhomarHija
@UstadhomarHija 4 месяца назад
Mashaa allaah kwanza mshukuru mungu kukujaalia hiyoakili usijione niwewe tu bali ni mola
@UstadhomarHija
@UstadhomarHija 4 месяца назад
Jitahidi zaidi na Allah muekembele katika jambolalo
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 День назад
Mashallah vipaji vipo tunaweza kutengeneza umeme wetu wenyewe maendeleo ni umeme
@husseinhamisimwindadi2211
@husseinhamisimwindadi2211 2 месяца назад
Kijana ameeleza upeo wa elimuyake,na yeye si mwanasiasa,hivyo tumtasmini kwa uvumbuziwake,Mwenyezimungu akujalie ktk.uvumbuzi wako
@user-sv9xt1sx7i
@user-sv9xt1sx7i 11 месяцев назад
Hakika uposawa kijana mungu azidi kukupa nguvu Seif.nimeshuhudia kw macho yangu kabisa yaani💪💪
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 14 дней назад
Mashallah huyu mara ataweza kutengeneza cm yy mwenyewe
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 14 дней назад
Allah akulinde
@ibrahimkhamis9732
@ibrahimkhamis9732 11 месяцев назад
It's Focus on true story about Current Revolution 💯 our Home Mwambe Pemba ZnZ Tz 🇹🇿 From somebody
@Ablahisaid
@Ablahisaid 2 месяца назад
Watu km hawa serekali wengewasapoti ili tukapata faida za wavumbuzi wa ndani ila usije ukashangaa akazuliwa au ataambiwa alipie kodi 😊
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 18 дней назад
Ongera kijana
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 2 месяца назад
Hongera kwa ubunifu mdogo wangu lkn fuatilia zaidi elimu ya hayo mambo hata mitandaoni itakusaidia zaid
@abdallabundala404
@abdallabundala404 2 месяца назад
Dah vipaji km hivi ndio vya kuvilea, kuviwezesha na ku invest baada ya mda mnajikuta mnakuwa na bonge la mtaalamu.
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 2 месяца назад
Heheheh3heh3h33h lengo ni matumzi yake tu binfsi safi sana kaka nimependa jibu
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 4 месяца назад
Mashallah Allah awajalie kheri ila kijana nakushauri ufuate. Elimu ya hicho unachokifanya kwasaababu ni jambo njema pia la hatari
@zuleikhaomar4657
@zuleikhaomar4657 Месяц назад
Tupeni mwendelezo wa huyu kijana
@ussiamini2868
@ussiamini2868 11 месяцев назад
Safisana natumayni karibuli Zanzibar tutapata umeme wetu
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 6 месяцев назад
Bora itakuwa hatusumbuliwi tena
@user-tp8yi2wi6l
@user-tp8yi2wi6l 5 месяцев назад
Hyo jamaa noma sana
@bakarikhamis7752
@bakarikhamis7752 Месяц назад
@zeco kijana muhimu hyu kwa taifa zima
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 3 месяца назад
Akili iltangulia kabla ya elimu ninyi Leo nasoma yaliyofanywa ni wenye akili
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 3 месяца назад
Kijana jututumue tumia akili yako na ikiwezekana tumia vifaa vyako hata kamba kama inafaa badala ya waya, chakutia mashaka wenye nchi tu isije likawaudhi wakakutia jela hawachelewi hao
@Filamumaridhawa
@Filamumaridhawa 10 месяцев назад
Hahahaaa daaah muwambe bana
@omaraboud2279
@omaraboud2279 16 дней назад
Kwa watu mulosoma chemistry.....hii concept inahusiana na electrolysis.....maji ya chumvi yanact as an electrolyte na ivo vyuma na wire nene ndio electrodes .... Chumvi hiyo inazalisha ions zinakuwa conducted through electrodes umeme unapatikana...... hongera kwake ni idea mzuri na uvumbuzi na akili ya hali ya juu kuweza kufikiria hivo..... serikali iende kufanya research hiyo sehemu tuweze kujuw tutawezaje kuzalisha umeme kea kwa kiwango kikubwa
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 2 месяца назад
Heheheheheheheh ata mia 2 sijatumia na bado natafuta madude mabovu kusanifu mwenyewe huyu mtu kajaaliwa
@KhanisMakame-wf8yn
@KhanisMakame-wf8yn Месяц назад
Raisi mwinyi vipajindohivo vishuhulikie usishuhulikie watu wamakachutuu shuhulikia nawavumbuzi hao saw
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Месяц назад
Mashaallah ❤
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 месяца назад
Kwahyo wasomi wetu wa zeco Wana shindwa na elemu na huyo mpaka Leo umeme tuna towa bara
@jaysullman3697
@jaysullman3697 Месяц назад
As salaam alaykum ndugu mtangazaji naweza kupata Contacts za uyo Kijana please!
@omaraboud2279
@omaraboud2279 16 дней назад
Kijana ana akili sana sema maelezo yake sio ya kitaalamu anyway..... inabidi engineers tumtembelee tujue mawazo na idea zake na kuona any possibility ya kuikuza
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 2 месяца назад
Yeye transforma mpya lakini aweze kulifumuwa yani atumie akili yake inavyomjuza sio aunganishe tu
@khatibabass3106
@khatibabass3106 4 месяца назад
Huyu hawezi jambo ata maelezo kunyoosha hajui
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 3 месяца назад
Wewe acha upuuzi walio na degree ni kama CD iliorkodiwa hawana mipango wowo, muogope huyo, darasa lake la7 akili yake ni yaugunduzi, ukimchanganya na vitu ilivyo tengenezwa unaua kipaji chake mwache apambane
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 2 месяца назад
Wewe unajuwa nn, unategemea vitabu vilivyotungwa pasipo utafiti wa kivitendo ambao haiwezi kukusaidia cho chote Mwenzako ameishia std VII lakini ameweza kukuonesha kwa vitendo kuubadilisha umeme tulia usioweza kutumikia na kuwa umeme mwendo unaoweza kutumikia "Wewe umeweza niniii"??? Acha kutangaza UJINGA wako bila kujuwa kwamba U mjinga
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 2 месяца назад
@@khatibabass3106 wewe acha lugha ya Mazoea, one more day, one more try, one more mile, one more smile, mtoto a naanza kukaa kabla ya kusota, achana na dhana zako, ukitaka maendeleo lazima tufanye ugunduzi, kuweza au kutoweza anza kwanza uone vipi gamizi ni vipi, amini lolote linaweezekana kinachtakiwa kujiamini na kufata taratibu sahihi ukikiuka taratibu mhh hilo litakua tatizo
@BinMahmoud
@BinMahmoud 2 месяца назад
Safi sna kijana pambana kwn ni mwnzo t huo
@BinMahmoud
@BinMahmoud 2 месяца назад
Safi sna kijana pambana kwn ni mwnzo t huo
@BinMahmoud
@BinMahmoud 2 месяца назад
Safi sna kijana pambana kwn ni mwnzo t huo
Далее
UONE MSAAFU WA MAAJABU ULIOPO KISIWANI PEMBA
34:31
Просмотров 39 тыс.
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 20 млн
HAYA NDIO MAJIVUNO YA WAPEMBA
9:05
Просмотров 83 тыс.
Chake Chake to Machomane Pemba 2024 @zanzibartowns
15:31
SITAKI UKE WENZA
7:02
Просмотров 203 тыс.
Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
7:13
Просмотров 7 тыс.
MUME WA MJINI _ Mwinyi /Kiswabi/Dongo
13:31
Просмотров 545 тыс.
A Minecraft Movie | Teaser
01:20
Просмотров 20 млн