Тёмный

HAYA NDIO MAJIVUNO YA WAPEMBA 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@abdillahali836
@abdillahali836 Год назад
Masha Allah naipenda sana nyumbani pemba Allah aijalie amani na neema telee
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Amiin❤❤❤
@nassorali5143
@nassorali5143 Год назад
❤❤amiin
@moa4122
@moa4122 Год назад
Amiin
@b2kmohammed202
@b2kmohammed202 Год назад
Ameen
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Год назад
Wengi wanaipenda pemba ila hawataki kuishi pemba
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Год назад
Hao ndio wapemba na raha zao Allah aibariki Pemba na watu wake najivunia kua mpemba❤
@Foodgrower112
@Foodgrower112 11 месяцев назад
Nami pia amiii
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 Год назад
Maashaallaah,halua ya Wete naikubali sana hapo, nilipofika Wete nikaambiwa hapa mpk twende ukanunue halua ya Wete ndo utakw umefaidi kuja Wete,na hiyo halua kila ikizidi kukaa mda mrefu badala ya kuharibika ndo inazidi kuwa tamu,mm nikiichukua hiyo huwa siili cku ileile naiweka cku kadhaa ndo nakula ni tamu hatariiiiiii, Pembaaaaa Maashaallaah
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Год назад
Yaani machozi yamenitoka ninavyoipenda kwetu one day nitarudi nyumbani Pemba home is sweet❤
@nasirhamadi8027
@nasirhamadi8027 2 месяца назад
Wapemba wenzangu gonga like apa
@Sidik-d7e
@Sidik-d7e 28 дней назад
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR I AM PROUD OF PEOPLE OF PEMBA MY ALLAH ALWAYS MAKE THEM HAPPY AMEEN SUMA AMEEN REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS ❤❤❤❤❤❤❤ HALWA YA PEMBA BEST WETE YUMMY ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@guyogalora2736
@guyogalora2736 10 месяцев назад
❤Masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana
@zaitunimsangi1442
@zaitunimsangi1442 Год назад
Hongereni sana kwa utayarishaji wa hakua maashallah
@MuhyiddiniSaid
@MuhyiddiniSaid Год назад
Allah aibariki pemba na watu wake. Mtu ni kwao jamani, dhiki za maisha tu humuweka mtu mbali na kwao
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 6 месяцев назад
Home sweet home naipenda pemba najivuniya kuwa mpemba proudly pemba pemba ww ni mzazi wangu popote niendapo daima upo akilini mwangu love you mom love you pemba mwaaaaaaaah ❤❤❤
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ sina cha kusema ispokuwa ni upendo tu kwamba nawpenda sana ❤❤❤❤❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Mashallah mashallah mashallah nimefarajika nipo.saudiya
@alijuma7476
@alijuma7476 Год назад
Mashallah
@aliali-ng4de
@aliali-ng4de Год назад
Sio kila kitu uanze na utangulizi mrefu,badilika bro. shukran sana kwa kutujuvya mambo ya nyumbani
@DaudiJuma-oo7kx
@DaudiJuma-oo7kx Год назад
Nimekumiss nyumbani eti mpaka natamani kulia 🥺 yaa rabil tulindie pemba yetu 🤲 Inshallah nitarudi nyumbani 🇸🇦🇸🇦
@salma0000
@salma0000 Год назад
Ulifukuzwa kwani si uende tu 😅
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 Год назад
Amiin
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Год назад
Naam haluwa ya wete ni tamu kuliko asali hongereni sans🎉❤
@HassanAliAbuuMuhammad-w6s
@HassanAliAbuuMuhammad-w6s 2 месяца назад
Hujambo
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k Год назад
Maashaallah..namuona kijana mwenzangu IBRAHIM mahalua big up sana
@ahmadjuma-xx5nd
@ahmadjuma-xx5nd Год назад
Mashaa allah allah ibariki pemba yetu
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Год назад
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! In Shaa ALLAH ❤
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 Год назад
Nyumbani kwetu 😢 Allah atulindie kwetu amiin
@hajjism
@hajjism Год назад
Naam hongereni kwa coverage yenu ya kila mada.
@zuhuramuarabu9711
@zuhuramuarabu9711 Год назад
Mashallah najivunia kuwa mpemba❤
@hydarkim4990
@hydarkim4990 Год назад
MASHAA ALLAHU
@ummohammed8380
@ummohammed8380 Год назад
Masha allah Na kumis pemba nyumbani Wete
@AbuubakarZume
@AbuubakarZume Месяц назад
Saf Mashaallah
@mohdkhamis5687
@mohdkhamis5687 Год назад
Najivunia Kuzaliwa Pemba Ilove You Pandani Tupo Pamoja Wakuu
@binmawanja1252
@binmawanja1252 Год назад
Mungu aibariki pemba yetu nakutaman san 🇰🇪
@salma0000
@salma0000 Год назад
Unaitamani kivipi yaani, kwani uko jela nje ya Pemba😂
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
😂😂😂😂😂
@issakassimsaid9097
@issakassimsaid9097 Год назад
​@@salma0000jmn tuko mbali twataka sana kurudi ila ishtighali
@salma0000
@salma0000 Год назад
@@issakassimsaid9097 😂
@SaidSaid-c1b9o
@SaidSaid-c1b9o Год назад
Mashallah ALLAh AWABARIK AMiN
@sleyumomar3637
@sleyumomar3637 Год назад
Mashallaah nampenda pemba,, home pandani ❤❤❤
@mohdkhalfan1380
@mohdkhalfan1380 Год назад
Mm wa piki lkn nipo dar
@MohdKhamis-iq4um
@MohdKhamis-iq4um Год назад
Mashaallah allah ailinde pemb yet
@thuriyabarwani5111
@thuriyabarwani5111 Год назад
MaShaaAllah .Mbona munatutamanisha? Allah awabariki na awazidishie neema watu wa Pemba Ameen!Hebu fanyeni mtuletee biashara hiyo huku Arabuni !
@salma0000
@salma0000 Год назад
Amin
@barwani890
@barwani890 Год назад
Ni kweli wanatutamanisha watuletee oman
@salma0000
@salma0000 Год назад
@@barwani890 bora uifate Pemba
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Год назад
Ilov you Hom mkoani
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 3 месяца назад
Ila jaman kupakuliwa sio matusi kwa watu wapemba musije mukamfikiria vibaya mzee wetu
@saidhamadkhamis8445
@saidhamadkhamis8445 Год назад
Mashaallah
@hhajimohamad8212
@hhajimohamad8212 Год назад
Mashaala takuja Pemba.
@MsaudiaShabani
@MsaudiaShabani Год назад
Maasha Allah
@MasruruAbuuYasr-gs8xd
@MasruruAbuuYasr-gs8xd Год назад
Allha anijalie nimpate mke wa kipemba/ Zanzbr
@MbaroukKhalifa
@MbaroukKhalifa 5 месяцев назад
Allahuma amiin 🤲🤲
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Popote nitaenda au nitaishi ila pemba is my real home,i like there
@sameersabran5351
@sameersabran5351 Год назад
Mashaallah ❤
@JumamjakaMjaka-yx5vw
@JumamjakaMjaka-yx5vw Год назад
Ahsante kwa kutuonyesha nyumbani pemba nkwetuu🤣
@attunelson8828
@attunelson8828 Год назад
Naomba kujua uwanga ni nini au kwa lugha ingine.Huwa naipenda sana halua
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp Год назад
Uwanga ni mfano wa viazi mbatata kuna mimea inaotaga mabondeni huko unachimba chin nd unapata hich kiazi kisha unakiani baada ya kukauka unatwanga na kupata unga
@suleimansaid769
@suleimansaid769 Год назад
Ma sha Allh
@arafamke
@arafamke Год назад
Masha Allah
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan Год назад
❤❤❤❤
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 Год назад
Wete n kwetu kweli nyumbani n raha
@saidmohamed1938
@saidmohamed1938 Год назад
Nasema mashaallah haluwayawete nimzurisana lakinimahasidi uchawi.nachoyo kinaiuwa pemba.wengi wanakimbiakwa ubaya wawajinga
@sophiaissay6307
@sophiaissay6307 8 месяцев назад
Pemba mashaallah pazuli me napenda munavo ongea 😂😂😂😂 pemba oyeee ila wazee mupunguze🤐🤐🤐🤐🤐🤐
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Год назад
Home sweet home 🏡❤
@hassanmwahigo5427
@hassanmwahigo5427 Год назад
Pemba n tz au kenya
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 Год назад
Jaman nimekumis kwetu
@firdaus7428
@firdaus7428 Год назад
‏ما شاء الله
@salasturky4844
@salasturky4844 Год назад
Inapswa kuwekwa katk tunu za Zanzibar sbbu ni ya kipekee
@allyelbusaid9888
@allyelbusaid9888 Год назад
Pemba n'kwetu.. Na Halua ni Yetu..
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 3 месяца назад
Najivunia kuzaliwa Pemba lakini sikupendi kama Unguja
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Год назад
Kwetu raha sana huko ndio kinapatikana halwa😋
@mohdalwaili5289
@mohdalwaili5289 Год назад
Mie mwananchi wa Oman nineowa Pemba Sababu watu wa Pemba wengi watu wazuri
@lusakaone7782
@lusakaone7782 11 месяцев назад
Karibu sana
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 7 месяцев назад
TUWE WAKWELI SISI WAPEMBA TUNAPENDA SUKARI KULIKO WATU WOWOTE DUNIANI. HIYO HALUA NI KISINGIZIO TU SISI NI WATU WA SHIRA KWENDA MBELE
@hamedhemed7190
@hamedhemed7190 Год назад
Utaweza kweli kupika
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Hongera, jasho linaingizwa wakati gani au siri ya jikoni.
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 Год назад
asante baba haahaa unatoa siri za watu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Kaona 📷kaporoja yote pengine alikua ana hamu aonekane
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
jasho liko wapi si umeona ni maneno tu moto wenyewe upo nje
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Год назад
😢😢😢
@IddySimba-fp2cc
@IddySimba-fp2cc 3 месяца назад
Naona wezangu wamepakumbuka kwao me mpemba nipo dar na sijawah fika visiwani
@biubwakhamis1032
@biubwakhamis1032 Год назад
Home sweet home
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Год назад
Kwel kbs nitam sana
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Kama hujaonja halua ya wete hujala halua bado
@Lailahemed
@Lailahemed Год назад
Halwa ya Wete poa
@abdallahannwholesaler
@abdallahannwholesaler Год назад
Mashallah lakini huyu mbona anatoa code zetu hapo alitakiwa kusema kilakitu unaweza kiasi tuu kama walio mtangulia😅
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Naoan ilikua afungue mapishi pemba
@FikiriniFimofa
@FikiriniFimofa Год назад
Hawezi kutoa password zote
@FikiriniFimofa
@FikiriniFimofa Год назад
Kafanye wewe uone km hutapika uj😂
@sabihasalim942
@sabihasalim942 Год назад
​@@FikiriniFimofa😂😂😂
@MasudiSuleman-ui5wh
@MasudiSuleman-ui5wh 11 месяцев назад
Eh mung tunakmba Kwa tahma zako utujalie kuitoa Zanzibar kwny Mikono ya utawala wa watu weus
@alibaraka6699
@alibaraka6699 Год назад
Huyo mpika halua wakati wa kupika hiyo halua, jee huwa anaitembeza wapi?
@Rumaysabint
@Rumaysabint Год назад
😂😂😂 c anaitembeza hapo jikoni huoni
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
kwenye sufuria
@RahmaAbdulla-uw6jg
@RahmaAbdulla-uw6jg Год назад
Vp unguja inapatkana iyo haluwa ya wete?
@nassor8819
@nassor8819 6 месяцев назад
Halwa tamu ile madhara yake ni makubwa
@AishaSalum-h3v
@AishaSalum-h3v Год назад
😢
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 Год назад
Kuna halua ya wete halafu kuna ugali sasa Kama hujui jichanganye !!!
@FikiriniFimofa
@FikiriniFimofa Год назад
Sio ya bakhresa ya unga wa ngano
@RahmaAbdulla-uw6jg
@RahmaAbdulla-uw6jg Год назад
Mie nataka kujua Uo uwanga ndonini?
@MohdMohd-y6c
@MohdMohd-y6c 6 месяцев назад
Yani. Wapemba tupewe. Mauwa. Yetu t
@anasmakame-ph2yu
@anasmakame-ph2yu Год назад
❤I love you very much at home, by the power of Allah, there will be a day when I will return, Inshaallah
@salma0000
@salma0000 Год назад
What is stopping you😂
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Год назад
Ntambo wa shira
@salma0000
@salma0000 Год назад
Ulijengwa Unguja wakaufilisi
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Год назад
Najivuniya kuwa mpemba
@salma0000
@salma0000 Год назад
👍🏼
@khalidkhamis8002
@khalidkhamis8002 Год назад
Nimefurahi kuiona pemba
@omarmakame3027
@omarmakame3027 Год назад
Pemba nkwetu
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz Год назад
Hamna ishu nyinyi vurugu tu kila kitu nyinyi
@fatumasaleh8048
@fatumasaleh8048 Год назад
Wacha wivu wwe😏😏
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
kimekuwasha
@NassorMohd-y7p
@NassorMohd-y7p Год назад
Eee Wete iyo baba
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 Год назад
ami panaulizwa habar ya jasho kilo ngap
@salma0000
@salma0000 Год назад
Jasho gani acha uzushi, boflo ndio lina jasho na unakula asubuhi na jioni😅
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 Год назад
@@salma0000 ha jamaayang wajitia upofu kias gan moto wote huo yuko chin ya chiko utanambia kaz yke nkuona barid tu twala tuu majasho nkila pahala
@salma0000
@salma0000 Год назад
@@mhrmahir3756 usile halua, kanunue soda ktk machupa yasiyokoshwa
@Muhammad-el9iz
@Muhammad-el9iz Год назад
Tatizo suali linaulizwa "jasho kilo ngapi" hv kimiminika kinapimwa kwa kilo????
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 Год назад
@@Muhammad-el9iz sas wataka dibet mana sis twazungumza mas hara tu apo
@nassorahmed7956
@nassorahmed7956 Год назад
Halua yawete haitokei kwengine kokote
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Год назад
Haluwa Tam Malindi peke yake Al-Kudaimy
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
subutuu ugali wa masika
@Zanzibar-LandOfBlacks
@Zanzibar-LandOfBlacks Год назад
nikapike halua yangu sasa
@salma0000
@salma0000 Год назад
Si rahisi kama unavyodhani
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Mashallah mashallah mashallah nimefarajika nipo.saudiya
@shuuabdallah6921
@shuuabdallah6921 Год назад
❤❤❤❤
@mohdmaha7438
@mohdmaha7438 Год назад
Masha allah
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Год назад
Mashallah ❤
@SaidaAbdalla-t3i
@SaidaAbdalla-t3i Год назад
Mashallah
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Год назад
Mashaallah
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
❤❤❤❤❤❤
Далее
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 20 млн
HISIA ZA MWANAMKE ZINAKUJA AKIHUDUMIWA
20:52
Просмотров 7 тыс.
Kumbe Pemba ni ya zamani sana
10:58
Просмотров 15 тыс.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 16 тыс.
PEMBA COMEDY |HII UTACHEKA TU |Episode 1
9:27
Просмотров 28 тыс.