usiku mwema mkae kwa hishmaa muache ujingaa umbea maneno mingi ctaki kma nlivyo komesha mld kwa them na hapa ama pengine ntakuja nivunje mijungu yenu ya ufatani mjue hamuendelei haraaam😂🤣🥰😜❤❣💟💕💞💃💃💃💃👍👌pijaa makofi nandy
Oyooooooo ✌️🤞🤟!!!!! Nandy the Tanzanian princess 👸 for music#🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿# you deserves to have that crown 👸 baby Nandy #we love you so much in Sweden 🇸🇪👐🙌
@@hajrasaid1533 sıkubalıanı na wewe kwasababu Nandy huwa mkımya na sı mara nyıngı yeye huonyesha mauno yake , kwa huu mzukı alıo ufanya ınaendana na vıle walıvyo ıcheza. Nandy nı msanıı mkubwa vılevıle zuchu na wote walıanza safarı zao za mzıkı wakatı mmoja ıla zuchu kasaıdıwa na label ambayo pıa nı vızırı Nandy ako kıvyake na watu wake but nı mpambanajı sana. Nawapenda wote.✌🏽🇰🇪
Hv ni mm tyu ndo macho yangu yananidanganya au ni yy? Embu ngoja nkaze jicho 😳😲😲 ni yeye kweeeli! Jamani majiraniiiii na huku mujegeeeeee mumuone African princess
jaaaamaaaaniiii nandy ndo nini hivi lkn tunakoshana rohoooo huu si ugomvi na mzee wa chupa limeamka na chai ausio 😂😂😂 unapiga msamba vzr unakalia chini vzr 🙌🔥🔥🔥
Daah nandy kume anajua mauno ivyo yaani meona kama nagirwa nikairudia kama mara 10 ili kuakikisha kama ndiye ama🤣🤣🤣🤣🤣kiuno kama akina mfupa vile aaaah umeweza 😘😘