Тёмный

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 314 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Huyu si moja ya marafiki zangu, as in si Mtu ambaye nafahamiana naye sana, ambaye nilishawahi kukaa naye muda mrefu na kupiga story, au kusafiri naye au kuwa studio wakati anafanya mambo yake au namjua mzazi wake au mtu wake wa karibu kwenye familia yake ila nawajua watu ambao wanamfahamu kwa ukaribu na watu hao ndio ambao walinipa mimi mawazo ya kutaka kumfahamu vizuri binti huyu hodari wa ki Tanzania bila ya hata ya wao kujua.
Baadhi ya Dada zangu walifahamiana naye kwenye kipindi cha msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba, kipindi hiko kilikua cha masikitiko kwao na kwake pia. Nandy alikua na ukaribu mwingi na Ruge, alishawahi kumtembelea hospitali mara kadhaa na pia alikua na mawasiliano ya moja kwa moja na watu wa karibu wa familia kipindi kile ambacho Ruge alikua hana tena mawasiliano naye moja kwa moja. Siku ambayo Ruge alitangulia mbele za haki, muda si mrefu kabla ya hilo kutokea Nandy ananiambia alizungumza na nesi wa zamu siku hiyo na pia alimuekea simu kwa ukaribu na alimsikia akiwa anapumua. Wapi alikua wakati anapata habari hii iko kwenye maongezi yetu haya, humu pia utaelewa connection ambayo sisi binadamu tunayo na watu ambao tunawapenda na wanao tupenda.
Najua siku hazigandi kama ambavyo Lady Jd alishawahi kuimba na ndio nikawaza, hivi ushawahi kuwaza Nandy amekua kiasi gani toka msiba wa Ruge utokee? Unakumbuka baadhi ya maneno yaliosemwa juu ya career yake baada ya msiba ule? Tunafahamu kwamba alipoteza rafiki, mentor, baba na kama tochi yake. Mimi huwaza haya sana, na hilo la yeye kujidhatiti na kukaza mwendo ndio ambalo lilifanya mimi binafsi niseme you know what, it’s time.
Nandy ni MPAMBANAJI, anaupenda muziki na kama mtu mwengine yeyote mwenye jitihada basi Mungu humfungulia milango ya Kheri. Kaniambia humu kwenye maongezi yetu kwamba safari yake ya kwanza kwenda nchini Nigeria kwenye mashindano ya kuimba alimuambia Mama yake wakati yumo ndani ya ndege, alipomaliza hotuba yake fupi alizima simu na wheels up, to Lagos ambako alihakikisha anapigana mpaka fainali na kumaliza nafasi ya tatu. Si kitu kidogo kwa binti ambaye aliamua kuweka shule pembeni ili atimize ndoto yake, ndoto ambayo hata Mama yake mzazi hakua na taarifa nayo.
Siku zinakwenda, maisha yanasonga na yeye ameendelea kukimbiza ndoto yake na mpaka tunaenda mitamboni, Nandy ni mmoja wa wasanii wa kike wakubwa sana hapa nyumbani na barani Afrika na hata Ulaya na Marekani na ukitizama vizuri utajua kwamba huu ni mwanzo tu wa mazuri ambayo yatatokea katika maisha yake. Mimi na yeye tulizungumzia mahusiano hayo pamoja na kukimbiza ndoto zetu. Tuliongelea Bill Nas na kiwanda cha muziki wa Bongo Flava. Tuliongelea muziki wake na collabo ambazo amewahi kufanya. Hapo hapo nilitaka kujua pia yeye ni mtu wa aina gani na ni vitu gani vinamsukuma kutaka atake zaidi na sehemu ambayo anajiona huko mbeleni In Shaa Allah.
Yangu matumaini kama kawaida ni kwamba utajifunza mawili matatu ambayo yatakusaidia kupambana na mitihani ya maisha kwasababu tu umejifunza kutokana na sehemu wenzetu hupitia kwenye maisha yao.
Tafadhali Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

12 фев 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 238   
@pettiemao1540
@pettiemao1540 3 года назад
Nandy is so natural kwakwel she is real to herself i love that ❤️
@gracertarimo1440
@gracertarimo1440 3 года назад
I love how salama and Nandy get along nice one ...u look like best friends...I wish to meet salama and hug her
@cieremim7357
@cieremim7357 2 года назад
Kama umetoka kwa millard, unganisha dot yoloooooo💃💃💃
@user-gk1zq5cj9n
@user-gk1zq5cj9n 7 месяцев назад
😂😂😂
@jacquelineniyo8177
@jacquelineniyo8177 3 года назад
I’ve been waiting for part one... finally is here. Love you Nandy ❤️🥰
@norrykilamo5521
@norrykilamo5521 3 года назад
All in all she is our African princess. Na hope apeperushe bendera ya taifa worldwide. Anajua perhaps very much as a solo artist
@monicaoscar7978
@monicaoscar7978 3 года назад
Huyu dada anajielewa hana kujikweza , I appreciate your consciousness
@mahmoudnassor6964
@mahmoudnassor6964 3 года назад
I LIKE THE WAY YOU INTERVIEW PEOPLES SALAMA :D
@kikie_chyna
@kikie_chyna 2 года назад
I just love nandy 😍 you cannot hate her yanii so humble
@emilianashayo5978
@emilianashayo5978 3 года назад
It’s true ur humble Nandy ❤️
@evekiondo5828
@evekiondo5828 3 года назад
Thanks kwa kutuletea huyu mrembo.Nilimsubiri kwa hamuu zotee😋
@humayhafyak6184
@humayhafyak6184 3 года назад
Can you do salama na jacob steven (jb) tafadhal😭
@denisnzambimana5397
@denisnzambimana5397 3 года назад
Ivikweli Nandi hatasaa hii huyo rafikiyako unamjali amekupa wazo nzuri na mafanikio ujue au unamuonesha zarau kwakua sikuhizi unapaa
@faithjoseph6641
@faithjoseph6641 3 года назад
Salama tunaomba utuletee hamisa mobetto jmn
@evaristmrope
@evaristmrope 3 года назад
So nice interview Salama na Nandy
@Liz-2315
@Liz-2315 3 года назад
Am addicted to this show ❤️❤️❤️❤️
@sadanassor4992
@sadanassor4992 3 года назад
Congrats nandy ❤❤
@lisawanjiku1476
@lisawanjiku1476 3 года назад
My favorite Artist.. Finally let hear more about u
@gracemichael9774
@gracemichael9774 3 года назад
Nice nandy
@gracemichael9774
@gracemichael9774 3 года назад
Nice nandy
@aminamohamed7414
@aminamohamed7414 3 года назад
@@gracemichael9774 somalia
@imanimangwala4563
@imanimangwala4563 3 года назад
Maneno ya mama mazito xna yazingatie daima ili yakufikishe mbali ''umeamua kuchagua mziki najua kuwa hutosoma tena pambana sie hatuna cha kuwaachia''
@halimaomarimangi9861
@halimaomarimangi9861 3 года назад
Salama ameimprove sana interview zake! .....this one is great!
@NiraSaire
@NiraSaire 2 года назад
Salama has never been small, she was definitely born for this
@zubedajuma763
@zubedajuma763 Год назад
@@NiraSaire yeah for real
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Nakukubali sana Nandy, kwanye interview uko right kabisa.
@Mariam-z5e
@Mariam-z5e 13 дней назад
Nakuenda nandy mama naya weweee u so good ❤
@vailethmdema2513
@vailethmdema2513 3 года назад
Daah bomba sanaaa 👏👏👏
@immatheboytz5626
@immatheboytz5626 3 года назад
Show love kwenu nyoteee sisters aminia sana
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 3 года назад
Salama your so perfect asee
@allymkamba1054
@allymkamba1054 3 года назад
CORONA IPO TUZIDI KUCHUKUA TAHADHARI.
@exaveryjacob7810
@exaveryjacob7810 3 года назад
Salama you're my no one star in tz
@user-jz5jr7uq2g
@user-jz5jr7uq2g 3 года назад
Naam 😒 Mashallah🥰 Mariam from Burundi 🇧🇮 Tz 🇹🇿 tupendane ❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇹🇿😌😌💞
@josencollin2809
@josencollin2809 2 года назад
Your songs here i Canada is great in everywhere baby .
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
Nandy 🥰❤🇨🇭🇹🇿
@rebeccaezekiel8828
@rebeccaezekiel8828 3 года назад
See hki kiind Kiko bomba sanaaaaa, lkin Salam kumbe mkubwa
@mwangazakatimba7726
@mwangazakatimba7726 3 года назад
Salama uje umualike zuch basi nampenda
@sadokigaston3550
@sadokigaston3550 3 года назад
Ila nandy mrembo sana
@nazifanuru5306
@nazifanuru5306 3 года назад
Nice big up salama love uuuuu
@carolinemualuko5192
@carolinemualuko5192 3 года назад
My best....my best in the world...I love you and would like to be like you ...#kenya
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 3 года назад
Kote nimekuelewa ila apo kwenye kufight for the marriage ndo pamefanya wanawake wengo wapate changamoto adi za kutolewa chongo kwa kusema wanapigania ndoa but kwa upande wangu marriage ni kitu cha kuinjoy na sio kuvumilia Habar ya kulinda ndoa ni swala la wote wawil na sio mwanamke
@priscajubilate205
@priscajubilate205 3 года назад
Wewe ndoa ni kuvumiliana binadam hatujakamilika pia ndoa ni ku enjoy
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 3 года назад
@@priscajubilate205 kuvumiliana na kupigania ni vtu viwil tofauti ndoa sio vita ni jambo la kheri na la furaha
@pascalwissi4805
@pascalwissi4805 2 года назад
Saivi baada y kuolewa unasimamia maneno yako? Ku fight ni muhimu
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 2 года назад
@@pascalwissi4805 mie nimeolewa na mwanaume sio janaume ndo yanayovumiliwa ayo ila mwanaume ana kazi ya kunipenda na kuhakikisha nina furaha muda wote. Shida kwa wanaokutana na mijanaume ambayo inapaswa kupiganiwa ili ndoa idumu.
@agathasimon3159
@agathasimon3159 3 года назад
Mbona imekuwa Fupi hivii ila ❤️ Interview
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 года назад
Nashangaa zimekua fupi sanaaa
@saadamfaume2882
@saadamfaume2882 3 года назад
Ina part two
@jeanyves8934
@jeanyves8934 3 года назад
The best interview ever. I love it 💚
@ramlaamiri5601
@ramlaamiri5601 3 года назад
The African princess
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 года назад
Show kali
@dajia4787
@dajia4787 3 года назад
Kati ya interview zakinyamwez sn
@salimahnadiah6893
@salimahnadiah6893 3 года назад
I love Nandy...
@annamatonange5632
@annamatonange5632 3 года назад
Nakupenda sana Nandy wangu💓💓💓❤️❤️❤️❤️❤️💞
@crazydeejay_manyi8520
@crazydeejay_manyi8520 3 года назад
#salama Na Diamondplatnumz🙏🙏
@RaQuishA03
@RaQuishA03 3 года назад
It’s about time Salama
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 года назад
Jealousy & envy comes from my enemies - 2Pac
@bestscene5730
@bestscene5730 3 года назад
Zuchu 😘😘kumbe ni ma friend
@omaryadam1442
@omaryadam1442 3 года назад
Nakupenda xna dada ang pambana mama
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 2 года назад
Kudadeki Nandy weweeeee nakupenda saana ani sijui nisemaje
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 года назад
Nice
@shijasalyungu9589
@shijasalyungu9589 3 года назад
Nandy anacheka vizuri eti😂😂😂😂
@mohamedabdirahmanomar9211
@mohamedabdirahmanomar9211 3 года назад
Salama Assallam Allykum dadangu pongezi kwa kazi nzuri. Napenda kipindi chako.😀😃😂🙂
@shakllakiwali3583
@shakllakiwali3583 Год назад
🙏🙏🙏
@neemaindalesio4663
@neemaindalesio4663 2 года назад
Dah sina hata cha kusema Dada yangu nandy ila nakupenda sana
@happyswai8299
@happyswai8299 3 года назад
Fupi sana jaman
@Herieth-ou4lk
@Herieth-ou4lk 3 года назад
Love you Nandera
@saidahj2543
@saidahj2543 3 года назад
Can we kiss....nandy utoto hutawai muisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 3 года назад
I real lov u nandy
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Salamaaa💟💯💥💫👌exactly time Nandy akikata nywele hapendez.
@witnessmoshi8667
@witnessmoshi8667 3 года назад
mama nandy alimchana ukwel hahahha kwahy nandy alirithi jina la ukoo tuu
@khuzeimazubeir531
@khuzeimazubeir531 3 года назад
Salamaa naomba umletee hamisa mobetto au uwoya pls
@salmamussa5374
@salmamussa5374 3 года назад
Love😙nandy naomba ule na mkono wa kulia 😂
@rehemamusha9335
@rehemamusha9335 3 года назад
N left hand
@ussenemunalaga2558
@ussenemunalaga2558 2 года назад
Huyu anatumia kushoto sio poa
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 года назад
Haloo haloo hio kwio 😂😂
@zunnamuhammad1970
@zunnamuhammad1970 3 года назад
salaam jabir unasauti nzuri sana yani waooog
@a.856
@a.856 3 года назад
Nandi km yeye🕊💌
@ramlaamiri5601
@ramlaamiri5601 3 года назад
Dah aisee nlikiuwa naisubir kwa ham sna yn
@cecychua7478
@cecychua7478 3 года назад
Nandy nakupenda bureee
@juliusngowi952
@juliusngowi952 3 года назад
🔥🔥🔥💥
@mrfashion1687
@mrfashion1687 3 года назад
Bado namsubiri adamu mchomvu najua hv karibuni
@lilianamon2289
@lilianamon2289 Год назад
Jamani Nandy na Dada Salama u look good
@l0ycemp0chele72
@l0ycemp0chele72 3 года назад
Hkun km @africanprinces xio kwa kuimb wal interview
@catherinemsemwa5611
@catherinemsemwa5611 3 года назад
I like her
@josencollin2809
@josencollin2809 2 года назад
I can give you million dollas for your music baby .
@jamilahassan6432
@jamilahassan6432 3 года назад
❤️❤️❤️❤️
@neemazacharia1644
@neemazacharia1644 2 года назад
Love u soumanch dadangu nand
@nurdin7423
@nurdin7423 3 года назад
Btifl
@joharindaro3075
@joharindaro3075 3 года назад
Nampendaga sana nandy jamani
@elizabethchacha8241
@elizabethchacha8241 Год назад
Nakupenda sana nandy😍😍😍😍😍
@franciscanzalalila1114
@franciscanzalalila1114 3 года назад
Bado maua sammer salamaa
@zainabjames7769
@zainabjames7769 3 года назад
Nampemda nandy jaman
@owlbig
@owlbig 3 года назад
🇧🇮❤️
@hawaally7974
@hawaally7974 3 года назад
Biutiful nandy
@godgiftfrancis321
@godgiftfrancis321 3 года назад
I like nandy
@rubenmkilima4681
@rubenmkilima4681 3 года назад
Salama tunataka "salama na profesa Jay"
@nasoursaleh1662
@nasoursaleh1662 3 года назад
Leo
@malickabbas8271
@malickabbas8271 3 года назад
Tunamsubiri king 👑 kiba
@ainnekeyshersospeter9398
@ainnekeyshersospeter9398 3 года назад
I love you Nandy
@salmakisokola245
@salmakisokola245 3 года назад
Mbona inakuwa hivyo
@teddyinbloom
@teddyinbloom 3 года назад
Amekula bila kunawa mikono 😂
@shalimwile9278
@shalimwile9278 2 года назад
Love u nandy
@memoryserijo9649
@memoryserijo9649 2 года назад
❣️❣️
@agnessherman2926
@agnessherman2926 3 года назад
Mbn umesahau kama we ni muigizaji?
@shijasalyungu9589
@shijasalyungu9589 3 года назад
Haaaaaaaaaaa chief judge alikuboleshea kweli
@hamyrhai9957
@hamyrhai9957 3 года назад
😚
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 года назад
Kwann mpka ipite sku mbili dada salama 🙄
@annamatonange5632
@annamatonange5632 3 года назад
Nandy umenichekesha hatari eti Chawasu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@judithjulius5993
@judithjulius5993 2 года назад
Nandy nimekukubali,una udhubutu kama mimi
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 3 года назад
Nakupenda sana nandy na ninakukubali sana
@user-nk9bo3fs2y
@user-nk9bo3fs2y 7 месяцев назад
🎉❤
@nalliekessy4902
@nalliekessy4902 3 года назад
AY
@hellenpaul9671
@hellenpaul9671 2 года назад
🥰🥰😍😍
@user-rm5rp4dw2m
@user-rm5rp4dw2m 2 месяца назад
@tumaahmed4430
@tumaahmed4430 3 года назад
Tunamtaaakaaa diamond😭😭😭
@nooromar6233
@nooromar6233 3 года назад
Diamond aje kusema nini maisha yake ni open book hakuna chakujuwa yote tunaya juwa
@mwanahella9650
@mwanahella9650 3 года назад
@@nooromar6233 😂😂😂I like OPEN BOOK
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 года назад
@@nooromar6233 😂😂😂😂umesahau kama yule ni mzee wa maajabu ghafla utasikia salama k ni baba ake esma ile familia ni firee
@alexkilumile1689
@alexkilumile1689 3 года назад
Sa mpaka ujilize🙄🙄 wala hatumtak hakuna asiyejua Maisha yake😏😏
Далее
Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1
39:49
Просмотров 464 тыс.
Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 2
15:59
Просмотров 138 тыс.
АРЕХ ПОЙМАЛ БЕЛКУ ОТ ИГРЫ ВП
15:01
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 153 тыс.
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
Mkasi - S01E12 with Wema Sepetu
26:55
Просмотров 718 тыс.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
0:29
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 155 млн