Тёмный

KIKOBA KIMEVUNJWA PESA HAZIONEKANI WANA KIKUNDI WAJA JUU/MUWEKA HAZINA HAJUI PESA ZILIPO 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Wanakikundi waja juuu baada ya Kikoba kuvunjwa na pesa kuwa pungufu na muweka hazina kusema hajui pesa zilipoenda!
Tizama mwenyewe ujionee mambo yalivyokuwa wanakikundi wamechanganyikiwa kwani pesa zao walishapangia bajeti zao za sikukuu mwisho wa mwaka lakini mwisho mambo yameenda ndivyo sivyo
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@sherin3171
@sherin3171 3 года назад
Mmm ndio haya ya kikoba sipendi juh ya hizi sakata
@zamaradihussein5726
@zamaradihussein5726 3 года назад
Watu wengine hawana elimu ya vikoba,pesa itakaaje kwa muweka hazina?bank zipo,pesa inapelekwa bank na risit inaonyeshwa kwa kila mtu,
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 года назад
Hata benki zinatolewa yani ni shida tupu
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 года назад
Jaman sijuw wanapigwa.juju wanakuw hauliz risit sis vikob vyet miez sita nakil pesa ikitolew inaongelew kilajumapil nalisit inaonyeshwa na siku yakuvunja risit zote zinatolew unapew bahash yako kila mtu unaambiw piga hesa yako hap hap kam pesa yako haijatimia sema hap hap sio unaondok alaf wat wametawanyik unamfany mwenyekit au katib umwambie pesa haijatimia hatutakuelew bas tunachez vizur huu mwak wa nne na watu wakiskia kinaend vizur watu wanazid kuongezek na pesa inakaa bank
@احمدالخروصي-ل8ك
@احمدالخروصي-ل8ك 3 года назад
Jaman wakina madam wezangu achen kuweka pesa kwa mtu bank zinakazi ngan
@rosejulie9626
@rosejulie9626 3 года назад
Likes zng jmn nimewahi Leo 15 kulike
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 3 года назад
C mchukue ela za mtunza hazna mgawane muende nyumban kwake mkamfilisi maisha yaendeleee
@sekelamwambungu356
@sekelamwambungu356 3 года назад
😂hapa umenena
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
Nani anakumbuka wale wamama wa Arusha au Moshi walivyozimia kisa pesa haionekani 😂😂😂😂😂😂😂
@deborahjm8890
@deborahjm8890 3 года назад
😂😂 nakumbuka
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
@@deborahjm8890 😂😂😂😂😂😂 mie sintorudia tena nishatapeliwa pesa yangu.
@deborahjm8890
@deborahjm8890 3 года назад
@@dorcaskidoti249 na kwambiha wali lia sana wale wa mama adi huruma sijuwi kwa sasa wanaendeale aje 🤔
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 года назад
@@deborahjm8890 wamesha sahau tayari.😂😂😂😂😂😂😂😥😥
@deborahjm8890
@deborahjm8890 3 года назад
@@dorcaskidoti249 na ivo awata rudi tena kufanya vikoba 😂
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 3 года назад
Poleni ila sikunyingine muweke pesa zenu bank miaka mi 3 unapata ela nzuri
@najma3268
@najma3268 3 года назад
Januari watt wanataka kwenda shule Na pesa hakuna cjui inakuwaje
@josephkomba64
@josephkomba64 3 года назад
Mitandao imeanzsha system za vikundi mnaweka huko kama mnaona shda kwenda bank iweje mumpe mwenzenu hela akae nazo? Pambanen
@zamaradihussein5726
@zamaradihussein5726 3 года назад
Vikoba jamani vizuri,ila vikiendeshwa vibaya inakuwa mtihani,msiweke vikoba endelevu,vunjeni kila mwaka,sisi tunavunja kila baada ya wiki 52,na faida tunapata nzuri tu
@maryamhaidar931
@maryamhaidar931 3 года назад
Uko wapi my dear nkupe namba tuongee
@michezokwaajiliyavijana6973
@michezokwaajiliyavijana6973 2 года назад
Karibu pia ofisini kwetu tunaiwa IMARIKA KIJANA tunatoa mikopo kwa riba nafuu pamoja michezo na ndani ya michezo mwanakikundi atapewa mkopo kulingana na group alilopo tupo dodoma,dar es salaam,arusha pamoja na mbeya
@nourathymsolwa6239
@nourathymsolwa6239 3 года назад
Nashukur mung mwaka wa nne nipo kwenye kikoba sijawahi kuzulumiwa hata mia
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 года назад
Kuna mama pale ubungo alimlilia magufuli, vikoba sasa hivi havina maana
@tatuhamisi4838
@tatuhamisi4838 3 года назад
Kabisa mpenzi ubungo matapeli wengi
@cuteme4870
@cuteme4870 3 года назад
Ukifungua account bank unapungukiwa wap au wanawake wengi tunaogopa bank
@ayshasaidi2213
@ayshasaidi2213 3 года назад
Kibubu changu ndani natulia na sina presha na mtu 😂😂
@aminaawazi8068
@aminaawazi8068 3 года назад
Aysha saidi umeona eee shoga
@aminaissa9756
@aminaissa9756 3 года назад
Mm na mikembe ya doom nyumbani kwangu hata bank cpendi najiamini mm mwenyewe Alhamdu lillah.
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Changu kwenye sufuria kinaelekea bank
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Nimesahau hata benk kunatapeliwaaaa
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Dai dai chako leo kieleweke kama matapeli si wanakamatwa KILA leo nyie mnangoja nini msiwachukulie sheri harakaaa
@selungwieryka449
@selungwieryka449 3 года назад
duh mtu unalalaje usingiizi miaka mitatu pesa yako ipo kwa mtu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haya mambo nayaona tanzania tuuu .miaka 3 !!!
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Год назад
Eti lol mm mroho wa pesa siwezi😂😂😂
@agaowajouniar6614
@agaowajouniar6614 3 года назад
Ela ngumu jamani mwenyew unafany biashar ndogo ndog unajinyima ili ufanikiwe malengo kumbe wenzio wanapanga yao looh polen saaan dada zangu
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 2 года назад
Mm c chezi chama ctaki vikoba wala mazoea na pesa
@glorymassawe9858
@glorymassawe9858 3 года назад
Jamani wanawake wenzangu skuizi jua Kali tutunze pesa wenyewe uwi uwi tunzeni jamani wenyewe watu wanatamaa skuiz vikoba Ni zamani 🙄
@aminaramadan184
@aminaramadan184 3 года назад
Kweli
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 года назад
Muweka adhina mpelekeni police ndiyo atasema ukweli na hao wawekezaji piya mmmmmmmm poleni sana kwani mtu unashindwa nn kuweka mwenyewe pesa yako mwenyewe
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 года назад
Mm ata tigo pesa siwek cz Yale makato bank ndio kabisaaa ela yang mwenyewe alafu wanikate pesa yang nakaaa nayo ndan
@vanesakanunga6519
@vanesakanunga6519 3 года назад
Jamani vikoba hivi mnatukatisha yamaaa angalien sitantimenti
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 3 года назад
Gea unachonifurahishaga kushona sare zawahusika!!!!!
@evachuw8092
@evachuw8092 2 года назад
Ndio maana sitakagi huo ujinga ujinga wa aina iyo
@witnessemmanuel8785
@witnessemmanuel8785 3 года назад
Siingii tena vikoba
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 года назад
Tatizo Hela siķu zote ni shetani tangu lini utampatia mtu akae na hela hata ndugu umwamini itakuwa mtu baki japo sio wote tuwe makini sana wakinamama.
@venahsithole6463
@venahsithole6463 3 года назад
Poleni akina mama ila miaka mitatu mingi sana mngekuwa mnafanya ya January munashea mwezi desemba
@gililwise
@gililwise 3 года назад
Poleni kina mama .pesa ni shetani.jifunzeni kutokana na makosa msikubali kuweka hela kwa mtu.banki zipo kwa mujibu wa sheria wekeni huko.
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 года назад
Kina mama tusajili vikundi vyetu,tufungue akaunti benki na pesa zetu tu tuweke benki tuachane na ushamba wa kuweka pesa kwa mtu halafu mwisho wa siku tunawasumbua TAKUKURU
@jubilateshao2061
@jubilateshao2061 3 года назад
Bora hicho, chetu walikuja na pesa kwenye sanduku zikahesabiwa zote ndani ya dakika 20 zikayeyuka, tukatoka hatuna hata mia! Mchuma ulete ulipitia.
@felistermichael7640
@felistermichael7640 2 года назад
Nieleweshe vizuri dear pleas
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 3 года назад
Poleni wenzangu
@aishaally8062
@aishaally8062 3 года назад
Yani kunavitu vingine sio mtu mpaka Usome hivi pesa yakumuamini mtu kwa Usawa huu.
@zaiyusufu3984
@zaiyusufu3984 Год назад
Apo ilisha kuwa tu déni mutadaiyana paka kiama polen
@azminahabib7952
@azminahabib7952 3 года назад
Yaan mm ni bora kuweka mwenyew maana naona ni sawa to kuweka wenyew heka heka izo sizipendi
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Год назад
Mm ndioaana sijihusishagi na hivyo vitu pesa utawekwaje na mtu
@mwanaashakombo5459
@mwanaashakombo5459 3 года назад
Chetu mpk leo hakijavunjwa mwaka wa 3 sasa ,watu wamekula pesa na wamekimbia kabisa mkoa.
@mulhatabdillah2701
@mulhatabdillah2701 3 года назад
Mwanaasha Kombo 😂😂😂😂
@jesustheoneandonly
@jesustheoneandonly 3 года назад
kaaa inauma
@mwanaashakombo5459
@mwanaashakombo5459 3 года назад
@@jesustheoneandonly we acha tu,sema mimi niliwakomesha nilivyoona wameanza fujo nikahesabu hisa zang na jamii mpk pesa ya kiingilio na mwalimu halafu nikakopa hicho kiasi kila nikidaiwa nawajibu hesabuni hisa zangu mkate huko filisini vitabu vyang sina pesa 😂🤣
@mwanaashakombo5459
@mwanaashakombo5459 3 года назад
@@mulhatabdillah2701 we acha tu.sina shida nao kwavile nimekopa kulingana na nilichowekeza sirudishi wakate hukohuko hamna shida. 🤣😂
@zawadimalawoni7462
@zawadimalawoni7462 3 года назад
Inatokeaje loss wakati pesa hamkuiingiza kwenye biashara yoyote labda kama kuna mliowakopesha hawajarejesha
@sylviamombo815
@sylviamombo815 3 года назад
Sijui tunakwama wapi na hill pia Magufuli asaidie?tujitambue jamani
@asiaenzi5542
@asiaenzi5542 3 года назад
Poleni sana
@victoriakyara8000
@victoriakyara8000 3 года назад
Kopo la rungu ndio kikoba changu miaka buku
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Mm najiekeamwenyewe kama Niko kaxi bank rafiki yangu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Duuu wengn kuzurumu wezao ni kitu cha kawaida tuu, poleni sana jmn.
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Kama ni neema nnaomjua asilimia ya wanachama wanajuana na wanashirikiana kutapeli.
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 года назад
Jaman mie mtanisamehe kwa kikova hapana Kibubuuuuuuuuuuuuu, sigomban na mtu Wala kudaiwa na mtu lkn mambo ya kukaushana mbegu za uzaz sitaj
@azizaalmas9624
@azizaalmas9624 3 года назад
Ivi kwann asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha mikopo vikobaa sijui QN ni walimu?? Nawanatapeliwa kilasiku lkn wakisikiatu nyingine imeanzishwa wanaeka tena, nitamaa au mshahara hautoshi, maana kesi nyingi za mikopo wao ndio wanahusika, niwachache Sana watu wakawaida.
@remiomar7154
@remiomar7154 3 года назад
Hy mweka hazina mpelekeni deli atasema alipozipeleka yy n mkuu wake
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
Kweli
@sengoroda4504
@sengoroda4504 3 года назад
Chuma ulete imehusika hapo pole mueka hazina
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Год назад
eeh poleni jamani waah
@leilamhagama9713
@leilamhagama9713 3 года назад
Heeee unaweka hela kwa mweka hazina hata kwake hupajui hiyo sio akili
@tatuhamisi4838
@tatuhamisi4838 3 года назад
Geah nitakuchangia kikoba chetu CCM ubungo kikoba endelevu nacho miyeyusho kibao nitakutafuta soon
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 3 года назад
bora niweke hela yangu benki so kikoba..Chrismass yao itakua chungu kweli.
@stukiaally4690
@stukiaally4690 3 года назад
Vicoba vizuri ni vile vya kukopeshana pesa hailali ndani kila wiki inatoka mwisho marejesho yanakuja
@fatimamtoo9288
@fatimamtoo9288 3 года назад
Kabda ya kuanza mwatakiwa mpate elimu ya kicoba inawezekana nyinyi hamkupata elimu ya kicoba mihazina pia hamujui anapo kaa bishida
@ednagodson7540
@ednagodson7540 3 года назад
Mimi sielewagi kikobaa mwenzen
@meckyernest4359
@meckyernest4359 Год назад
Pazia
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 года назад
Sikuizi akuna vikoba wala mifuko uwizi ndiyo umejaa katika mambo ya pesa kwa nn msijiwekee wenyewe pesa zenu jufunzeni ss akuna michezo mbele ya hela
@mayaindeed4864
@mayaindeed4864 3 года назад
Kwann msiweke bank au kibubu 🙄😃sahv sio kuaminiana tena pesa
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 года назад
Kibubu kitakaa kwa nani
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 года назад
Jamani haya mambo yataka moyo nashkuru mungu naogopa amana ya watu nimeweka hazina miaka miwili na nusu hata mia ya mtu sijachukua zote tamaa tu unajiondoshea uwamifu poleni mara nyengine wekeni bank
@queenlinda255
@queenlinda255 3 года назад
Wekeni ela zenu bank kwani bank ni za nini jamani hao waweka azina nawao wanashida jamani poleni sana
@habibabarker1644
@habibabarker1644 9 месяцев назад
Wakina mama hatuna utu kabisa vkiba hatariii
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 3 года назад
Wa Mama bana hapa ndio wanapo kwama..kwani bank zimewekwa za nini😃 Ata mimi ningekura hali ilivo ngumu
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 года назад
😁😁😁
@bahajajuma5947
@bahajajuma5947 3 года назад
Hii kitu mungu aniepushe nayo...viongoz wa vikundi hb kuweni waaminifu
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 3 года назад
Hivi hamuwezi kutunza pesa wenyewe ?
@sinderajabu1744
@sinderajabu1744 3 года назад
Mimi. Na. Kikoba. Atupatanj. Kabisaaaa
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 года назад
Poleni jaman
@edgamwakyoma9761
@edgamwakyoma9761 3 года назад
Money laundering hyo mkipeleka mahakamani mnaliwa hela zote hata mlizopata Na kusweka jela
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 года назад
Sichezi kikoba wala kikapu 😇😇
@rhodajoseph9043
@rhodajoseph9043 3 года назад
Ndo maana sitaki kikoba mie kwa ajili hiyo yalisha nikuta kwenye tano yetu japo pesa yenyewe ili kuwa elfu hamsini lkn tulikatwa kiaina misipendi jamami
@milkamugomo218
@milkamugomo218 3 года назад
Tuna jirani wetu alihepa na pesa ikawa ni shuhuli ya mtafuta alisafiri kwao kisumu lakini tulijitahidi hakuamini watu mlangono kwake bara huko ikabidi auze shamba atupe pesa zetu
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 3 года назад
Mambo ya pesa hayo mtahangaishana mpk utasamehe mwenyewe huzipati tena
@mohammedhamis9411
@mohammedhamis9411 3 года назад
Atakubalije atalipa kama hajazichukua ?🤔
@magechuwa2888
@magechuwa2888 3 года назад
Hii movie mi najua hela inawekwa bank au sio
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 года назад
Poleni Wa Mama Hariiiii Hiii,
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 года назад
Mi sitaki hata kuvisikia Gea, watu hawana uaminifu, mi nilitapeliwa na gwiji la utapeli Neema.
@florangido202
@florangido202 3 года назад
Mi ndiyo Sijawaigi kucheza kabisa hivyo Vikoba!! Na Sitakuja kucheza Kikoba!! na hivi kila Wakati ni Matukio wala Sitaki kuzimia Mimi nisije kufa ksb ya Wamama ambao sio WAAMINIFU!! Jamani!!....
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 года назад
NAKIJUWA KIKOBA KIMOJA WANAVUNJA KILA MWAKA NA WANALIPANA PESA NZURI TU
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 3 года назад
Ndo maana sitakagi kusikia mambo ya vikoba mimi ni upuuzi wakati mwingine! Muda wote huo wamama wa watu wamejichanga hela kala mwingine loh!
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 года назад
Na musisubutu kuketi miaka mitano wala mi wili wekeni mmoja tuu
@degetuwa2665
@degetuwa2665 3 года назад
Eemunguwangu nachezakikoba huku boraniende nikachukue changu mapemaaaa yasije yakanitokea bure
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Hiv nawale MR KUKU walishasepa na pesa za watu au bado wanajitangaza mzigo ukuwe 🙄
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 года назад
Jamani mimi mambo ya vikoba kwakweli hapana
@Jenib_
@Jenib_ 3 года назад
HAYA MAMBO YA VIKOBA BADO TUU YAPO JAMANI??? NI UTAPELI MTUPU MTU SI UWEKE HELA ZAKO BANK TUU YAISHE..KUNA SAVING S ACCOUNT TOSHA KABISA.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 года назад
Mweka hazina ana chura?
@kulthumsalim7070
@kulthumsalim7070 3 года назад
Vinasaidia kwa loan dear ukiwa na dharura tu wapata,bank ni vigumu 😩
@merinajuma1236
@merinajuma1236 3 года назад
Mmmmmmmmh hpna kwakwl mmenikumbsha Mbli nilizulumika.mie sna ham nakikoba kiukwl sna ham nastamni tena kiukwl mtu unajichnga iliufkie malengo mwsho wake ndio huuu kutiana. Ubaya t
@rachealkitawa2153
@rachealkitawa2153 3 года назад
ndio maana sipendi vikundi vya kina mama ndio maana mimi ucheza na wanaume mchezo umeisha wanawake pesa zitawatoa roho
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 года назад
Wanawake wenyewe hapo wote wanaonekana wajanjajanjaa
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 3 года назад
PESA ZA WATU WENGI AU VIKUNDI ZINATAKIWA ZIWEKWE BENKI..
@bhokemasyaga4654
@bhokemasyaga4654 3 года назад
Bora niendelee kujitunzia kwenye simu yangu tu...
@samsungoman5626
@samsungoman5626 3 года назад
uwaminifu hakuna looo hatari mm sitaki kusikia vikoba uchwara
@magechuwa2888
@magechuwa2888 3 года назад
Mnachekesha walionuna eti sijui kwa mweka hazina hiyo akili matope
@sengelaomar5201
@sengelaomar5201 3 года назад
Utalipaje hela hujatumia wew muweka hazina wew ni mwizi Kama wezi wengine
@jesustheoneandonly
@jesustheoneandonly 3 года назад
kabisaa
@hadijakondo7812
@hadijakondo7812 3 года назад
Itakuwa madeni hawajurudisha hao au katika hao wanao toa pesa bank ndio wamekula ila Mimi naisi madeni hawakulipa tu
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 года назад
Mtauwana wamama kwa presha zahella
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 года назад
Akafungwe tu huyo hana maana
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
Kama kuna wanawake humu walioolewa sidhani tena kama unaweza kumwambia tena mwanaume ninaenda kwenye vicoba akakukubalia kwenda .
@evagervas7900
@evagervas7900 3 года назад
Yani nyie hata nyumbani kwa Muweka hazini hamjui Du pia hela zingetakiw zikae bank pia kikundi kinatakiwa kisajiliwe maana hapo mkienda polis mtaulizwa kikundi kimesajiliwa Wanawake tunatakiwa tuwe makini Jamani kumkabidhi mtu hela yani hata unamwamini vipi Hela inatakiwa ikae bank
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 года назад
Mm ndio maana sipendi mambo ya vikoba kikoba changu ni mpesa .na bank pekeake mambo mengine sipendi
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 3 года назад
Jamani akina mama bora muweke pesa zenu benki siku hizi hata sh elfu 10 unaweza kufungua akaunti watu hawaaminiki
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
Ss huyu mhasibu analipaje hela ambayo hajachukua? Huyu mhasibu pamoja na hao wawili waliokuwa wanajua namba ya siri ya account hao ndio wamekula pesa za wengine.Haiwezekani kulipa deni ambalo pesa zake haujazitumia. Wamama mkabeni tu huyo mhasibu awalipe pesa zenu zote.
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
Hii ndo iliyowakut dada zangu mweka hazin kanunua kiwanja kajeng kwa hela za vikoba kumbe alikuwa anachukua zile pesa alizokuw anakusanya hiy siku ya kikundi😂😂😂 juzi ndo wanakuj gundua anahasara ya milion kumi sijui atalipa lin😅😅😅😅😅bora hat nilijitoa mapemaaaaaa sas hiv ninakibubu changu naweka akiba zangu👌👌👌
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 года назад
Namba pelekeni polesi nama zao zitatafutwa watapatikana
@RahmaRahma-xp9jr
@RahmaRahma-xp9jr 3 года назад
Era yangu nitakaa nayo mwenyew ubabaifu siutakiki
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 года назад
Sindio hapo bank ziko
@neemakaluwa1841
@neemakaluwa1841 3 года назад
Ilishatokeaga mtaani kwetu bora nyie mmepata hata nusu, wenzenu hawakuambulia hata sent 5 Sanduku limefungwa pesa ndani hakuna. Mweka hazina akajifanya chuma ulete.
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 года назад
Mumeona eeeee chanya imekuwa hasi poleni jifunzeni kutokana na makosa
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
Mmmmhu yaani mimi mambo haya ya vicoba ndio maana sipendi kabisa ni kutapeliana tu maana humu hamuwezi kulingana uaminifu.Ndio mambo kama haya.
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00
DADA WA KAZI AMWAGIWA CHAI YA MOTO NA BOSI WAKE
11:19
Ndugu asiyejulikana asababisha Hekaheka Msibani
14:11