Тёмный

KIKWETE HAAMINI MEMBE AMEFARIKI, ASIKITIKA AKIUTAZAMA MWILI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 171 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 211   
@joycekomba1243
@joycekomba1243 Год назад
Kweli wema hawadumu wabaya ndio tunaishi sana. Wabaya hatuna shida na mtu wema wsnamaadui kibaoo aiseee duniani!!!;?
@YusufuMagita-dq5cs
@YusufuMagita-dq5cs Год назад
Poleni sana ndugu zetu
@bashirumandwanga130
@bashirumandwanga130 Год назад
Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu binafsi
@almujibually
@almujibually Год назад
Massage sent
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Год назад
Hilo neno la wazur Hawafi,litawasumbua sana,sana tu.
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Год назад
😳
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
Walikufuru sana,Sasa Mungu anawaonyesha kuwa hadhihakiwi.
@paulndaki8423
@paulndaki8423 Год назад
👍👍👍👍👍
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Год назад
Wazuriiiiii naooo wameanza Asante molaaa atafuata sijui Nani hapo
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Год назад
Nape sku hiz umekuwa mlinz wa kikwete au sif
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Год назад
TUTAFUATA MIMI NA WEWE ( HUJUI HILO??).
@leoniaashery9337
@leoniaashery9337 Год назад
Viongozi wazuri hawafi jamani kahema baada yakuona mwili
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele?
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Год назад
Kashifa na kebehi mungu hua anajibu no one knows
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 Год назад
Acheni unafika makonda nikiogozi bora sanaa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
hata mukimuwekea misalaba mingapi haito saidia kitu hilo jitu lililuwa dhalimu na jeuri na watu aina hiyo ipo sehemu yao wanayo enda. inaitwa jehanamu 🤣🤣🤣
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 Год назад
​@@wekezauchumi7440Acha makasiriko bhana kwani yeye hakujua kua iposiku atakufa? Mpaka aseme bahari imetulia? 😂😂😂🎉😊😊
@allytv1714
@allytv1714 Год назад
Yaan wote mafisadi mtakufa at na ww kikwete utaenda cz mshaiba sana kwenye nchi ya raia wanyonge
@salumzomboko
@salumzomboko Год назад
kila nafsi itaonja umauti, pole sana mzee jk, mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@bulugusoteli
@bulugusoteli Год назад
Rip mjomba JPM
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
Wazuri hawafi. Naye huyo 👆 Mungu anamuona
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@mimiraia2531 👍👍👍
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo wenu aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Год назад
Mungu wapunzishe kwa amani mashujaa wa nchi hii hakika peke yako unatosha baba simama na watanzania tusamehe tulipokengeuka hakika hufananishwi
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@meryshekoloa961 haya ndo mambo tunayoyataka..muombee mtu aende salama kama kuna uovu basi Mungu mwenyew ndo atamuhukum huyo mja sio mtu unalaan binadamu wenzio...safi sana
@nurumohammed-m6y
@nurumohammed-m6y Год назад
R.I.P our beloved in deed " bwana ametoa bwana ametwaa jina lako lihimidiwe" mbele yetu nyuma yako. daima tutakukumbuka kwa weledi na umakini wako wakati wote.......ee mungu utupe nguvu na faraja iliyo ya kweli.
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 Год назад
Mbona hakusikitika hivi alivyoshuhudia mwli wa marehemu
@mbelwajeremiahpaschal390
@mbelwajeremiahpaschal390 Год назад
Kikwete ajaamini Membe Kuondoka ila Kwa Magufuri aliamini Ili Afanye anayo Yafanya ajui Mungu ni Wetu Sote
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
Yaani, JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Punzika kwa Amani mpendwa wetu mzalendo wa kweli JPM
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Peleka usenge wako
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
@@wekezauchumi7440 wewe shoga Nini?
@joezeno8
@joezeno8 Год назад
@@emmanuelkanyela275 🙏🏿✌🏿🔥
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 Год назад
@@wekezauchumi7440 we tombanyoko
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Nipe matako hayo uone ushoga wangu fara sana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza….Asante mola
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Umeona kaka Mungu yupo kila mmoja ataenda tu eti wazuri hawafi na bado cheni ndo imeanza hyo
@woltahaule2726
@woltahaule2726 Год назад
Mungu Yuko kazini❤❤❤❤❤
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours Год назад
@@wekezauchumi7440 weka evidence usiamini kwa maneno ya wenye chuki nae, alikuwa mtu Safi ndiomaana alikuwa na maadui wengi
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Год назад
Yote ya mungu wote tuta kufa hii ni safari ya wote hakuna atakae bakia duniani inshaalaah
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
Mlifurahia kifo cha JPM mkafanya party mmmh, MUOGOPENI MUNGU.
@rehemabigambo8942
@rehemabigambo8942 Год назад
Sasa ni zamu yao kupokea maumivu
@pauljohn6393
@pauljohn6393 Год назад
There's no soul that won't taste. death!God grant us a good end
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 Год назад
that is not according to bible may be according to quran
@PhilemonMartinepeter
@PhilemonMartinepeter Год назад
Et wazul hawafi kwni mungu haon waache jeul kila nafic itaonjitaonja make tulitoka mavumbin kwaudongo tutalejea
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@veromichael779
@veromichael779 Год назад
Duh kwel dunia hii tunapita kulen saaan ibeen Sana iko siku utakauk tu.kama ukuni utaacha kila kitu hp dunian..Pumzk kw amani kiongoz wetu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Hili ndio jambo la uhakika kila Kiumbe litamfika, na utaingia peke yako kaburini, tuache Kiburi, tuwe na huruma kwa viumbe wengine wa Mungu hata kama ni wadhaifu. R.I.P BM
@LAJABUNGUNDE
@LAJABUNGUNDE Год назад
Punzika kwa amani membe
@hulukasefu
@hulukasefu Год назад
Jamani watanzania wezangu tuwache kashofa hiyo nimipango yamungu sote ni wasafiri tu
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 Год назад
Mlisema watu wazuri hawafi kwa hiyo membe hajafa!
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
chakula cha minyoo ya ardhini kitakuwa keshokutwa 🤣🤣🤣
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele
@evelyneabdul2785
@evelyneabdul2785 Год назад
@@wekezauchumi7440 huyo ndiyo ana dumu zaidi kwenye mioyo ya wapenda haki na wanao simama katika kweli
@evelyneabdul2785
@evelyneabdul2785 Год назад
@@wekezauchumi7440 Tutulie tu tukutane siku ya hukumu
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
MLISEMA ETI WAZURI HAWAFIII, MUOGOPENI MUNGU #NONSENSE
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 Год назад
RIP! Hakuna nafsi ambayo haitaonja mauti, Mungu tujalie mwisho mema!
@danielmarwa5122
@danielmarwa5122 Год назад
kwa mujibu wa Biblia kuna watu hawatakufa watachukuliwa kwenda mbinguni, hiyo uliyoandika ni kulingana na quran
@marymasunga7733
@marymasunga7733 Год назад
Ukiona watu wanalia lazima uumie, sio unachekacheka tu et unaleta kizungu
@issabilali3539
@issabilali3539 Год назад
R.I.P MAGUFULI
@elibarikikivuyo5946
@elibarikikivuyo5946 Год назад
😢😢
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 Год назад
Bahari imazidi kutulia Rest panapo stahili mr Membe
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Kwel membe alifanana sana na kikwete nikajua ndugu pole sana kwakumpoteza rafik ako
@JescaJonas-kp2mg
@JescaJonas-kp2mg Год назад
Nasikia wanna undugu wamechangia kwa baba
@pendoprosper4090
@pendoprosper4090 Год назад
Kweli ndugu ila mm najua ni mtu na binamu yake
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Anhaaa bas ndo maana wamefanana
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Год назад
Yupo wapi Mzee MaKamba?
@risukiart4615
@risukiart4615 Год назад
bado yule mzee alisema wazuri hawafi
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@wekezauchumi7440 weweee,. Kwani humjui Ulimboka, kwani ilikuwaje huko Arusha. Acha ushabiki wa mpira. Nani alihusika na Mkapa, Kijazi, Maalim Seif,. Na kisha Magufuli,,,, akamalizia Mfugale. Funguka akili na macho yako.
@abdull-majidali6320
@abdull-majidali6320 Год назад
Vipi weye lini au humo katika wafao?
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Год назад
@@abdull-majidali6320 Sijashangilia, wewe umo, mimi nimo ila waziri hawafi.
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
Dhambi ya kuwasimanga marehemu,Magufuri alisimangwa sana tukajua huenda wao hawataonja Mauti kamwe,familia ya Magufuri ilipokuwa ikilia na kuomboleza wapo walio ona kana kwamba wanafanya mzaha.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele?
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
@@wekezauchumi7440 Magufuri hakufanya hivyo.Angekuwa na Roho mbaya walimtukana katika mitandao na kupanga mipango ya kumwondoa madarakani wangefunguliwa kesu ya uhaini.
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 Год назад
Tena umesahau walikula na kunywa mpaka kunakucha walioga pombe a mungu wewe😭😭😭
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Год назад
@@khadijashabani5509 Mungu Mkubwa. "Kulia kwa zamu"
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Afu zaman nkajuaga membe n ndg yake na kikwete, nkiangalia picha za mawazir kwenye karenda kijjn kwetu wakat npo primary walifanana sana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Unaongea majibu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Unauliza majibu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Inawezekana ni ndugu😂
@annakisiga889
@annakisiga889 Год назад
Bora wenzake walau hata jeneza yeye ataenda na sanda peke yake mungu fund sana na Bado mungu atatujibu maombi yetu
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 Год назад
☝️🤣🤣🤣
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 Год назад
Kwani kufa kwa mtu mmoja ndio iwe shida.....ina maana mlitaka huyo jamaa yenu aishi milele wakati ni binadamu km wengine...maana mmekuwa na nongwa sana...kila mtu atakufa..
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo Год назад
Ķaanza kutangulia kisha itapendeza yeye atafuatia halafu lowasa na watoto wao Mungu akipenda Inshaallah
@theleo3899
@theleo3899 Год назад
Unakosea kusema Ivo ndug usimuombee mtu kifo
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 Год назад
Hata ww na mm hatubaki kengezee ww
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Год назад
😁😁😁
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Год назад
Wezi waongo na mafisadi Mungu sio Athumani. Mungu anawaona. Hakuna ujanja.!!
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
pole sana kikwete umeumia sana maana ni rafiki wako wa karibu mno hadi nilifikiri ni ndugu yako maana mlifanana sana yote ni ya mungu na mungu akutie nguvu apumnzike kwa amani membe amina
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 Год назад
hata mimi nilijua ni wanandugu
@dianedavid5110
@dianedavid5110 Год назад
Na mimi nilijua hivyo membe na kikwete ni ndugu. Kweli hata mimi nimeumia membe nilimpenda sana ni miongoni mwa wanasiasa wasiopenda makuu kama lowasa.😢
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 Год назад
@@dianedavid5110 Hata mimi nimeumia mno. Memba ni Muungwana sana.
@mohamedigilala
@mohamedigilala Год назад
Mdogo wake upande wa Baba
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
🕊️
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Год назад
Tuonane paradiso YESU ni Mungu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
paradise ya wanyang'anyi na wezi inaitwa jehanamu 😂😂😂 usijidanganyeki kwamba hata wezi wanaenda tuu peponi
@merekwangujati158
@merekwangujati158 Год назад
Ni msenge mmoja TU aliongea. Mzee wetu JK na mama hawakusema kabisa
@jeremiahkaliwa741
@jeremiahkaliwa741 Год назад
Msiba huu ni wetu sote wa TANZANIA hakika tumepoteza kiongozi bora mwenyezi MUNGU ailaze roho yake mahala pema peponi +AMINA+
@kilimanjaronaturetours9883
@kilimanjaronaturetours9883 Год назад
Dah! JK umeumia sana..pole Rais Wangu..Rest in Paradise BM...
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny mnacheza ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@steventibenda5
@steventibenda5 Год назад
ulinzi wetu wa kumsonga songa sana kiongozi akigeuka ghafla wanagongana nae mbona wenzetu hata marekani most protected presidents analindwa kwa kupewa space kuna kaumbali fulani sio vuruguru hivi tena kwa mstaafu
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Год назад
Izo mbwembwe za walinzi muda ukifika mkuu anakuchomoa katkati ya hao walinzi, endeleeni kujilisha upepo, muda utaongea2,
@mussalusinde7716
@mussalusinde7716 Год назад
Hakuna kitu mbaya kama kusema wazili hawafi
@esterdaniel1523
@esterdaniel1523 Год назад
Hilo tukio liwaumize woote wanafamilia kama familia ya magufuri ilivyoumia akapumzike kama alivyopumzika BABA yetu mpendwa john jeseph pombe magufuri wakaurizane maswali na majibu tena mungu angejua kila nafsi iionje mauti kabla huu mwaka kuisha tuliumia saana Sasa tunaanza kufarijika asante mungu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@esterdaniel1523 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 Год назад
Membe alizani kua ataishi milele alichekelea kifo cha jpm kfikiria kama atahishi milele
@emanuelmsigwa1927
@emanuelmsigwa1927 Год назад
Wazuri hao hawifi jamani imewaumaaaaa kama tulivyoumia wa tz wazalendo kwa jpm mzalendo wa kweli
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@magiramagesa37
@magiramagesa37 Год назад
Pole
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Год назад
THE NEXT IS COMING
@amosimwambembela4989
@amosimwambembela4989 Год назад
Unapokuwa umezaliwa mambo mengi unabahatisha tu;ni kifo peke yake huhitaji kubahatisha. Whether you either like or not.Mmoja aliwahi sema wazuri hawafi,ni kiburi cha uzima tu.Hata hivyo Safari njema Membe!
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Год назад
Heheheee wazuli hawafi pumzika
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@josephmaduka468
@josephmaduka468 Год назад
Ataamini tu
@juliusbundala2552
@juliusbundala2552 Год назад
Duniani. Mapito !
@raiswakusini4297
@raiswakusini4297 Год назад
R.I.P
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 Год назад
Hii ndio roma anakwambia hii nchi ina wenye nchi walanchi na wananchi hawa sasa ndio wenye nnchi sasa wajifunze kuwa hatuishi milele wawajali na wengine wa hali ya chini siyo kuwasagia kunguni wenye hali ya chini R IP membe
@HamisiIssa-ru8hf
@HamisiIssa-ru8hf Год назад
Buriani membe jamani 😭😭😭😭
@godfreyponciwn7958
@godfreyponciwn7958 Год назад
Kikwete alikuwa nje ya nchi
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
Rip
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Mzuri kafa jamani poleni sana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza kufa……
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
@@wekezauchumi7440 mbona makasiriko au na wewe ni mzuri
@gilbetijovinar8222
@gilbetijovinar8222 Год назад
Bado kikwete
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Год назад
Bado wewe
@alfredmhana235
@alfredmhana235 Год назад
Wazimu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
sio muda mrefu nae huyu atamfuata rafiki yake wakaliwe na minyoo ya ardhini 🤣🤣🤣 wala msiwe hofu vijana Munga angalau katufariji viumbe wake wanyonge duh ! 🤣🤣🤣
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@mbelwajeremiahpaschal390
@mbelwajeremiahpaschal390 Год назад
Nitafanya Sheree,🤣🤣🤣 wanatuuza Kwa wazungu sio watu wazuri
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Watu wazuri hawafi🤔🤔
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Год назад
Kikwete sawa halopoki ovyo
@gloriaatupele9090
@gloriaatupele9090 Год назад
Mwamba kaumia sana aisee hata haamini
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 Год назад
R .I.P Membe
@hamisiloum6829
@hamisiloum6829 Год назад
Rest in peace BM
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Год назад
Safari yetu ni moja nguo yetu ni moja pumzika kwa amani Bm,mbele yako nyuma yetu😢
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Год назад
Lumwe dunia hadaha EE MUNGU NIONDOLEE MAJIVUNO YA DUNIANI NIKUOGIPE WW
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Muombe Mungu akuondolee ufukara ili uweze kutofautisha kati majivuno na umaskini
@beathapontian2187
@beathapontian2187 Год назад
Amina
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Год назад
Enzi hizo Kikwete na Membe du, kweli duniani tunapita
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 Год назад
Miaka ya elfu mbili na tano acha kabisa
@lazarokajole5454
@lazarokajole5454 Год назад
Wazuri hawafi
@salmatanza8133
@salmatanza8133 Год назад
Pole mzee baba Mungu kampenda zaidi rip Bm
@ambwenedaniel358
@ambwenedaniel358 Год назад
😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb Год назад
Safari yetu sote hiyo... ni muda tu
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Wazuriiii jmn tenaaaa heee
@BikoMwafwafwa-rl4el
@BikoMwafwafwa-rl4el Год назад
Pesa za kigen woman
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
💔
@kaswahilianatoli4173
@kaswahilianatoli4173 Год назад
Safali yake imeishia hapo jiandaen mliobaki mnaoila nchi ipo siku na nyinyi itawala
@boniphacelusato
@boniphacelusato Год назад
Usifurahie kifo cha Mtu . Haifai. Anayemjua vizuri Membe ni Mungu tu, kwa hiyo acheni kumhukumu.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Год назад
Kila nafsi ni yenye kufa. Kubwa ni kujiandaa na kule mtu anakokwenda. Na kuridhiwa na M'mungu . Kaburi linatisha sana na ni lzma tuingie. Tuombe mwisho mwema.
@reginamichael-eh8yy
@reginamichael-eh8yy Год назад
Polen sana wanafamilia
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@mwansasu
@mwansasu Год назад
Kaondoka Rafikiako
@EvaWilliam-s1b
@EvaWilliam-s1b Год назад
Pumzika kwaaman baba nassi tuko nyuma yako
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 Год назад
Rip jembe
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Год назад
So haamini kivipi au alijuwa membe hawezi kufa au? Mh hatuelewi hii kichwa Cha habari.
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 Год назад
Mwenda zake na hutu dawa yake inachemka
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Год назад
WAZULI HAWAFI BHANA VIPI NINYI AU SIO HUYO
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Год назад
Rais wangu Bora kabisa ulienisaidia kusoma sitakusahau jakaya kikwete mungu akupe umri mref!!
@mlalikwabiswalo7804
@mlalikwabiswalo7804 Год назад
Huduma za elimu afya na miundo mbinu ni kazi ya serikali ndo maana tunachagua viongozi uli watutekelezee hizo so hiyo ni haki yako ingawa ukuzipata kwa kiwango Bora hiyo ni kazi ya raisi.
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 Год назад
Hongera Yako sisi hatukusaidikwa tumekoomaaa
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Lazima na wewe unavinasaba vya ufisadi. Enzi za huo ubora unaousema, MNYAMA TWIGA NA UKUBWA WAKE ALIPAKIWA KWENYE NDEGE PALE KIA NA KUPELEKWA UARABUNI, TZ ILIKUWA NDIO CENTER YA MADAWA YA KULEVYA, MAFISADI NDO USISEME, MAUAJI YA TEMBO YASIYO NA MIPAKA. UZEMBE SERIKALINI, nakadhalika nakadhalika
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mimiraia2531 acha usenge..Ndio huwa wanabaki mioyoni..lkn je huyo kiongozi wako aliyekuwa anayewatesa wenzie,kuwateka,kuwaibia mali matajir na watu kukimbia nchi ndo wataishi milele? Umeshasikia utawala wa kikwete amemteka mtu?amemuibia mali matajir..nyiny ngoma msiyoijua jamaa wenu alikuwa katiliiiii
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
@@mlalikwabiswalo7804 hata kama ni haki yake serikali je asingeamua kutekeleza na uwezo alikuwa nao ungemfunga?? So kama kafanya tunampongeza sanaa
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 Год назад
R.i.p membe mungu u pamoj nawe
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Год назад
Hvi mzee wa msoga hanaishi Tanzania au nje ya nchi?
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Wakristo wana mambo mengi
@Asamtz360
@Asamtz360 Год назад
Rest In Paradise Mr Membe
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Год назад
Which paradise inayokubali wasiotaka kusamehe?.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
kakwambia nani paradise wanaenda , wezi na wanyang'anyi wewe? hawa watu ipo sehemu ya yao inaitwa jehanamu 🤔🤔🤔
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Mafisadi wauza nchi utajiri haramu wao watauacha hapa hapa duniani
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Год назад
DR.Kikwete kerebisha ulio wa tendens nduguzako Wazanzibari DHUULMA NA MAUAJI YASIRI KWASIRI ,WATANABAHISHE WENZIO NA ALLAH AYAKUPA MWISHO MWEMA NDUGU .
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Год назад
@@zuzadomikano3765 mauwaji sio Zanzibar tuu , huko mikoani bara watu kufukuzwa kutoka kwenye ardhi zao kama wanyama. na hata kuuliwa , hakuna radio wala gazzeti linalo andika hayo matukio , sababu wachache wa juu na wanakula na hao wenye vyombo vya habari. nchi inangozwa watu waovu , wabifsi na wenye tamaa sana ya mali kama wataishi milele hapa duniani
@mzeejesh6112
@mzeejesh6112 Год назад
Bado remove
@msemwasamweli8
@msemwasamweli8 Год назад
Pumzika kwa amani membe wewe nimfano wa kuigwa
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@fransdembe4504
@fransdembe4504 Год назад
Mfano wa konyo👽
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Rest in peace membe
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@jumaally4263
@jumaally4263 Год назад
@@mimiraia2531 uuwiiii
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 Год назад
R I p
@rosemshana1558
@rosemshana1558 Год назад
Inaumma sana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri nao wameanza……Asante mola
@josephvitalis3045
@josephvitalis3045 Год назад
Ila mh Kikwete mbona kareta dharau hvi na kafonya kimtindo....
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Msenge sana weee
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Acha ufalaa
@josephvitalis3045
@josephvitalis3045 Год назад
Weee Kuma nn? unanijua sana au, katafute basha hko
@terrymaster5746
@terrymaster5746 Год назад
vidio za gono
Далее
Bro think he the MC.. 😂👊🔥
00:20
Просмотров 13 млн
MTOTO wa KIKWETE ATINGA MSIBANI kwa MEMBE
1:48
Просмотров 46 тыс.