Тёмный

KIKWETE NA MANDONGA USO KWA USO, AWAVUNJA MBAVU UKUMBINI ATANGAZA NGUMI MPYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 Год назад
Usije wah mdharau mtu yyt dunian Mungu anaweza mfanya akawa mtu wa tofaut sana. Mandonga May almight God keep blessing ur ways
@collinslyimo448
@collinslyimo448 Год назад
Kweli kabsa hakuna aijuae kesho
@mohani7390
@mohani7390 Год назад
Kwely
@ONEdreamfilmtz
@ONEdreamfilmtz Год назад
Ndio maana tunaambiwa tusikate tamaa atakama wanatudhalau vipi lakini inabidi tusonge mbele maana auijui mungu amekuandalia nini mbele yako🙏
@tashone7884
@tashone7884 Год назад
Shukran pekee kwa Azam media bila wao mandonga na wengine wengi wasingejulikana
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
True dat
@santruninichamy4974
@santruninichamy4974 Год назад
Mchungaji wetu Willbrod Mastai nimekuona Baba.. Mungu aubarik uwepo wko mahali hpo Baba🙏
@soccerupdates5
@soccerupdates5 Год назад
Mandonga Yuko vizuri ata kwenye kuongea na na watu wazito, viongozi mbalimbali Anawakilisha vizur Kwa Nidhamu nyingi 🙏
@ramxomtum2babu414
@ramxomtum2babu414 Год назад
Ila Mandonga ni Very Smart Hata interview yake yyte anaongea katulia na anaeleweka unataman uendelee kumsikiliza tu🫡
@mrjaula7769
@mrjaula7769 Год назад
Mandonga Mtu Kazi Mashallah
@muhambwetvonline
@muhambwetvonline Год назад
Hahha haha kikwete anavoiangalia ngumi ya mandonga
@eastafricaqualitychickenfa9916
Usisahau kutowa Salam kwa Dini yako
@eastafricaqualitychickenfa9916
Maana mafanikio madogo tu yashamsahaulisha misingi ya Dini yake anaona akisema Assalamualaikum Ataonekana mshamba Ila maisha tutayaacha hapa hapa haya hakuna alokufa akaondoka namafanikio yake Huu ni ukumbusho
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Год назад
Kumbe inawezekana
@starjay3052
@starjay3052 Год назад
😂😂😂 mandonga nampendea apo tu
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 Год назад
Madonga Kisha Pata connection ya maisha
@alexchungu6263
@alexchungu6263 Год назад
Mandoga sahivi ndio muda wake
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
KUMBE KUONGEA TARATIBU ANAWEZA ILA NI DATA TU HUZIMWA
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Год назад
Maisha yanabadilika Sana Leo madoga na kikwete 😂😂😂😂😂
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Mungu akitaka kukupa hakuletei barua....akiamua tu kuwa inakuwa atakavyo yeye....
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Год назад
Milard wa sasa sio wa zamani, Hadi mwisho lkn sijui hata kinachochangiwa ni nini sasa umuhimu wa hii habari na mchango wako kwenye hilo tukio ni upi? Kwahyo umetuzuia na sisi kuchanga, so Habari zao unazitaka zikusupport kwenye Chanel yako lkn wewe kuwasupport huduma yao hutaki, Sio good mzee
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Focus ilikuwa ni mandonga.ukitaka kuchangia watafute hao waandaaji wa hilo jambo.
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Год назад
Hongereni sanaaa
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Tukio gani hilo
@youngmagezi
@youngmagezi Год назад
Uyo ndo mandonga
@Dynasomusic
@Dynasomusic Год назад
Natsmani siku1 nishike mkono Wa jakaya basi
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w Год назад
Mkono wa msaliti, kaharibu nchi yetu huyu jamaa wa kovyo Sana.
@missangela6720
@missangela6720 Год назад
Ukiushika tu, kuanzia siku hiyo na wewe unakuwa… au basi😂😂😂
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 Год назад
Tanzania ya hafla kila kukicha pigeni ela zetu tu,mnatupokonya tonge mdomon nyie mnacheza na mishahara ya wadundulizaji
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 Год назад
Acha wivu
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Sana kaka
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 Год назад
Relax ukitaka kuishi maisha marefu mind own you business
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
Aman Lenatus Mbona Makasiriko ??
@salummhina4857
@salummhina4857 Год назад
Not professional at all
Далее
SIRI YA KULIPA RENT NI MOJA! | MTUMISHI
8:19
Просмотров 3,6 тыс.
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 283 тыс.
‘Ujana’ wa Kikwete wamshangaza Rais Magufuli
0:55
MANDONGA HAPOI! KAJA NA NDOIGE NGUMI INAYOKUNJA KONA
2:36
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 283 тыс.