Тёмный

KILIMO CHA MBOGA MBOGA AINA YA CHINESE(CHAINIZI).Vijana tujikomboe kwa kulima mboga inalipa 

Shamba Darasa TV
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

KILIMO BORA CHA CHINESE
August 3, 2018 IBRAHIM
KILIMO BORA CHA CHINESE : Spinachi ni moja kati ya mazao ya mbogamboga inayo limwa sana nchini Tanzania na asili yake ni china na ndo maaana huwa tunaiita chinese na badae likasambaa katika nchi mbalimbali ikiwemo na Tanzania.
Mboga hii huwa haina msimu, hivyo mkulima anaweza kulima muda wowote ambao anataka, na hii itategemea upatikanaji wa maji wa maji kwa wingi. Kwani mboga hii huhitaji maji kwa wingi katika hatua za awali.
kilimo cha mchicha
kilimo cha chinese jamii forum
kilimo cha mbogamboga pdf
kilimo cha mbogamboga nyumbani
ukulima wa mboga
tajirika na kilimo cha mchicha
kilimo cha mchicha wa kienyeji
chainizi mboga
HALI YA HEWA INAOYOFAA KWA KILIMO HIKI NI :
Jotolidi : Chinese au Spinachi linastawi na kukua vizuri kwenye maeneo yenye jotolidi 18 °c hadi 27° c.
Unyevunyevu : Chinese ni zao linalo tegemea umwagiliaji kama ambavyo nimekwisha eleza hapo awali hivyo linaitaji maji mengi wakati wa ukuaji.
Udongo : Chinese cabbage linakua vizuri kwenye udongo wa kichanga na wenye unyevunyevu wa kutosha PH; 5.5 hadi 7.6
KILIMO BORA CHA CHINESE
KILIMO BORA CHA CHINESE
NAMNA YA KUANDAA SHAMBA
Udongo unatakiwa utifuliwe vizuri kabla ya kupanda unaweza kutumia jembe la mkono au machaku na chisel na andaa shamba wiki 6 kabla ya kupanda.
UANDAAJI WA KITALU
Kitalu kinatakiwa kiwe na upana wa mita 1 yani sentimita 100 na urefu wa mita 5 yani sentimita 500. Kitalu kitifuliwe vizuri na kiwe na kingo ili kuzuia maji kutoka nje ya kitalu. Kisha panda mbegu kwenye kitalu kwa sm 15 hadi 20 mstari hadi msitari na panda mbegu sm 2 kati ya mbegu na mbegu na fukia sm 1 hadi 2.
KILIMO BORA CHA CHINESE
NAMNA YA KUANDAA SHAMBA
Udongo unatakiwa utifuliwe vizuri kabla ya kupanda unaweza kutumia jembe la mkono au machaku na chisel na andaa shamba wiki 6 kabla ya kupanda.
UANDAAJI WA KITALU
Kitalu kinatakiwa kiwe na upana wa mita 1 yani sentimita 100 na urefu wa mita 5 yani sentimita 500. Kitalu kitifuliwe vizuri na kiwe na kingo ili kuzuia maji kutoka nje ya kitalu. Kisha panda mbegu kwenye kitalu kwa sm 15 hadi 20 mstari hadi msitari na panda mbegu sm 2 kati ya mbegu na mbegu na fukia sm 1 hadi 2
KUPANDA
Kwa kupanda moja kwa moja chimba udongo sm 2 hadi 3 kwa kutumia jembe la mkono na panda nafasi ya 30 mstari hadi mstari na 30 mbegu hadi mbegu na fukia sm1 hadi 2.
Na kwa kupandikiza hamisha miche inapo fikia urefu was sm 5 na chagua miche yenye afya na isiwe na magonjwa.
MBOLEA
Kama unatumia mbolea ya ng’ombe, kuku na nguruwe tumia ndoo katika kila kitalu chenye mita 5 na pia weka mbolea ya kukuzia UREA gram 50 kwa kila kitalu chenye mita 5 pale mmea unapofikia majani matano.
PALIZI
Tumia jembe la mkono kupalilia magugu pale yanapo jitokeza.
MAGONJWA NA WADUDU WAHARIBIFU
Pale utakapohisi majani ya mboga hizi yameanza kubadikika, ikiwa ni ishara ya kushambuliwa na wadudu, tafadhari unashauriwa uweze kutumia kemikali za kuua wadudu kama vile ninja, supercorn, wilcron na perfecron na pia hakikisha kila wakati unakumbuka kuondoa magugu pamoja na mimea yenye wadudu na pia weka shamba safi wakati wote.
Lakini kama utatokea ugonjwa wa Kuoza kwa mizizi unachotakiwa kufanya kuondoa mazao yaliyo athirika na ugonjwa huo.
KUVUNA
Chinese ukomaa baada ya miezi 2 hadi 4 inategemea na aina mbegu uliyopanda, au muda mwingine hutegemea na hali ya hewa pia.
KUMBUKA
Wakati wa kuvuna unang’oa kwa mkono au unaweza kutumia kisu kukata kuanzia chini kabisa ya shina ili kuruhusu majani mengine ya mboga kukomaa.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@reginakimario7963
@reginakimario7963 8 месяцев назад
Safi sana dogo🎉🎉 wengine wanasubir ajira
@RamadhanMsaji
@RamadhanMsaji 2 месяца назад
Jaman nsaidien.chaniz.yangu.inaoza chin
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 3 года назад
Safi sana
@magrethkituma4597
@magrethkituma4597 3 года назад
Wengine wanasubiri ajira , hongera sana kijana. Mungu akupe viwango vingine
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 3 года назад
aksante sana karibu
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV 3 года назад
KARIBU SANA
@madianonlinetv7238
@madianonlinetv7238 3 года назад
Nice nice nice
@kitoially
@kitoially Месяц назад
Namba ya simu
@ZubedaAbdallah-s5p
@ZubedaAbdallah-s5p 5 месяцев назад
Toa no tujifunze kwako
@damymzuri9989
@damymzuri9989 Год назад
Ukungu kipindi cha mvua nyingi inasumbua xn , dawa gani tafadhali inaokoa
@Sammoney100B
@Sammoney100B 2 месяца назад
Ipo dawa ya ukungu inaitwa master kutu unatakiwa utumie hio
@samirakiango957
@samirakiango957 Год назад
Mbegu ya chainise unapanda ngapi jamanii
@shambadarasaTV
@shambadarasaTV Год назад
WEKA KWENYE KITALU
@Sammoney100B
@Sammoney100B 2 месяца назад
Unaweza kupanda 2,au ukaweka kwenye kitalu ukaja kupandikiza kama miche
Далее
#TBC1 CHAKULA DAWA - FAIDA ZA ULAJI WA MBEGU ZA MABOGA
6:20
Kilimo cha tikiti maji.
30:00
Просмотров 35 тыс.