Тёмный
No video :(

KIMENUKA; DUDU BAYA AFICHUA SIRI SHOW YA DIAMOND KUKOSA WATU AFRO NATION ILI UPATE WATU LAZIMA UF... 

Maks Media
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Yupo sahihi kuna mzungu nilimkuta ulaya ana cd ya remmy ongala nilishangaa sana didnt expect it hakika remmy is a legend
@nazirjorgedasilva
@nazirjorgedasilva Месяц назад
Salute kwa Dudu baya 🇲🇿
@mwibelechekahuka7314
@mwibelechekahuka7314 Месяц назад
Ndomana wa bongo hakuna upendo mnashidwa kuhelewa kama hile shwo diamond hajalihanda limehandaliwa kwahiyo apate watu akose watu haijalishi.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
Tatizo ni uongo mwingi tunaojazwaga uku. Mtazame yule mtoto wa South africa Tyler alivyo piga gep kubwa ila mdada wa watu hana makuu
@edwinoduor2421
@edwinoduor2421 Месяц назад
Sasa kusema watu hawakuwepo pia n kosa?
@alsam4881
@alsam4881 Месяц назад
Ni kweli kabisa ayasemayo hayo Dudu baya.👍
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru Месяц назад
Mimi nipo marekani maeneo ya Ohio Cleveland dudu baya yupo sahii 💯%
@kibwananordeen3
@kibwananordeen3 Месяц назад
Uhakika sana
@user-cb2us2nu2m
@user-cb2us2nu2m Месяц назад
CLEVELAND SEHEMU GANI LAKE WOOD AHU LORAIN
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru Месяц назад
@@user-cb2us2nu2m Lakewood
@givenhappy__bu1
@givenhappy__bu1 Месяц назад
Bujumbura burundi 🇧🇮 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Official_Gustave
@Official_Gustave Месяц назад
Nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉🎉
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Месяц назад
Chris br analipwa pesa nyingi akicheza dakika 1.ile ni biashara sio mzuka fungueni macho watanzania
@Kobe_254
@Kobe_254 Месяц назад
Nipo Seattle WASHINGTON na mimi ni mKenya-- huwa sikosi interviews za Dudubaya, ata kama nashughulika na yetu ya Kikenya, bado DUDUBAYA lazima nipitie.. ni ngumu sana kupata haya maarifa kutoka kwa legendaries!!
@chuchetresha
@chuchetresha Месяц назад
Hana uligend wote
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln Месяц назад
Legend👑👑👑
@suntzu8959
@suntzu8959 Месяц назад
Akili kubwa
@dankingmaterial9569
@dankingmaterial9569 Месяц назад
Mamba mamba 2 , you never fail bravo
@LeopordMkinga-gz9gc
@LeopordMkinga-gz9gc Месяц назад
Ameshafel uyo
@drmahwa8166
@drmahwa8166 Месяц назад
Tafuteni njia sahihi (+uisilaam) UKAFIRI unanawatesa
@ThabisoMbhele-oj7zd
@ThabisoMbhele-oj7zd Месяц назад
Loho mbaya dudu baya
@kdloon2030
@kdloon2030 Месяц назад
Mtu akisema ukweli inakua ni roho mbaya,au ndivyo hivyo akili yako hua inang'amua mambo?
@ziggertv3185
@ziggertv3185 Месяц назад
Kasema kweliii
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Месяц назад
"Loho" mbaya ndio nini😊
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny Месяц назад
True that konki
@SikituYusuph-fr7rj
@SikituYusuph-fr7rj Месяц назад
Ww dudu bya ndo maana yalikushida kwann wabong mnakuwa wanafiki sana
@kibwananordeen3
@kibwananordeen3 Месяц назад
Konki master
@AsungaSteven
@AsungaSteven Месяц назад
Kweli watanzania ni miyeyusho sana
@ShakillaSaid
@ShakillaSaid Месяц назад
Jinga sana hili jamaa
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 Месяц назад
True 🙏🙏
@LatifaHashim-rn1ip
@LatifaHashim-rn1ip Месяц назад
Nampendaga
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Месяц назад
Mimi nakupenda latifa
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 Месяц назад
JUZI NILISIKIA SINGLE AGAIN IMEPIGWA REDIONI UK I WAS SO HAPPY BIG UP KONDE BOY
@Secy-y5g
@Secy-y5g Месяц назад
Yuko sana dudu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
MTAONGEA MENGI SANA WATU WANGU ILA LUGHA YA MUZIKI NDO CHANGAMOTO KWA KAKA YENU.....JINA ANALO KUBWA TU AKUNA MTU ATABISHA
@user-xc5or1ph8x
@user-xc5or1ph8x Месяц назад
wanasifia ili wapate ulaji kaka sasa upo wasafi media utamtangaza vibaya kwel boss wao
@ednahumazi777
@ednahumazi777 Месяц назад
Umeishiwa nyamaza
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Месяц назад
Wabongo wengi waliokwenda ulaya wanaishi maisha kujifichaficha
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Siyo wabongo tu,sisi kama wanavyotuita watu weusi Ulaya siyo rahisi sana.Labda mtu awe amesomea kule au ameshasoma toka Africa
@user-fq6xx4ww4c
@user-fq6xx4ww4c Месяц назад
Wenye D mbili hawewezi kumuelewa konk ata mara moja
@LeopordMkinga-gz9gc
@LeopordMkinga-gz9gc Месяц назад
Ila apewe mauwa yake jmn
@karlschrader4026
@karlschrader4026 Месяц назад
Skujua ziwa Victoria lina Mamba😮
@Azkingogkaka
@Azkingogkaka Месяц назад
Ahuna akili wewe baba na wewe ni mjinga sana
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln Месяц назад
Dudubay
@angenyalusischmidt2321
@angenyalusischmidt2321 Месяц назад
ILIKUWA SOUND CHECK.. KAPIGA USIKU.. MIMI NI PROMOTER ..HUU WOTE MNAUSIKIA KUHUSU ULAYA NI UONGO
@kibwananordeen3
@kibwananordeen3 Месяц назад
Tulizana bhn
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 Месяц назад
Akuna watu wanafiki kama tz. Wabongo niwauwaji. Diamond napinwa vipi nakila mtu. Sijuwi kafanyanini. Wivu mkubwa sana sijuwi arikiba Sijuwi rayvany Sijuwi hamo. Basi munawe atakumua. Sijuwi pimbi Sijuwi muhijaku. Sijuwi ostazi juma. Jamani. Musichokia Diamond analinwa namungu sana. Namupa pole sana mama yake. 😢😢😢
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Месяц назад
Mhhh. Lugha gani hii yaarabi😢
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r Месяц назад
Mama @Maneja Ding'ano aka kudinywa
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Yupo sahihi dudubaya
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y Месяц назад
sehem za nje kibao akienda kufanya show hapata watu maana yake mziki wake mdogo sana kwa nchi za nje 😅😅😅😅😅
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu Месяц назад
Haya Waandishi mabumunda mmesikia?😅😅😅😅😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Ila kiukweli wanaijeria linapokuja kwenye nchi yao wana umoja balaaa
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 Месяц назад
Kuna ukweli anachosema Kaka Mkubwa Dudu Baya sababu nipo Germany na anachosema ni ukweli
@BenardLucumay
@BenardLucumay Месяц назад
Japo wengi hawapendi ukweli na wasema kweli! Dudubaya yuko sahihi sana tena sana! Sisi tuliyosafiri na kufanya kazi ndani na nje ya nchi kwa muda mrefu tunajua mengi ! Ukienda Marekani ni kweli Tanzania haijulikani kwa ujuma kivile kama tunavyojibaraguza au kujitutumia ! Wanaigeria wanafahamika sehemu nyingi duniani , ni wengi kwa idadi na wamesoma sana ! Huku kwetu watu wengi hawafuatilii mambo ya msingi , hawajisomei ,hawatafuti ukweli wa mambo yaani wanasubiri kudanganywa danganywa tu kama kwenye chaguzi zetu za kisiasa! Niliwahi kusafiri kupitia uwanja wa ndege wa Heathrow Uingereza mara kadhaa nikasikia nyimbo za Remmy na Marijani zikipigwa kwenye " Duty free shops"! Yaani Dudubaya upewe maua yako na PhD ya heshima kwenye muziki na uchambuzi wa mambo kwa usahihi kabisa! Gen- Z! Wa bongo wanawaza mambo madogo madogo tu !
@SikituYusuph-fr7rj
@SikituYusuph-fr7rj Месяц назад
Dudu mby ndo maana yalikushida muache simba afanye mambo yake ww tafuta ya kusema
@kdloon2030
@kdloon2030 Месяц назад
Anasema ukweli,sisi tupo nnje tunayaona hayo
@michaelkojesa7741
@michaelkojesa7741 Месяц назад
Nipo Nigeria 🇳🇬 lakini anachosema mwamba konki yupo sahihi na hata huku Nigeria Ngoma za Tz hamna znakopigwa😂
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 Месяц назад
Mamba mzee wa fact😂😂😂
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Месяц назад
Me niliwambia diamond nimxani wa kawaida xema TU media ndo zinampa kichwa lakin ukwel ndo huo
@Mwamba-hc1jy
@Mwamba-hc1jy Месяц назад
Msanii mkubwa ww
@humbleshoal
@humbleshoal Месяц назад
​@@Mwamba-hc1jy Hana ukubwa huo
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
@@Mwamba-hc1jy Ndio ila east africa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Kumbe dudubaya anetembea🤔
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Kumbe ndo mambo ylivyo😧🤔
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r Месяц назад
ahaaaaaaaaaaa eti najulikana Africa mashariki Nan anakujua bwabwa ww
@faridapatel7584
@faridapatel7584 Месяц назад
Wewe maisha yako mwenyewe yamekushinda ,mimi naishi uholanzi wazungu wanafunzi mayunivesti wanmsikiliza Diamond.
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Месяц назад
Na ndo maana wasianze kwennda uko mana hakuna anaye wajuwa
@leonardmwayeya13
@leonardmwayeya13 Месяц назад
Kiukweri watanzania kazikubwa nikupondana nakukatishana tamaa dudu baya nikweri nimbaya watanzania uraya niwachache wenzetu wanaija niwengi nirazima kue nautifauti mond usiwazikiraze wario tanguria kutawaza nipo wakajisaidia nirazima watatoka nakinyesi hawo
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru Месяц назад
Upo sahii brother Tanzania 🇹🇿 ina promote mziki wa diamond 💎 komasava Wakati ni nyimbo mbovu 😂wimbo unapewa promo kubwa Wakati ni sururi
@suntzu8959
@suntzu8959 Месяц назад
They are 4million Ethiopians in USA
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
Mtangazaji kutokuzingatiya tofauti kati ya herufi L na R inapoteza ladha ya matamshi mazuri inapoteya
@venancengunda3879
@venancengunda3879 Месяц назад
😅😅😅😅😅😅😅 asee bongoo mavii sanas🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Dudu 😂
@HijaJuma-ip7xj
@HijaJuma-ip7xj Месяц назад
Dudu baya anaongea ukweli mm nipo south Africa sijawahi kuona TV wala radio za huku zikiuzungumzia mziki wa Tanzania
@Secy-y5g
@Secy-y5g Месяц назад
Anacho ongea dudu Yuko sawa sana huyu jamaa anaujua mzk
@SadickHamis-vm1qi
@SadickHamis-vm1qi Месяц назад
Sio mziki ni vitu vingi tuu
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE Месяц назад
😂😂Msema kweli DUDU BAYA,. Ureno nani anajua Swahili tukitoa waafrica wanaoishi mle? Nao unakuta hawana nafasi ya kwenda hapo kutokana na ubize
@djalasaleh
@djalasaleh Месяц назад
@zote_news sikiliza iyo....
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y Месяц назад
😅😅😅😅ongea kua iyo show ya mwambino kapiga Bure kama alikua Hana furaha sababu anajua kua iyo show sio yake ni Wanaijeria wasafi wenyewe walikua wanapost anavyoimba mwambino kuzungusha camera ukumbi wote hamna watu Kala zakichwa kwamba maana yake zile show alikua anafanya zamani zilikua za uwongo ana edit kumbe sasa uwo ndo ukweli kua bado msani mdogo kwa nje msani mkubwa kwa Tanzania sio mda alie pangiwa mda wa show hata kama angefanya show mwenyewe pekeake asingepata watu hapo nahao wengine wamekuja sababu ya kuona show ya wasani wa naijeria
@nashnene6326
@nashnene6326 Месяц назад
Siku Diamond akifa ndio mtakapojua kuwa tunu ya taifa imeondoka
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Месяц назад
Yan kwer mti wenye matunda lazm upigwe mawe😢​@@nashnene6326
@kdloon2030
@kdloon2030 Месяц назад
Yeye ni nani mshamba tuu,tunu ya taifa kwa wewe mwenye kichwa kibovu.Mtoto mdogo​@@nashnene6326
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln Месяц назад
Dudubay
@richkaja3317
@richkaja3317 Месяц назад
Dudu acha ushamba njoo usafini
@Secy-y5g
@Secy-y5g Месяц назад
Yuko sana dudu
Далее
Муж на час 😂
00:37
Просмотров 715 тыс.