Тёмный

KIMENUKA; DUDU BAYA AFICHUA MACHAFU YA P, DIDY UTAJIRI WAKE SHETANI AMEMKIMBIA LAZIMA TU ATA...... 

Maks Media
Подписаться 135 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

23 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 Месяц назад
Dudu baya huwa napenda Sana ufahamu wake mzuri kuhusu maisha
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 Месяц назад
Unajuwa ukishapotea jaribu kukubaliana na hali
@kennethjunior6071
@kennethjunior6071 Месяц назад
Dudu baya nahitaji namba yangu
@lameckmathias1188
@lameckmathias1188 Месяц назад
Konki! Nakuelewa vzr, unaelimisha kadri uwezavyo.
@molexevelist813
@molexevelist813 Месяц назад
Hujawai kuwa mnafki kaka uko wazi ubarikiwe sanaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@Pacificano2000
@Pacificano2000 Месяц назад
Upendo,Amani na Furaha ina tosha ,
@yusuphabel5530
@yusuphabel5530 Месяц назад
Nakukubali Konki unamadini sana.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
Ila pamoja na yote huyu kaka ana uelewa sn ht wa mambo ya kiroho
@mchaujl
@mchaujl Месяц назад
Dudubaya ana akili sana huyu jamaa...uelewa mpana sana wa mambo ya mziki,kitaifa na kimataifa
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
Huyu jamaa Anaelimu ya vizazi vijavyo❤
@twaahbrown1042
@twaahbrown1042 Месяц назад
Dudu baya kumbe ndio maana hapendwi ni smart sana ukiwa na akiri nyingi unapigwa vita sana big up sana
@issakobakimanga7738
@issakobakimanga7738 Месяц назад
Dudu baya kwa kweli ni mkweli sana
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Месяц назад
Dude had a point
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 Месяц назад
Amani Upendo na furaha 👉🏾
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 Месяц назад
Kaka serikali yetu ingekuwa na uelewa ungepewa uongoz maana una mawazo mazuri,utu na upendo.
@kajaymopao1672
@kajaymopao1672 Месяц назад
dudu baya konky master big up
@vicentyherman6219
@vicentyherman6219 Месяц назад
Huyu jamaa anaongea fact
@Tito-dc6vy
@Tito-dc6vy Месяц назад
Safi sana kaka dudubaya kwa ma neno yako nayapende sana broo
@mugendigeorge7704
@mugendigeorge7704 Месяц назад
Safi Sana konki
@RespiciousRwetabula
@RespiciousRwetabula Месяц назад
Nakukubari sn bro, nakufatilia sn una madini mengi sn
@bromanfexxaofficial935
@bromanfexxaofficial935 Месяц назад
Very brilliant 😂😂😂😂
@JULIUSOLUOCH-xf8ki
@JULIUSOLUOCH-xf8ki Месяц назад
Great man of God
@bobmakes7068
@bobmakes7068 Месяц назад
Mtu yeyote mkweli brother huwa hapendwi,angalia hata ndg yangu makonda anavyopingwa vita na watu wliyomo hata ktk chama chetu.
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 Месяц назад
Huyu jamaa 😅 😅
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn Месяц назад
Mungu akubariki mchungaji
@user-vm5bv3od7p
@user-vm5bv3od7p 15 дней назад
Nakukubali dudu baya
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
Bana wile nakukubali sana
@rukiangilla3113
@rukiangilla3113 Месяц назад
Dudu baya Yuko vizur 🎉🎉🎉 ana ufahamu Sana
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas Месяц назад
Mungu azidi kukulenda namaaduwi japo tunakupenda Sana Ila wapo mawakala washetani wakupinga Ila pamoja nakukuchukia nakukupinga Ila wataendelea kushindwa kwajina la yesu Kristy wanazaleti Alie hai amina
@user-nb9bf6rt3r
@user-nb9bf6rt3r Месяц назад
Good messages bro konki
@Direct-0000
@Direct-0000 Месяц назад
yapo ya nyuma ya pazi watu hawajayajua kuhusu uyo
@detectivejeffrey6401
@detectivejeffrey6401 25 дней назад
Huyu jamaa Mungu amtunze
@MexiTanix
@MexiTanix Месяц назад
Jay Z hajaacha hizo mambo, Jigga ni chicha mwiba kama Diddy, na alikuwa anaenda kwenye hayo maparty na mkewe, Sijui kama huko bongo mnajua kuwa Beyonce ni teja, na Jigga ndio anayemletea madawa.
@ivanyydaniel2487
@ivanyydaniel2487 Месяц назад
halafu jigga scandal kama hizo alishajipanga kitambo ndo maana ananunua sana wanasheria wakubwa kulinda utu wake ndo maana jamaa ni bonge la shetani
@bobdutchbobdutch8443
@bobdutchbobdutch8443 Месяц назад
Good speech msemakweli uchaguliwa kuwa diwani
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv Месяц назад
Thanks ❤❤
@richardsimbeye9207
@richardsimbeye9207 Месяц назад
Hahahaha duuu shikamo kaka ingawa ukwel unauma ila songwe napapenda
@hamadmhchande5633
@hamadmhchande5633 29 дней назад
Dudu baya ungejitahidi huo ufahamu ujikwamue kwa hali ulonayo lakini kumuongelea pdidy ni kama mbingu na ardhi hivo pambania hali yako kifedha kwanza tujue uwezo wako kimtazamo
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nikweli bro
@user-ll5lx9hi7e
@user-ll5lx9hi7e Месяц назад
Mugu akubariki
@EmmanuelMaganga-be7bl
@EmmanuelMaganga-be7bl Месяц назад
Unyamaaa sana mwamba
@allybobsaith
@allybobsaith Месяц назад
mbona wewe hukuenda 😂😂😂😂 kwa p didy
@vernongoodvibes99
@vernongoodvibes99 Месяц назад
Msenge hyo dudubaya na hii media pia
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Месяц назад
Kaka mkubwa mbona mijasho minhimingi siuvue hilo prova
@dsgroup6093
@dsgroup6093 Месяц назад
Naipataje
@issakobakimanga7738
@issakobakimanga7738 Месяц назад
Download
@user-dr6bm7eu5u
@user-dr6bm7eu5u Месяц назад
Dudu baya anamzungumzia p didi kama anakaanae mtaa mmoja ubungo livasaid
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😂
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja 12 дней назад
😂sema jamaa linafacts sanaa💪💪🤜
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Месяц назад
Baba wile nakukubali sana
@kichuchu-saloon
@kichuchu-saloon Месяц назад
Kwanza Kuna kitu watu hawajui . Diddy ni FED pia ni CIA so mtaongea sana ila atofungwa
@afropatriot7769
@afropatriot7769 Месяц назад
Hata CIA wanaangaliaga reaction ya public ,wakiona ni kubwa kuna mawili au wakumalize wao au ushtakiwe ili serikali i win public , kina epistein walikua na nguvu sana mzee
@hilarylaurian7896
@hilarylaurian7896 Месяц назад
Eti Didy ni CIA sijui FED😂😂😂😂😂
@dsgroup6093
@dsgroup6093 Месяц назад
Nina shida na namba ya hyu mwamba dudu baya
@user-xc5or1ph8x
@user-xc5or1ph8x Месяц назад
hahahaaaa et shetan kamkimbia uwiii tumtegemee munguu tyu bc
@AllyYusufsadam
@AllyYusufsadam Месяц назад
Kaka oomba yasikukute kbx sindio
@emmanuelrambo8864
@emmanuelrambo8864 Месяц назад
Akili.kubwa sana hiii
@Tiffanuhran
@Tiffanuhran Месяц назад
Nampenda sana puff
@user-ut3gf1tg2n
@user-ut3gf1tg2n Месяц назад
jembe umejaa vitu vizuri sichok kukusikiliza
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
kweli kabisa
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Месяц назад
Dudubaya ❤❤❤❤
@MessiBaba-xf2sb
@MessiBaba-xf2sb Месяц назад
Dudu baya n mtu wa maana sana. Sijui kwa nn Diamond alimwacha huyu mtu.hawa watu ndo wanatakiwa kuwa karibu na dangote.sio akina naniii hii
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Месяц назад
Angalia anachoongea ni hatari kwa Diamond. Diamond anauhusino na Satan halafu Dudubaya kama unavoona anaponda hivi unafikiri atamwacha?
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Месяц назад
Huyo Dangote mwenyew wahuni wanakwambia huenda P Didy alijisevia
@IdrisaMpumbe
@IdrisaMpumbe Месяц назад
Uko makini sana mjomba dudu
@RichardRobert-gh6zt
@RichardRobert-gh6zt Месяц назад
Saw
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Месяц назад
Diamond kaliwa tayari
@madahaboytz
@madahaboytz Месяц назад
Kaka njoo tuimbe Gospel unaonekana umeokoka, MUNGU katutoa huko.
@user-yd4et4sd9b
@user-yd4et4sd9b Месяц назад
Huyu master yuko vizuri sana, sema usiogope wajinga wachache wanaoshadadia ushoga
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Acha kufuru mziki ni haramu
@geofreymongi5403
@geofreymongi5403 Месяц назад
Kwako ndio haramu
@bakariomary5781
@bakariomary5781 Месяц назад
Chochote ni haramu kulingana na utakavyokiendea wapo mashekhe na wachungaji mbona hudhurumu watu kwa kigezo cha dini hiyo sio Haramu????
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Месяц назад
Long live Konki
@monicakimati4619
@monicakimati4619 Месяц назад
Matayo 10:26-27
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Месяц назад
😮😢ila jmn
@user-ku1rg7mr3i
@user-ku1rg7mr3i Месяц назад
Dudu baya na afande sele wako makini sana
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Месяц назад
Ushaidi??
@raggysingo4983
@raggysingo4983 Месяц назад
Yanaitwa Limousine sio tour bus😂😂😂
@RabihuHussein
@RabihuHussein Месяц назад
ww ndo huyafahamu. Limousine ni magari yale ya milango sita.
@amirkhamis8250
@amirkhamis8250 Месяц назад
Yanitwa tour bus Dudubaya yupo sawa. We ndio utakuwa hujui. Limousine ni kitu kingine kabisa.
@emanuelndembeka6959
@emanuelndembeka6959 Месяц назад
Limousine ni gari ya milango sita
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 Месяц назад
DIAMOND NA YEYE SI ALIJIPELEKA KWENYE JUMBA LA PDIDDY EMBU NYIE WAANDISHI MUULIZENI DIAMOND KAMA NA YEYE ALIGUSWA NA PUFF DADDY ! MEEK MILLS ALIGUSWA CHA KUNYEA
@user-ue5cn9cw1h
@user-ue5cn9cw1h Месяц назад
mbee
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 Месяц назад
Konk mastaa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Месяц назад
Funguka mamba
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i Месяц назад
Huyu nae chizi kumbe, P DIDDY kapewa nguvu na wazungu, na kwa taarifa yako P DIDDY haendi jela wazungu wanamlinda waliomchoma weusi wenzie na mkewe baada y kumnyima pesa alizomuaidi! Acha uongo
@MackameHassani
@MackameHassani Месяц назад
Elewa nn anachikiongea kwanza huyu jamaa kaka, kwani wazungu hawapo ktk list ya wanaoabudu shetani?
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p Месяц назад
Www kenge kuwa na adabu mm naushi Amarican Soo kweli unachokisema
@user-sg6nc1is3j
@user-sg6nc1is3j Месяц назад
Shetani anapenda kumgeuza mtoto wa kiume awe Maji ya tamu
@MexiTanix
@MexiTanix Месяц назад
Sasa kwa taarifa yako, blacks wamekuwa wakimsema Diddy miaka nenda rudi lakini nothing happened, Ila Diddy alipojaribu kuwatunishia msuli wale jamaa wanaomiliki Ciroc drinks 🍷 ambao ni wazungu, hapo ndio pila likamgeukia yeye.
@mbarakajummadindamadinda491
@mbarakajummadindamadinda491 Месяц назад
Anafugwa yule wewe mda wake umeisha we ndo haujui kitu Sasa wazungu hao hao ndo wanammaliza
@piusdeo9380
@piusdeo9380 Месяц назад
Nakubali baba maelezo yako nayaeeewaga kinoma
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu Месяц назад
Dudu baya😅😅😅😅ila Sasa badilisha jina kuwa Dudu zuri😅😅😅
@onuleonard6160
@onuleonard6160 Месяц назад
Nchi hii hatar mtu anamsemea mpaka asiyemjua
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 Месяц назад
Kweli mambo ya US mbongo anajifanya anajuwa 😂
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Месяц назад
Dunia sasa hivi ipo kwenye kiganja cha mkono. Wewe wa wapi?
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 28 дней назад
Wewe ndo hujui namna ya kuwafuatilia na kuwajua, tambua kuwa Dudu baya unsmdharau kwa hivyo alivyo kwa sasa lkn elewa kuwa Alikuwa staa mkubwa africa mashariki so kujua habari za mastaa wenzake ni rahisi
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 Месяц назад
Dudu baya umeishiwa.hivyo vitabu vyawapi mungu anataka mziki wadunia.mungu anataka mziki wakumsifu yy na sio mziki hunaosema ww konki x3.oll chafu😂😂
@user-zz5uj6gs4m
@user-zz5uj6gs4m Месяц назад
Weyee ndo hjafaham
@user-ib1kp5ch4m
@user-ib1kp5ch4m Месяц назад
Muulize dudu,Wile yupo wapi?
@billjames1216
@billjames1216 Месяц назад
Huyu anasema nini Kwani amekuwa akiishi chini ya mawe???
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Dudubaya akili nyingi sana
@paulojohn5504
@paulojohn5504 Месяц назад
Ubalikiwe mtumishi wa mungu sana
@JandaalHaqeem
@JandaalHaqeem Месяц назад
Dudu baya kuimba hujui
@moshimaganga6683
@moshimaganga6683 Месяц назад
Acha upuuzi
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Месяц назад
wacha mipasho majungu umeyatupa wakati wenu kulikuwa hakuna pesa kilicho baki choyo wivu unaomba watu waharibikiwe ulichokusudia ni wasanii wa Tanzania wewe ni mchawi ropokwa huna jambo wenzako wanakula bata mjinga wewe
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 Месяц назад
Ukiwa choko lazima umpinge dudu
@Allyhujjat
@Allyhujjat Месяц назад
Pumbavu unajua nn wewe ebu kakojoe ukalale mjinga mkubwa huyu ipo siku mtajua kwanini namwita mjinga ajui kitu
@prof.abusakelsaleh3524
@prof.abusakelsaleh3524 Месяц назад
Wewe unayejua hongera ila bora ujinga unaosaidia kuliko akili isio na msaada
Далее
This or That 🛍️
0:52
Просмотров 9 млн