Тёмный
No video :(

KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA 

Crown Media
Подписаться 126 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 665   
@HassaniBakari-qj7ft
@HassaniBakari-qj7ft Месяц назад
KAMA UNAAMINI HANCY YUPO RIGHT NIPENI LIKE ZANGU 100😂
@joachimligwa5424
@joachimligwa5424 Месяц назад
Hayuko sawa
@noelkaniki4334
@noelkaniki4334 Месяц назад
hayuko sawa 100% you can play na double pivot with 4-3-3 jemedari anaiweka simple kabisa pivote inayo angalia chini like a triangle hans anacheka cheka tuuuu,' kuna siku aliingiza chaka watu na inverted full back ana mix na overlaps ma host nao wamekaa kindezi hawaelewiii
@user-xg9ix9ex9h
@user-xg9ix9ex9h Месяц назад
​@@noelkaniki4334huelewi wewe hansi rafaeli yuko sawa
@joachimligwa5424
@joachimligwa5424 Месяц назад
@@noelkaniki4334 nikiona hawa ndio wachambuzi hua nasema mimi sijapata nafasi tu Very poor na mbaya zaidi hajui kuhusu tactics na anajiweka anajua
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Месяц назад
Nancy ni pundit
@josephsanga1709
@josephsanga1709 Месяц назад
Hansi ❤️❤️ fundi sana
@allyngoda761
@allyngoda761 Месяц назад
Sababu wewe ni yanga
@saidkasonta3174
@saidkasonta3174 Месяц назад
Vijana wa sasa wanaelewa mambo kwa haraka, na uwezo wao wakupambanua mambo ni mkubwa tofauti na wazee wa zamani!!
@Kajokashemmela-uu5vh
@Kajokashemmela-uu5vh Месяц назад
Hans mtupu kabisa Real mad wakati del bisqat walicheza kama anavyosema jemadal Salgado calros heaven w Samuel guty bekam Zidane Raul Di rima Figo kiungo mkabaji ni nani
@Kajokashemmela-uu5vh
@Kajokashemmela-uu5vh Месяц назад
Mkiwa na mpira hamna chep na ndiyo maana mabeki wana panda mbona Hans hajasema yao kaongezeka kwenye kushambulia?
@EkkyMedia
@EkkyMedia Месяц назад
Hans Rafael ni mbishi na jinsi alivyo vizuri kwenye kuji express ila tactically hayuko vizuri. kusema kweli point zake za mifumo zinakasoro nyingi. kwanza number 6,8 ni defined na role za mchezaji na wala si directly na position. mbili kuna aina tofauti za 433 kuna yenye 6 wawili na 8 mmoja, kuna yenye 8 wawili na 6 mmoja, kununa yenye 6,8,10. na ma kocha wengi wana epuka kutumia hizi majina ya formation kwenye huu mpira wakisasa. point nyingine formation ina elezea position ya wachezaji wakiwa hawana mpira na zone wanazotakiwa ku cover especially wakati wa kukaba. in transition shape inaweza kuonekana lakini wakocha wanawapa uhuru wachezaji kuji position namna ambayo italeta zaidi faida kwa team kutegemea game situation. kuna mengi yakusema, nikipata feedback nzuri nitatengeneza video ya kiswahili juu ya formation na roles za wachezaji
@gonesterasto2610
@gonesterasto2610 Месяц назад
Umesomeka vyema sana
@EvaristJosiah
@EvaristJosiah Месяц назад
Mimi ninachoona uyu jemedari na hansi wapangiwe mda tofauti akiwepo mmoja mmoja asiwepo
@user-ee8xb1tl5n
@user-ee8xb1tl5n Месяц назад
😂😂😂😂😂 nimecheka san
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
Hapana ,ni vizuri wawepo wawili ili jemadari awe exposed live
@hassanmickdady1687
@hassanmickdady1687 Месяц назад
Kabisa maana hapo mmoja kwanza anaamini kwa simba na mwingine yanga
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 Месяц назад
Messages nyingi zakupongeza hans husomi. Tunaziona wapenzi wa CROWN
@kibwanasenza6904
@kibwanasenza6904 Месяц назад
Hans nakuona kwa sasa wewe ni bora kuliko wachambuzi wote uchwara
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Месяц назад
Tumewapata wataalam wanaoujuwa mpira! Crown is the best❤❤❤
@FelinucMalilwa
@FelinucMalilwa Месяц назад
Jemedariiii tupoo na wewe mpka ufukuzwe uko Jk Tanzania 😂😂😂
@doricehungu5817
@doricehungu5817 Месяц назад
😂😂😂 kaaah mmemfata mnashinikiza afukuzwa nacheka sana
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@imamhussein1104
@imamhussein1104 Месяц назад
Weee jamaa Fala sana 😂😂
@salimumwenguvu2248
@salimumwenguvu2248 Месяц назад
😂DAAAH KMMKE
@protasnyoni3801
@protasnyoni3801 Месяц назад
Chinga ni Shabiki wa Mpira Sio Mchambuzi. Hans yupo Vizuri Chinga Hawezi Kukubali Kwa Sababu ya Sifa yake ya kuwa Shabiki na Sio Mchambuzi.
@manjolehamisi8167
@manjolehamisi8167 Месяц назад
Kumbuka Chinga kacheza Mpira tena kwenye kiwango kikubwa so anajua anachoongea
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Месяц назад
​@@manjolehamisi8167kacheza lkn ni bonge la mchambuzi mpuuzi na mwenye roho mbaya
@manjolehamisi8167
@manjolehamisi8167 Месяц назад
@@sadathboutique6253 hapo point ni Uchambuzi hayo ya Roho mbaya siyajui broo
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Месяц назад
@@manjolehamisi8167 sasa uwa anachambua nini zaidi ya kujua uwa ni shabiki wa tim gani?anaponda tim inayofanya vizuri anasifia inayoboronga,ki ufupi unamsifia coze na wewe ni shabiki wa iyo tim anayosifia
@BongoCryptos
@BongoCryptos Месяц назад
​@@manjolehamisi8167 Kiwango kikubwa alisaidia timu yake kuchukua kombe gani?
@chatnami
@chatnami Месяц назад
Jemedari amecheza, amefundisha na ni practical oriented. Hans ni mtu wa nadharia. Kwa waliocheza mpira wanaelewa. Tunahitaji akina Jemedary wengi sana.
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha Месяц назад
kaka unajua boli maana hapo anachoshindwa kuelewa Hans ni kuwa anaongea na kocha wa mpira ambae kaucheza mpira pia
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 Месяц назад
Jemedari kakaaa Tanga wiki mbili kwenye mafunzo ya ukocha lakini anazidiwa kwa mbali Sana na Hans Raphael ambae ni mzuri sana kwenye kuelekeza.
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham Месяц назад
Nakuelewa Hans asante,
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 Месяц назад
Kwa bahati mbaya mtaalam Ambangile hawezi kuwa fasi moja na mjinga kama Jemedar Najuwa angekuwa sambamba na Hans
@omaryrazalo4302
@omaryrazalo4302 Месяц назад
Crown Media hapa ni nyumbaniiiiii
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 Месяц назад
Huyu babu bora angebaki efm, huku crown huyu hans atamtoa nishai😂
@khamiskhamis6809
@khamiskhamis6809 Месяц назад
Uku amekuja kuumbuka
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI Месяц назад
Astaafu tu jamani 😂😂😂
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 Месяц назад
Uchambuzi wa hans nimeuelewa sana
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 Месяц назад
Tatzo jemedati mbishi balaa huyo mzee
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
@@ananiamwatebela3159 ao hawampend uyo dogo ... Kila atakachofaya wanatengenez mazingira ionekane anapotosha 🤣🤣🤣
@albertisrael5879
@albertisrael5879 Месяц назад
Kwa nn hyo isiwe 4 1 2 3
@allyngoda761
@allyngoda761 Месяц назад
Kwakua ni yanga mwenzako
@amina-we6vo
@amina-we6vo Месяц назад
Hans achambui Ila anatumia mfumo jinsi Yanga inavyocheza
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Месяц назад
Uchambuzi wa Hans nauelewa sana, maana uchambuzi wake wamaana kabisa
@noelkaniki4334
@noelkaniki4334 Месяц назад
ana google sana na ku krem kama huelewii uwezi juaa na wwe unachotwa tu
@SudiFredrickStar
@SudiFredrickStar Месяц назад
Hansi anasema ukweli hio ni 4231,hio ingine ni 433 diamond shape...
@mlugekarol2688
@mlugekarol2688 Месяц назад
Hicho ni kitu kimoja. Hawana tofauti. Mid wakiwa watatu hawakai kama visikki. Hao watatu wanabadilika kutokana na kkushambuliia au kujilinda
@mlugekarol2688
@mlugekarol2688 Месяц назад
Hans anaiongellea Yanga na si mfumo. Hapo ni 433 ndiyo 4231.
@georgeedwardmwakyembe6969
@georgeedwardmwakyembe6969 Месяц назад
Kuna 433 ambayo ni offensive ambayo ina attacking midfielder na two central midfielders
@WaltorTarimo
@WaltorTarimo Месяц назад
​@@mlugekarol2688point
@allyfuad
@allyfuad Месяц назад
Hans yuko sawa sana
@abubakarjuma443
@abubakarjuma443 Месяц назад
Hawa watu wote wanaenda kariakoo lkn njia gani anapita kufika kariakoo utajua mwenyewe
@raymondedson2488
@raymondedson2488 Месяц назад
Babacar alikua anatumika kama cdm lakini kiuhalisia babacar ni box to box
@gidionsheiza
@gidionsheiza Месяц назад
Hancy yuko vizuri. Nimemuelewa zaidi "mchambuzi" kuliko "mwalimu". Nadhani "mwalimu" akaongeze ujuzi zaidi mahali
@FrankSylvester-eo7zf
@FrankSylvester-eo7zf Месяц назад
Hans bado mchanga sana kwenye formation
@LucasDando-ru8lg
@LucasDando-ru8lg Месяц назад
Moja ya tatizo ni kushindana kwenye kipindi Yani ni vyema kila mtu atoe maoni yake watu wasikilize sio kushindana ila wamenikumnusha mbali nimewahi kufanya kipindi na mtu wa aina Yao kila kitu anatanga kupinga maoni ya mwingine uchambuzi ni kutoa maoni tu sio kushindana
@user-rs1me3tp2m
@user-rs1me3tp2m Месяц назад
Ili mmoja atuongopee
@user-eq5gd7oq4y
@user-eq5gd7oq4y Месяц назад
Uchambuzi waa jemedali mi sijekuelewa, mi nimeiona jemedali anakusanya kusanya kete, Kama mtu aliyefungwa supa drafti
@gospelman3720
@gospelman3720 Месяц назад
Kuna 433 Attacking na 433 defending. Jemedari yuko sahihi.
@OmyJr-hw2nk
@OmyJr-hw2nk Месяц назад
Wote wako right sema jemedali ni bright afu hans ni average so lazima hans atumie nguvu kubwa
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 Месяц назад
Chuki tuache kwa jemedari, yuko sahihi, ila simaanishi hans ni mbaya
@fortunatusyuli4421
@fortunatusyuli4421 Месяц назад
Hans amekariri,Jemedari anaelewa kile anaongea ndo maana maswali yake hayajibiki kirahisi.
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 Месяц назад
Hans anajua lakini alipoulizwa "tunauonaje mfumo kwenye tukio la Kona" aliyumba kidogo Formation Zina structure zinabadilika kwenye Kila tukio Sio lazima ubadili formation
@jonijoo23
@jonijoo23 Месяц назад
Huyu jemedari ni usajili mbovu sana hapa crown,much know halafu hajui vingi+uzamani mwingi
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Месяц назад
Jemedari is the best
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Месяц назад
Mpira hauchezwi unavyoongwwa ubaoni
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Месяц назад
Double Pivot ipoje?
@keystonetv7357
@keystonetv7357 27 дней назад
huyo hansi ndo jau jau wengi wetu hatujui hzo formation
@jonijoo23
@jonijoo23 27 дней назад
@@keystonetv7357 hans ni jau ila sio kwa aliyoyaeleza hapa,huyo jemedari ndomaana kila mwaka anafeli mitihani TFF,much know halafu kichwani ni empty box..mfumo wa timu unakua applied during offensive tu wakat wa kuzuia wanakua na shape nyingine kabsa sasa yeye anasema 4-3-3 inaonekana wakat wa kuzuia🚮 ko yanga wanavozuia maxi anavyorud mpka kwa kibabage au yao ni 4-3-3 gani iyo?
@SalumuKorofi-hl9os
@SalumuKorofi-hl9os Месяц назад
Crown wamechemka kwahuyu mzee jemedari usajir mbovu sana.
@keystonetv7357
@keystonetv7357 27 дней назад
hata hakosei kaka yupo sahihi sana sema hans nu mbishani
@stuartikonko1941
@stuartikonko1941 Месяц назад
Hans anachokosea ni kuweka hizo number modern football hakuna mambo ya namba 6 Wala namba 8 mpira cku izi hauna mambo ya namba cjui 10
@anniebenoh9837
@anniebenoh9837 Месяц назад
Perfect HANS RAFAEL🎉🎉🎉🎉 Jamaa anajua sana. Hata ambae hajui kabisa mpira akimsiliza Hans anaelewa 100%
@erickpaschal1639
@erickpaschal1639 Месяц назад
Hans kwenye 4-3-3 hapo upande viungo mimi nimeungana na Jemadari kwenye io 3 ya kati triangle inaweza kuelekea juu na inaweza kuelekea chini inategemea na nini kocha anahitaji kwenye game husika.
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 Месяц назад
Tatizo mmakonde mjanja ataki kukubali kushindwa kisa kocha
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
😂😂😂 we unajua ukweli ulivyooo
@petermwacha9909
@petermwacha9909 Месяц назад
Lakini kitaalamu anaonekana anajua kabisa kwa anavyojieleza
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
@@petermwacha9909 ana tengeneza mazingira. Ili Uone hivyo ...
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q Месяц назад
Radio crown ina vyombo vipya safi sauti ipo sawa kabisa
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q Месяц назад
Crown Tv
@AdrianAdrea-by8pn
@AdrianAdrea-by8pn Месяц назад
Jemedar ulizoea kuwadanganta walee umekamatika
@user-gh8bi5lc4n
@user-gh8bi5lc4n Месяц назад
Kwel kabisa
@hajirama4270
@hajirama4270 Месяц назад
wote hamna kitu hao cjui wanasoma nn asa 4:3:3 zipo za aina mbili deffensive na attakking, defensive unacheza na two defensive mildfild one attaking na attaking unacheza na one deffensive mildfild na two defensive mildfild .
@keystonetv7357
@keystonetv7357 27 дней назад
upo sahihi sana hansi mbishani sana ananiuz kumshusha jemedar
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 Месяц назад
Hance Yuko sahihi
@hodaneymujib6621
@hodaneymujib6621 Месяц назад
Mbona mnatuchanganya kama hamna uhakika muende darasani kwnz
@gabrielmponji4598
@gabrielmponji4598 Месяц назад
Hansi yuko vizuri sana kwenye uchambuzi , huyo Jemedali hapana kwa kweli sijui anachambua nini.
@Officalshakespeare
@Officalshakespeare Месяц назад
hansii uko vzurii sana💯
@Fahadlikote-tq5gh
@Fahadlikote-tq5gh Месяц назад
Hapo wameshindwa kuelewana tu ila Kwa upande mmoja jemedari yupo sahihi na hans yupo sahihi 4-3-3 inaweza kuwa na viungo wawili wakabaji na mmoja mshambuliaji au viungo wawili washambuliaji na kiungo mmoja mkabaji tofaut ya 4-3-3 na 4-2-3-1 ni kwenye side players kwenye 4-3-3 kuna wingers(LW na RW) while kwenye 4-2-3-1 kuna either Center attacking midfielders wote au kuna kuwa na left midfielder na right midfielder with a CAM kwenye Ile 3
@user-lx7lb7sn8k
@user-lx7lb7sn8k Месяц назад
Yaap ❤
@EnockSalapion
@EnockSalapion Месяц назад
Jemedari kuna point namuelewa kwa sababu sasa hivi pamoja na mifumo unakuta wachezaji wanachukua majukumu tofauti tofauti uwanjani, especially watu wa katikati na wing backs. Mfano, unaweza kuta namba sita anapanda sana lkn akipanda kuna mtu anamreplace, au ukikuta Barça au Spain inacheza kati unaweza usijue mfumo wao kiwepesi kwa sababu ya rotations zao kwa ajili ya kutafuta space. Lkn pia kwenye kushambulia nikichukua mfano wa shabalala; Jamaa wakati mwingine amekuwa akiingia ndani kama namba kumi then chini anabaki kiungo wa kumsaidia kuziba pengo langu au namba kumi na moja apande zaidi aongeze namba na kutanua uwanja zaidi au arudi nyuma kidogo kureplace shabalala. Mimi naamini wakati team haina mpira ndio vyepesi kuzungumzia mfumo. Wakati mwingine huwezi zungumzia mfumo au shape wakati wa counter attack, ni tu namba ya watu itakayoweza kukimbia mbele kwa ufanisi wa kufunga its a win out of the shape. Nafikiri modern football kwa sasa ni zaidi ya hizo shape, ndio maana sasa hivi makocha wengi sasa hivi wanapenda wachezaji ambao ni dynamic na sio static.
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 Месяц назад
Upo sawa
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 Месяц назад
Mimi sijaona point hapo unacho paswa kujua ni kua mfumo hubadilika lazima uwe na mifumo Mili ili kuweza kubalance mechi mifumo wa kwanza ni pale unapo kuwa na mpira upande wako lkn pia ukiwa unashambuliwa lazima ubadili mifumo ili ukusaidie kupunguza au kuzui mashambuli hapo ndio utaona hata wacheza mara nyinnafasi zao hubadili lkn watakapo bahatika kurudisha mpira upande wao wanaendelea na mfumo wao wa kwanza na kila mtu anarudi kwenye nafasi yake
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq Месяц назад
Yaan mmemleta huyu nyau kazi mnayo hapo yaan anataman abaki peke yake studio kila kitu anajua yey😂😂😂😂😂
@erickganira6324
@erickganira6324 Месяц назад
433...wakabaji wanne viungo wawtatu apo kiungo mmoja wakubaki wawili washambuliaji japo na majukumu tofouti mmoja creator mwengine box to box aidha kuzuia counter ama kujenga counter ...mbele winger wawili na striker mmoja ....cha msingi triangle huangalia chini ama juu kulingana na matukiu
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Месяц назад
Hans yuko right ---- Hicho anachokisema JEMEDARI,kupora mpira na kukimbia nao na kufunga,hiyo ni moment tu,lakini timu lazima iwe na mfumo inapojenga shamnulizi,na kisha lazima iwe na mfumo,inapokuwa imepoteza mpira kwa ajili ya kujilinda -- " Huyo Jemedari akipewa timu,ataishusha daraja "
@jamesmassimo9326
@jamesmassimo9326 Месяц назад
Sidhani km Jemedari ni mchambuzi… anaongea km shabiki tu. Mimi km mtazamaji au shabiki sipati nachokihitaji kwake. Bro ajitahidi kuboresha huduma yake👏
@mahamudmbukuchu5946
@mahamudmbukuchu5946 Месяц назад
Ni kweli mkuu
@jassontv5366
@jassontv5366 Месяц назад
Kazumari hata lugha ya mpira in professional hana hata yaa kama anafanya fasihi simulizi
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Месяц назад
Ma mdogo kutoka planet fm umekuja crown hongera sana
@elishacharlesjr3611
@elishacharlesjr3611 Месяц назад
Sema wangemchukua na Salum mapande bna
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Месяц назад
@@elishacharlesjr3611 hayuko pale sijui yuko wap
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha Месяц назад
mfumo mara zote unaonekana wakati wakuzuia muda ule mnaweka mistari ya ulinzi ndo maana nawaambia Hans anachambua mpira ila Jemedari anafundisha mpira ndo maana hamumuelewi Jemedari
@petersamwelm7279
@petersamwelm7279 Месяц назад
Yaani hapo Tatizo ni Moja…. DOGO KAMEZA FORMATION KAMA ZILIVYO NA KAKUTANA NA KAKA KISHOKA AMBAYE ANAAMINI ANAISHI YEYE NI ROLE MODEL WA SOCCER NCHINI
@WaltorTarimo
@WaltorTarimo Месяц назад
Bahati mby sana alieongea point ndo anaonekana kaongea utumbo me coach na npo uk naendlea na masomo namawazo yangu kwenye jambo lenu. Modern football imebdlisha idea ya mfumo na namna tmu znavyocheza kila kocha ana idea ya namna anayotak wachezaj wachez kweny mfumo flan tuangalie how city play taften game ambzo rodri ajacheza utaelew how they play kweny 433. Nachopinga nikusema 2mid lazm wawe juu na ndo ni attacking izo ni idea za mda now days 433 mid wanafany rotation ya nafas inaamaana sio lazm 2mid wakiwa chni mfumo ndo umebdlika haipo ivo 433 inawez kuwa na triangle za viungo kwa namna zozote
@WazirJunior72-qm3vx
@WazirJunior72-qm3vx Месяц назад
Jemedari yupo sahihi sana na Hansi anahitaji sana elimu ya coaching hili ajue anachokizungumza 4_3_3 unaweza kucheza na viungo wawil chin na pia unaweza kucheza kiungo mmoja chin na hii inategemea na aproaching ya mwalimu kweny mchezo husika ila kwa nlichokiona kwa hans anahitaji san elimu ya coaching mchambuzi kama yeye anashindwaje kuelewa mifumo midogo kma iyo?? Mpira wa sasaiv hakuna nmba sita mmoja ila kuna kiungo mmoja chin na viungo wawil juu au viungo wawil chin na kiungo mmoja juu iyo yote unaipata kweny mfumo wa 4_3_3 Jemedari yupo sahihi sana achozungumza ila hansi analeta san ujuwaji badala ya elimu kuhus kuonekana kwa mfumo, mfumo unaonekana tim ikiwa haina mpira kama Jemedari anavosema tim ikiw haina mpira inarud kwenye shep yake ya kuzuia kma ni 4_3_3 basi unayona iyo shape na kma tofaut na iyo pia utayona iyo shape husika tim ikiwa na mpira apo inahitaj kushambulia kwa haraka kumbuka apa hakuhitaj shape coz tunashambulia kwa haraka zaid pind tu tumeupata mpira Shukran san Jemedar upo sahih bro na haya mambo nlifundishwa wakat nachez accadem ya Azam u17 & u20
@user-mc7du2pe4d
@user-mc7du2pe4d Месяц назад
Mkichukulia Simba na uyanga hamtomuelewa jemedari said sawa tufanye yupo Simba lakini hua anabalance tofauti nahuyo hansi yeye nikusifia tu yanga biala kujali Aya haya hana jemedali yupo sahihi
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Jemedari unazidiwa na watoto wadogo live hadi unatia aibu....kubali kujifunza ili timu utakayoifundisha ifanye vizuri kama kweli umeshaweza kufauru mitihani maana una rekodi ya kufeli mitihani mara kwa mara
@RoseKipimo
@RoseKipimo Месяц назад
😂😂😂😂
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Месяц назад
Siyo kweli Jemedari yuko sahihi Hans anachanganya vitu viwili tofauti. Mfumo huonekana wakati timuhaina mpira
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Siyo kweli labda kama unaongelea wakati mechi haijaanza ambapo pia huwa wanaonesha teams na formations zao lakini mpira ukishaanza kwanza ukiwa sio mzoefu ama huna abc za mpira unaweza usitambue formation ya timu iwe wakati wana mpira au hawana mpira lakini kwa wataalamu au watu wenye abc za mpira wana uwezo wa kujua formation ya timu husika kwa kuangalia namna wachezaji wanavyojipanga mara kwa mara kuucheza mpira yaani kumiliki au kushambulia au wanavyojipanga kuutafuta mpira yaani kukaba. Muda mwingi wa mchezo utaona shape ya timu inakuwa vilevile kulingana na formation na huweza kubadirika kulingana na ama matukio uwanjani ama maelekezo ya kocha. Sasa ukiulizwa ni nini kinachozuia formation ya timu isionekane wakati timu inamiliki mpira utajibu nini??? Mpira hauchezwi gizani hata kama ni usiku. Hakuna uchawi hapo labda kama hujui mpira. @@JumbeOjaso
@Igauf3
@Igauf3 Месяц назад
Fellas bring the blackboard on the show.
@edwardpeter5163
@edwardpeter5163 Месяц назад
Yaaani nilichoona hapo kuna Kuonyeshana u mwamba kati ya JEMEDARI na HANS 😂😂😂 na kuna shida hapa kabisaaa mmoja apndoke
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 Месяц назад
Kazi kweli kweli
@shithyomar3828
@shithyomar3828 Месяц назад
Jemedari hawezi kukubali kwasababu anamuona hans dogo na yeye ni father lakini soka haiendi hivo yeye akubali soka na mifumo hbadilika kutokana mechi husika finish big up hans unaonesha ulomavu siyo chinga akimaliza hans anaanza kwa kucheka hii ni dharahu badilika
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Eti mfumo unaoneka timu ikiwa haina mpira😅😅😅. Yaani ukiwa kocha utashusha timu daraja.Mfumo wa timu unaonekana wakati timu inaposses na inapokuwa imepoteza mpira full stop.
@user-gp1rj2hp2u
@user-gp1rj2hp2u Месяц назад
Anachoongea jemedari kimpira yupo sahihi sana
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Месяц назад
Huyu dogo yuko vizuri sana, ila ni lazima akubali kukua, hata kama una uhakika point yako iko sawa, ni lazima ukubali kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama maoni yao ni tofauti na yakwako, toa nafasi ya maoni ya watu wengine kusikilizwa, na pia ajifunze kukubali kuto kukubaliana, thats how it works. Halafu mwisho wa siku siyo kwamba hizi timu zina endeshwaga na maoni ya hawa wachambuzi wa kwenye media, timu zinaendeshwa na falsafa zao kiufundi walizo jiwekea, pia na tamaduni na desturi zao za nje ya uwanja.
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
Uchambuzi wa Hans umenyooka zaidi ya huyu mshabiki wa kolo fc🎉🎉🎉
@ndelechetv3362
@ndelechetv3362 Месяц назад
jemedari yuko sahihi kuna attacking , holding kwenye 4-3-3 lazma itofautiane namna ya matumizi
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 Месяц назад
kiukweli jemedali ajui mpira labda akaifundieshe makolo
@Malepotinhompalala
@Malepotinhompalala Месяц назад
Hancy Yuko vizuri kwenye mmuchaambuzi
@muhammadseif5009
@muhammadseif5009 Месяц назад
Dogo uko vizuri na unaeleweka vizuri sana
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Месяц назад
Ukimtoa ambangile anayefuatia ni Hans lafael mwombek 🔥🔥
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Hans yupo sahihi, ila Jemedari anajifanya kujua kumbe ni mbwembwe tu
@chatnami
@chatnami Месяц назад
The 4-2-3-1 is a commonly used formation with a back four, five midfielders, and a center forward. The advantage of this formation lies in its flexibility: it can easily be changed into a 4-4-2 or a 4-3-3. In addition, defensive stability and offensive firepower are balanced well.
@IdrisaKwepu
@IdrisaKwepu Месяц назад
Hans anasem ukweli kabisa ni fundi sana uyu jamaa
@allyngoda761
@allyngoda761 Месяц назад
Nimeangalia Comments kuna usimba na uyanga Simba kwa jemedari Yanga kwa Hans kwahiyo mjadala Always hauwezi kufika mwisho
@GazahBoy
@GazahBoy Месяц назад
Crown walichokosea ni kumleta jemedar
@ayubhumakuya8466
@ayubhumakuya8466 Месяц назад
Huyu jemedal hajui mpira
@jescamariki8498
@jescamariki8498 Месяц назад
Ni fire crown media
@deodatuskalekona5911
@deodatuskalekona5911 Месяц назад
Yanga wamecheza na Aucho na Bangala Azizi mbele Yao wote Bangala na Aucho walifanya majukum sawa Kwa wakat tofaut
@user-zw9oj6ej9v
@user-zw9oj6ej9v Месяц назад
Hapana Aucho alifanya majukum ya kiungo kama box to box na bangala alikuwa mzuiaji hakuwa anasogea juu.
@georgeedwardmwakyembe6969
@georgeedwardmwakyembe6969 Месяц назад
433 inategemea unataka icheze vipi ipo triangle ya unayoangalia juu na inayoangalia chini lakini 433 mama ni ina kiungo mkabaji na Central midfielders wawili inategemea unataka mfumo ucheze vipi. Hata 433 ina box to box
@nizobeatz90
@nizobeatz90 Месяц назад
Mbna akiongea jemidari amuoneshi ubAO ILA JEMEDARI NMEMUELEWA
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Месяц назад
Hii ndio maaana makocha wengi wa Tanzania akiwemo jemedari huwa wanafeli na hawataki kujifunza Kwa kujifungia ndani ya box. Hatutakujakupata makocha wa kufundisha nje kama wanakariri bila kujiongeza kuelewa na kuwa wabunifu.
@mrbasit4718
@mrbasit4718 Месяц назад
Hans kuwa makini unaenda kupotea mana ulionao watataka kuzuwia uwezo wa upeo wako. Kuwa makini fanya maamuzi mapema sana
@husseinmbunji8847
@husseinmbunji8847 Месяц назад
Kabisa
@frankkikambako9281
@frankkikambako9281 Месяц назад
Kabisa si watu sahihi kwake awe makini sana
@sezarymasansa
@sezarymasansa Месяц назад
shida ya huyu jmd ni kujiona anajua sana na ufadha ,hans yuko light sana huyo mchizi amekuja kuhalibu kipind kbsaa
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Месяц назад
Jemedari anaongelea majukum kitu ambacho ni sahihi kbsaa viuongo wanasifa tofauti kabisa
@BoniphaceCosta-kd2yw
@BoniphaceCosta-kd2yw Месяц назад
Pamoja
@keystonetv7357
@keystonetv7357 27 дней назад
jemedar yupo sahihi 4231 ipo na 433 holding 433 false 433 attacking
@cardoalbert1366
@cardoalbert1366 Месяц назад
Hans ndio kanyoosha ww jemedari hadi mimi nakushinda uchambuzi 4.3.3 ni kiungo mkabaji mmoja na viungo wa shambuliaji wawili acha ukenge 😂
@JophreyMbilinyi
@JophreyMbilinyi Месяц назад
Noma sana naona wasaf ime hamia humu unyama sana
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Месяц назад
Hans anaeleweka Jemedar n janja janja ana akti anajua sana huku mitihan anaferi ovyo ovyo kwaiy n muongo muongo😅
@mwanangusana
@mwanangusana Месяц назад
😂😂😂😂 kwaiyo alipata 0 %
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 Месяц назад
Huyu jemedari kalazimishwa leo kuchambua mpira na sio timu alipo kuwepo kule alikua anachambua timu ... Hakubali kushindwa huyo ....😅
@user-qh3lb6lp2w
@user-qh3lb6lp2w Месяц назад
Hans yupo sahihi sana sana, uyo mzee akapumzike muongo muongo anapotosha wasikilizaji tu
@maulidnjokamtaly5184
@maulidnjokamtaly5184 Месяц назад
Jemedal hamna anacho jua Zaid ya ushabik ndo unampa shida bwege uyooo
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Месяц назад
Simba nguvu moja
@AlainShogonya
@AlainShogonya Месяц назад
Wawekewe touch screens kwa meza hawa, ndo wahanze kupanga hizo formation zao 😂
@user-hs3pm1ne2h
@user-hs3pm1ne2h Месяц назад
Jemedari hamnaa kituu unachujuwaa unatakaa kudanganayaa watuuu
@MethodKilowa-r2i
@MethodKilowa-r2i Месяц назад
Naitwa METHOD, Kwa kweli hans ni mchambuzi wa mpira unajua sana kaka, huyo jemedar hajui mpira, kazi ya uchambuzi hajui labda akafundishe ndondo huko, mpira ni mfumo na upo kwenye vitabu, timu zinazuia kwa mifumo na zinashambulia kwa mifumo.
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 Месяц назад
Jemedari ni much know
@mgallason...5686
@mgallason...5686 Месяц назад
Jemedari akimaliza hiyo Leseni A Nataka nije kumuona akifundisha nchi za watu la sivyo atabaki kuwa ni kiburi na hataki kujifunza. Mi namuelewa zaidi hans kuliko jemedali naona anapigwa upper Cut za kutosha.
@mahamudmbukuchu5946
@mahamudmbukuchu5946 Месяц назад
Hansi wewe unajua mpira Unaeleza fact hasa za mpira, lakini huyo mwingine sijui Jemedari hamna kitu kabisa hapo Anataka kuaminisha watazamaji kitu ambacho akili yake yeye tu anahisi na si uhalisia wa mpira Hongera sana Hansi Rafael
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 Месяц назад
Wrown ni nyumbani na E.fm ni redio ya kupata burudani zote ila huko mwingine ni machawa tyu
@adelamtenjele9391
@adelamtenjele9391 Месяц назад
Hance ukiongeza ujuzi utakuwa bonge la kocha big up
Далее