Тёмный
No video :(

KIMENUKA MOSE IYOBO AMUONYA AUNTY EZEKIEL SITAKI ANIONGELEE UJINGA / ANAMUHARIBU MTOTO 

Manara TV
Подписаться 268 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

DANCER WA DIAMOND MOSE IYOBO AMEMUONYA MZAZI MWENZIE AUNTY EZEKIEL BAADA YA AUNT KUSEMA MOSE HAMTUNZI MTOTO WAO KAZI YAKE NI KUMFUNDISHA KUCHEZA TU TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
#moseiyobo #mashalove #diamomdplatnumz #hajimanara #manaratv

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@mrokay1time958
@mrokay1time958 2 месяца назад
Mose umetuliaaa kaka tunakukubaliii mzagamuee vizurii huyooo mashaa apunguzee mwili
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 месяца назад
Alafu moze iyobo mbona kama.kazaa na Anty kwa bahati mbaya
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 месяца назад
@McBarakaevents ni kweli kabisa
@user-dc6wk4kx7z
@user-dc6wk4kx7z 2 месяца назад
Bahat mbaya gan wakati wameishi kwenye mapenz muda mrefu kama unaona bahati mbaya bax kazae nae ww
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u 2 месяца назад
@@user-dc6wk4kx7z mm nilikua sijui kua kama naww ni shoga mwenzie
@rizikikasongo4388
@rizikikasongo4388 2 месяца назад
Chri Brown anacheza ata dance za Tengetenge
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 месяца назад
Was kawaida ila wabongo bana😂😂
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 2 месяца назад
Hao mnaowazania ndio sio hao wenye sauti nzito wengi ndio machoko balaa
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 месяца назад
Sema huyu anaelekea upande wa pili savuni hii comment...hapa Kwa huyu mwanamke chiz Wana act tu ila huyu amehama team ni WA upinde huyu mtaona soon
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 месяца назад
Yaan mose bhna maringo ya nin sasa😂😂😂😂😂😂😂wanawake tiangaliage na wanaume wa kuzaa nao bhna
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 2 месяца назад
Et jamani 😂😂😂
@evaristjames9845
@evaristjames9845 2 месяца назад
Huyu jamaa mbona Kama hayupo kiume kabisa...dah
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 месяца назад
Sauti tuanzie hapo
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 2 месяца назад
Mose fala bem como homem 😂😂😂😂
@Gades106
@Gades106 2 месяца назад
Mose anaring’a zaidi ya mwanamke😂😂kulaleki
@allywilson4155
@allywilson4155 2 месяца назад
Hakuna kitu hapo
@josephifanda5626
@josephifanda5626 2 месяца назад
Aaaaaaa mbona jamaaa analegeza sauti,
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 2 месяца назад
Ndio uingie nae chumbani ukajue sababu😊
@ashaali7154
@ashaali7154 2 месяца назад
Wanamedia wengine kweli hawana akili yaani munakosa kazi kuwapa hawa wapuuzi time ya bure watu wasiokuwa na chochote cha kuisaidia jamii zaidi ya ujinga tu. Ama kweli dunia simama wengine washuke.
@sudisoloma9293
@sudisoloma9293 2 месяца назад
Mwezetu sio riziki maskini iyobo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Mose Kaza sauti ukiwa unaongea...wewe mose unaringa sana
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 2 месяца назад
Fulaha au furaha😂
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 месяца назад
Hahahahahhahah usimlaumu baraa hakuna kiswahili fasaha
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 2 месяца назад
@@KassimAlly-xp4dz hahaha hatareeee
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 2 месяца назад
​@@KassimAlly-xp4dzNa nyie mnajidai sana kwa kuswahili gani mlichokua nacho unguja yote zaidi ya mjini Magharibi tu. Wengi ni kunkuja, kunkwenda, spitali, shindano, nke, njomba nk. Lakini wala hatuwajaji. Hembu tupisheni huko na shobo zenu. Hovyooo!
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 2 месяца назад
Laha😂
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 месяца назад
👏👏👏​@@salmahalfani6307
Далее
🎙ПОЮ ВЖИВУЮ!
3:17:56
Просмотров 1,5 млн
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 3,8 млн
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 328 тыс.
🎙ПОЮ ВЖИВУЮ!
3:17:56
Просмотров 1,5 млн