Тёмный

KIMEUMANA..! JEMEDARI, GEOFF WAMSHUSHIA PUMZI YA MOTO ATEBA/ SIMBA HAWAJA BAHATISHA 

Crown Media
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 16 часов назад
Yaani hii Crown big up jamani ,Wasafi wakasome ,hawajamaa hawachambui mpira kimapenzi .Endeleeni hivyo hivyo.Kule Wasafi Kitenge na baba Levo wanaiharibu .Big up sana,sana Crown.
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 15 часов назад
Ww hans moyoni unaumia sana Simba kushinda ww ni yanga tunakujua naikiwezekana ujitangaze hadharani ww yanga
@GodsonGidioni
@GodsonGidioni 15 часов назад
Hansi sio penati osumani imechambua sio penat
@frankmaria6717
@frankmaria6717 14 часов назад
Hans alisema Simba hawashindi na hawaendi makundi kwamba yao imefika mwisho baada ya sare ya libya​@@daudmpemba5086
@shukuboythespecial9168
@shukuboythespecial9168 14 часов назад
unaweza pongeza bila kutaja brand nyingine, maoni mazuri lakin.
@AgnessTarimo-jq5ct
@AgnessTarimo-jq5ct 9 часов назад
0ñ​@@daudmpemba5086
@IbrahMoyo
@IbrahMoyo 11 часов назад
Radio ya watu lazime iwe km crown FM 🔥🔥
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 5 часов назад
Nyir kanga za kwenu Mutali Ateba Mukwala wanawahusu nini? Kuna hata mia mmechangia katika usajili. Nyie piga makofi wakifanya vizuri wakifanya vibaya watarudi darasani acheni upuuzi wenu Chambueni ligi ya kombe la Mbuzi siyo Ligi za CAF hata mpira hamuujui Nyie ongeeni ya Diamond Pt na Akina Mobeto na Azizi K
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 13 часов назад
Wasafi kazi yawo kubwaa niumbea tu nakufuatilia familiaa zawatu namambo yasowahusuu ila crown clauzi wako poa sana wanajuwaa mpaka wanajuwaa tenaa🙌❤❤❤❤❤
@kamanda7703
@kamanda7703 15 часов назад
Hans itabidi ufanye maamuzi unataka furaha au mafanikio. Ukitaka furaha endelea kuchambua ki ushabik kama unataka kufika mbali na mafinikio acha mapenzi kazini.
@denisngaiza6079
@denisngaiza6079 4 часа назад
😂😂😂
@ANICIALUMALA
@ANICIALUMALA 15 часов назад
Hans umechambua Vizuri Sana Ila ulipofikia hatua ya kusema kwamba TRIPOLI walinyimwa Penati hapo umeleta Uyanga
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 15 часов назад
Jamaa anaboa sana hajui tuu😂....anachuki na simba mchz
@BadMaradona
@BadMaradona 14 часов назад
Jamani kwann uyanga kwa usingida amna acheni kukalili
@husseinamiri7096
@husseinamiri7096 9 часов назад
Kuwa yanga ni zambi kwani
@SangaliPower
@SangaliPower 9 часов назад
​@@husseinamiri7096Dhambi tena dhambi isiyo samehewa Mungu alipoumba binadam watu walikuwa Simba 😂😂 binadam walivyoanza kuvuta bangi, kunywa pombe, na ugumu wa maisha wakajikuta washangilia matimu ya ajabu ajabu 😂😂😂
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 9 часов назад
@@husseinamiri7096 kuwa yanga cyo zambi kaka, ila ni dhambi kubwa mnoo 😂
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 6 часов назад
Hans huna point kijanaa poleee sanaa njaa zako tu kaka mchambuzi This is Simba bradhaaaaaa 🎉😂😂😂😂
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 15 часов назад
Crown mko vizuri sana, mnajua jinsi ya kuchambua soka
@josephfrank4446
@josephfrank4446 10 часов назад
Jemedar nakukubari sana kaka uko powa sana🎉🎉🎉
@erickprotace9463
@erickprotace9463 16 часов назад
Mnanifurahisha uchambuzi wenu, mnachambua vizuri kweli. Lakin Kuna Hans humo anachambua kwa hisia za mapenz ya YANGA ndo maana akichambua Jambo Leo kesho linambana kulieleza. Hii ni kuchambua kwa hisia kukwepa ukweli
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 15 часов назад
Kama Jemedar anavyochambua na Gef ki u Simba zaidi ukimwangalia Hans basi aanza kumkosoa Jemedar na Gef.
@SangaliPower
@SangaliPower 9 часов назад
Hans ana unazi wa ajabu sana
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Час назад
Hans ni mke wa Ally Kamwe ni lazima ashabikie yanga
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 8 часов назад
vdeo on trending hongera crown fm
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 15 часов назад
Ktk wachambuzi wasenge kuwahi kutokea tangu Dunia iumbwe ni huyu Matako Hans hajui mpira anachambua kwa mahaba na mitazamo yake na sio uhalisia na mbaya zaid akitabir na matokea yakija tofaut analazimisha iwekama alivyotaka ni aibusana
@anoldmbarama985
@anoldmbarama985 17 часов назад
Kuna uchambuzi na kuzungumzia mpira hanz ni mchambuzi na jemendar ni legend wa mpira wa Tanzania mchambuzi ni mshehereshaji kulingana. Na mtazamo wake ila unapozingumzia mpira unazungumzia fact za mpira uchambuz wa hansi huwa na mihemko sana na kutaka kuaminisha wengi kulingana na mtazamo wake
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 15 часов назад
Jemedar pia anazungumzia kishabiki pia ila Hans unamuona anazungumza kishabiki Kwa kuwa hayupo upande wako
@mussahamad404
@mussahamad404 15 часов назад
​@@selemanmcharazounajuwa km jemedari ni ynga
@fredylucas2484
@fredylucas2484 15 часов назад
​@@mussahamad404Hata Haji Manara ni Simba ujue
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 15 часов назад
Yanga razima waumie mama siliipiku simba vrabu bora arfka sasa kichaka kiko pale pale
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 17 часов назад
Huyo mkai ni yanga ndiyo maana maada zake hazina kichwa wala miguu
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 9 часов назад
Nomaa
@DeusRichard-e9w
@DeusRichard-e9w 16 часов назад
Hans yy alitaka simba ifungwe ili aonekane anajua kuchambua kuliko but not in reality
@IsaacParuz
@IsaacParuz 13 часов назад
Hans we ni mchambuzi mzuri ila balance ushabiki. Wengi wanaoku point sio kwamba hawajui ubora wako kwenye kuchambua. Unajua ila balance ushabiki jifunze kwa wakina mbwaduke
@mathiasbode3237
@mathiasbode3237 9 часов назад
Wasafi wachambuzi wao wote yanga ndio maana huwa wanaharibu kabisa
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 16 часов назад
Jemedali upo sawa lakn mwambien ansi tutakuja kumfanya kitu kibya kuma huyo anaendekeza njaa kuliko kaz kuma huyo
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo 16 часов назад
Kwani jemedali alihamah
@SangaliPower
@SangaliPower 9 часов назад
Zamani nilikuwa nikiona picha yupo Hans lazima nifungue 😂😂😂 ila sasaivi sijui amepatwa na nini tu 😅😅 nikiona tu sifungui ng'o 😂😂 yaani hadi crown ikifika zam yake napeleka mbele 😅😅😅
@lourykibudu
@lourykibudu 7 часов назад
Komenti ni nzuri sana za mashabiki so msipotee njia
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 16 часов назад
Leo Fadru anajua kuliko Hans?
@mirajichima969
@mirajichima969 16 часов назад
Hans ana Matatizo yaani anaumia Simba kushinda 😅😅
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 15 часов назад
Kwer Kisha wanaumia sananasana😂😂
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 16 часов назад
Hii ndio radio raha sana
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 16 часов назад
Ateba ni baada ya emanuel okwi siku zote tulikuwa tunabahatisha
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 14 часов назад
Niggah anachotofautiana na baba levo yeye ni anajificha kujifanya mchambuzi, ila huyu hans ni yanga dhahili hamna mchambuzi hapo aweke waz tumuhesabie km mshehereshaji wa kipindi
@Timoclement
@Timoclement 12 часов назад
Crown naomba frequency zenu Arusha
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 15 часов назад
Hansi anaonekana kabisa kaumia simba kushinda jitangaze hadharani ww ni yanga tuache kabisa
@dottombilinyi5979
@dottombilinyi5979 8 часов назад
hapa ni nyumban🎉🎉🎉🎉
@EdwardKyabon
@EdwardKyabon 13 часов назад
Hapa kuna mnafiki hans anasimamo na kisema alisema tunatolewa leo
@saidkilima6485
@saidkilima6485 13 часов назад
Hawa ndio wachambuzi sio walio kuwa wasafi wao KAZI Yao umbea tu kuiponda simba
@piusdp7328
@piusdp7328 5 часов назад
Ih iko good
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w 9 часов назад
huwa naumia Mchambuzi akiisema vibaya simba kama wewe hansi
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 14 часов назад
Wewe Godfrey Wacha Matusi Matusi Sio Spots Wewe Muhuni Si Mwana Spot Hujui Moira Umevamia Tu Wewe Mshabiki Mbio Ukiona Simba Inakimbia Naww Unakimbia Wacha Ushamba
@michaelsokko1090
@michaelsokko1090 16 часов назад
Mukwala na ateba wacheze pamoja mutale akae benchi
@kitururuelisa830
@kitururuelisa830 13 часов назад
🤝🤛Bro, unajua sana
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 16 часов назад
Wote Hawa wanafiki wanaonekana wa mana sababu simba kashinda lakin kama mnyama angefungwa ndio ungeona upuuzi wanausema
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 13 часов назад
Alicheza mpira halafu hata jana Tripoli walipaswa wapige kadi nyekundu , Debora alichezewa vibaya mbona hiyo huisemei
@dennismgwanchele1072
@dennismgwanchele1072 10 часов назад
Hapo kwenye Penalt unayumba sana, acha ushabiki.
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 16 часов назад
Mukwala kibu na ateba ndiyo suluhisho la simba kwa sasa
@ChijaLugola-xe5tn
@ChijaLugola-xe5tn 14 часов назад
Hansi unajitetea kwa jemedari alikuwa wazi??
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 16 часов назад
Wewe hansi hujui mpira unatupigia kelele
@NemesMasawe
@NemesMasawe 7 часов назад
Ilaa atebaaa wamotooo sanaaa
@AhmedJeizan
@AhmedJeizan 46 минут назад
Huyo nae anaongea upuzi tu Yanga hawakwenda CAF confederation group Stage 2018!akaifunga MC Alger 2-0 Dar es salaam. Utaifananisha Yanga ya Bakuli na Simba yenye Mo Jemedar kuwa na Akili ya kuchambuwa kitu acha chuki na masimango
@IddyMassa
@IddyMassa 6 часов назад
Fanyeni mpango Crowm ifike A twn
@Alexbenon-ow5lh
@Alexbenon-ow5lh 8 часов назад
Crown sis ndo mashabiki zenu na wasikilizaji wenu. CO anahitajik amuelekeze hans
@PrincesKapongo-es3gh
@PrincesKapongo-es3gh 12 часов назад
Kuma kweli
@hamisiyoyo5847
@hamisiyoyo5847 15 часов назад
Mmeaibikaaa kengele nyie hiyo ndio SIMBA BABA LAO mmekomeshwaa yamewashukaa
@AdamumahmuduMahmudu
@AdamumahmuduMahmudu 8 часов назад
Kabisa
@bravotzee218
@bravotzee218 10 часов назад
Big up
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Час назад
Hans ni mke wa Ally Kamwe ni lazima ashabikie yanga 😂
@FakihAlhakim
@FakihAlhakim 5 часов назад
Steshen yetu hii hakuna wa kuipinga ,huku mtaan kwetu inakubalika sana
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 13 часов назад
Huyu Hans anazidi kujiharibia eti wamenyimwa penati ya wazi,huyu bado kwenye sheria za mpira hazijui
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 7 часов назад
Hansi ukitaka kuendelea kwenye maisha yako achana na uchambuzi wa simba na yanga,wewe chambua kutegemea professional yako,ila kwasasaivi niwazi wewe ni shabiki wa timu ya yanga
@AnaniaKileo
@AnaniaKileo 14 часов назад
we hans unataka tu matusi ila we njaa imekuzid ulisema simba itafungwa
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 5 часов назад
Huyo kijana anachambua mechi akijionyesha kabisa kuwa ni shabiki wa timu fulani. Wachambuzi wote wazoefu wanasema ile haikuwa penalty wewe unaongea huku macho yamekutoka eti Tripoli walinyimwa penalty kweli. Yaani hata kwa akili ya kawaida kabisa ni swala la kuangalia tu kwamba mpira ulikuwa unaelekea wapi na baada ya Che Malone kuuingilia uligeuza mwelekeo na kwenda kwenda wapi
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 17 часов назад
Nyie hamna lolote
@StanleySendalo
@StanleySendalo 15 часов назад
😂😂😂😂 Hans anaona aibu
@jacksonmtenga1276
@jacksonmtenga1276 15 часов назад
Haka kajamaa ka uto mlikatoa wp ile ilikuwa penalty wakati Chemalone alicheza mpira?
@DanielChaula
@DanielChaula 15 часов назад
Kutokushanga ndio uchambuzi Gani sasa huo unazingua
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 7 часов назад
Back ground sound inaumiza punguzeni hiyo
@Nufaila442
@Nufaila442 15 часов назад
Sema ongezeni Busta ya usikivu wa Redio tunapata taabu sana
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 15 часов назад
Jemadar upo sahh xn
@KelvinSarapi-bk1gr
@KelvinSarapi-bk1gr 14 часов назад
Huyu Hansi cyo mchambuzi Labda Uchi wa mbuzi apunguze kujichua hawez kumiliki kichwa chenye akili mjinga huyu
@sangaelly8548
@sangaelly8548 15 часов назад
Simba ni moto wewe hujui mpira, Simba nikubwa
@hamishatibu699
@hamishatibu699 13 часов назад
Hans ni mnafki tu wew usijitetee wew umelilia adi penati ya uwongo wa Tripol penati kwani lazima wazinde uyu hans ni mtoto bado anakipaji tu,
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 13 часов назад
Penalt gn hiyo, jamaa ni mpumbavu
@MohammedAmour-nf9wq
@MohammedAmour-nf9wq 16 часов назад
Kaka wewe niki geu geu
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 13 часов назад
Hans acha uongo hakukuwa na penat pale huo ujinga huo
@princetanzania
@princetanzania 14 часов назад
Huyo hans sio mchambuzi wampira
@edsonjonas229
@edsonjonas229 13 часов назад
Kiko wapi 😅
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 15 часов назад
Hans we kuma muong
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m 17 часов назад
Hamna lolote nyie
@HoseaLushinge
@HoseaLushinge 8 часов назад
Huyu @hansirafael kwa nini asiridu @wasafi hapa hafai
@shilladickson3852
@shilladickson3852 13 часов назад
Tuta la wapi ..chura churani
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 15 часов назад
Sasa kama angeshinda 1-0 jana sikapigwa 3-1 hivyo agg ingekuwa Simba 3 Al Ahli 2 siangepita Simba? Na hata jana sikuna goli la Simba la Ateba limekataliwa? Wewe mtu mweusiii hans km maguta ya bunduku acha ushabiki kwenye ulipoajiria ukaharibu kazi za watu wewe ukitoka hapo ndio weka ushabiki vijiweni
@HamzaMkumbange
@HamzaMkumbange 16 часов назад
Tuta sio lazima ufunge
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 10 часов назад
Wachambuz nao huo ni joka la MDIMU before match haijaanza nyie nyie mlisema Simba atapoteza baada ya kushinda mmebadili gia angani,,au nyie mpo kwa anaeshida tuuu????
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m 17 часов назад
Umekosa la kuongea
@Joo20138
@Joo20138 13 часов назад
Mchambuzii unasema ilikuwa penalt tukio la che malone...? sasa wewe na refarii kazi nani anajua sheria zaidi...? mimi nilimsikiliza kwenye kipindi chake mpaka akamsifia refa wa mchezo..!! Fanya kazi yako tu kaka..... ushabiki tuachie huku tusio na mic.
@kulwampalashimpalashi7224
@kulwampalashimpalashi7224 13 часов назад
Inakuumiza nn ww
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 16 часов назад
Mara nyingi simba wanafelishwa na uvivu wa mabeki
@ce-08
@ce-08 15 часов назад
😂😂😂 duuh
@isikesamike
@isikesamike 9 часов назад
​@@ce-08😅
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 9 часов назад
Ww si Zwazwa😅😅😅😅😅😅😅
@YusufuAliy-cd6dc
@YusufuAliy-cd6dc 14 часов назад
Nchi nzima mchambuzi mjinga hns kaka acha ushamba fanya kazi kwaumakin iri ufanikiwe usiweke ushabiki wa yanga mbere au ww nichawa wa yanga mpzzz ww
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 14 часов назад
Hiyo penati labda ungeweka ww
@JumaLulanje
@JumaLulanje 13 часов назад
Commet maana yake nimaoni sio matusi,
@weeknd_places
@weeknd_places 16 часов назад
Kijamaa kimeumia Sanaa Simba kushinda..😂
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 14 часов назад
Uwache ubwege wako nenda ukaishi libia kenge ww
@ChijaLugola-xe5tn
@ChijaLugola-xe5tn 14 часов назад
Wewe hans tatizo lako unapochambua unakuwa kama ndo unautafsri mchezo bdo muongo wewe ...penalt ipi uliiona wewe
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 16 часов назад
kama che malon alicheza mguu nini kilibadilisha direction ya mpira??
@DottoWache
@DottoWache 15 часов назад
Sasa robo fainali kwani simba ilikuwa pia inajiunga weee jemedali wacha ukoloboi uwo😂😂 simba mwaka huu ndio imekatika inajiunga unga tuone kama itafika robo fainali ya shilikishoo nipo pale 😅😅😅
@mustaphahamza6262
@mustaphahamza6262 12 часов назад
Hifadhi Comment yako
@desolz3809
@desolz3809 5 часов назад
Kweli hujui mpira
@DottoWache
@DottoWache 5 часов назад
@@desolz3809 wee unaejua inatosha utasaidiana na mukwala kufunga magoli
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w 9 часов назад
We hans acha unazi penalty ya nyoko
@juliaseliuze591
@juliaseliuze591 6 часов назад
Penalty ya wapi?acha ubwege wewe, sura ya kike
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 14 часов назад
Hans wewe k kubwa
Далее
🎙ПОЮ для ТЕБЯ ВЖИВУЮ!🍁
3:12:31
Просмотров 445 тыс.