Тёмный

KIMEUMANA NGORONGORO WAMASAI WAMTIMUA RAS WAMTAKA RAIS SAMIA,WADAI KUCHOSHWA NA MADALALI WA SERIKALI 

MOTIVE TV_TANZANIA
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Месяц назад
Huyu ndiye mbunge anayestahili kuwawakilisha wamasai Ngorongoro, hongereni sana ndg zetu wamasai tupo pmj
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Месяц назад
Safi sana maasai... Mnajitambua sana.
@lawrenceshekinyashi8243
@lawrenceshekinyashi8243 Месяц назад
Na mm nataman niwe mmoja wenu huko nimeon mnauwez mkubwa wa kulet mabadiliko.
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Месяц назад
Yes hii ndiyo kauli inayotakiwa kuimwaga na Serikali isikie huyu ndiye mtanzania halisi kauli yenye nguvu na umoja
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Месяц назад
Fight till end..maasai❤..alot of support from kenya.....we will send our maasai to come help you.......thus nonsense governments who have helped foreigners enslave own people
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Месяц назад
Huyu mnayemtaka aje wala hana habari na kinachoendelea. Ila mungu awalinde mkae kwenye ardhi yenu.
@mickgeofreyjoachim1580
@mickgeofreyjoachim1580 Месяц назад
Yani huyu Mama,alaaaniwe kabisa
@NeemaLaizer-lo2hh
@NeemaLaizer-lo2hh Месяц назад
Alaaniwe kabisa
@golebenson4597
@golebenson4597 Месяц назад
Yuko busy na 🎶 uko
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Месяц назад
Wamasai Mko na Haki Ngorongoro ni haki yenu bila Shaka yani hapo Nyinyi Serekali Mjihazari kweli kabisaaa
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Месяц назад
Gen z Tanzania wake up and take back your country
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Месяц назад
Hawa watu wapo tangu 1954 munawatoa leo munawapeleka wapi??
@yonasimion3130
@yonasimion3130 Месяц назад
Wamaasai wametufungulia njia, tutapita hiyohiyo mpaka kieleweke
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 Месяц назад
Mtihani wa kwanza kwa Mh. Waziri aliuyeteuliwa hivi karibuni. Mungu akaweke wepesi katika jambo
@MeshackEliah-sr4eq
@MeshackEliah-sr4eq Месяц назад
Yes Masai you have right 🙏
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Masai community are vary brave and type of people who keep cicret bush is belong to them Gane renger trying to harassing them game renger will be on heard time to them
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Месяц назад
Hamis Dambaya, jina baya lamgeuka mwenye nalo!! Jina baya la kishenzi
@AziziNgiziki
@AziziNgiziki Месяц назад
Huyu mama mbwatu siku zake znahabka
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 Месяц назад
Ndugu zetu wa Masai tuko pamoja
@HassanRashid-s5s
@HassanRashid-s5s Месяц назад
Kama waishi polini wanajuwa aki zao sisi wa mjini tupo kama mapungu ses
@kammunisi2296
@kammunisi2296 Месяц назад
Sante sana rafiki
@MartineJoseph-u6i
@MartineJoseph-u6i Месяц назад
Huyo mjinga chawa lazimaajipendekeze Kwa rais ili hapate kula Kwa dhulma ajii anakula Leo yy Kwa dhulma lkn kesho yatawarudi watt wake au uzaowake
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 Месяц назад
Iyo imekaa saw kbs wamasai msidanganywe kuhamia Tanga.huko sio asili yenu
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Месяц назад
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@KoleYasini
@KoleYasini Месяц назад
Manake wamasai wamechachamaa aswa wakati huu wa uchaguzi.
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix Месяц назад
Tanzania imeshauzwa bila sisi kujua na haya nimazoea hii yote inasababishwa na watu kukaa madarakani kwa mda mlefu uchaguzi unakuja dawa yao iko jikoni washatuzoea hawa
@KoleYasini
@KoleYasini Месяц назад
Kwanini ngoro ngoro ipo mkoa gani na mkuu wa mkoa wao ninan?
@Afsa-z2v
@Afsa-z2v Месяц назад
Arusha
@AllyNamakomba
@AllyNamakomba Месяц назад
Kila kabila liwe macho maana kila mtu anapaswa kuuijua haki yake vinginevyo tutazurumiwa
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Месяц назад
Rudini nyumban Kenya kama vipi musije mukajua serikal. Hawajui wafanyaro. Pia sio razima kukaaa pale tu taratibu za. Nchi zieshimiwe ivi ikiwa kila mtu Akiamua tu. Kwenda kujenga au kuhamia. Hifazin kutakua nahifazi ? Bado nchi hii inamaeneo mengi tu kuishi. Au mnatumika kisia ?
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c Месяц назад
Hakuna kuwondoka mtu
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni Месяц назад
Huyo mzee hapo kwenye gar anatema madini sanaaaaa yan daa kwel mnadhulumiwa
@LemayanLemaitai
@LemayanLemaitai Месяц назад
Kweli
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 Месяц назад
Tuko pamoja kuwaombea mpate kushinda na mpewe kibali cha kuishi salama,,,
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb Месяц назад
Hapa kuna kazi ya marekebisho ya katiba ili kuondoa mikataba ya walaji ee MUNGU baba hata lini tukiteseka na haya
@PauloLeiyo
@PauloLeiyo Месяц назад
Hivi rais Samia haoni au vip maana mm silewi kabisa mbaka wananyumwa chakula daa mbona ni ukatili hiii eee mungu Wangu
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 Месяц назад
Mh!
@DonneyMboya
@DonneyMboya Месяц назад
ningekua mmasai mimi😂
@victorjames3730
@victorjames3730 Месяц назад
Mwanga upo mbele kidogo tu hapo
@leinaamos
@leinaamos Месяц назад
Wewe kesho hatukuini
@EmmanuelNgaaka
@EmmanuelNgaaka Месяц назад
hao viongozi ni wahuni
@fabiankachewa4578
@fabiankachewa4578 Месяц назад
Wamasai wa Tanzania. na wale watokao nchi jirani wanatofautishwaje? Isiwe janjajanja!
@gellangi9694
@gellangi9694 Месяц назад
Kwamba Wamaasai wa Ngorongoro,Tanganyika hawana uwezo wa kufahamu kwamba wanaonewa na hawastahili kulia/kujitetea?Hilo ni TUSI dhidi ya Jamii ya Kimaasai.
@Shija-g4m
@Shija-g4m Месяц назад
Sio dambaya ni dam mbaya😂
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Месяц назад
Dadeki
@hopemanrevocatus1472
@hopemanrevocatus1472 Месяц назад
Nawaza wamasai wakiondoka ngorongoro, ina maana jimbo la uchaguzi na kata ngorongoro zitafuta na mbunge atakuwa anawakilisha wanyama pori
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb Месяц назад
@@hopemanrevocatus1472 sio itafutwa walishafuta na huduma zote waliondoa waliachwa wote wawe km wanyama wasiotambulika.wanarudisha ila kwa mbele sioni mabadiliko cz hakuna maandishi
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 Месяц назад
Huyo unaemwita sizani kama atakuja
@bongo39
@bongo39 Месяц назад
Mama hawa watu wanapenda kukucheze sasahivi kila mtu maandamano sweka ndani
@yonasimion3130
@yonasimion3130 Месяц назад
Pumbavu aswekwe mamako kwanza
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Месяц назад
Akiwagusa hao naamini nchi itachafuka. Uwepo wao hao Mungu anajua.
@leinaamos
@leinaamos Месяц назад
Unazungumza kwako kunaamani kwa Masai hukuona amani
@gellangi9694
@gellangi9694 Месяц назад
Huyo mnayemwita Mama ni yupi na ataweza kuwasweka wapi watu >100,000?Ndiyo maana kafuta Vijiji vyao?
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb Месяц назад
@@bongo39 hawezi kuwagusa watachafua dunia kwa utalii watakosa soko na hawajaleta fujo wanasikilizwa
Далее
Israel Faces Off Against Barbados PM in Historic Clash
35:01