Тёмный

KIMEWAKA NDANI YA VINA MEZANI NI MICHANO JUU YA BEAT 

Crown Media
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@abditech14
@abditech14 40 минут назад
Tuleteeni Nala mzalendo kama unaungana namimi like
@abditech14
@abditech14 35 минут назад
Hapa kweli kulikuwa na kazi wote ni 🔥🔥🔥💪 tunamsubiri Nala mzalendo
@abditech14
@abditech14 41 минуту назад
Dullah planet Tuletee Nala mzalendo
@jimmytuwa4886
@jimmytuwa4886 2 часа назад
Dogo anapita kama Stamina"vokal"punch kali......big up dogo
@JosephMagesa-k5u
@JosephMagesa-k5u 2 часа назад
Nihatar yamefanyika mauaji ya kutishaaaa!🎧✌️
@AnthonyJoseph-i3j
@AnthonyJoseph-i3j 2 часа назад
Never seen before....punch after punch 👊
@devkamaleki5556
@devkamaleki5556 21 час назад
Dogo ana panchi,vocal,uwezo wakufikiri, alafu bado mdogo akipata mtu wa kumfundisha vzur atakua noma ili aweze kupata melody tofauti tofauti
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 7 часов назад
leo kimeumana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kimewaka kinoma noma
@saxcothefidrapper6606
@saxcothefidrapper6606 20 часов назад
Huyo dogo anajua sawa. Ila kwa huyo mwamba dogo inabidi arudi shule kwanza
@HijaRashid-g4q
@HijaRashid-g4q 6 часов назад
angalia umri
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 5 часов назад
dogo kayatimba kabsa😂😂
@ibbu-tz
@ibbu-tz 5 часов назад
Lakini hawashindanishwi, hapo ni panch kwa panch kawaida tu sio mashindano.
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 19 часов назад
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@kinjekitilew
@kinjekitilew 19 часов назад
Asante dulla kwakusitili dogo mana anakosea jina umetisha sana kati
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 16 часов назад
Dogo anafanya freestyle, mkubwa anachana alichokiandika kwenye daftari nyumban kwake, vitu viwili tofauti bigup dog
@yussuframa6598
@yussuframa6598 21 час назад
Si mvunji Moyo huyo jamaaa ila dogo Next level Namkaribisha 26 na Nitasimamia Colabo na Nyandu Tozzy
@azizramadhan9934
@azizramadhan9934 9 часов назад
Mwarabu ni noma
@charleslulandalah9785
@charleslulandalah9785 21 час назад
Oyaaaa oungo mwiko vpaji bongo vpo🙌🙌🙌
@fatumadjumbe2551
@fatumadjumbe2551 12 часов назад
Huyo mkubwa anamfanana zuwena wa Dimond
@felicienkanozire9464
@felicienkanozire9464 17 часов назад
Le petit là rap comme stamina il doit du respect à stamina j'aime bien le petit kabisa
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 16 часов назад
Il vient de la meme region… morogoro!!
@Lukind47
@Lukind47 37 минут назад
Dogo mkali ssnaa wachache wanaweza freestyle
@mcbartonkesh3664
@mcbartonkesh3664 17 часов назад
Noma Sana, Watching from Kasulu to Kigoma
@beatricesaitoti6125
@beatricesaitoti6125 Час назад
Huyu dogo ni konyo hapo ni freestyle akipata mtu wa kumuelekeza kubadili styles ni noma huyo jamaa ameandika ko tofauti kabisa
@benjoswise-qg6ir
@benjoswise-qg6ir 6 часов назад
From Buja love u saana
@charleslulandalah9785
@charleslulandalah9785 21 час назад
Hatari
@danielpeter9842
@danielpeter9842 19 часов назад
Wote wako vizuri sanaa🎉🎉... ila kila mtu ana package yake kwanza mwamba ni mkali wa idea ila dogo ni mkali wa free style 🎉🎉
@JamesLameck-n1v
@JamesLameck-n1v 18 часов назад
Mkubwa 🔥
@tgwan
@tgwan 14 часов назад
Gaidi Country Boi Mtupu... Na Dogo Sam STAMINA Mtupu... Umepata nini hapa... 🥶
@adrianocosmaspetro2133
@adrianocosmaspetro2133 20 часов назад
Yan huyo dogo ni stamina mtupu
@lukmanmtumwa4641
@lukmanmtumwa4641 18 часов назад
Umeniwah 100%
@mcharo255
@mcharo255 19 часов назад
Mmetisha Sana sana Sana ila salute kwake stamina, Roma, con boy , chindoman , waduduuuuuuuuuuuuuu
@Musicgoods_
@Musicgoods_ 18 часов назад
🔥🔥 dogo moto sana
@obbykicki
@obbykicki 20 часов назад
Hivi wabongo wanachelewa nini kusikiliza vina kama hivi 😂 madini toooop mamaq asee🎉🎉 BONGO HIPHOP STAND UUUP
@felistaflora
@felistaflora 18 часов назад
mtoto mdogo nguruwe ukwel utabak kuwa ukwel mchiz anajua san kulko ata dogo maan kuna mda dogo anapga chabo kwa mwamb mchano ilkata chngne mchz ana floor na swaga😂😂
@IsaiahMgaya
@IsaiahMgaya 43 минуты назад
Jamaa hilo limeandik dog mwamb sanaaa
@Mbaley
@Mbaley 9 часов назад
Show moja ya kibabe
@JamesLameck-n1v
@JamesLameck-n1v 3 часа назад
Dogo anajua soon atakuj kuwa fire uyo mwamba freestyle yake kaandika😅
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 5 часов назад
Gaidi wamichano nihatari🤡🗽🤡🗽
@NasibuSoroka
@NasibuSoroka 9 часов назад
Hapa ni nyumbani
@OmarSalim-p3c
@OmarSalim-p3c 18 часов назад
Dogo mashaAllah
@sadamissa5687
@sadamissa5687 13 часов назад
Gaiidiii mtu sana daaah dogo nae mnyamaaa
@Mkoatz
@Mkoatz 21 час назад
Gaidi katisha
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 20 часов назад
Dogo anajua mpaka anaboa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 6 часов назад
I'm going to be🎉
@Mbaley
@Mbaley 9 часов назад
Naomba Siku moja nimuone t gun tozz kwenye kipindi
@richyke4447
@richyke4447 2 часа назад
Huyu si zuwena jamani
@relaxstarman
@relaxstarman 16 часов назад
Dogo anapiga Sana freestyle ila huyu mwamba anaandika sana so wote🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Dittorashidy-jj7go
@Dittorashidy-jj7go 10 часов назад
😊😊😊
@HamisMusa-i1n
@HamisMusa-i1n 15 часов назад
Dogo apate management huyo ni genius wa free style hata lunya hamfikii
@alhandumtalemwa8468
@alhandumtalemwa8468 9 часов назад
Sam Ni stamina mtuuupu
@Jmbuilder-ly6wp
@Jmbuilder-ly6wp 18 часов назад
Dogo ni mkali ila tatz anafro kamastamina atembelee njia zake
@ShabanMzee-u6y
@ShabanMzee-u6y 20 часов назад
Doh! Hip Hop bongo iko mikono salama....😂😂😂
@tajierick
@tajierick 20 часов назад
Dgo mkaliiiii katisha sanaaa❤
@dabwaytv
@dabwaytv 18 часов назад
Oyaaaaa pamoto sanaaaa😅😅😅
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 7 часов назад
Dogo next level
@devkamaleki5556
@devkamaleki5556 21 час назад
Uyo dogo noma
@williamchesoggamunyaga5122
@williamchesoggamunyaga5122 19 часов назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rashidmambo1412
@rashidmambo1412 3 часа назад
Dogo kamfunika mwana🎉
@KluivertVictor-xi1hz
@KluivertVictor-xi1hz 16 часов назад
Nawezaje kupata nafasi
@YohanaHamisi-ud6cd
@YohanaHamisi-ud6cd 21 час назад
🔥🔥🔥🔥
@zizzouamijaa
@zizzouamijaa 5 часов назад
Dogo mbaya sana
@HassanYassin-ju5rf
@HassanYassin-ju5rf 14 часов назад
Wote wanajua ila some one katisha balaa
@machinesintanzaniatv3909
@machinesintanzaniatv3909 19 часов назад
kama umesikia dulla akisema dj kafanyaje tena gonga like
@felistaflora
@felistaflora 18 часов назад
iyo ipo katk uchanaj maan kuna tme unakut beat na floor znakataa kashndw lunya kuchan sembuse uyu dgo
@user-samweli
@user-samweli 5 часов назад
Stamina njoo huku kuna mbegu yako
@JohnBaton-h5v
@JohnBaton-h5v 20 часов назад
Msishindanishe mkubwa na mdogo
@matambitvog8786
@matambitvog8786 20 часов назад
DG anajua alikiba amsain kings
@uwezamtimbichi4303
@uwezamtimbichi4303 18 часов назад
Dogo Sam one ajifunze kiingereza tu ili aende mjini
@MRSIXRobertRobertshineneko
@MRSIXRobertRobertshineneko 19 часов назад
Dogo🔥🔥🔥🔥
@jumaluoga5942
@jumaluoga5942 11 часов назад
apo kuna madini kutoka kichwani,, afu kuna madini kutoka daftarini,,
@DieudonneMbazumutima
@DieudonneMbazumutima 20 часов назад
Dogo ni fire
@oswardmkalawa9666
@oswardmkalawa9666 18 часов назад
Dogo anajua ila jamaaa anajua zaidi.
@matambitvog8786
@matambitvog8786 20 часов назад
Uyu DG ni konyo
@mcharo255
@mcharo255 19 часов назад
Huyo chalii NI mchinjajiiiii...... Young lunya ajifunze hapo 😂😂😂
@issachibangu6075
@issachibangu6075 20 часов назад
Mwamba katisha
@sergebaleke695
@sergebaleke695 16 часов назад
Dogo ka funika balaaa
@Alisalim-r8c
@Alisalim-r8c 20 часов назад
Dogo uko poa
@kinjekitilew
@kinjekitilew 19 часов назад
Dogo dogo dogo dogo
@Paplick9
@Paplick9 19 часов назад
Dogo aende shule
@bamsBeywamakaz
@bamsBeywamakaz 19 часов назад
Dogo anaa jua lakin wee jamaa ume kalili
@felistaflora
@felistaflora 18 часов назад
mzk idea freestyle azna ela Kam unabsha ngja uyo dgo atoe nyimb uskie alchokiimba ni utot
@shabannyamsalika
@shabannyamsalika 9 часов назад
Hiyo ni vina mezani sio kipindi cha freestyle, au hujamskia dullah kasema anataka vina vingi, punchline, metaphor etc
@felistaflora
@felistaflora 18 часов назад
kla muda morogoro salimu kikeke dgo ana ubunifu tunatak kuskia idea na floor gadeem
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 18 часов назад
Acha uchawi
@ZawadiTongo-p1v
@ZawadiTongo-p1v 19 часов назад
Dogo kwangu anajua maana maneno tunayasikiya yote ila jamaa sijamwelewa by finishing zake
@felistaflora
@felistaflora 18 часов назад
dgo tatzo ana idea mzk idea mwanetu na floor
@HijaRashid-g4q
@HijaRashid-g4q 6 часов назад
apo tofauti ni umri
@Paplick9
@Paplick9 19 часов назад
Dogo aende shule
Далее
На кого пойти учиться?
00:55
Просмотров 175 тыс.
SAM ONE - FREESTYLE 02
3:12
Просмотров 15 тыс.