I like that way of dressing on this comedy you will always remain legends of commedy respect for Africa, my favorite from DRC, KINGWENDU the best comedy. One love 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama yangu 🤔🤔 kingwendu king of comedy hiyo kofia kaa panga iko 👍👍 tz 🇹🇿 vidole 🙆🙆 cash,,cash,,bila samahani ukata vidole zote jamani 🥱🥱 utatembea na nini million 92 za Zimbabwe ila kwa kweli 😂😂 Una account🔥🔥 jamani
😂😂😂😂😂😂😂😂Haaaahaaaahaaaa.. Kingwendu anasema nataka niezue bati za zamani.. Niezeke bati za M...south ...Halafu dola za Zimbabwe kumbe sawasawa na alf 25..😂😂😂😂😂😂😂 Halafu wote waishia jela na kidole kimeondoka