Kingwendu,nakusalimia mzee, Ombi langu Kuna filamu MOJA uliigiza ukiwa na akina mkono,Kuna dada MMOJA Nina lake kwenye hiyo filamu ilikuwa unamuita KIENE, Uliigiza kama mjumbe na unawachonganisha wamama mtaani kwako,ilikuwa unamwaga matakataka, Kama sikosei Nina la filamu lilikuwa CHAUMBEA, NImeitafuta RU-vid lakini siipati,kama utaikumbuka iweke basi mzee maana nimeimiss sana Ile na mtaani siipati kabisa