Kingwendu ni compelete package, msanii mwenye talanta zote za sanaa na usanii. Hakika Wasafi msajilini mwamba huyu, kwake mtavuna Zaidi na Zaidi hata kuliko hao machawa.
Kingwendu na ka sauti kako, uta ni uwa na cheko mzee wangu. Niki sirika kisha ni fuate vidéo zako na chekaka sana. Wewe ni noma mzee. Nakufuata ku toka Congo 🇨🇩 Diamond wa uongo !
TUNASHUKURU SANA MNAO FUATILIA KZ HII JE MZEE KINGWENDU BAADA YA KUPEWA GALI STUDIO ATAENDA PLEASE SHARE NA MWINGINE AMWAGILIE MOYO KAPIPI FROM KINGWENDU FAMILY