Katika.kuwajengea mazingira mazuri ya kukaa hao vijana suala la Afya lizingatiwe ipasavyo VYOO muhimu maji hayaepukiki msiwaondoe maisha magumu viongozi kazi hakuna
Hello kingwendu king of comedy umetaja yebo,yebo, nikambuka hile video ya kistope na jamaa Chil, na Yule ujuna mihela cheque ya million 15 ujuna yeye Kwa Raha zako za udiwani, ety kistope welcome 🔥🔥mama yangu 😂😂 Eti kijwa Kama nini na hiyo kofia si wengi simu ya macho matatu🙆🙆 keep it up tz 🇹🇿🇹🇿 kazi Safi