Katika video hii nimetengeneza kinywaji kizito cha matunda. Ni rahisi kutengeneza pia mahitaji yake yanapatikana kwa utahisi. Kinywaji hiki ni kizuri sana kwa afya yako.
Asante kwa kinywaji hicho kizuri. Ombi langu hujatuambia ratio ya mahitaji eg. Matango mangapi, apple ngapi na Asali kiasi gani ili kupata mchanganyiko bora . Other wise the drink seems to be good.
Dickson Dannyben Tango 1 dogo,Apple 1,Parachichi 1 kubwa, majani ya mint kiasi na Asali robo kikombe (1/4 cup) au itategemeana na ladha unayopenda wewe. Una weza weka juice ya lemon pia