Тёмный
No video :(

Kisiwa cha Wasini eneo la pwani ni chenye historia kongwea 

NTV Kenya
Подписаться 2,5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Kisiwa cha Wasini kusini mwa pwani ya Kenya kina historia ndefu mbali na kuwa kivutio cha utalii. Hii hapa simulizi ya historia ya Wasini japo kwa muhstasari kutoka kwa miongoni mwa wengine Mzee Shehe Fumo ambaye kwa sasa ana miaka 97.
Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@muhmuhsini005
@muhmuhsini005 4 года назад
Taarifa nzuri, na ingezidi kuwa nzuri kama ingemalizika vizuri. Asante
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Taarifa nzuri lkn jee ya ukweli??
@kuschprince3216
@kuschprince3216 3 года назад
"Serikali haijawasaidia tangu uhuru!! Na hata wakija watumishi wao hutaka kuiba/ kunyakua mashamba!! Hiyo ndio laana na dhulma ya serikali zote zilizotawawla.Hawataki kusaidia watu wa pwani, wanataka wafaidike hao mwanzo, Aibu,. shame on them. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa"Subra, hekma, maarifa ya kujikimu weyewe kimaisha.
@humanitydensity8974
@humanitydensity8974 2 года назад
nijicho linaloona sio camera!
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Sema unachokijua usiseme yote unayoyajua
@saadakhatibu8793
@saadakhatibu8793 2 года назад
Wanazugumza kiswahili lahaja ya kiunguja
@aboodal7127
@aboodal7127 4 года назад
Peace full Island Mashallah.
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 2 года назад
Wanazungumza lahaja ya kiunguja kiswahili fasaha
@mosaidi2633
@mosaidi2633 2 года назад
Karibuni Pemba
@safarijohn1499
@safarijohn1499 4 года назад
wasini a very peacefull island and aplace to be
@kisa6022
@kisa6022 Год назад
Nani amekuambia ushenzi wote Uko wasini sema it’s isolated island
@humanitydensity8974
@humanitydensity8974 2 года назад
wamenda na walio yakuta wametuacha natuloyaona elimu bahari...taarifa ni athari. Allaah awarahemu
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
History yenu inajirudia tu
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 Год назад
SIO utalii uchafu na Ndio MAANA neeema na heri ZA Allah zkapotea na hilo ndio wazungu wanalo taka basi
@hassanajiruu7793
@hassanajiruu7793 2 года назад
Nyie vijana mnao thalilisha wanati wa wasini acheni uthwalimu Ardhi baba yenu mnahakika gani kama ardhi alipata kihalali nyie vijana Tafuteni chenu achaneni na Urithi msio Ujuwa mwazo wake.Acheni kubukhudhi wanati wa wasini. Mtafute Mali zenu wenyewe Acheni kungangania ardhi za UMA WA KISLAMU WA WASINI..!
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Hicho kikundi cha wasini au cha family ya Huyo Saggaf maana kisiwa chote mnadai ni chake
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Mumeifisidi wasini sasa hata sura za watu wa wasini huwezi kuzitofautisha na za shimoni. Mkwiro au chwaka
@feisal6592
@feisal6592 Год назад
Wajabunherii mvuaa kushushwa njemaa itakuwa kahizii iitafanyika kwamiyakhhfd muhisawalishamiooangoo muhimuu
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Huyu mzee hapo hana history yoyote mzandiki ndie alie angamiza haki za watu nyengine akawagawanyia watoto wake wote na nyengine akawapa county council Yeye ndie aluongoza kamati ya ufisadi hata ukimsikiliza utajua hajui hata anachikisema. Muulize hio falak ni sheikh gani aliisoma Waache kupitosha umaa mutakua masuul mbele ya mungu
@sireedelbaurry
@sireedelbaurry 2 года назад
We wajuaje mambo ya wasini?
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Pengine Kama unavyojua wewe kwa mtandao. RU-vid na pia naona kwa magazeti
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Wajua kwanini huyu mzee aliwakatia watoto wake wote mashamba wakiwa bado wadogo wakiwa shule ila yule wa mwisho kwa jina sijui tochi au choti?alikua na wsws Kama Sio damu yake maana kulikua na mzee anamfanyia faulu
@kvfihf6324
@kvfihf6324 3 года назад
Sightseeing
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Huyo ni Hadija zubeda Abdalah sio Hadija bakari
@kisa6022
@kisa6022 Год назад
Mzee fisadi sana
@mrsfahad5693
@mrsfahad5693 Год назад
Fisadi ww ngombe
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Very wrong information Wapotoshaji tu wazee wasiojifahamu waliofanya ufisadi na dhulma kubwa
@suzieslae553
@suzieslae553 2 года назад
Heshimu wazee wanaoengea ukweli mtupu. Endelea kupotoka
@kisa6022
@kisa6022 2 года назад
Unaona panaongewa ukweli hapi au panatafunwa maneno? Muongeaji ukweli haombi msaada wa kuongelewa na mtu mwengine. Jua kupambanua usiwe Kama wale summu bukummu umyuu fahum la yarjiuun
@mrsfahad5693
@mrsfahad5693 Год назад
Waongea kma ww n shariff
@mrsfahad5693
@mrsfahad5693 Год назад
R.I.p
Далее
Sema Nami: Walibora asema na Abdurahim Ali Bakathir
6:21
would you eat this? #shorts
00:29
Просмотров 638 тыс.
The Untold History  Behind The Shimoni Slave Caves...!
20:33
Toxic Flow: Rotting from the deep || PART ONE
33:28
Просмотров 23 тыс.
🔴 NTV LIVE | August 2024
Просмотров 1,8 тыс.
Kawira Mwangaza amerejea afisini mwake leo
2:30
Просмотров 1,7 тыс.
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 1]
35:23
Просмотров 53 тыс.
IJUE COMORO
4:45
Просмотров 33 тыс.